"WALINIITA OFISINI WAKANISHIKA SHIKA" MAMA AWACHOMESHA MAAFISA ARDHI KWA MAKONDA

  Рет қаралды 191,427

Millard Ayo

Millard Ayo

6 ай бұрын

Пікірлер: 363
@fatumamilimo7336
@fatumamilimo7336 6 ай бұрын
mb zangu zinaishi kwa ajili ya makonda kila hatua dua kwako hongera sana
@matridamwalyoyo1735
@matridamwalyoyo1735 6 ай бұрын
Mpk Mimi dea
@oscarkomba7258
@oscarkomba7258 6 ай бұрын
Anafanya sana kaz dah
@oscarkomba7258
@oscarkomba7258 6 ай бұрын
​@matridamwalyoyo1735😅
@awadhally1052
@awadhally1052 6 ай бұрын
Kwel ata mm
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 5 ай бұрын
Hata mie hata usk wa manage usingizi ukikata nasikiliza
@mohamedwwnurumasagcom8171
@mohamedwwnurumasagcom8171 6 ай бұрын
Ahsante rais Samia kwa kumleta Paul makonda hakika ni mtetezi wa wanyonge mwenezi wetu ni mchapakazi
@nebartmuyagala9545
@nebartmuyagala9545 6 ай бұрын
Mh. Mimi binafsi nilianza kukufatilia tangia ukiwa mkuu wa mkoa dar ww unakitu ndani yako Mungu amekuwekea 💪
@jamesraphaelmdima4729
@jamesraphaelmdima4729 6 ай бұрын
Huyu jamaa siku tatu kabla huyu jamaa hajateuliwa,Roho wa Mungu alinionyesha maono niliona mambo ambayo siwezi kuyaeleza hapa!
@misembe
@misembe 6 ай бұрын
Kweli kabisa
@user-hw8jt1pq9b
@user-hw8jt1pq9b 6 ай бұрын
Atasoma akif😂🎉
@mwemamella1483
@mwemamella1483 5 ай бұрын
​​​@@jamesraphaelmdima4729Na kabla hajapigwa Lissu Risasi hukuonyeshwa aliyewatuma wampige Risasi?? Tuache unafiki Mungu ni wa wote hana ubaguzi. Mtu mwenye mikono yenye damu za watu, mtekaji, muuaji anawezaje kuwa Malaika mbele ya Mungu? Nijibu
@aliciamwalimu582
@aliciamwalimu582 5 ай бұрын
@@jamesraphaelmdima4729 sasa umeulizwa?
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 6 ай бұрын
Makonda Mungu akulinde🙏🙏❤️❤️
@josephwilliammnyune5464
@josephwilliammnyune5464 6 ай бұрын
Makonda upo peke yako. Unaona uozo huo. Je na viongozi wenzako wanauona?
@JoJo-xh7ph
@JoJo-xh7ph 6 ай бұрын
Samia aliona mbali sana kutuletea makonda
@willydugilo3258
@willydugilo3258 5 ай бұрын
Kaka mungu akupiganie!! Unajitahidi
@charleskuyeko4400
@charleskuyeko4400 5 ай бұрын
Haleluyaaaaa. Mungu akubariki sana Mheshimiwa Makonda.
@KassimHanga-xr7rb
@KassimHanga-xr7rb 6 ай бұрын
Allah akbar hata tuwe na akina Makonda 1000 hatutatatua matatizo ya dhulma katika nchi hii ikiwa wale wanaofanya dhulma hawatachukuliwa hatua yoyote
@emmanuelmwatujobe8450
@emmanuelmwatujobe8450 6 ай бұрын
Umeona ehee
@adilimbuba7044
@adilimbuba7044 4 ай бұрын
Ni kweli kabisa
@roviykamage5423
@roviykamage5423 6 ай бұрын
Inaumiza sna , tenzi ya rohoni imenitoa machozi sna . Makondo makonda baba Mungu akuinue sna
@Hometradersforex
@Hometradersforex 5 ай бұрын
I don't know Swahili but this guy ambition is 🔥his politics are intact , he carries late magufuli leadership ideologies, rule by fear & religion , these ideologies are masterpiece in ruling people , build trust as well as motivate people to do full fill their responsibility as they fear of superior power
@stevensteve7519
@stevensteve7519 5 ай бұрын
It is true but what you need to understand is what he is advocating for is the failure of their administration system. He belongs to causers of the existing problems. We need complete reforms in our country not dealing with problems by addressing public gathering. Otherwise there's no need of having government machinery or system.
@merinahassan4157
@merinahassan4157 5 ай бұрын
😂😂😂
@danieljoseph4912
@danieljoseph4912 4 ай бұрын
Very true 👍
@hemedmwipopo780
@hemedmwipopo780 6 ай бұрын
Mhe. Makonda manyanyaso yamezidi kwa wananchi iwe kazini hasa katika sekta binafsi huku ni mbaya mheshimiwa.
@adkajisi4536
@adkajisi4536 4 ай бұрын
Duh Pole ndugu
@lizzykoyo9307
@lizzykoyo9307 5 ай бұрын
Makonda pole kaka hii kazi ningumu saa
@nurdinkassim
@nurdinkassim 6 ай бұрын
Makonda viatu ulivyo Vaavinakutosha mungu akubariki saaaana simama na wanyonge mungu atakulipa
@asingizibwejacobkalokola7351
@asingizibwejacobkalokola7351 5 ай бұрын
Makonda Mungu akulinde maana Watendaji wa Serikari wamegeuka Mungu Watu. Tunakusubili Dar.
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 6 ай бұрын
Makonda iongezewe mda wa kazi.
@ngugimundia6306
@ngugimundia6306 6 ай бұрын
Mimi mfuasi wa mh paul makonda tangia akiwa mkuu wa mkoa dar...hapa kenya 🇰🇪 tunatamani kua na mtu au cheo hiki...cha kuzikiza kero za wananchi...hongera tanzania 🇹🇿...
@mwarabumbarak4342
@mwarabumbarak4342 5 ай бұрын
Sonko
@liverpoolfootballclub9985
@liverpoolfootballclub9985 Ай бұрын
Huwezi apply hii system kenya. Kenya ni capitalist na Tanzania ni socialist ujamaa village.
@Maria-cx4kn
@Maria-cx4kn 5 ай бұрын
Nawadhangaa watumishi wengine badala ya kujifunza na kupoga kazi wanajaribu kujisafishakwa kuponda kazi ya makonda bila hata aibu. Kama hawanaa ubavu wakes pembeni wamwache kuja a wa mungu achape kazi ya kimungu
@AleiHadji-js3ed
@AleiHadji-js3ed 6 ай бұрын
Sidhani kama. Mwanasheria Mkuu atabakia Salama
@johnkapesula122
@johnkapesula122 6 ай бұрын
Laaah kumbe ahsante Mungu kumbe watetezi wa wanyonge bado wapo.
@anorderick7162
@anorderick7162 Ай бұрын
KAKA kazi unayo ....! Ila Nguvu za Mungu wa kweli zitakulinda... Kaka ❤🎉
@mwinshehenassib4853
@mwinshehenassib4853 4 ай бұрын
Miongoni mwa mafisadi wakubwa wa nchi hii ni watu wa wizara ya ardhi.
@user-qu1mq2ik2e
@user-qu1mq2ik2e 2 ай бұрын
God fearing leader be blessed
@ShanayaLeah2023
@ShanayaLeah2023 6 ай бұрын
Shirima amenyea kambi ya jeshi😂😂😂😂
@sabojanvierjaja2007
@sabojanvierjaja2007 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😢🎉🎉😂😂😂
@user-td9rq5vl1v
@user-td9rq5vl1v 4 ай бұрын
Atachekechwa Mwaka huu😂😂😂
@user-td9rq5vl1v
@user-td9rq5vl1v 4 ай бұрын
Atachekechwa Shirima Mwaka huu😅😅😅
@juliusjoseph4889
@juliusjoseph4889 6 ай бұрын
Kwa staili hiii nchi imeozaaaaaa kabsa......watu wananyimwa haki zao huku taasisi za serikali zikizidi kuwalaghai watu kwa rushwaaaaa........MAKONDA ana kazi kubwa sana daaaaah
@user-rg2hx3le6h
@user-rg2hx3le6h 6 ай бұрын
Mweshimwa mim natokea manyara wilaya ya kiteto natamani sana sana ufike kule kijijini kwetu kuona mambo yanayo tokea millard ayo mufikishe komenti hii kwa mwwnesi wa ccm watu wanaumia sana
@RobertMsaula
@RobertMsaula 5 ай бұрын
Ila li MAKONDAAA hili jamaaaa nomaaa lina ushawishi.. linapiga mpk nyimbo za dini😂😂😂
@wilbroadgrarcian1259
@wilbroadgrarcian1259 6 ай бұрын
Kazi ipooo watumishi waseme kama wanaonewaa
@josephnjellah280
@josephnjellah280 6 ай бұрын
Mbona mabangoalisema,asiyaone wahusika wrote wamechukuliwa hatua gani?
@prepaframark8097
@prepaframark8097 2 ай бұрын
Mungu muumbaji wa mbingu na nchi akubariki Mh. Makonda. Akutunze, dumu kumtukuza ktk nafasi aliyokupa. Amina 🙏
@charlesmillinga992
@charlesmillinga992 5 ай бұрын
Tunakuombea sana Mhe. Makonda. Mama kapata Chuma haswaaa. Piga kazi kaka. Watumishi tusiojipanga kwemye maeneo yetu, 😂😂😂 Moto Mwingine huooooo.
@kingelieshabani7235
@kingelieshabani7235 8 күн бұрын
mweshimiwa MAKONDA unani bariki sanaaaa kwa hekima yako Mungu azidi kuku bariki naku ku lindaaaaaaaa
@felixkamkala3303
@felixkamkala3303 6 ай бұрын
Mama afanye mabadiliko haraka sana na mabadiliko yajayo yasiangalie mavyeti yao waangaliwe vijana Wazalendo wenye uchungu na Taifa letu TIS ilisadie Taifa letu uteuzi wa vimemo waachana navyo aisee
@matridamwalyoyo1735
@matridamwalyoyo1735 6 ай бұрын
Ukipewa nafasi yakusimamia watu tusiwe chanzo cha watu kufeli bali tuwe daraja
@Worldunite
@Worldunite 6 ай бұрын
Makonda ukigombea urais, mi nitakuwa wakwanza kukupigia kura
@user-fr7jj1bo7y
@user-fr7jj1bo7y 6 ай бұрын
hamna haya ni maigizo tu hana uwezo wa kumsaidia mtu zaidi ya familia yake
@selemanindege9933
@selemanindege9933 6 ай бұрын
Matako yako​@@user-fr7jj1bo7y
@nuruurio8319
@nuruurio8319 5 ай бұрын
Snaweza ujesahau akiwa mkuu wa mkoa wa daresalam alivyokua anafanya vizur​@@user-fr7jj1bo7y
@WilliamDaniel-hm4cr
@WilliamDaniel-hm4cr 5 ай бұрын
Urais unafikiri matako
@Worldunite
@Worldunite 5 ай бұрын
@@WilliamDaniel-hm4cr hata wewe ukitia nia unaweza kugombea urais
@alexmatt9504
@alexmatt9504 5 ай бұрын
Big up Makonda,kazi tunaiona.Sasa cha muhimu hao wotendaji wote wa Serikali uliowashika na hayo makosa ya kutotimiza wajibu,kudhulumu wananchi,kutesa wananchi inabidi wapate adhabu kali ikiwa ni pamoja na kulipa fidia na ikiwezekana walipokosea kisheria wafunguliwe mashtaka na kufukuzwa kazi.Msiwaache hivi hivi kirahisi vinginevyo wengine baki wataigiza kwa sababu wataona hakuna hatua zinazochukuliwa kwa wakosaji.
@parkerheritier8179
@parkerheritier8179 Ай бұрын
kama ingewezekana Mkatuazima makonda akaja kwetu Congo aisee angeinyosha kikamilifu Mungu akubariki kweli wew nimtetezi wawanyonge natamani hatakulia kwakweli wananchii wanateseka sana
@user-en1nl2tu8v
@user-en1nl2tu8v 6 ай бұрын
Very impressive. Dr. Suluhu vision is excellent and beyond examples. A bulldozer layed the path, The finishing touches on that path are beyond redemption. Dr. Suluhu, watutoleya albu sisi wafrica. Your next mission is Africa Union president.
@Bombomaa
@Bombomaa 5 ай бұрын
w
@Worldunite
@Worldunite 5 ай бұрын
Angekuwa Gaddafi african Union president, but there's no such position
@Maria-cx4kn
@Maria-cx4kn 5 ай бұрын
Wasiopenda kazi za amonda walie tu kwa wivu. Kuja a Snapchat’s kazi si mchezo
@michaelmwalimu6057
@michaelmwalimu6057 6 ай бұрын
Mimi binafsi nampenda sana makonda, alipotoka kuwa mkuu wa mkoa na kuwa nje ya mfumo niliwaambia atarudi kwa nguvu kubwa Na mwaka 2024 niliwaambia watu kuwa mwaka huu kuna fagio litapita nchi nzima
@user-nn6zq1ok7i
@user-nn6zq1ok7i 6 ай бұрын
WEWE SIO NI goli kipa hujui kitu
@user-nn6zq1ok7i
@user-nn6zq1ok7i 6 ай бұрын
HAITUSAIDII SISI TUNATAKA MAISHA BORA YATOKANAYO NA KATIBA SIYO MTU AKIONDOKA ANAONDOKA NAYO
@adkajisi4536
@adkajisi4536 4 ай бұрын
Ndugu umeongea point mnapiga hatua baadaye zinakuwa kama za mlevi.
@golebenson4597
@golebenson4597 2 ай бұрын
Katiba ni maandishi tuu kama watu wenyewe ndio Hawa iyo katiba itafanya kazi yenyewe
@fathimadaid3429
@fathimadaid3429 6 ай бұрын
Kwauongozi Tz sitaki uongozi Daa
@ramadhanisalehe9681
@ramadhanisalehe9681 2 ай бұрын
Katapila makonda huyu asee nakosa laha sana Pele ninapo muona naulizia mchache akae jukwaa lake na walizi wake hao watu viongozi wenzie asiwaamini ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@salimmalaka256
@salimmalaka256 6 ай бұрын
HAYA MAJITU YALIOWEKWA KUSAIDIA KUJENGA NCHI WAO WANAIBOMOWA NCHI UTADHANI YANAOMBWA PEPO NA WAO NDIO WAMILIKI WA HIYO PEPO KUMBE YANALIPWA MISHAHARA.SHENZI KABISA.
@kuhaniPetroCn
@kuhaniPetroCn 5 ай бұрын
Hiyo Bwana Yesu asifiwe nimeipenda sana😄🙌🙏 makonda akaamua apige na Tenzi🙌
@jacobnorbertchenga9465
@jacobnorbertchenga9465 6 ай бұрын
Makonda anawapatia anavyo waingizia hizi nyimbo za kikatoriki
@SylvesterMbago
@SylvesterMbago 6 ай бұрын
Hizi ni comedy kwenye maisha ya binadam mtwambie ni lini serikali itapunguza mfumuko wa bei kwenye bidhaa
@christinamwakitwile5707
@christinamwakitwile5707 6 ай бұрын
Baba yetu makonda mungu akubariki sanaaaa
@stevensteve7519
@stevensteve7519 6 ай бұрын
Kweli upo gizani
@bakaromar8865
@bakaromar8865 6 ай бұрын
Mm mwenyewe mb zangu zinaisha kila nikiweka kwa sababu ya kumfuatilia makonda huyu jamaa ni hatari sana
@duncannjau1223
@duncannjau1223 Ай бұрын
Enchi Wa TZ, mshukuruni Mungu sana kwa sababu ya kazi njema ya Bw Makonda.
@user-tm3dx2ey7j
@user-tm3dx2ey7j 6 ай бұрын
Hivi Hawa watumishi mbona wanajisahau kiasi hicho hawajui kama Kuna kufa
@stevensteve7519
@stevensteve7519 5 ай бұрын
Siyo kwamba watumishi wanajisahau ila wao ndiyo wanasababisha watumishi WA umma wasiwatumikie wananchi kwakuwa huwapa maelekezo ya kuwaonea na kuwakandamiza wananchi.
@israelimarco6465
@israelimarco6465 5 ай бұрын
my God protect kiongozi wetu makonda Kuna mahali anaenda
@judicalosika7642
@judicalosika7642 6 ай бұрын
HUYU JAMAA INAWEZEKANA ANA HARUFU YA MAGU.!!!
@StewartUkason
@StewartUkason 4 ай бұрын
This is very serious...Mh Makonda endelea kupiga kazi. Mungu azidi kukutetea maana kazi hii si rahisi.
@josephjozack4635
@josephjozack4635 6 ай бұрын
Hongera sana Makonda MUNGU akubariki sana mtetezi wa wanyonge .2030 🤴
@happypiusi3801
@happypiusi3801 6 ай бұрын
Makondaaaaaa upo na Mungu nakuombea kila siku natamani Hadi kulia 🙏
@user-ly2tv5og1n
@user-ly2tv5og1n 6 ай бұрын
Baadhi ya Maafisa wa Ardhi wasumbufu sana.
@user-vv2nk3br1w
@user-vv2nk3br1w 5 ай бұрын
mungu akupe maisha marefu makonda uishi uzeeke
@user-ee1lx5cq2r
@user-ee1lx5cq2r 5 ай бұрын
Pongezi mweshimiwa kwa kazi nzur
@GraceMhoja-zc7yg
@GraceMhoja-zc7yg 6 ай бұрын
Mungu mlinde makonda
@mengiiblahim4215
@mengiiblahim4215 5 ай бұрын
Makonda nakuombea kwamungu wewe mkombozi wawanyonge ❤❤
@PeterDanson-ps9iq
@PeterDanson-ps9iq Ай бұрын
Congo🇨🇩 tumebarikiwa kila kitu ila bado atuna kama makonda wa Tanzania
@fezafataki5311
@fezafataki5311 Ай бұрын
Mungu akuweka Baba Maconda
@FRANCISRAHHI
@FRANCISRAHHI 19 күн бұрын
Hongera makonda ubarikiwe baba
@MweriJoseph
@MweriJoseph Ай бұрын
Ahsante sana RPC Paul makonda MUNGU aendelee kukubariki, kukulinda na kukupa afya njema utetee haki za wanyonge wewe hakika ndio roulmodel wa Rais John pombe magufuli because of their self sacrifice
@monicagabriel4388
@monicagabriel4388 2 ай бұрын
Heri wenye huruma kwa maana nao watahurumiwa.Hongera Mheshimiwa Mungu akujaze na Akutunze
@lawmaina78
@lawmaina78 5 ай бұрын
Mtu mmoja utazunguka nchi yote mpaka lini, muhimu sana kuboresha mifumo. Hebu angalia huko kwenye kandamnasi watu wamenyanyua mabango na makaratasi ya kero zao, Makonda hataweza kuongea na wote.
@user-br4tl7jv9j
@user-br4tl7jv9j 6 ай бұрын
Mama mpaka kapata preshaaa 😂😂😂
@gfydfdf8869
@gfydfdf8869 6 ай бұрын
Da pole sana mama ,😮😮😮 huku urabuni,hakuna mambo kama hayo...
@user-pc7qt4rp8s
@user-pc7qt4rp8s 5 ай бұрын
Mungu ni mwema
@teachingtruthmission2140
@teachingtruthmission2140 6 ай бұрын
Lichi Lina mijitu ya hovyo sana .Yani Naomba Mungu ampe Nguvu Raisi atimue mijitu maofisini
@JoslienShaban
@JoslienShaban 2 ай бұрын
Nakupend Sana mweshimiwa na guswa Sana jaman
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k 4 ай бұрын
Msimdhiaki Mungu
@sayuni123-kl6xk
@sayuni123-kl6xk 2 ай бұрын
Hakika Magufuli amefufuka ,bado Mungu yupo pamoja na Tanzania Hakika Mungu anatupenda Tanzania
@josephwilliam4727
@josephwilliam4727 6 ай бұрын
Daah! Hatali sana kweli makonda kazi unayo
@danieljoseph4912
@danieljoseph4912 4 ай бұрын
Bless you my brother,nice dhuluma kila Konami,Mungo akutunze
@user-fl7jl7vk3n
@user-fl7jl7vk3n 6 ай бұрын
Tunataka katiba mpya watanzania wanateseka
@user-jk2ov7qs3k
@user-jk2ov7qs3k Ай бұрын
Good job.mkenya hapa tunahitaji kiongozi kama wwe Makonda
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 Ай бұрын
Makonda Tz Mungu awainue wengine wengi wengi wakina makonda Mungu awasaidie na wakuu wa mikoa wengine
@user-ue2nz3vc4j
@user-ue2nz3vc4j 6 ай бұрын
Uonevu mtupu wqnafanyiwa wananchi dhidi ya viongizi wasio na sifa jeshi la polisi tunaomba msaada wenu sasa.
@003Watch
@003Watch 5 ай бұрын
Kwani Kenya hatuna kina makonda
@user-it4uh7vu5c
@user-it4uh7vu5c 6 ай бұрын
Hiyo ndiyo ccm imeleta shida Kila mahali hapa Tanzania. Hao wote Kila mtu ana shida na malalamiko,Nchi gani hii?
@felisterjoshuamollel3930
@felisterjoshuamollel3930 4 ай бұрын
My. Muhenezi Mungu akulinde Sanaaa ❤
@JuliusMlengeswa
@JuliusMlengeswa Ай бұрын
Hawa wamethubutu kuongea. Hakika kuna wengi wanaoonewa lakini wanaogopa kuongea kama huyu mama. Wakuu wa Mikoa mingine fuatilieni, msisubiri kuletewa taarifa na na ha watendaji waliowekwa
@user-it6zi7zw8y
@user-it6zi7zw8y Ай бұрын
mueshimiwa makonda ukisha jua watu wanaoiba watie ndani miaka kumi kila anae dhurum jela
@user-tk5yy6vj3b
@user-tk5yy6vj3b 5 ай бұрын
God bless you Makonda mungu akutunze
@feelNice-vi3lo
@feelNice-vi3lo 5 ай бұрын
Siasa haya endeleeni kwa hiyo 25 ni nyie tena kuumiza maisha magumu kikokotoo umeme maji yamejaa mno ya pasua umeme nguzo zimeoza wastafu mnawatunzia hela zao mungu bariki kazi za mikono yangu mwenye baya na mm anza na familia yake na mwisho malizana na yy mwenyewe
@marthabaruani1087
@marthabaruani1087 2 ай бұрын
😂😂😂 jaman Mungu akutunze Makonda
@ndayansetv2672
@ndayansetv2672 2 ай бұрын
Hahaah mh bwana ni nimemkubali sana jmn achen utan mpk tenzi 😂😂😂😂😂😂
@buberwakemibaro6060
@buberwakemibaro6060 5 ай бұрын
Safi Sana Hawa wanfanyakazi serikalini wanawatesa watu Sana🙂👍👏
@salmahanai
@salmahanai 2 ай бұрын
Muheshimiwa makondo Mungu akupandishe darajà
@johnsimba
@johnsimba Ай бұрын
Makonda wewe sio bure ni mkono wa Mungu uko nawe piga kazi baba Mungu yuko pamoja nawe haki ukiweka jina ata kampeni aupigi kaa tu
@matridamwalyoyo1735
@matridamwalyoyo1735 6 ай бұрын
Shirima
@CatherineMbatta
@CatherineMbatta 2 ай бұрын
Hapo Ardh kazi ipo ila katika mlima wa Bwana haki ya mtu itapatikana
@michaelsamson9663
@michaelsamson9663 6 ай бұрын
Watu wanasaugi shida zote wanakuwa Kama wehu naiyo ccm
@AllyGibu-cz2vo
@AllyGibu-cz2vo 6 ай бұрын
Kama una akili huyo ni Makonda na sio ccm ndo maana Magufuli alikuwa anasema kwenye kampeni Chagua Magufuli na sio Ccm
@michaelsamson9663
@michaelsamson9663 6 ай бұрын
@@AllyGibu-cz2vo siluhusiwi kutoa maoni yangu
@adilimbuba7044
@adilimbuba7044 4 ай бұрын
​@@michaelsamson9663 ndugu yangu watanzania wepesi Sana kusahau ata kama huyo makonda akiwauliza shida zao atatenda lolote!? Hizo ni sera tu ,Kuna vijiji vingapi Tanzania atafika kote ?. Mimi nafikiri viongozi tu wawajibike watimize mahitaji ya jumla ya wananchi huyo yupo Kwa ajili ya kunadi chama chake tu. Kila mtanzania ana dukuduku ataweza kusikiliza na kutatua .?
@FausitnePonera-fq9pj
@FausitnePonera-fq9pj 6 ай бұрын
Hapo manispaa kuna majipu mpka yanatoa usaaa wasaidie wana lringa baba
@user-pj4jw7jd6e
@user-pj4jw7jd6e 2 ай бұрын
Mungu anisadie ila wachnga siwapend.............
@georgebundala1915
@georgebundala1915 5 ай бұрын
A lot of blessings to you Makonda.
@agneskapwani3484
@agneskapwani3484 5 ай бұрын
Nakupenda makonda ❤na nakuombea
@user-on4qu8yj3t
@user-on4qu8yj3t 2 ай бұрын
Mheshimiwa mungu akuba
Ouch.. 🤕
00:30
Celine & Michiel
Рет қаралды 27 МЛН
Box jumping challenge, who stepped on the trap? #FunnyFamily #PartyGames
00:31
Family Games Media
Рет қаралды 19 МЛН
Nigeria's struggle to break the 'oil curse' | FT Film
30:34
Financial Times
Рет қаралды 121 М.
BOSS TANROAD AJICHANGANYA KWA MAKONDA, ASHINDWA KUJIELEZA AKOSEA
12:23