@@narscentmeena2885 nitext whatsaap +16476434665 mungu atalipitisha hili
@yusufally68535 жыл бұрын
Beto Beto ...ALLAH Will be paying you forevermore
@ramadhaniseif80265 жыл бұрын
Wow nice
@YusufAli-ib6xu5 жыл бұрын
Rais wa wanyonge baba magufuli msaidie mnyonge mwenzetu aweke nyota ya tanzania mbele
@susheilacosta65075 жыл бұрын
Kabisa kabisa mungu atakupa itaji la moyo wako iko siku maombi yatajibiwa mungu akubarik sonnakuombea sana
@omaryhabibu87255 жыл бұрын
Daa huyu dada anaistolia kubwasana ya maisha
@LG-xh1hm5 жыл бұрын
Kweli
@najma32685 жыл бұрын
Millard umetuletea story nzur sana, ww ni moja kati ya watu wanaotuletea habar zilizonzur kwakweli na tunajifunza
@millardayoTZA5 жыл бұрын
Asante sana Najma
@derrickmatenga48045 жыл бұрын
@@millardayoTZA bruh nakukubaligi sana bila kumusahau #vidoVidox ❤👊
@saidimhina46325 жыл бұрын
Interesting story, Mungu akusimamie kaka hakuna linashindikana chini ya jua, weka namba ya akaunt ya tigo pesa au voda
@ibrahimually44145 жыл бұрын
@@millardayoTZA uko vizuri broo
@editasanga88455 жыл бұрын
Honger zake mungu amtie nguvu ktk kz zake
@eunicejohn55205 жыл бұрын
Mungu usiyeshindwa kwa chochote unayetoa maj kwenye jangwa naomba umsaidie mwanao,nimelia for sure
@kautharkhatib90755 жыл бұрын
Jamani Mimi ni maskini lkn nawaomba nyote wenye uwezo akina diamond ,Ali kiba , harmonize na wengineo msaidieni kijana mwenzenu
@petersakariwakube82155 жыл бұрын
Thank you so much Brother Millard Ayo for highlighting the dreams and aspirations of this precious young brother. Truly God is with him.And may the Almighty God bless you Millard Ayo.
@comfort71405 жыл бұрын
Never give up dear friend 💪 Naamini ndoto yako itatimia kwa uwezo wa MUNGU
@saadyusuph51364 жыл бұрын
Ubarikiwe kwa hilo
@barakakibiriti59345 жыл бұрын
Millard hongera Sana taarifa km hizi ndizo tunazitaka. Dream zote zinawekekana.
@mranzuann79505 жыл бұрын
tukipatikana watu 15,000 tukamchangia jamaa TSH 10,000/- kwa kila mmoja wetu basi jamaa ataweza kwenda kutimiza ndoto yake na kuwa rubani. Tumchangieni kijana mwenzetu aweze kusoma. Bigup sana Narcent kwa kutokataa tamaa. Mungu yupamoja nawe
@tibajuma83965 жыл бұрын
Uko sawa kabisa
@israelmwasenga92883 жыл бұрын
Umewaza vema sana kaka
@afroindian55745 жыл бұрын
This is called spiritual confident thank brother ayo onbehalf of him he gonna make it soon as possible
@YusufAli-ib6xu5 жыл бұрын
Allah is great 👍🏻 May your wish come true Insha Allah Ameen
@cutegirl-dv5so5 жыл бұрын
Yusuf Ali amiin yaa Rabb
@aishakhamis29965 жыл бұрын
kabisaa
@mkakampole78025 жыл бұрын
Daah! Much love Millard unatuletea issues zinazowasaidia watanzania wanaohitaji msaada. Mungu azidi kukubariki na kukusimamia bro WaTanzania wazidi nufaika kupitia wewe✊✊
@millardayoTZA5 жыл бұрын
Asante sana Ndahani.
@salumuhafidhimtabe4205 жыл бұрын
kufeli ni njia rahisi sana ya kufanikiwa kama umeelewa namaanisha nini gonga like hapa ### BLT Mtabe
@biccomahenge93235 жыл бұрын
Bonge la Mtanzania
@Mike-yg7pb5 жыл бұрын
Millard unamoyo mzuri sana unajitoa kwa watu wa namna hii kiasi kwamba mpaka unaingia gharama ya kufly nae mpaka zanzibar, I know you have a good heart, you are my neighbour from Arusha be blessed with what you are doing.
@sarahmwakwenda20615 жыл бұрын
Uko vizuri sana ayo
@elizabethkayinga11495 жыл бұрын
Hahahaha karanga kutoka ADIUS COMPANY GROUP safi sana nurscent mungu yuko na wewe ndoto itatimia
@jamsonjames36185 жыл бұрын
Dah nimependa sana hiyo imani yake,naamin Lazima atafanikiwa
@naimakweyamba53405 жыл бұрын
Aminaa....
@nurumberwatv49985 жыл бұрын
pow sana daa
@najma32685 жыл бұрын
Yaan hadi nimetoa na machozi 😭mungu akusimamie kwakweliw
@neemamahela74945 жыл бұрын
Kwa kweli nimelia
@naimakweyamba53405 жыл бұрын
Yani sio Pete Yako
@brysonuronu58625 жыл бұрын
Wacha tu wachaaa
@momobakari95883 жыл бұрын
Aki imeniuma sana
@bsbshshsh81025 жыл бұрын
ohh my lord,,, same story we are passing through, though we pass through hard moments but God Will provide
@manenoramadhan37744 жыл бұрын
Mung atakjalia mema
@enockmakere11855 жыл бұрын
Bro Millard hili bonge moja la story na tunajifunza mambo mengi sana kama vijana, Mungu ni mkubwa sana na atatimiza ndoto zake hakika, asikate tamaa kabisa! na hyo discipline ya savings nimeielewa sana na imeniongezea ka hekima flani amazing!
@itsngaki45075 жыл бұрын
Story nzuri Sana Millard Mungu amuongoze Huyu kaka atafika kwa neema za Mungu,, Mpk machozi yamenitoka Kijana naona ndoto zako
@nurumwangoka98045 жыл бұрын
MUNGU atasimama na utafanikiwa!!!
@aishamnyeke11635 жыл бұрын
Mimi pia na ndoto ya kuwa kuwa specialist wa Neuro surgeon Mkubwa East Africa and world wide kwa sasa nasoma diploma ya udaktar ila nikimaliza wazazi wangu hawana uwezo wakuniendeleza na mm nilikua na ndoto tangu nikiwa chekechea mpaka sasa am struggling pia na vibiashara vidogo na mm nije nifikie malengo yangu nikasome John Hopkin university cku moja nikiwa daktar nataka nijitolee kuwa hudumia watu wasio jiweza nahsi kuna kitu Mungu anataka anitumie inshallah Mungu nijalie nije niwe msaada kwa watu wengi zaidi cjawah kata tamaa Keep it up bro utafika penye nia pana njia am so touched 😢 mi nmefanya business nyingi nime chekwa nimedharauliwa but still fight
@salmaalimusa5475 жыл бұрын
Amiin
@yusufally68535 жыл бұрын
aisha mnyeke ...inshallah ALLAH AKBAR...Ni mwingi wa huruma.anatuskia vilio vyetu.
@yusufally68535 жыл бұрын
aisha mnyeke inshallah.....we don't give up...
@aishamnyeke11634 жыл бұрын
Amin mungu jalia
@samueljr91055 жыл бұрын
Maombi yangu Mungu yasikie "mjalie kijana huyu kutimiza ndoto zake ya kuwa rubani wa mataifa fanikisha kazi za mikono yake! Amen."
@alexchungu95055 жыл бұрын
Hata mimi nina plan ya kusoma masters yangu, USA, nimeanza kujichanga mdogo mdogo..
@mwariworld65475 жыл бұрын
Kila la heri kwa ndoto zako .Mwenyenzi Mungu Akupe na uzidi kutimiza ndoto yako ...🙏🙏🙏🙏🙏
@josephkomme10555 жыл бұрын
Millard Ayo ni moja wa wanahabri ambao ni wa kweli, wazuri na hongera sana ubarikiwe
@yaqoubsalim995 жыл бұрын
Tupo wapi Matajiri wa Tanzania? Jamani watanzania wote tumsaidie huyu kijana ili atimize ndoto zake.
@finestabuu5 жыл бұрын
Wow mungu amuzidishie Salam ziwafikie kutoka upande wangu🇰🇪
@dominicomakungwa7295 жыл бұрын
If your orphan like here,for our lovely father's and mother to rest in peace. Daaaah more than pain,sio siri yatima hatuna dira
@amissotv50845 жыл бұрын
Huyu kijana atatufuwa tuu. Big up sana #millardAyo. Believe in Jesus. The only way of Victory
@jacksonmathayo65105 жыл бұрын
Utafanikiwa jamaa angu Mungu hamtupi mja wake be blessed bro
@godfreystephano3045 жыл бұрын
Hakika ndoto yako inaenda kutimia Mungu akulinde na adui wakila aina wewe ni mfano bora wote mlio kata tamaa simameni tusonge mbele Yupo Mungu wa Eliya hapo ulipo amini kwaimani ipo siku atakufta machozi kwa hali yeyote uliyo nayo. Never give up 👆 God bless Israel 🇮🇱 and God bless Tanzania 🇹🇿
@fettyRamadhani5 жыл бұрын
Godfrey Stephano ujumbe wako.umenitia nguvu chenkyuu my brother
@aminalibondo75074 жыл бұрын
Amiin
@zennakailo81065 жыл бұрын
mashaAllah, mungu akufanyie wepesi namini mungu yupo pamoja na ww🙏🙏🙏🙏pole San kwa kufiwa na Mama 😥(never give up )
@tysonmwalyale55095 жыл бұрын
Mungu awe na wewe usikate tamaa dogo pambana tutaendelea kukuunga kwa hii biashara yako mungu mbele daima
@prof_Martin5 жыл бұрын
Spirit takes much of positivities than we can imagine of possibilities...I got your back my boy🤝🇹🇿
@narscentmeena28855 жыл бұрын
Prof Martin Peter Nhondo thank you soo much
@brysonuronu58625 жыл бұрын
Sure
@elizabethkayinga11495 жыл бұрын
Daah hzo karanga nishawahi kula jamani ni nzuri sana bila shaka frank adius anajiskia vizur sana kukutengenezea bidhaa nzuri kama hyo jamani tumchsngie nurscent meena
@ezekiafilbert48965 жыл бұрын
hongera sana hata hapo ulipofikia maana x padogo naamin mung hajawah kumwacha mwenye haki ...siyo mbal utafika tu never give up🙏
@chacha-2555 жыл бұрын
kakusanya milioni 9, bado milioni 141 ili ifikie milioni 150, watanzania tumchangie kijana inawezekana
@saidahj25435 жыл бұрын
Hizo pesa ni dollars ngapi please
@yusufally68535 жыл бұрын
Tim Cee ...inshallah
@patricetiophani39424 жыл бұрын
tuma namba yako kaka nikuunge hata ya nauli kaka
@elibarikiyusto54955 жыл бұрын
Watu kama hawa serikali ingewachukua haraka sana..ni hazina ya Taifa
@abdhallahchombeke16075 жыл бұрын
Nazielewa xana Makala zako Millard,,kijana ni mpambanaji haswaa,mungu amfanyie wepesi,Ameeen,
@allymahmoud73345 жыл бұрын
Man this dude got high discipline,he got patience he is soo focused and he is soo determined..This article Millard Ayo got me .He's gon make it In sha Allah !!!!
@davidgowola44505 жыл бұрын
Mirad upo poa sana big up
@selemanseed24765 жыл бұрын
Binafsi ninaelewa sana kinachoitwa NDOTO, binafsi nauza nguo ila nina ndoto ya kumiliki maduka makubwa ya nguo km vile VUNJA BEI STORE, hapa mtaani kwetu kuna marafiki huwa nawaambia kufkia 2025 nna ndoto ya kwenda china mwenyewe na niwauzie jeans kwa bei ndogo ... Eeh Mungu nisimamie ktk ndoto yangu hii .. na namuombea pia Ndg Narcent Mungu amtimizie ndoto yake itimie
@JoanfitnessTV5 жыл бұрын
Hongera kk jitaidi utafikia
@yumna1284 жыл бұрын
Never give up
@afamatv48485 жыл бұрын
Kila mtu duniani ana malengo na ndoto nyingi sana!! Lakini ni wachache wanao thubutu kutimiza malengo yao!! Wengi huishia kupanga tu. Kaka Narscent Meena umeonesha nia yako ya dhati na umethubutu kutimiza kile ulichokipanga miaka mingi hongera sana na Mungu atakupigania.!"penye nia pana njia"
@hassanaloobaidan255 жыл бұрын
Allah akufanyie wepesi zaidi ya ya unapofikiria
@damtumct67205 жыл бұрын
Dimond na wengine pls msaidieni huyu kaka kwa ajili ya taifa la Tanzania
@yohanahussein23565 жыл бұрын
Media nyingine muige millad ayo kwa anacho fanya sio mnatuletea habar za kuunga unga habari big up bro !!!!#mtuwangu wa nguvu
@nadhifajuma64855 жыл бұрын
Allah akujaalie saana kaka angu
@amnemkubwa73535 жыл бұрын
Penye nia pana njia🙏🙏.. Pambana, Usiache kumtegemea Mungu, yy ni mueza wa kila jambo, akisema liwe basi huwa❤🙏. #Umust #Ucan #Uwill
@innocentkaboboye91285 жыл бұрын
nice choice my dear friend, a good thing is just to ask from God,
@maryangela1075 жыл бұрын
jamani naumia Sana ningalikuwa nauwezo ningalimzaidia huyu kijana nikiamini Mimi kama mwanamke ningemwambiya kwaza mimi mama nakumsaidia
@jenivavedasto6365 жыл бұрын
Duh, Mungu akusimamie utimize ndoto zako.🙏
@mimaakenirram14055 жыл бұрын
lnshallha mungi yuko nawe itatimia ndoto yako kaka na nimependa unauza karanga kwa ajili ya ada
@bahatibunzali155 жыл бұрын
Millard Ayo you'r so perfect in preparing good video & news respect for you.
@mwanaishambili2415 жыл бұрын
Mashaallah mungu atucmami wenye hali za chini na jitihada ya kutafuta ongereni sna katika history yko inatia moyo sna mungu akucmamie amen
@iddishabaranks60675 жыл бұрын
Never give up my bro on ur dream! the way u still fighting that's the way u pull the bless of GOD to be nearly of u. Be blessed on ur life dreams.
@kamgomoli36505 жыл бұрын
Aiseee very touching story. Km vijana wote wangekua na msimamo,mipango na mikakati km huyu tanzania ya viwanda ingetimia kiuhalisia
@stanleymabwete74165 жыл бұрын
Daaah,, hii ni ndoto kubwa sana,, hongera kwako mkuu
@naimakweyamba53405 жыл бұрын
Mungu Akuongoze na Kaka Adi Machozi yaminitoka Wallah
@LG-xh1hm5 жыл бұрын
Sina cha kukuchangia hila nakuchangia kwa maombi tu MUNGU atakuwezesha amen
@jimmymbella99124 жыл бұрын
Pole saana Kaka pia hongera maana bado una nguvu na matumaini💖☑️☑️☑️
@faridaabdallah76205 жыл бұрын
Masha Allah masha Allah mungu akubariki utimizendotozako insha Allah mungu atakusaidia nakupenda sana love you ❤♥️❤
@nicolasnyenge47585 жыл бұрын
Imenitowa machozi aisee mungu ni mkubwa Sana I love your God
@phydiliahmwagodi22545 жыл бұрын
Very courageous young man. Never give up. You will go far God Bless you. Watching from Kenya.
@narscentmeena28855 жыл бұрын
phydiliah mwagodi thank you soo much
@oscarmario4665 жыл бұрын
Yaani ndio habari bora zaidi Hongera Millard Ayo
@elishalucumay77435 жыл бұрын
Mungu amjalie afya njema ili ndoto zake zitimie
@jaypili78375 жыл бұрын
milliard safi sana I like your work brother all the way from cape town South Africa
@samuelmuhindosivamwanza49885 жыл бұрын
Mungu akujalie Kabisa. Umenifurahisha sana na kunitia moyo.
@stanleymsenga91183 жыл бұрын
Nacent nimefurahiya sana juhudi zako za ndoto yako yakuwa Rubani mtarajiwa hongera sana kwa mapambano
@alphonsegahongayire94505 жыл бұрын
Mtoto mwenye hakiri...mungu akujalie
@shakaganda5 жыл бұрын
Best of luck, realizing your life's work is of great excellence.
@herryowuor12505 жыл бұрын
Hongera sana Millard kwa namna hii lazima uendelee kubarikiwa. Narcent Mungu hubariki juhudi za watu wake hivyo namini kabisa na ni matamanio yangu ya juu ufanikiwe
@afamatv48485 жыл бұрын
Kaka Millard hongera sana kwa kuwa na moyo wa kuwaona watanzania wanyonge! Maana channel yako imekuwa chanzo cha mafanikio kwa watu wengi. *na hiyo ndio akili kabisa,badala ya kuwapa 1000/= na kuwaacha unashirikiana nao mwanzo hadi mwisho wa safari yao* hakika Mungu atakulipa brother Millard.
@shebbyelphonce85143 жыл бұрын
Hongera Kijana mwenzetu nimekukubali mkali tuko pamoja sanaaa
@mumyhendry31265 жыл бұрын
Hongera sana my lovely Friend...I real love you and I love your hardworking... Naamin umefika kukamilisha ndoto yako...NEVER GIVE UP MY FRIEND
@boniphacenyamhanga93955 жыл бұрын
Duh, Maisha ya Narcent yamenigusa nami Nina ndoto ya kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii but Mungu tupiganie sisi Wanyonge baba muumba wa mbingu na nchi
@abdulnaseermrisho43425 жыл бұрын
😂😂😂😂 uwaziri hausomewi kaka, kuwa na ndoto ya kitu ambacho kinasomewa, ila yote kwa yote Mungu afanye ndoto yako itimie
@samuelmwanja7475 жыл бұрын
Utauza pembe za ndovu...! Kwa nn unatamani siasa
@alextanzania5 жыл бұрын
Tafuta chuo cha chichiem
@kelvinaudax82875 жыл бұрын
Mungu atamsaidia jamaa wazazi wake nawajua MUNGU amlaze mahari pema mama ake
@amanijolam41405 жыл бұрын
Pilot meena anajitambua sana na mnyenyekevu Muombe Mungu atakusaidia ndoto yako iwe.
@narscentmeena28855 жыл бұрын
Amani Jolam Ahsante sana sana
@geofreypaul47605 жыл бұрын
Namuombea Sana Sina cha kumpa Lakin naomba MUNGU akutokee
@lydiathadeous66445 жыл бұрын
There’s nothing good like BELIEVING IN YOURSELF hands up to you 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾 aiseee mbeeee keep it uo
@redemptorbbombo4025 жыл бұрын
We ni mpambanaji na uko very strong. Utafanikiwa
@-zj2zd Жыл бұрын
Vizuri sana brother 🙏 hongera sana brother 🙏
@maryammaram26125 жыл бұрын
😢😢😢 imenigusa sana lkn Dua zangu namuomba Allah akujaalie biashara itoke kwa wingi ili weze fanikisha ndoto yako kijana🙏🙏🙏
@narscentmeena28855 жыл бұрын
Maryam Maram Amin
@maryammaram26125 жыл бұрын
@@narscentmeena2885 pamoja kaka✌
@narscentmeena28855 жыл бұрын
Ahsante sana
@mbcgrams54155 жыл бұрын
T-shirt ya Millard imeandikwa DON'T QUITE.💪💪
@catherinempangala8285 жыл бұрын
masala-tv
@wennybarny1685 жыл бұрын
Sio QUITE ni Quit hakuna E mwishoni
@younginspired38995 жыл бұрын
Interesting story but painful😭😭
@Yegon2545 жыл бұрын
haya makala yamenikuza sana,imenifunza kutokata tamaa.Naamini kuwa ndoto yake itatimia hasa kwa juhudi zako Millard Ayo
@tumainmachange58305 жыл бұрын
Wow may your wish come true my younger brooo
@anisiamedard37755 жыл бұрын
Daah! Mungu akusaidie, Mungu aguse mioyo ya watu , akuwezeshe kufikia ndoto yako. Akufanyie wepesi mdogo wangu . Nakumbea kwa Mungu akufungulie milango ya baraka ili ufike mbali. Nimeguswa sana wengi wanandoto lakini wanapokata tamaa ndoto zao huishia njiani kwa kukosa sapoti so usikate tamaa Mungu atakuwezesha mhimu usijitenge mbali na Mungu mtegemee sana Mungu...mwenyewe ninandoto kibao hapa nakomaa mpaka kieleweke. All the best mdogo wangu. Mungu akutangulie na akuongoze kwa kila hatua
@petersume27805 жыл бұрын
Tatizo la urubani hata uki graduate bado mziki haujaisha. Inabidi u log more hours to give life the licence up to standards recommended by airlines or na kila ndege inakutaka uwe na type rating trainning unique for each craft. Hizo costs means boat of money , always headache, na bila type ratings no one can risk you take off his plane for game. To say the least , being a pilot is not for everyone. Infact to be sponsored you need to have solid backgrounds in science and proof of competence otherwise it is hypothetical, and a never ending story.
@amiblezoo15 жыл бұрын
PWENTI
@isaackitogo50435 жыл бұрын
Peter Sume Ushauri mzuri wa Meena kuweka katika harakati zake. He needs to prepare his mind for more huddles. Another disadvantage ya flying you must live in precision, otherwise you may end not flying at all.
@narscentmeena28855 жыл бұрын
Point taken man of God..thank you I promise to Make a best Pilot ever in the world..I will start from the scratch The only thing I know I will make it.
@saumuhassan63655 жыл бұрын
Mashallah, nimependa sana juhudi zako bro, Allah akuongoze na akutangulie katika biashara zako na akutimizie ndoto yako. 👏
@matronashirima1489 Жыл бұрын
Mungu amesikia..Ndoto Imetimia..his now a Pilot🎉
@danieliwiliamopiyo94335 жыл бұрын
ndugu mungu akutiye nguvu utashinda capt
@vavayomark61875 жыл бұрын
Waohh nimepeta kitu
@josephmwamba22495 жыл бұрын
Still hastle never give up brother
@juliussanane18605 жыл бұрын
tambaza kupata Zero ni kawaida dogo nakukumbuka sana Shuleni pale kufaulu ni shida tatizo walimu awajitoi kwa wanafunzi mimi nilimaliza 2013 bahati nzuri nilipasi
@lestermtweve59905 жыл бұрын
#millardayo wew n nyooko unaipenda xn kaz zako
@japhetmaphie22065 жыл бұрын
Mungu asimame akufanikishe ufanikiwe kwa jina lipitalo majina yote YESU
@ismailnamtuma18304 жыл бұрын
Usikate tamaa mzee wa kazi,,endelea kupambana.kwenye nia pana njia
@selemanimjimbo88525 жыл бұрын
yaani hiyo story mpaka machozi aisee yaani urubani kumbe ni hela nyingi hivyo?
@mbarikiwambarikiwa39885 жыл бұрын
Mungu akufanyie wepesi ktk ndoto yako.
@antoinekatembo53165 жыл бұрын
Afrika ni balaa kweli! Serikali ipo? Lakini naamini kwamba raisi Magufuli akiona hii clip basi huyo jamaa ataitekeleza ndoto yake bila shaka!
@ahmedsalum27885 жыл бұрын
Don't give up bro keep pushing, right now i'm a student pilot and i think there is no difference btw you and me cz we're in a same path
@cesarinebahati18323 жыл бұрын
Mungu nkubwa kaka yangu piga moyo konde bado Mungu atakukumbuka tu kwa ndaa wake na tayari mujiza wako uko mbele yako tu uamini tu