Daaaàaaa, Binadam tunapitia mengi ila huwa nasemaga maisha ni katili sana zaidi hata ya maumivu ya kuchomwa na kisu , polle recho sote tunapita magumu hauko pekeako usilie amka uanze upyya unaweza , recho unaweza , recho bado unaweza amka Dunia inakusubuli
@SteveMassawe-xh6lz10 күн бұрын
Kabisa
@g_forcemusician42427 күн бұрын
Tatizo walikufanya mbadala wa ray c .ndo unapita mulemule omba mungu sana
@josephatSwai8 күн бұрын
Nakuomba sana okoka tuu rechoo
@elishaelishaedward94547 күн бұрын
DAAAH IMENIUMA SANA DADA RECHO ILA PIGA MOYO KONDE MTI WENYE MATUNDA NDO UNAPIGWA MAWE NA WEWE UNAKITU NAAMINU HIVO ISHI KWENYE KATIKA KILA KITU KINATOKEA KWA SABABU NA MSHUKURU MUNGU KWA KILA JAMBO LIWE JEMS AU BAYA.
@theresaelizabethelijah1179 күн бұрын
Mti wenye matunda ndio hupigwa mawe wameona nyota yako kali utawashinda ndio wanajaribu kuizima usijali Queen Recho mimi nitakutafuta tufanye colabo moja kali tuwaibishe mashetani ❤❤❤
@JENNIFER-q4k4r9 күн бұрын
Utamjua Rafiki wa kweli kipindi cha Matarizo Watanzania sisi wanafikj Sana...ao waliondoka katika Maisha yqko awakua Marafiki wa kweli
@edwinfweni10 күн бұрын
🙌🙌 Mungu amsaidie huyu binti...
@mohayussuf20579 күн бұрын
Mziki ni mgumu sana una siri nyingi
@SOPHIANJIGE9 күн бұрын
Jaman recho nakupenda sana
@emanueluroki61608 күн бұрын
Recho she is beautiful ❤️
@lisawilliam249110 күн бұрын
pole dada nakuelewa!unasaut nzur mnoooo
@latifamakiadi57510 күн бұрын
Ongea na nady Jamani akusaidie
@zaytunhijja677110 күн бұрын
Roho mbaya yule
@zefrinkasian211810 күн бұрын
Huyu j melod akimuandikia nyimbo kama 3 hivi na akasaidiwa kurekodi atawafunika sana hawa
@bigboys0168 күн бұрын
Hata nandy anaweza kumvusha mahali wanamatch sana
@SabraAbuu-f5z10 күн бұрын
Watu ni wabaya sana, tena mwenye anakumaliza ni yule alie karibu yako.pole dada recho lakini mungu yuko na wewe kila wakati.lakini jitaidi kuangalia ni marafiki wa aina gani uko nao.
@MamaHanisa-i8z9 күн бұрын
Mungu ametupatia akili na hekma ukipotea ni kupenda kwako awache nafsi lawama😢😢😢😢
@rukiamadati33610 күн бұрын
Ila umaarufu au usani kazi Sana jamani pole sana
@MariamMagege10 күн бұрын
Dah! Pole sana
@braystuskibassa384210 күн бұрын
Duuuh aiseee Mwenyezi Mungu amsimamie kwa karibu
@HemedyMohamedy-o1m10 күн бұрын
Daaah ila ifike wakati wanaume tuache hii mambo bc sio sawa kabisa kunaleo na kesho
@Barackswai10 күн бұрын
Mh ila unakuta mtt n mkal namsaidia akaf anakula mwingine pia inaumaa😅😅😅
@husseinpatel295610 күн бұрын
@@Barackswaitrue 😂😂😂
@peacemwakyombe10 күн бұрын
Daah sio sawa kabisa @@Barackswai
@lenatusdismas-s9q10 күн бұрын
@@Barackswaichukulia ni dada yako unajiskiaje
@mrishojumaamrisho32127 күн бұрын
Pole xan kipenz 😢😢😢dunia ina magumu sana
@JacobMbuni10 күн бұрын
Pole sana recho
@MarryDode9 күн бұрын
Kwenye maisha yangu nimejifunza kutokutia huruma coz kwenye maisha hakuna mtu wakukuhurumia kabla hujajihurumia na ukiona hik hakiendi lazima hufanye hicho hicho? Mziki haulipi tafuta kitu kingine kitakacho lipa yan usipende watu wakuhurumie omba mungu jitafakari songa mbele
@ilynpayne74917 күн бұрын
Binadam wabaya sana 😢
@DINASSOUR10 күн бұрын
Uyo boss wenu....anapata MSHAHARA wake huko aliko......
@AzaAzamhmod10 күн бұрын
Maskn😢😢 pole recho❤❤❤nampenda na anajua kuimba.ray c mtupu
@japhetnjovu85310 күн бұрын
Unatakiwa uchague watu sahihi wa kuwa nao au ndiyo hivyo utaishia kulia! Wana sema samaki mmoja akioza wameoza wote 😢
@emanueluroki61608 күн бұрын
Recho daaa nimejisikia sad sana na pia nimegundua hakuwa na mtu wa kumtua nguvu sana karibu ndio maana alikata tamaa na kuona aibu so recho pole sana
@ibrahimkibira99438 күн бұрын
Daaaah 😢hawa polis hawa na wakuu wa mikoa 😢😢 pole sna Rachel utakuwa sawa you have talent no Kama RAYC . CHED BEANZ na CHILLA kuna muda unatengwa Ila usijar
@Abelsikaonga-p2v8 күн бұрын
Kwa kweli watuewana roho mbaya jamani tunakupenda sana
@rachelpatrick374910 күн бұрын
Jamanii Tumemkumbuka Huyu dada 🙌🙌
@Isakamaganigani10 күн бұрын
Pole dada makonda imerudisha watu nyuma sana
@mugishamajeba962810 күн бұрын
Kwaiyo we unaamini alikuwa anawaasingizia je na kama alikuwa anwasingizia kwanin asiende mahakamali kama alizaliliswa kweli
@MamaHanisa-i8z9 күн бұрын
Watanzania wacheni hizo makonda alifànya nn Tena awache nafsi lawama 😂😂😂
@JacquelineAdrian-w5r7 күн бұрын
Sio kwel
@SakinaValy10 күн бұрын
Recho ulikuwa mzuri na bado ni mzur,,inamaanisha kweli umekosa msaada mpaka iv sasa
@Shadia54410 күн бұрын
Huyu dada jamaniii alipotea sana pole sana ila walimwengu jamaniii 😢😢😢
Tatizolako were mwanamke unazarau uliwahikusema katika maishayako huwapendi wanaume 8:07 weusi yani wewe na wazungu warabu ndio mabwanazako ulikua na kiburi kwa umarufu was mdamchache kwaiyo ililie nafsiyako
@8pistons1947 күн бұрын
Hiyo ni kutafta tu tension mjomba acha kumuhukum hata ww unazambi
@tonyjr872010 күн бұрын
Duuuuu aseee
@bintmrisho352610 күн бұрын
Ila watu 😢
@jizzotheking92387 күн бұрын
Sasa hata wakimtak kwan yy ni bikra??
@itanzaniaAS10 күн бұрын
Kwa wanawake kawaida kutakwa.. Ila UNASEMA HAPANA AU KATA MTAMA HUYO ANAEKUTAKA
@devothaignatius525610 күн бұрын
Pole sana dada
@IrakozeJuliette-so1iu10 күн бұрын
Pole sana, Aliye kupeleka police ni Ex wako
@SabraAbuu-f5z10 күн бұрын
@@IrakozeJuliette-so1iu 😂😂😂 ni kweli kabisa 😂😂😂 ni mpuuzi sana.
@SteveMassawe-xh6lz10 күн бұрын
Makonda sio mtu nashangaa watu mnamtetea nakusema anaroho nzuri namchukia yule baba nisiwe muongo alifanya agness akatangulia😢
@devothaignatius525610 күн бұрын
Nikweli umenikumbusha agness masogange
@annethsongwe60637 күн бұрын
Waliomtaja ndo sio watu
@PeterBaton-x7b9 күн бұрын
Kwa Maisha Yakibongo Bongo Tena Kwa Watoto Wakike hili hutobowe Ningumu Sana Maana Utatumika Nautatumika Kimwili Mpk Uzeeke🤣🤣
@uwimanacitegetse992610 күн бұрын
Ndomana zuchu hatakimazoweya yakupigapiga mapichanawatu akisemahataki wanasema ha anajiona kupirwapica na tiyedi tu kumemuhalibiya lecho 🤦🏾♀️😭
@JanetAhmad-v3h10 күн бұрын
midawa ya kulevya njo zinawaponza
@augustinookore617210 күн бұрын
Pisi kali sanaa hii
@penielmbise538810 күн бұрын
Mungu akutie nguvu na ujasili
@NajmaMohammed-sn4vh10 күн бұрын
Si nandy amsaidie
@HaikaFredrick9 күн бұрын
Hawezi wakati anamnyanyua msanii wake Yammy ambaye naye anamikato kama ya Recho na Ray C
@MashakaShabani-s5m10 күн бұрын
Asaidiwe hyu dada kuna wapuuzi wachache huwa wanaharibia watu maisha yao sasa amekosa nini mpaka umtangazie vibaya ni ujinga sana sana
@linnerphilip426010 күн бұрын
Mmmh tatizo ulifanana na rayc ndio maana😢
@RonnieBertin10 күн бұрын
Mzee umepigaje hapo nilivyoona picha yake nilifikili Ray c macho yake anyway watu duniani tuko wawili wawili hata mimi watu wananifanisha na sadio mane
@mwasitigervas262410 күн бұрын
Tulia tu pesa ya chakula na chumba ,,ulituumiza sana pole ila tuliumia kukulipia
@Mikeys-m9w10 күн бұрын
Asituchoshi Bana Ashapotea Myaka Mingi Sana 🧐 Ila Pole Yake 😢