VURUGU UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA KIGOMA,WAJUMBE WAGOMEA MATOKEO ''WADAI HUJUMA, UCHAGUZI KURUDIWA"

  Рет қаралды 19,521

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 115
@fredrickmwakalinga6390
@fredrickmwakalinga6390 23 сағат бұрын
Safi sana kuibiana kwenu wenyewe mnaonyesha jinsi mlivyoandikisha watoto wa shule chini ya miaka 18 na mpaka marehemu wamejiandikisha hii ndo ccm
@KhalidiMsuya-h6o
@KhalidiMsuya-h6o 2 сағат бұрын
Mungu naomba uwavuruge awa watu kuanzia ngazi ya chini adi juu
@hamisachacha8104
@hamisachacha8104 Сағат бұрын
Mungu hajibu Maombi mabaya
@jacklinelyimo7407
@jacklinelyimo7407 20 сағат бұрын
Mungu naomba vuruga kila kitu kwenye uchaguzi uwanze upya wa haki na kweli Mungu wewe hujawahi kushindwa walipambana na Chadema ila Mungu jidhihirishe
@marafikistation
@marafikistation 12 сағат бұрын
😂😂😂😂
@Rahimhassan
@Rahimhassan 22 сағат бұрын
Kila sehem kimewaka...hamko salama...Mungu atawalipa tuuu.Mungu humlipa kila mtu haki yake
@adambakari9276
@adambakari9276 21 сағат бұрын
sasa km wenyewe kwa wenyewe wanaibiana haya watashindwa vip kuwaibia wapizani😂
@ajiaally3269
@ajiaally3269 21 сағат бұрын
Mungu uwa halipi kwa style hiyo kwa sababu hta uko kwenu ni ujuma tu mwenyekiti wa kidumu
@Rahimhassan
@Rahimhassan 21 сағат бұрын
@@ajiaally3269 kwetu wap?
@yassinnabwera4273
@yassinnabwera4273 Күн бұрын
Kazi kwako Makala,naona uko bize na Chadema huku kwako CCM kunavuja kila kona Tanzania
@ajiaally3269
@ajiaally3269 21 сағат бұрын
Ndio wanashinda shida hamna hta akili watz mnatolewa kwenye reli nyinyi mnabaki kuangalia matukio nyuma ya panxia wao lao moja .sawasawa na ugomvi wa karibuni kati ya ally kamwe na manara watu wakabakia kwenye ugomvu mwishowe simba anakufa .
@Adrianmellow
@Adrianmellow 20 сағат бұрын
Wao kwa wao
@djfunk255
@djfunk255 23 сағат бұрын
Kushachangamka sasa , Muungu ibarki Tanzania inshallah 🙏🏽
@stephanokaaya1881
@stephanokaaya1881 12 сағат бұрын
Huku Kwetu Meru tumelalamika Wilaya wakasema uchaguzi uendelee malalamiko baadae
@Juma-e8l
@Juma-e8l 15 сағат бұрын
Wacha chuma kinwewe chua😂😂😊
@sjosephmashany-eu6rf
@sjosephmashany-eu6rf 5 сағат бұрын
Nimesimamia salama namshukuru mungu
@JohnSelelii
@JohnSelelii 3 сағат бұрын
Kila kona ya nchi uchaguzi wa ndani ya chama ni kelele za hujuma je uchaguzi wenyewe utakuwa halali kweli
@LucasMwijage-oc5nx
@LucasMwijage-oc5nx 17 сағат бұрын
Kazi ipo! Kumekucha!
@joycemassawe171
@joycemassawe171 17 сағат бұрын
😂😂chuma kinanoa chuma mpaka mseme
@Juma-e8l
@Juma-e8l 15 сағат бұрын
Ulikua wap umepita mlemle😂😂😂😂
@hamzaabdallah8637
@hamzaabdallah8637 15 минут бұрын
Sehemu nyingi Madiwani wamevuruga uchaguzi, wanaingiza Hadi udini. Niombe wa Tanzania wenzangu acheni njia hizi za UDINI ni hatari kuyaendekeza yatatuletea kupata iongiz wasikuwa na sifa.
@Joppa555
@Joppa555 22 сағат бұрын
Nimependa hii...CCM ndo leo naona wanalalamika hahahahahahah😂😂😂😂
@MawazoKitumbo
@MawazoKitumbo 5 сағат бұрын
Mngu yasambalatishe had yashidwe kuelewana ili yaone uchungu nayenyewe kama wanavyo fanyiwa wapinzan
@kakorejrboyz6447
@kakorejrboyz6447 4 сағат бұрын
LION MASK YUKO BIZE NA UBUNIFU KUHUSU TECHNOLOGY MPYA YA MAGARI . SISI TUKO BIZE NA KUIBA KURA😭😭
@abedysteven4930
@abedysteven4930 20 сағат бұрын
Wapiga mwaka huu mhhh kaz mnayo !! Hata huo mda wa kuumizana kwenye folen Sina!! Mana upige kura usipige ccm ndo itapita xaxa nipige kura za nn?
@salama1113
@salama1113 20 сағат бұрын
tujiulize hii wenyewe kwa wenyewe amkeni acheni unyabumbu😂😂😂😂
@FloridaAdelinus
@FloridaAdelinus 18 сағат бұрын
Kumbe na wao wanataka haki itendeke, mhm. nimekubali, mwizi akiibiwa mhmh. MUNGU TUSAIDIE
@AshaMwamba-i7g
@AshaMwamba-i7g 16 сағат бұрын
Hahahahahha
@JosephineKabuka
@JosephineKabuka 3 сағат бұрын
Ccm majiziiiiiiii
@melch3097
@melch3097 15 сағат бұрын
Mungu yupo upande wa chadema, maovu yote mnaofanyia chadema, malipo ndio hayo
@AkilinyoMussanyo
@AkilinyoMussanyo 38 минут бұрын
Hakuna ugomvi hapo wakimaliza hapo wanakua wamoja CCM wanajitambua
@JosephineKabuka
@JosephineKabuka 3 сағат бұрын
Ccm imegeuka kansa haina tiba! Tuikataeeeee!!!
@BUDIDACHOYA
@BUDIDACHOYA Сағат бұрын
Sasa hapo chama kubwa kama CCM tunatoa funzo gani kwa wenzetu!
@iddynjonjo
@iddynjonjo 22 сағат бұрын
Daini tume ya uchaguzi
@AshaMwamba-i7g
@AshaMwamba-i7g 16 сағат бұрын
Wanaaanza kuibiana wenyewe kwa wenyewe hahahahaha kwa wakina baba levo
@victorernest7702
@victorernest7702 23 сағат бұрын
Sasa mnaposena chadema wanalalamika sasa kwann nyie msitulie? Ni jinsi gani CCM mmejihaibisha wenyewe majizi nyie 😂😂😂😂waliojiandikisha watu 297 Kura zmeptikana539😂😂😂😂😂😂🙌🙌
@ZainabuBakari-g8e
@ZainabuBakari-g8e 23 сағат бұрын
Shabani..
@AyubuChacha-u6u
@AyubuChacha-u6u 15 сағат бұрын
Mmezoea maelekezo sana ndugu wezi wamejiiba tena hapo ccm hawaaminiki mpaka Mungu atakapo kuja au mwisho wa dunia mnafanya vituko sana kweli😂😂😂😂😂😂😂😂 wananchi wanaililia ccm na polisi wake mnatupeleka wapi mpaka sasa.
@KhalidiMsuya-h6o
@KhalidiMsuya-h6o 2 сағат бұрын
Tukisema awa watu ni wezi wa kura wanakataa Sasa ona sasa wao kwa wao wanaibiana kura je kwa mpinzani itakuaje ?
@AyubuChacha-u6u
@AyubuChacha-u6u 15 сағат бұрын
Ccm mnaibiana nyinyi kwa nyinyi hata hamna aibu ndugu zangu kweli tumefika hapo kweli kama mnafanyiana hivyo je upinzani mtawafanyije sasa polen sana maana mmezoea kuiba hamuaminian kumpe mnachoka na wezi basi kukumbuka kuwa mnavyoumia hivyo ndipo chadema wanaumia sana na zaidi kumpe mmejulikana ndugu zangu.
@ommymsangi9182
@ommymsangi9182 16 сағат бұрын
Chaguzi hizi zitawa vuruga sana ccm kwani kuibiana kwao kura kutawagawa makundi.
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 13 сағат бұрын
Mbona hii kwenye wenye viti haijawai tokea hii nini
@AthanaseKiyoja
@AthanaseKiyoja 19 сағат бұрын
Mbwa wanagombea marapu marapu,je kwenye nyama mtauana,ccm mmemaliza mavi,mnataeajia kunya nini?
@DianaLyimo-be7yp
@DianaLyimo-be7yp 21 сағат бұрын
Mmezidiwa maarifa nawapinzan😂😂😂😂😂 ubaya ubwela
@ShehaHassan-ev7st
@ShehaHassan-ev7st 20 сағат бұрын
Chukua chako mapema😂😂😂
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 16 сағат бұрын
Kuna jambo limejificha ndani ya hicho chama soon tutaligundua haiwezekani miaka yote hawagombanii hivyo au tuseme wana hofu CCM ikitoka watakosa pakupiga😂😂
@benardbonephace4896
@benardbonephace4896 18 сағат бұрын
Sio huko tu hata huku kura zinapigwa naa hata na watoto na wasio na kadi za chama
@FloridaAdelinus
@FloridaAdelinus 19 сағат бұрын
YALE YALE YA UANDIKISHAJI WAPIGA KURA TAYARI KURA BANDIA ZIMECHOMEKWA KAMA WALIVYOCHOMEKA MAJINA BANDIA.
@LameckMbele
@LameckMbele 23 сағат бұрын
Wote hao makao yao ni jehanamu matendo yao yanawahukumu
@Selemlaki132
@Selemlaki132 16 сағат бұрын
He kumbe Kuna mambo makubwa ivi, uchaguzi mkuu utakuaje sasa
@pena_tz
@pena_tz 23 сағат бұрын
😅
@Juma-e8l
@Juma-e8l 15 сағат бұрын
HII IMEINGIA KWENYE RECORD WATU 297 WANAPIGA KURA MATOKEO YANAONEKANA 500 MAANA NUSU YA WATU NI KURA HEWA MKUMBUKE DC WA LONGIDO ALICHOKISEMA UKWEL N KWAMBA HAKI IKITENDEKA WATAWALA WANAJUA UKWEL UTAKUWAJE😅😅😅
@rafaelmbaga6543
@rafaelmbaga6543 13 сағат бұрын
CCM mbele kwa mbele kwa wizi😅
@elizabethismile6827
@elizabethismile6827 23 сағат бұрын
Sa nane usku nachelewa kulala waiii😂😂😂.
@noelbryson7840
@noelbryson7840 18 сағат бұрын
PANYA KAMUIBIA PANYA 😅
@Oman-p8x
@Oman-p8x 15 сағат бұрын
Kushaaza kuchangamka
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 7 сағат бұрын
Watu samia awataki
@FrankNzombo-k3j
@FrankNzombo-k3j 22 сағат бұрын
Kweli ss ccm atujitambui kura zetu wenyewe tunaibiana je tukienda kura za kushindana na vyama vingine itakuwaje
@KanikiIkinda
@KanikiIkinda 15 сағат бұрын
Ningekuwa RAIS..
@HamdanAmli
@HamdanAmli 12 сағат бұрын
Kwaiyo mnataka samia na nchimbi alete watekaji sio
@ferdinandikubila3669
@ferdinandikubila3669 19 сағат бұрын
Ukiuwa kwa upanga na ww utauawa kwa upanga na hivyo ndio mnavyo fanyaga uchaguzi selikali kuanzia wenye viti hadi wabunge na rais
@AyubuChacha-u6u
@AyubuChacha-u6u 15 сағат бұрын
Ccm hao haya ngoja tuwaone mnavyokwenda hapo basi mjue kuwa mmezoea ujambazi na wizi makala fanya na hayo tuone.
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle 22 сағат бұрын
Kama ndani ya chama ndo hivi wapinzani je watafanyiwa nini?
@shaphiasabani5760
@shaphiasabani5760 20 сағат бұрын
Neno moja kwa wapizani onesheni mfano tena
@YassinRajabu
@YassinRajabu 16 сағат бұрын
kwani hawa nao chadema? maana sikuzote tunaambie ndani ya chadema akuna demoklasia
@meshacknyandongo577
@meshacknyandongo577 13 сағат бұрын
Mtoboane macho nyie wenyewe hapo ila Mimi hata kura siendi kupigia maana kura yangu inawezakuchangia kuongeza wezi
@AmosPedeshee-gn7gc
@AmosPedeshee-gn7gc 15 сағат бұрын
Mwizi akiibiwa huwa mkali sn ngoja mchuane
@hamissomary6869
@hamissomary6869 13 сағат бұрын
Majizi watupu hpo mmezoea kuiba kula
@DAVDChalse-db6tz
@DAVDChalse-db6tz 23 сағат бұрын
Kudadek kumbe mpaka wao kwa wao wanachapana
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 23 сағат бұрын
😂😂
@MatokeoJoseph.Fonkol
@MatokeoJoseph.Fonkol 23 сағат бұрын
family moja baba mmoj
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 14 сағат бұрын
Madiwani wameweka watu wao
@FrankNzombo-k3j
@FrankNzombo-k3j 21 сағат бұрын
Huu ni ujinga na niaibu kwetu Wana ccm kumwona makala anaangaika kujichatu kwenye mtandao kuwakosoa upinzani Aya twambie na ujinga huu unaofanyika wakuiba kura maoni
@MlendaKapama
@MlendaKapama 22 сағат бұрын
Chukuwa weka ndani ote wanaaatakisha amani ya nchi
@sharifanyumayo6314
@sharifanyumayo6314 Күн бұрын
Haya mambo ya ovyo yapo Kila sehem hata kwetu wamedirik kuchukua wanafunzi kupiga kula ili TU apate za kutosha ni ujinga TU haya mambo kiufupi.
@alexvenas2699
@alexvenas2699 19 сағат бұрын
Nabado uozo wenu utawekwa wazi mpaka muaibike. 😡
@muhamadsalim5295
@muhamadsalim5295 21 сағат бұрын
Nyinyi wenyewe munakulana mudambakisha nani sama
@YohanaPetro-xv9tp
@YohanaPetro-xv9tp 20 сағат бұрын
Wezi Bhn Yani Hadi Wao Wenyewe Wanaibiana Sasa Wata Acha Kuiba Mali ZaNchi
@2116-n
@2116-n 20 сағат бұрын
😂😂😂😂
@zariadunia6328
@zariadunia6328 22 сағат бұрын
Nilijua haya yatqtokea chama kimeweka michakato mibaya ya kutotaka wanachama kuwachagua wqnqo wqtaka
@emmanueltillya2017
@emmanueltillya2017 23 сағат бұрын
Uenyekiti tuu mnashikana koo,vip udiwani ?yajayo yanafurahisha
@B23-i8p
@B23-i8p 22 сағат бұрын
Kumbe naye ni mzohefu na hayo mambo
@BakariMtangenange
@BakariMtangenange 22 сағат бұрын
Kumbe mnaibiana adi wenyewe kwa wenyewe
@mariamsaid555
@mariamsaid555 20 сағат бұрын
Hayo si mageni kwenu nimuendelezo tu
@B23-i8p
@B23-i8p 22 сағат бұрын
Saa 8 za usiku uchaguzi 🏃
@zariadunia6328
@zariadunia6328 22 сағат бұрын
Wanawake na chama chao hawakubaliani
@AyubuGereway-p9i
@AyubuGereway-p9i 20 сағат бұрын
Kumeanza kuchangamkaa
@Mosmwampa
@Mosmwampa 21 сағат бұрын
Hapo ni wezi kwa wezi, nani atakubali kuiibiwa
@florianhenry7198
@florianhenry7198 22 сағат бұрын
Uku kumbe Kuna maslahi heeeeh
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle 22 сағат бұрын
Kumbe CCM nao wanafigisu ndani ya chama
@JemaMhagama-oz6me
@JemaMhagama-oz6me Күн бұрын
Naona mpinzani anaenda kushinda hapo
@YussufAme-k8z
@YussufAme-k8z 2 сағат бұрын
Munaibiana wenyewe nyie mabunjuu loooh!!
@EmanueliNkya
@EmanueliNkya 19 сағат бұрын
Hahaa
@AliyyAli-ii1uz
@AliyyAli-ii1uz 23 сағат бұрын
Hao ni iyena iyena wennyewekwa wenyewe
@christopherjoseph8330
@christopherjoseph8330 21 сағат бұрын
Kila mahali vurugu bado hamjakutana upinzani.
@SamwelYesaya
@SamwelYesaya 17 сағат бұрын
Nchi yetu hii
@harunamtiko117
@harunamtiko117 23 сағат бұрын
Hata nyie kumbe mnakubali mnaburuzwa na mnataka uhuru wa kuongozwa na mt mnaemtaka, n vzr ila hata mkimpata huyo mtu bado ataharibiwa na maagizo kutoka juuu, solution chagueni mt wa upinzani imeisha hyo.
@StanslausSindani
@StanslausSindani 20 сағат бұрын
Hahahahahaha😂😂😂 Yani hata kama wasingeiba kura lakini Kuna watu hawana sifa za kuwa wagombea wa mtaa wa mwanga sokoni kiongozi ni mmoja tu jamani tusipepese macho #twendeni na ELIA KIMERA MFAUME hao wengine 👇👇👇
@muddyausi8470
@muddyausi8470 22 сағат бұрын
Bado. wabunge ndo ttzo ukiweka haukuchagulia
@samwelclement8108
@samwelclement8108 23 сағат бұрын
Saaaaaf. Umaneni. Nyie. Kwa. Nyie
@YassinRajabu
@YassinRajabu 16 сағат бұрын
bola mpigane
@WilhelmMmari
@WilhelmMmari 22 сағат бұрын
Hiyo ndio ccm
@MilembeLugwila
@MilembeLugwila 23 сағат бұрын
Hata mwanza
@emanuelinaman8240
@emanuelinaman8240 19 сағат бұрын
Hahaha
@annafredinandmatandiko8438
@annafredinandmatandiko8438 Күн бұрын
Wakwanza leo
@JemaMhagama-oz6me
@JemaMhagama-oz6me Күн бұрын
Waache wafu wazike wafu wao
@samwelclement8108
@samwelclement8108 23 сағат бұрын
Wa. Ccm huwa. Ila wa chadema huwa. Mnasema uko. Sawa
@chalokalunde9429
@chalokalunde9429 23 сағат бұрын
Kuna watu mm nawashangza eti wanadai turudi mfumo wa chama kimoja.vurugu zipo tu,na mambo mabaya kama yaliyopo Sasa hayatakoma.Itazuta ukanda, ukabila, udini nk.Katiba mpya ndio dawa.
@B23-i8p
@B23-i8p 22 сағат бұрын
Hivi ni kipindi kipi Rais alitaka kupinduliwa zaidi ya mara 7,mbona ktk vyama vingi hatujawahi hata kusikia zaidi ya kuzuiliwa maandamano tu
@JoshuaSiara
@JoshuaSiara 23 сағат бұрын
🙅
@Joppa555
@Joppa555 22 сағат бұрын
Hata muuwane Safi tu...si mnaonaga mzuka sana kuibia kura wengine..😂😂😂kweli mkuki kwa nguruwe,uwaneni kabisa ikibidi yan pasipoe hapo kigoma tafadhalini sana
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:14
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 73 МЛН
Human vs Jet Engine
00:19
MrBeast
Рет қаралды 141 МЛН
버블티로 부자 구별하는법4
00:11
진영민yeongmin
Рет қаралды 25 МЛН
1921 - Charlie Chaplin "The Kid"  Episode in colors. 4K 60fps
4:54
AI Colouring
Рет қаралды 10 МЛН
VITUKO VYA KWENYE DALADALA (EP1)
11:33
Steve Mweusi
Рет қаралды 127 М.
'Matokeo ya Uchunguzi kuhusu kupigwa kwangu risasi bado mpaka leo'
51:24
BBC News Swahili
Рет қаралды 109 М.
Top U.S. & World Headlines - October 23, 2024
13:41
Democracy Now!
Рет қаралды 141 М.