Hakika Jpm katuachia vitu vizuri ukiviangalia tu unamkumbuka
@othumanomari15893 сағат бұрын
❤️❤️🇹🇿🇹🇿🤟🤟rip jpm kwaku simamia kodizetu vizuri mungu akupe pumziko ramilele🤲🤲
@BenWerner25303 сағат бұрын
John Pombe Magufuli ❤
@hassanWanjikuСағат бұрын
Hapa TZ aaaah mashaallah kwetu kenya kilituramba kongole mama samia hayo ni kwa usimamizi mzuri wako kutoka kwa mtangulizi wako kazi nzuri na mzidi zaidi inshaallah
@AlbertMoto-t9n4 сағат бұрын
Mungu akusamehe makosa yako huko ulipo John Joseph Pombe Magufuli
@emmanuelchizenga15724 сағат бұрын
Watu wa dodoma hatuwadai chochote aisee mm jana nimeenda mpka kijijini alafu jioni nikarudi alafu asubui niko kazini aisee hapa tumeramba dume
@xyz-v6d3 сағат бұрын
Hongera mama Samia kuendeleza mema ya JPM.Nitawahi kituoni kukupigia kura.Niliomboleza JPM hadi mwaka huu mwezi wa 8 niliposema Mungu amrehemu,nimekubali hayupo nasi tena,nianze kumfatilia na kumpa nafasi mama moyoni
@angelanaftael79652 сағат бұрын
Kbs nami vivyo niliugua kwa kilio kwa ajili ya Jpm...ila naona dalili kazi alizotamani Jpm zitendeke.. walao kuna kinachoendelea... sasa mama usisahau barabara ya morogoro kibaha to walao mlandizi itawekuwa ahueni sana
@MatronaThomas-wz5si2 сағат бұрын
Hakika Magufuli ni nuru mpya Kazi iendelee HAPA KAZI TU❤❤❤
@bellam.vyampi55284 сағат бұрын
Hongera Sanaa TRC tuliotumia huduma zenuu tunathaminii Sanaa huduma zenuu,,mungu awabalikii sanaaa
@UnitedAfrica-uw9ct4 сағат бұрын
Hongera sana Mkurugenzi Kadogosa , umeitendea haki taaluma yako , MUNGU aendelee , kukuongoza , tukamilishe huu mradi wote mpaka kigoma na Mwanza
@AlbertMoto-t9n4 сағат бұрын
Pongezi kwako Jpm bila wewe tungekuwa tunaiona kwenye kideo
@Abuu-gs1yiСағат бұрын
Pia pongezi kwa mama Samia maana Magu hakuinunua hii ila yy ni mwanzilishi tu
@real_unforgettablereallife48213 сағат бұрын
JOHN POMBE MAGUFULI utakumbukwa Daima
@kasseboСағат бұрын
Tuta kukumbuka Magufuli
@allymapinda8804Сағат бұрын
Kazi ya JPM, ❤ baba hii nchi haitaweza kukusahau. ❤🎉
@cidewashington6702 сағат бұрын
The legacy of John Pombe Magufuli, Rip
@lameckbalekere19624 сағат бұрын
Magufuli pumuzika kwa amani ulisimamia kodi zetu sahihihi
@mkude4 сағат бұрын
Na mama Samia anaendelea kusimamia kodi zetu vizuri ameshaongeza vipande zaidi ya vitatu vya reli ya kisasa.
@babalao9104 сағат бұрын
SAMIA+ magufuli🎉🎉🎉🎉🎉
@AishaJanuary4 сағат бұрын
Sema Magufuli +Samia🎉🎉@@babalao910
@handenitakuru66963 сағат бұрын
@@mkudesamia 😂😂😂
@isackmbade31815 сағат бұрын
Hapo sawa sasa mpigeni kazi
@babalao9104 сағат бұрын
Maamuzi magumu ya bwawa la mwl Nyerere, miaka 60 baada ya wazo.
@fabianalfredy5557Сағат бұрын
Tunachekesha😂😂. Lakini tunashukuru Sana.
@mrafm72852 сағат бұрын
Mama Samia oyeee mitano more more zaid
@noonelike63823 сағат бұрын
Magufuli baba🙌🙌🙌🙌🙌
@KarimClaudinNana13 минут бұрын
Wonderful démonstration
@AlliMohamed-q2y5 сағат бұрын
Mashallah mashallah beautiful darsallam ❤❤😊
@MashakaMagesa52 минут бұрын
Morogoro mko vizuri mnajaza Treni
@kelvinkangomba9590Сағат бұрын
Safi sana Masanja Kadogosa mkurugenzi mkuu wa TRC hii sasa ndio maana ya kumsaidia muheshimiwa Rais . Kila siku TRC inazidi kuboresha huduma zake. Natamani kuwa kama wewe pale nitakapoaminiwa na kupewa majukumu .
@eaglecrown11015 сағат бұрын
Kama mbele vile 🎉❤
@EmmanuelSimon-n5l3 сағат бұрын
Mm naitamani kweli, ifike MWANZA ndo nitakuja nayo DAR.
@chrisantusdavid35822 минут бұрын
Tuliona ni ndoto.. Lakini ulisisitiza na kutuaminisha kuwa INAWEZEKANA.. Hakika TUTAKUKUMBUKA.. R.I.P kipenzi chetu, Rais JPM.. Daima utabaki kwenye mioyo ya Watanzania..
@exaverysimon10644 сағат бұрын
YAN SAIZ NIKIONA MTU KA COMMENT UPUUZ WOWOTE KUHUSU TRC NTAPAMBANA NAE SAMBAMBA😂😂😂 HAPA SAS TRC HAMNA BAYA TUMEISHIWA MANENO
@chrisantusdavid35827 минут бұрын
Siku zote heshima na pongezi hupewa mwenye wazo au mbeba maono.. Hakika Hayati JPM alibeba maono haya na kuyasimamia vyema na faida tunaiona Watanzania tulio hai kwa sasa, Ingawa wapo waliombeba na kumkejeli juu ya SGR.. Mungu akupe pumziko la milele huko ulipo kipenzi cha Watanzania tuliowengi..
@pastorlazarosamwelkilala57952 сағат бұрын
Hongera Rais kazi nzuri sana
@josephatodimary36333 сағат бұрын
Aliyofanya Magufuli yatabaki hivyo hivyo maana since afariki hakuna jipya linaloendelea kuinua nchi yng Tanzania yote tunajivunia sasa ni yale aliyotuachia kipenzi chetu jpm
@Abuu-gs1yiСағат бұрын
Sio kweli
@ShamteMohmed-ed2kk29 минут бұрын
Acha kukariri mambo , tembea ndugu.
@victormalelemba43244 сағат бұрын
Kama 120000 hapo kumbe kuna biashara ya kibabe abiliia 500×10000 kwa siku 366 na ni treni kwa safari moja ya kwenda pekee hakika huo mradi utarudisha pesa haraka
@sayeedmsct42555 сағат бұрын
Masha-allah home ❤❤❤❤❤
@zephaniazacharia5192 сағат бұрын
Magufuri papa Magufuri
@jayjay43134 сағат бұрын
Hii ngoma ingekuwa ni ya wale ndugu zetu wakisii 😂😂😂😂. Humo ndani ungesikia ile kimombo yao ya kikurya. Lugha gongana mpaka dunia nzima ngejua leo. Mpaka huyo aloitengeneza hiyo treni angeonekana hajui jinsi ya kuipanda humo ndani. Chezea wakisii nini!? Majirani tunawamiss humu. Njooonii mukujeee tu karibunii.😂😂😂😂😂😂😂
@omarybakunda25543 сағат бұрын
Samia komaa mama la mama.
@emmanuelstuart43733 сағат бұрын
Mchongo oooh ko, hio imetoka pia Korea, au Uchinani😅 mbona imekaa kama inabusu Komwe. Hongera Serikali Mungu ibariki Tanzani
@Jurbeg2 сағат бұрын
😏😏😏
@HansChuma2 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂 wabongo sisi
@QudraIbnUmar2 сағат бұрын
@@HansChumawachawi sis😂😂
@zobakazizi7637Сағат бұрын
Mheshimiwa barabara za kuingia stations ni mbovu sana. Serikali iweke utaratibu wa wanaokwenda masafa marefu waweze kufika stand za mabasi kwa urahisi. Hiyo ni mikakati kati yenu na Latra upande wa mabasi.
@msafirisaimoni956154 минут бұрын
Pumzika magufuli tulikutukana sann😔😔
@frankluhu532242 минут бұрын
may his soul keep resting in peace 🫡🫡🫡🫡JPM yule alikua mtu wa maono makubwa🫡🫡🫡
@edithafrancis8473 сағат бұрын
Kitu Cha mchongoko hicho, Acha kabisa Dodoma Sasa mungu awape Nini 😂😂😂👏👏👏
@palchac22 минут бұрын
Congratulations Tanzanian
@temiluyangi6343Сағат бұрын
R i p jpm mungu akulehem
@frankngoloka541616 минут бұрын
Tatizo punguzeni masharti ya kukata tiket,watanzania wengi hawana vitambulisho,nida yenyewe imeshindwa kutoa kadi,nyie tuambieni nauli kiasi fulani watu wapande achana na mambo ya vitambulisho,mwisho wa cku mtasema trein inakosa wateja kumbe chanzo ni nyinyi
@HansChuma2 сағат бұрын
Mm huanasemaga kilasiku hiv nan kakwambia Tanzania hatuwez tunaweza sema tu kizungumkuti mwingi ila kama tutaweka uzarendo mbele bas miaka kumi tanzania inakua the first country in Est and west to the best country in Africa
@morandraymond3169Сағат бұрын
Jmp mungu akusimie uko ulipo
@RealSenziaWarema4 сағат бұрын
Watu wa Mwanza ni lini tutafikiwa na hiyo mchongoko?? mbona hatusikii maendeleo yake??
Mama samia Mungu akulipe kwa hili tumeona juhudi zako
@Abuu-gs1yiСағат бұрын
Pongezi kwake
@qurankareem5822 сағат бұрын
Treni munaona zimejaa ila watu wamorogoro ndio waanajaza tren za dom kutoka morogoro kuende dom inakuwa sit zipo wazi sana ila kutoka dar zimejaa
@akbarmaulid96242 сағат бұрын
Sio kweli
@fabianalfredy5557Сағат бұрын
Foleni Sana mabasi Moro dar, masaa km manne hv ukikosea hadi matano
@edithafrancis8473 сағат бұрын
RIP Magu Yani, Yani Mimi Kwa upande wangu Bado moyoni naumia coz nawaza hivi ungekuwa hai mpaka Leo hii nchi tungekuwa wapiii? Ila kazi ya mungu Haina makosa Pumzika kwa Amani 😭😭😭 Zaburi 39:4
@miltonjohn97793 сағат бұрын
Halafu Kuna wasenge hasa wale WA Zanzibar wanamsema vibaya Santa maguli
@RehemaMagoire3 сағат бұрын
Yaani mhmh
@htx18734 сағат бұрын
Eti Kama mjusi 😂😂😂😅
@ANNAKISIGA-pc5qsСағат бұрын
Hii ndo aliyolipa mzee jpm lakin zile mlizoleta za huyu mama tulipigwa za uso
badilisha treni ya usiku 🌙 kati ya Dar es salaam na Arusha kuwa treni ya mwendo kasi ya km 326/saa
@binseif2216Сағат бұрын
Shida ya watanzania wachafu sana toilets zinachakaa sana yanakojoa yamesimama
@mkude4 сағат бұрын
Hongera Mama Samia hongereni TRC
@samhendawallaa99844 сағат бұрын
Kazi iendelee
@MwajumaMadelu5 сағат бұрын
Rip magufuli wetuu jmn😢😢😢😢
@BONGOINMOTION4 сағат бұрын
Nikiona mchongoko namkumbuka black mamba
@justusmukurasi43834 сағат бұрын
Great
@zuheorsalim77592 сағат бұрын
Ebana weer tanga to dar masaa mawili na nusu 😅
@Robert-p7c1k5 сағат бұрын
Mchongoko ni sh 120,000 Hadi 150,000 Dar Dodoma, ya kawaida 31,000 . Tofauti ni kubwa sana, wafikirie tena.
@mosesnyelo13805 сағат бұрын
Nani kasema hivi viwango mana wazir mkuu alisema ni 50000
@elinamilyatuu73375 сағат бұрын
Panda unayoimudu
@michaelrweyemamu10685 сағат бұрын
Huh 🙆🏿♂️
@SaitaDon-c2k5 сағат бұрын
Wafikilie nini sasa ndio mana umeekewa ya kwako ya 31000 iyoo ya nn waachie waliokuwa wanapanda ndegee kama ushawah safari na ndege auwez lalama ivoo jombaa tafuta ellaaaa
@christopherjoseph83305 сағат бұрын
Akufukuzaye hakwabii toka😅😅ujue Kwann mama ntilie anauza bei rahisi
@KS-iw7qv2 сағат бұрын
Bei kidogo kali
@zuhuramniwasa10634 сағат бұрын
Dar - Dom lisaa limoja na zipo 10 Treni za Umeme / Dar - Vikindu (Pwani) Tunalala Njiani Bara bara Mbovu(na Wote tunalipa Kodi) Asanteni sana😭😭😭
@rayisadesigns26464 сағат бұрын
MTU WA PWANI MWANA MKIWA DADA YANGU 😢
@Hussein-qq2uy4 сағат бұрын
Tunabaguliwa sana watu wa pwani maendeleo yote yanapelekwa bara tena washukuru kwa kuwa nchi yetu haina ukabila lakini tungekuwa tunaongea mengine saa hizi Mimi nafkiri wana agenda zao za siri
@dr.elimikatv19193 сағат бұрын
@@Hussein-qq2uypwani ya zanzibar ndugu
@RonnieBertin2 сағат бұрын
@@Hussein-qq2uykwani. Dar. Sio pwani acha upumbavu. Dodoma ni mji mkuu wa tz
@yonachitema3 сағат бұрын
Safiii
@dancerboy26863 сағат бұрын
hapa mmefanya kwel lakn endeleeni kununua za kisasa zaidi
@erickjosephat8632 сағат бұрын
160km/hr 👍
@TycesBahingaСағат бұрын
Treni ya dar es laam to mwanza
@abidandastanmaliyatabu13735 сағат бұрын
Hiyo ndiyo tulikuwa tunaitaka
@injiliyautakasonakufunguli81903 сағат бұрын
Hii imekaa kama nyoka kichwa njia yenyewe kama tunaelekea kuzimu
@jamesjahasa33482 сағат бұрын
Wewe unatakiwa maombi Tena makali haipo timamu
@josephevaristi8923Сағат бұрын
Kwahyo unamaanisha ni freemason cndio mtumishi😁😁😁
@injiliyautakasonakufunguli819050 минут бұрын
@@josephevaristi8923 hapana simanishi hivyo ila ilivyo kichwa jamani MUNGU atusaidie kweli kabisa
@injiliyautakasonakufunguli819049 минут бұрын
@@jamesjahasa3348 sio hivyo ila kama unanifikiria hivyo sawa ubalikiwe sana
@happnesskitumbo57133 сағат бұрын
Nauli ni sh: ngapi dar to dodoma?
@BushiriRashid4 сағат бұрын
Magufuri Halifanya kz mzuli sana
@nabeelghusub62744 сағат бұрын
Amazing Train kama za swedenga😂
@jayjay43134 сағат бұрын
Hivi, mbona pande ya AR inasahaulika ama mambo yanachemka bado. Makonda njoo huku uwachimekee wazee wachuga wapate yao moko mjusi. Wapunguze magari December.
@BONGOINMOTION4 сағат бұрын
Big up
@selemanisalum76855 сағат бұрын
Hiyo bei kubwa sana hebu jaribuni kubadili kidogo fanyeni kama euro 30 sasa mmefanya euro 50 kimbongo km laki 145.000 kama hivyo
@fredyjunior6961Сағат бұрын
ALUTA CONTINUA
@sanjafarmmachinerystractor42055 сағат бұрын
Kenya sisi hamuna wametufeli wakuu wetu INchi yetu
@directorbitomedia4 сағат бұрын
😂😂😂komeni
@latifalaizer5215 сағат бұрын
Safii👍
@jamesbukoke67813 сағат бұрын
Ulisha ona mchongoko wenye vitasa njee niaibu
@mwanamwendy92655 сағат бұрын
Inapendeza sana
@amisindondi45494 сағат бұрын
Tanzania tunajitahidi kimtindo hongera viongozi wetu na bila kuwasahau wananchi maana wao ndio walio changia kwa kiasi kikubwa mafanikio hayo MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU WABARIKI VIONGOZI WETU NA WANANCHI WOTE 🎉🎉🎉🎉
@HassanMohamed-ip5hm43 минут бұрын
Et uzur wake ndan 🤣
@butotanto4 сағат бұрын
INAITWA RELI NA SIYO LELI MTANGAZAJI
@AlliMohamed-q2y5 сағат бұрын
Ubaya ubwela 😂😂❤
@victorjames37303 сағат бұрын
Kwanini mlinunua viti vya mtumba
@isackibrahim-t7i4 сағат бұрын
sasa apo mbona sio speed ya umeme.
@BarakerZeonlist4 сағат бұрын
changamoto treni haionyeshi speed ikiwa inatembea
@mwaaang3 сағат бұрын
Walishughulikie Hilo. Ni mojawapo ya branding Duniani treni zinazokimbia kuonyesha speed