Hongera sana Mheshimiwa makamo wa Rais Dr Philipo Mpango unafanya kazi nzuri
@reubenlucumay192911 ай бұрын
Makamu wa Rais Hongera Sana kwa kutumia mfumo wa Hayati Magufuli mkitumia njia hiyo sina haja ya kuharibu kura yangu kupeleka kwingine nitabaki kuwa CCM ndio damu yangu hadi mauti unifike sina mengi ila Mungu atulinde Sisi zote tuone mabadiliko AMEN
@barikimollel789011 ай бұрын
Umeona Eeeh
@MariamJeremia-u7e3 ай бұрын
Alietumia mfumo huo yuko wapi????
@japhethcharles579110 ай бұрын
Makamu wa raisi ,wazili mkuu mama samia kaupiga mwingi🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@AthumaniShauri-x6x3 ай бұрын
Mama.samia
@rashdiyange7758 Жыл бұрын
Bola uyu mpango ngekua rais tu kwasabbu na hofu ya mungu
@MikereMio Жыл бұрын
tatizo la Africa wenye uwezo kuongoza hawapati nafasi ya kuongoza wehu kama samia na vyeti vyao vya form IV eti ndio wanakuwa viongozi tunategemea nini ?
@MasudiSuleman-ui5wh9 ай бұрын
Mwehu ni mama yako samia cio mweh mshenz. Ww
@amonbwanakunu910 Жыл бұрын
Hongera Sana Mheshimiwa Makamu wa Rais , Dr Philipo Mpango Kwa Kazi nzuri
@henrychacha5592 Жыл бұрын
Hii style ya Maghufuli naipenda sana!
@ambitiousholyspirit395 Жыл бұрын
mmbb v
@adelinelyaruu3036 Жыл бұрын
Wameona hawatoboi
@emmanuelzwallo3933 Жыл бұрын
Kabisa
@realswahilicultural8140 Жыл бұрын
Raisi Samia nchi imemshinda 😢😢 anawaza tu uchaguzi 2025😢😢😢
@MikereMio Жыл бұрын
hamna kitu mule , kaishia form IV cheti chake F, F tupu.
@allykayanda6930 Жыл бұрын
We nitaahira hata hao waliogonga like pia nimataahira wenzio
@saidbakar-qo6ri Жыл бұрын
Nchi haijamshinda ndio maana wasaidizi wake wanatembea nchi nzima kumsaidia na kufatilia miradi ambayo ni mama samia ndio anaepeleka mabilioni nchi nzima
@Mumewangu Жыл бұрын
@@MikereMio una uhakika ndugu?
@Mumewangu Жыл бұрын
@@allykayanda6930 kweli kabisa ndugu nashangaa sana
@salarose5980 Жыл бұрын
Makamu wa Rais mimi nakukubsli sana kuliko viongozi wote nskuamini sana mtu wa watu ila hili la bandari llinatuboa sana halijakaa vzuri fanya kitu ili tutoke hapo sisi wananchi wa chini tunaumia sana
Hii style ya Kagame na Magufuli kbs!! 👏👏👏👏👏. Congratulations to Vice President!!
@mohameda.i.baranyikwa6551 Жыл бұрын
hakika huyu anaweza anikumbusha baba Magu
@mihayo12simon31 Жыл бұрын
Good leader
@bermudatriangle43410 ай бұрын
Makamu wa raisi 🔥🔥
@davidchirimi20138 ай бұрын
Binafsi Mh. Mpango namuelewa sana ni mpenda haki sema hawa wengine dharau nyingi janja janja nyingi haya sasa
@AbdallahMohamedi-y1r2 ай бұрын
Sasa naona munaenda kama magufuli ila hii naipa Jina timu mama SAMIA hongereni CCM OYEEEEEEE
@bakarimohamedi1 Жыл бұрын
Hii safi sana ila isiishie hapo hao watendaji ni wa kufukuzwa tu na kufunguliwa mashtaka maana wanawaza upigaji tu na sio kuwahudumia wananchi
@bugybuster5788 Жыл бұрын
Viongozi wanajisahau sana wakipata nafasi za kuwasimamia wananch wanasahau kbs shida zetu
@frankngoloka5416 Жыл бұрын
Tatizo kazi za kupeana ni mtt wa furani
@Boniphaceshayo5 Жыл бұрын
Safi sana leo nimeona angalau mfanye kama jpm papo kwa papo
@rehmakondo Жыл бұрын
Siasa izo my wanaona uchaguz unakaribia ndio wanajileta ila nasi tulivo mazuzu tutasahau tuliyotendewa ya nyuma
@Boniphaceshayo5 Жыл бұрын
@@rehmakondo wanatuzuga
@rehmakondo Жыл бұрын
@@Boniphaceshayo5 yani panapo uhai huo uchaguzi wataiba sanaaa,tumewachoka,me nafamilia yngu tumehama wote hatutaki hata kuiskia, yani huku mtaan tumeitapika ccm
@far_hard1301 Жыл бұрын
SAFI RAIS 👍
@nekaagripa3993 Жыл бұрын
Kwa mara ya kwanza namuona serious 😂😂
@allysanya8346 Жыл бұрын
Hali mbaya wanapumulia mipira
@samwelmollel602 Жыл бұрын
Huyu ndiyo kiongosi tunayetaka munguakubariki makamu waraisi kauli Kama hisi ndisosinayakiwa
@thomasdavid3741 Жыл бұрын
Samia atawewe nimbaya sana kwanini usimshirikishi mahamu wa rais😢😢😢😢😢😢😢😢
@murandabrian10 ай бұрын
next magufuli
@JosephatBahakaso-yn9hg10 ай бұрын
Angalau Leo nimesikia sauti yako
@abuuabdillahtv8457 Жыл бұрын
Makamu wa rais umefanya vizur sana fanya kaz uo ndio mwenendo wa maghufur
@bekabakari7394 Жыл бұрын
Mngekua na mipango hiyo ya kujitokeza kwa raia Kujua matatizo yao yasinge fika hapo leo Lkn yote hayo ameondoka nayo magufuli Naomba mawaziri wote waende wakasikilize Raia kero zao sio kukaa ofisini turudi na system ya magufuli
@abdulfatahhussein4087 Жыл бұрын
Tunashkuru Dr Mpango👏🏽
@rashidwalwanda1991 Жыл бұрын
Kweli Watanzania mmetushinda kwa hili wakenya
@SensaManzagata-tv7ds Жыл бұрын
Baba Philip mpango tunakuombea Kwa Mungu akujaze katika kazi yako ya kumsaidia mama
@nzingonism4345 Жыл бұрын
Alakoze mtama wachu makamu wa rais
@VelonikaJisena-kg9fd7 ай бұрын
Diamond lava lava kibanko
@VelonikaJisena-kg9fd7 ай бұрын
Diamond lava lava kibanko
@hasanisaidishabani3879 Жыл бұрын
Mungu akubariki mzee wetu
@henryj3304 Жыл бұрын
Huyu Baba anaongea kwa hisia sana hadi unaweza ukatoa machozi. Mungu akupe maisha marefu Mh. Vice President.
@ThuliMkhize-zu1mx Жыл бұрын
Makamo waRais mungu akubark endelea nakuchapakazi kwamfumo huo wa hayat magufuli
@methewbuzuruga-eg8oz Жыл бұрын
Hiyo style ya kutumbua watumishi hazarani ndiyo style pekee ya kurudisha nizamu kazini na hiyo ndiyo style ya magufuli kuaminka Kwa wananchi asilimia mia tunahitaji rais mwenye maamuzi magumu
@barakaayubu6126 Жыл бұрын
Uko sahihi Sana
@Makenge-b5t Жыл бұрын
Mh,makamo warais wajamuhuri pole na majukumu,pia hongera kwa kazi ngumu za kitaifa,pia kulitumikia taifa letu,tusaidie tarime nikero tanesco,umeme unapo pata hitirafu,kuja kutulekebishia nishida,utakaa mwezi muzima ukiomba msaada bila matarajio,
@edwardkamina143 Жыл бұрын
hawezi iona comment yako hapa peka kwenye page zao
@salimalharrasi3943 Жыл бұрын
MNAANZA USANII WA WAKUDANGANYA WATU..
@saidybhokey5744 Жыл бұрын
muache siasa bhana ccm mkipewa hata mpaka mwisho wa dunia maji hamuwezi
@akasiraacalamon4034 Жыл бұрын
Dats ... Right appreciate DP mipango
@dennischarles3174 Жыл бұрын
Well done vice president
@GaudencioKivamba-xq3qc9 ай бұрын
Mheshima makamu wa raisi hapo umetenda jambo jemaa viongozi wengi wamekuwa miungu watu wanataka kuabudiwa
@enedictmchau1053 Жыл бұрын
Ombi Mh Makamu wa Rais uwajibikaji umeondoka kabisa ila Tanesco wanafanya vizuri.
@daffagunda-rm3hj Жыл бұрын
WEWE MAKAMU WA RAISI HAKIKA NI MTUMISHI WA MUNGU, MUNGU AKUTUNZE. AMINA
@petercostakisoka Жыл бұрын
Ndiyoo mkifanya ivo wakuwa na dispilini kazini kila mahali kama alivokuwepo rais magufuli
@jjm4583 Жыл бұрын
Bora mpango mpango awe rais
@samwelrevocatus351 Жыл бұрын
Jez mpia simba
@Carolina-sm5zt Жыл бұрын
Asante Baba Mungu akujalie katika kazi yako
@sadikykiyago3030 Жыл бұрын
Makamu wa raisi ndo naanza kukuerewa sisi wanaichi wamwisho kwamana yakutokua watumishi wa serikari tunaomba kuona na kusikia kauri kamahizo nikushukuri nanikuome uenderee tumerudi kunyanyaswa rakini pia kutopatahaki zetu za kimusingi na kuripwa maumivu Kira siku Mungu wa mbinguni akusimamie onya karipia ilibidi fukuza Asante
@daffagunda-rm3hj Жыл бұрын
NI KWELI AWESO NI MCHAPA KAZI HANA TAMAA,NAMUOMBA RAISI AENDELEE KUPATA VIONGOZI WENGI KUTOKA MKOA WA TANGA.AMEN
@stellah3844 Жыл бұрын
Kweli hata Ummy nimchapa kazi nampenda sana na Aweso japo mm stokei Tanga
@kolisonkolison3681 Жыл бұрын
ACHANA NA HUO UKABILA UTAKUDHOOFISHA SANA....
@TALLUBOY Жыл бұрын
MTOENI KAZINI UYO NI MJINGA ANAKULA PESA ZA BURE KABISA MJINGA UYU
@NeemaJaskon11 ай бұрын
Kazi nzr Sana ukija dodoma niletee friji me nimjasiliamali mdogo, nauza Juis natengeneza mwenyewe Ila Nina upungufu wa friji,,nisaidie kwa Hilo TU hakika nitapiga kazii na kujikwamua na umasikini balikiwa sana baba Mungu akuongeze katika utendajii wako
@gracekagoma3231 Жыл бұрын
Ahsanteni sana Kwa jitihada za pambano la maji
@zephaniamwangu9857 Жыл бұрын
Safi sana mheshimiwa kazi nzuri sana ni papo kwa papo JPM bado yupo kazini!!
@husseijuma1025 Жыл бұрын
mheshimiwa rais acha kasulu sisi wananchi wa michese dodoma tuna matatizo kama hayo sisi tuna visina lakin hatuna maji
@patrickmfundiri8669 Жыл бұрын
Kumbe mpango ni mkali nimekuelewa
@Princewaweru Жыл бұрын
R I P Magufuli 😂
@ellydaniely-qw8bf10 ай бұрын
Samiaaaaa oyeee!! Umeshinda uchaguzi Kwa akili nyingi sana
@frankmwagara5025 Жыл бұрын
Umeongea kweli makamu wa rais wengi wanapenda kufuga uzembe
@fredyshirima8594 Жыл бұрын
Kweli yajayo yanafurahisha yani watu hawana maji halafu wanaambiwa kasulu oyee na wao wanaitikia oyee......😪
@MikereMio Жыл бұрын
unajua hawa ccm wanajua watanzania wengi bado wamo kwenye uzingizi mzito , kwa hiyo raisi hata akiwa ngedere wanamshangiria tuuu
@adelinelyaruu3036 Жыл бұрын
Akili kichwani 2025
@PhilemonPaulo Жыл бұрын
😂😂😂 weee jamaa umenichekesha
@ellydaniely-qw8bf10 ай бұрын
Narudi cm jamani
@endlessloveofchristlovewor9991 Жыл бұрын
Miguguno mingi mara TASAF, TAGES, TASS, TAKUKURU, TARURA mnachanganya tu wananchi. Wapeni maendeleo muache kuongea ongea
@malandojames5151 Жыл бұрын
Hali ya maji ni shida sana. Mh makamu wa rais huwezi amini mkoa wa mwanza hasa katika kata ya buhongwa hakuna maji kabisa. Wakati ziwa victaria ukirusha jiwe linaangukia ziwani. Mh!!! Nimateso makubwa sana.
@aishajaphary Жыл бұрын
Tena mi hua nawaza kwanini siku moja tusije andamana sio buhongwa tu nenda nyasaka mahina hakuna maji
@alipandu3446 Жыл бұрын
Poleni lkn hilo tatizo la kukosekana kwa maji limeanza kipindi hichi cha mama au tokea Rais alopita
@aishajaphary Жыл бұрын
@@alipandu3446 Lina muda sana toka enzi za kikwete alafu tatizo uongozi wa mkoa mfano kipindi wenje alikua mbunge nyamagana alikua anapigia kelele sana hilo swala la maji Sasa kwa huyu mabula ndo hakuna lolote
@abdurahamansaid7259 Жыл бұрын
Tena nihatari sana kwa mwanza yetu ipo siku tutatoboa mpira mkubwa wa kwenda shinyanga
@abdurahamansaid7259 Жыл бұрын
Haiwezekani tabora wapate maji kutoka mwanza alafu sisi tunakosa maji
@mrbolt8194 Жыл бұрын
Tena tasafu wanazulum pesa zakaya maskini mitalo wamekula pasa zawatu diwani wakumnyika nimuhusika mkuu wautapeli
@MzeeMkoloni8 ай бұрын
Njooni chalinze Dawasa pia huku nako ni shida vijana wanadharaù sana watumishi wa dawasa baadhi yao ni shida
@mrbolt8194 Жыл бұрын
hata nida kunashida watu wanatukwanwa vitambulisha kupata nishida
@MaikoMasnja3 ай бұрын
Kanzi nzur mheshimiwa nimependa
@kidphenomenal413111 ай бұрын
Hawajaona maji wanayotumia wananchi wa mpwapwa maji yanatoka tope kwenye bomba na yanasukumwa na idara ya maji
@hidayaswai3119 Жыл бұрын
I wish mnipe nafasi na mimi jmn nitende haswaaa. Ila mnipe meno khaaswaaa. Ukweli mtapenda
@elishajoshua4892 Жыл бұрын
Ahsante Mh. Makamu wa Rais, haya mambo ambayo lazima yaulizwe hadharani kuna uzembe mwingi unafanyika, Tanzania Tumebarikiwa, tunahitaji kuwajibishana kwa upendo kabisa kama hivi, bila kuonewa mtu.
@mohammedmakoa260910 ай бұрын
Huyu mama Alitutesa sana 2015 kipindi kili yuko Elimuni Alihisi vilio vyetuu havitofika Mbaalii kwiiiiishaaaa habar Yake
@DanielSabuni-iw3ns9 ай бұрын
Mungu analipa apap dunian ndalichako chali
@aeshamrange6540 Жыл бұрын
Tulikuwa hatujawahi kuona hivi vitu tokea jembe la tz litutoke lakin sasa 2025 ileeeeeeee watu wameanza kuiga 😂😂😂😂😂vile wanaona kila ujinga wao tuna Comment R.i.p jpm 😢
@rehmakondo Жыл бұрын
Nahatuwapi kura watashinda kimabavu kama destur yao
@DonMooSTUDIO_Express Жыл бұрын
Napaona nyumbani Kasulu daah 😢 Kitambo sana. Kweli maisha hayana fomula leo maisha Dar es salaam 😢
@kutokaughaibuni Жыл бұрын
acha2 ndugu
@kolisonkolison3681 Жыл бұрын
NANI ALIYEKWAMBIA KWAMBA "MAISHA HAYANA FOMULA"....!!??
@DonMooSTUDIO_Express Жыл бұрын
@@kutokaughaibuni 😁
@DonMooSTUDIO_Express Жыл бұрын
@@kolisonkolison3681 maisha hayana fomula ndugu yangu. Hauwezi kupanga baada ya miezi mitatu itakuwa hivi. Bali utafanya juhudi utakuta Mungu anakupa unachostahili siounachokifikili
@mamboshepea8888 Жыл бұрын
Inamaana huendagi kwenu!!!
@bekabakari7394 Жыл бұрын
Hili tatizo la kuhamisha Baadhi ya watendaji wanapo haribu Ndio kufeli kwa serikali nikama Tanzania hamna watu wenye elimu na uwezo Kila siku kuhamisha hamisha mawaziri na watendaji Hii ibada imalizike inatosha
@sadikykiyago3030 Жыл бұрын
Haya matatizo yapo kwenye Jimbo ra buhigwe munanira siku moja tuangizie waziri wa maji aweso akatatuwe kero zetu Asante
@allonjoseph546711 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂sawa ngoja tuone mai gzooo
@IdrisaBakari-f4n11 ай бұрын
mungu akurinde sana
@user-os8yq4ps8k9 ай бұрын
Hiyo style ya magufuli, ndo style ya kuongonza nchi bila ivo serikali, itaibiwa sana
@japhethcharles579110 ай бұрын
Dkt samia suluhu hasani kaleta suluhu kwa kumwezesha dkt philipo mpango ,maana anamipango dhabiti juu ya maendeleo ya wananchi ,tunaitaji suluhu na mipango ya kama hii🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@SolomoniSolomoni-o2w Жыл бұрын
Makuma hawa wote
@anthonymgina389311 ай бұрын
Mh Waziri Aweso una majukumu makubwa na kweli wewe ni mchapa kazi naona unavyo angaika sana japo wizara yako ni ngumu mno.
@DanielSabuni-iw3ns9 ай бұрын
Hata tanesco Kuna shida makam wa rais,cio tassaf tu
@Waafrika_Tujitambue10 ай бұрын
Hizi ni Sanaa tu
@murandabrian10 ай бұрын
nchi yangu kenya jameni jambo kama hili kufanyika ni kinaya sanaa
@shabanikwabi9351 Жыл бұрын
Mhe uko vzr sana viongozi wote wagefanya kama ww tugefika mbali sana Tanzania nakuombea afya njema
@mhangwacastory8765 Жыл бұрын
Mimi binafsi ndo natamani iwe hivyo kila siku
@NardhisMhagama-sy3eq10 ай бұрын
Raisi wa kigoma
@godwinchigangwe8123 Жыл бұрын
WaTanzania wazuri tupo wengi hatuna kazi tupewe nafasi kuipigania Nchiyetu, , , , sio maneno yangu Mheshimiwa kathema
@saidbakar-qo6ri Жыл бұрын
Hamna kazi dp world hamuitaki mtapataje ajira
@LaurentMuya-mb9rf Жыл бұрын
Doctor Mh magu ndo alikuwa kiboko yao waheshimiwa kazeni mwendo ili mmuenzi hayati magufuli ili nayeye apate matumain aliko kwann mpaka leo bado anaishi katika nafsi zetu
@sir_ENOCKMACHA Жыл бұрын
Kwakweli hongera mno mheshimiwa makamu wa rais,hii nchi inachezewa mno na wahuni wachache,watu wa hovyohovyo
@simonntani7079 Жыл бұрын
Ccm watawanyonya,sana WATANZANIA,,Mbumbumbu.
@AbdalahChalo Жыл бұрын
Mh.lifanye taifa liwe taifa hao viongozi wanajidai sana
@ZachariaKibuga11 ай бұрын
Makamu wa Rais kasuru kunashida ya kamchape wanazaririsha Watu na kuwaibia Kwa kigezo Cha uchawi kijiji chabuoro shunga
@HisaniMsigwa-lc6zk Жыл бұрын
Kuna vijana wazalendo watoto wa maskini wapo ,makamu toa hao
@fatumajama2332 Жыл бұрын
Mery paulo
@jacksonmagola1824 Жыл бұрын
Yaani mm nahisi ningekuwa mkali ..watu wanajiona Mungu watu....
@rashidichamkulu4104 Жыл бұрын
tatizo wanaopewa majukumu wakisha pata to hayo mamlaka wanajisahau sana ata wakilibu wanaamini watahamishiwa kwingine hili selikali liangalie hao ndio wanamfelisha mama
@mzalendomzalendo2567 Жыл бұрын
Uchaguzi umekaribia eeee ndio wameanza kuonekana mitaani. R.i.P magufuli tutakukumbuka kila siku.
@nikodemmwahangila3334 Жыл бұрын
Baada ya magufuli kufa wamezaliana sana wasumbufu wenyemajibu ya jeuri njoo na huku kwingine