PART II: BILLNASS: "BOSS RUGE ALINIPIGIA SIMU, NAMBA NAIJUA, NILIM-BLOCK NANDY"

  Рет қаралды 2,194,034

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

#ONAIRWITHMILLARDAYO#NANDY#BILLNAS#BUGANA
BILLNASS NA NANDY WAMEONGEA UKWELI WOTE WA MAPENZI YAO NA MAISHA YAO YA PAMOJA KWENYE EXCLUSIVE INTERVIEW YA ON AIR WITH MILLARD AYO, HII NI PART II....... GOMA LAO JIPYA LINAITWA 'BUGANA' LIPO KWENYE KZbin YA BILLNASS

Пікірлер: 2 000
@winifridangoleleje9835
@winifridangoleleje9835 2 жыл бұрын
Tulorudi tena leo kuangalia hii interview baada ya ndoa tujuane hapa, hongeren sana Mr & Mrs William🙏🙏 mwenyez Mungu azid kuwaongoza na kuwabariki sana mshirikishen yey kwa kila jambo Muwe na familia bora🙏, tunawapenda sanaaaaa
@theresiakisoviated.4886
@theresiakisoviated.4886 2 жыл бұрын
God bless you all
@theresiakisoviated.4886
@theresiakisoviated.4886 2 жыл бұрын
Mi mwenyewe nimeilike💪💪👍👍🔥🔥❤️❤️❤️💋💋💋
@hildaaloyce8043
@hildaaloyce8043 2 жыл бұрын
Mimi hapa
@zainabalute5834
@zainabalute5834 2 жыл бұрын
Mimi pia 🔥🔥
@maureenlyimo620
@maureenlyimo620 2 жыл бұрын
Hahaha tuko kumbe
@princeprince1463
@princeprince1463 5 жыл бұрын
Hawa jamaa bado wanadate kama umeliona hilo weka like hapa tujuane😂😂😂😂
@mericky6031
@mericky6031 5 жыл бұрын
👍
@mauayusufumauayusufu7862
@mauayusufumauayusufu7862 5 жыл бұрын
Hadi Raha nimewapenda buleeee😘😘💞💞
@kambonaviazi1232
@kambonaviazi1232 5 жыл бұрын
kingkijana 255 pamoja sana
@neemashao5314
@neemashao5314 5 жыл бұрын
Hawa wana mahusiano bdo
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 5 жыл бұрын
Kweli kingikijana inaonyesha kabisa hata tabasam lao bili mbona alisemaga muda tu Nandi alikuwaga anambeleza waludiane nandy anampenda Sana bili
@sportshome563
@sportshome563 5 жыл бұрын
Wanaotamani kua na mahusiano kama ya billnass na nandy yalivyo kua Gusa like apo 👇👇👇
@malkiabintimfalme6820
@malkiabintimfalme6820 5 жыл бұрын
Yaaan napenda sana
@sportshome563
@sportshome563 5 жыл бұрын
@@malkiabintimfalme6820 p1 sana mm mwnyew napenda sana tena sana
@officialpktz3972
@officialpktz3972 5 жыл бұрын
Shalom King 😁😁
@saunakatauyanawausufanyeni9504
@saunakatauyanawausufanyeni9504 5 жыл бұрын
Shalom King nyie jamani
@lugayilajohn6269
@lugayilajohn6269 5 жыл бұрын
Hao baado wanapendana
@anicyaedward5605
@anicyaedward5605 4 жыл бұрын
Nimerud tena kuisikiliza upya after engagement 🥰🥰🥰✅
@luzabethkitali3409
@luzabethkitali3409 4 жыл бұрын
Nivizuri pia kurudiana
@mkomboraahmedchome
@mkomboraahmedchome 5 жыл бұрын
kuwasiliana na X wako nisawa na kutembelea muwa kufanya Mkongojo Ipo siku uta ula niongeze Sauti au inatoshaaaaaa????
@khanipherkhalfani8730
@khanipherkhalfani8730 5 жыл бұрын
Mkombora Ahmed ongezaaaaa sauti Eka ya mwishooooooo kbsaaa
@florentmwenda804
@florentmwenda804 5 жыл бұрын
umeua aseee
@jacklinebahati3422
@jacklinebahati3422 5 жыл бұрын
Ongezaaaaaa
@photunatamakelele6980
@photunatamakelele6980 5 жыл бұрын
Ongeza kidg
@deboraruben2199
@deboraruben2199 4 жыл бұрын
Unasema
@tausingomeni2568
@tausingomeni2568 5 жыл бұрын
Interviwer tamu, party 3 hakun millardo ayo😂😂😂😂mie napend umbea ujue, maan nachek htr huku
@biakaisa7985
@biakaisa7985 5 жыл бұрын
Awa watarudiana2 wasitufanye watoto
@stellaiyamu5212
@stellaiyamu5212 5 жыл бұрын
😁🤣
@musahimapanda8863
@musahimapanda8863 5 жыл бұрын
😁😁😁 Eti "napenda umbea"!!!
@fatimahassan864
@fatimahassan864 5 жыл бұрын
1
@tausingomeni2568
@tausingomeni2568 5 жыл бұрын
@@biakaisa7985 kwa uzoefu wangu hawa wanakulan japo kwa siri maan nenga anasem yupo kweny mahusioa. Ila watu wazima tunajua😂😂😂😂😂😂
@atuganilemwakalile8006
@atuganilemwakalile8006 5 жыл бұрын
Toka nianze fatilia interview za wasanii, sijawahi ona interview nzuri kama hii. This is the best interview ever....
@laxiekillian8392
@laxiekillian8392 5 жыл бұрын
Aisee umeongea the best nimependa sana
@ilovuguyssandimu6508
@ilovuguyssandimu6508 5 жыл бұрын
Haki true
@amedeezvisual8137
@amedeezvisual8137 5 жыл бұрын
hamna lolote
@laxiekillian8392
@laxiekillian8392 5 жыл бұрын
Acha wivu kila mtu na mtazamo wake
@amedeezvisual8137
@amedeezvisual8137 5 жыл бұрын
@@laxiekillian8392 mhh,hongera ww ulieona wivu kwenye hamna.labda pia ningejua interview nzur za wasanii alioangalia
@kahawathungu
@kahawathungu 5 жыл бұрын
lakini kwa nandy anavyomtazama hakika bado lipo penzi. Lipo jambo.
@chainbre275
@chainbre275 5 жыл бұрын
Kumbe umeina eeeee
@kahawathungu
@kahawathungu 5 жыл бұрын
@@chainbre275 sana tu.
@omanoman4182
@omanoman4182 5 жыл бұрын
Kabisaaa yani tabasam linaoneshaaaaaaaa
@lailamohammed3213
@lailamohammed3213 5 жыл бұрын
Nlisema mimi na kinavyojichekesha
@kahawathungu
@kahawathungu 5 жыл бұрын
@@lailamohammed3213 umekiona kumbe pia?
@edithayouma1528
@edithayouma1528 4 жыл бұрын
Nani amerudilia kuskiza hii interview baada ya engagement? all the best my darlings 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@beatricenicholausiwasa7601
@beatricenicholausiwasa7601 4 жыл бұрын
Edith Ayouma mimi
@fatumaibrahimabdi167
@fatumaibrahimabdi167 4 жыл бұрын
Mimi
@Gsimon923
@Gsimon923 4 жыл бұрын
✌😙😙
@evekiondo5828
@evekiondo5828 4 жыл бұрын
Nimeirudia several times dah so lovely😘
@miss_giantwilson3622
@miss_giantwilson3622 4 жыл бұрын
Mm joomn😅😅
@kelvinchacha5557
@kelvinchacha5557 2 жыл бұрын
Finally they are married 😍 2022🔥🔥
@aminamkindi922
@aminamkindi922 2 жыл бұрын
Not yet but on saturday 16/7 they will be married
@anjelinopawa5500
@anjelinopawa5500 2 жыл бұрын
Kabisaa, Leo Saturday
@dianalawi1584
@dianalawi1584 2 жыл бұрын
today ❤️
@kelvinchacha5557
@kelvinchacha5557 2 жыл бұрын
@@aminamkindi922 ok
@kelvinchacha5557
@kelvinchacha5557 2 жыл бұрын
@@dianalawi1584 ok that's awesome
@chiefgustavo587
@chiefgustavo587 5 жыл бұрын
Honestly toka mwaka umeaanza this is my Best interview Congratulations saana Millard Ago.Nice Creativity na vikaratasi hivyoo. Hope to see moree like this one.. BIG UP SAANA.
@mericky6031
@mericky6031 5 жыл бұрын
Kwel
@dalrinfad3014
@dalrinfad3014 5 жыл бұрын
Nilichogundua Nandy na Billinass ni wakweli ukiwaangalia tu usoni utajua km wanasema ukweli, Nawapenda
@queenlizzyplatnumz4942
@queenlizzyplatnumz4942 2 жыл бұрын
This couple jmn 😍😍😍 Nan karud kuangalia ii interview
@MaaneML
@MaaneML 2 жыл бұрын
Nilimwambia Nandy "Siku tukirudiana nitakuoa". By Bilinass. Kweli yalitimia tarehe 16 July, 2022.
@iwenimsola3316
@iwenimsola3316 2 жыл бұрын
Hii ni mara ya kumi na sita kuiangalia hii interview ya Hawa wapenzi Naipenda na nawapenda Sana Nandi na Billinas
@NdihoMathew
@NdihoMathew 6 ай бұрын
hahahahahahahah me mara mia
@Millidady
@Millidady 5 жыл бұрын
Amini usiamini nandy bado anampenda bilnass ....😧
@rehemamlaponi8932
@rehemamlaponi8932 5 жыл бұрын
Sana yaani anaonyesha hadi macho
@fatmabushiri1301
@fatmabushiri1301 5 жыл бұрын
Anampenda hadi anatia huruma
@Millidady
@Millidady 5 жыл бұрын
@@fatmabushiri1301 kama mimi ninavyo kupnda ww😗
@beatricekingsley5062
@beatricekingsley5062 5 жыл бұрын
Yan anavyomlegezea macho 🥺🥺
@vailetmapunda106
@vailetmapunda106 5 жыл бұрын
@@beatricekingsley5062 🤣🤣🤣🤣
@spotbeautylady1704
@spotbeautylady1704 5 жыл бұрын
Hivi nyie mjue mnaendana nimewapenda bure Millard Ayo wambie warudiane bwana
@rukiarashid2581
@rukiarashid2581 5 жыл бұрын
nyie mna endana sana hata nyota zenu zinaendana ndo maana ni marafiki hadi leo mkirudiana ita pendeza san
@kitchenwithmanca2261
@kitchenwithmanca2261 2 жыл бұрын
Nan yuko apa baada ya hawa watu kuelekea kuwa baba na mama 😊😊❤❤
@dianalawi1584
@dianalawi1584 2 жыл бұрын
come back to interview today after their wedding ❤️ congratulations
@bintalmas4020
@bintalmas4020 2 жыл бұрын
Imepeza Sana mungu azidi kuwasimamia 🙏🙏🙏
@learnlivelove7606
@learnlivelove7606 2 жыл бұрын
This man said ikitokea turudiane ntakuoa.....imagine???!
@evodiamzena7019
@evodiamzena7019 2 жыл бұрын
Power of Words🙌
@geofreybarama4000
@geofreybarama4000 5 жыл бұрын
Kwa mwanamke alie penda mausiano ya nandy na bilinas anicheki social media zote Fb na Instagram..
@tabbymwalami8582
@tabbymwalami8582 5 жыл бұрын
Mimi
@prisilakapinga3781
@prisilakapinga3781 5 жыл бұрын
Nipo
@winfridamatonya9393
@winfridamatonya9393 5 жыл бұрын
Ili uanze nae au
@lilianalphonce1917
@lilianalphonce1917 5 жыл бұрын
Duh
@hemedmuddy4271
@hemedmuddy4271 5 жыл бұрын
Mm nilikuanaswali katiyawatuwawiliao nanikamuachamwenzake
@RED-kr5vc
@RED-kr5vc 5 жыл бұрын
Ningekuwa mpenz wa Bill aseee ningewapisha tu..it doesn't make any sense here
@ramlaameer2057
@ramlaameer2057 5 жыл бұрын
😅😅😅😅
@ereswidamoshi7404
@ereswidamoshi7404 5 жыл бұрын
Haki
@mustaphahassan589
@mustaphahassan589 5 жыл бұрын
Hadija Uledi acha hizo kuwa mpenz wangu tu inatosha
@queenandchill91
@queenandchill91 5 жыл бұрын
Kabisa....wanapendana bado hta ukiwaaangalia
@janethgatoni5981
@janethgatoni5981 5 жыл бұрын
Hata mimi ningefanya ivo ivo
@aclejohnlee2968
@aclejohnlee2968 5 жыл бұрын
bilnas unajibu nandy kibishi ila nandy anakuelewa kinomanoma dadek huyo mtoto hata awe na mnyamwez gan atabaki kukuelewa bugana
@jenifergeorge3262
@jenifergeorge3262 4 жыл бұрын
Nandi anampenda bado.. maana kajbu tusubil afu mwanaume anasema anamtu mbn nandy amekubal
@hajiha6507
@hajiha6507 4 жыл бұрын
Acle Johnlee alikua anamla vizuri mno
@fatumamohammed9964
@fatumamohammed9964 2 жыл бұрын
Nimekuja kulike baada ya ndoa bill and nandy nawapenda
@neemamabele8451
@neemamabele8451 5 жыл бұрын
Anaekubali Millard ni talented na smart na kazi yake angonge like hapa... Timu Millard tujuane Millard is fire 🔥🔥🔥🔥💯
@derrickthedon91
@derrickthedon91 5 жыл бұрын
Neema Mabele posti sura yako kwanza ili ni like comment yako
@neemamabele8451
@neemamabele8451 5 жыл бұрын
@@derrickthedon91 mimi si demu wa kuposti.. kama unataka tuma namb nikutumie dm
@boycelebron4666
@boycelebron4666 5 жыл бұрын
Neema Mabele daaa aisee nimechelewa kukujibu daa.. namba zangu ni 0654068675
@neemakazungu8380
@neemakazungu8380 4 жыл бұрын
Fireee! Na huku upo?
@belindagiliard8977
@belindagiliard8977 5 жыл бұрын
Milard, you are the best. Umeitendea haki tasnia ya utangazaji. I like the way you calmly ask questions, give your guests time to digest the questions, for sure you deserve congratulations........
@dalton1698
@dalton1698 5 жыл бұрын
Exactly, I do the same
@geecastag5610
@geecastag5610 5 жыл бұрын
He is mature enough I guess hayupo kama watangazaji wengine......hongera sana Millard.
@ndhindilomachibya5514
@ndhindilomachibya5514 5 жыл бұрын
Nie wasenge apo mlikuwa interview au honeymoon..😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@gracecharles1244
@gracecharles1244 5 жыл бұрын
🤣🤣
@suleimankhalfan3102
@suleimankhalfan3102 5 жыл бұрын
😂😂😂😂
@minalirajab451
@minalirajab451 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@belindagiliard8977
@belindagiliard8977 5 жыл бұрын
Yaani nimecheka kijinga. We mbinguni uombe sana kuingia.
@mwanajuma4743
@mwanajuma4743 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣😂😂
@malakimollel6044
@malakimollel6044 5 жыл бұрын
Kama umeona bill nass kajikuna shingoni Mara 17 gonga like twende sawa 😂
@sarahwawuda7638
@sarahwawuda7638 5 жыл бұрын
😂😂😂😂
@justinamapema7431
@justinamapema7431 5 жыл бұрын
Malaki Mashauri hahahaha
@aminernkamia3929
@aminernkamia3929 5 жыл бұрын
Haaaa we umwnichekeshA
@neemamwageni8074
@neemamwageni8074 5 жыл бұрын
Malaki Mashauri 😂😂😂😂😂😂😂
@subilamhando1501
@subilamhando1501 5 жыл бұрын
Unavituko wewe😂😂😂😂
@pascalnguruka9984
@pascalnguruka9984 5 жыл бұрын
Wangekuwa wasanii wengne wangekuwa wanasema sitaki tuzungumzie yaliyopita.
@ashaofficialtz6872
@ashaofficialtz6872 5 жыл бұрын
Kiukwel nawapenda sana I wish waoane jaman😂😂😂ukwel wanapendezana sanaaaa Kama upo na mimi like and comment apo🍎🍎🍎
@catherinefortunatus8877
@catherinefortunatus8877 5 жыл бұрын
Hii cauple unaweza nywea chai haki mpendane tu😂😂😂
@ashuuyusuf3978
@ashuuyusuf3978 5 жыл бұрын
hahah
@giftnoah4904
@giftnoah4904 5 жыл бұрын
An napenda sana mahusiano ya bill nass na nandy
@KukuVillage
@KukuVillage 5 жыл бұрын
😂😂😂😂
@Ramadhan-te9sl
@Ramadhan-te9sl 5 жыл бұрын
Hahahaha
@princessshannia4215
@princessshannia4215 5 жыл бұрын
Mnapenda mahusiano ya watu na yenu jeee😂😂😂😂 watanzania bhn
@chantalmulasi5663
@chantalmulasi5663 5 жыл бұрын
Kwa sisi wazoefu wa mapenzi kiukweli NAndy ndo ana mpenda sana tena sana uyo ex wake
@mayatogolani
@mayatogolani 5 жыл бұрын
Chantal mulasi kweli, sema she's nervous coz alishayakanyaga 🤣🤣@bill can pretend yes but seem 'll never be the same guy.
@Mzalendo-
@Mzalendo- 5 жыл бұрын
Chantal ww mzuri sn kuliko hata nandy,naomba namba yako
@sifamyella1361
@sifamyella1361 5 жыл бұрын
Kabisa nandy bad haja kubal kuachana na billnass
@tonnytonnytonnytonny4607
@tonnytonnytonnytonny4607 5 жыл бұрын
hahahaaa hatariii
@hbmkl5050
@hbmkl5050 5 жыл бұрын
Chantal mulasi 1
@doreennasike6298
@doreennasike6298 5 жыл бұрын
Congratulation millard Ayo ..Hii interview ni ya kizazi sana 😍😍😍😍😍😍😍😍Naomba iendelee tafadhali😂.
@mericky6031
@mericky6031 5 жыл бұрын
Kwel
@doreennasike6298
@doreennasike6298 5 жыл бұрын
@@mericky6031 👊👊
@hemedmuddy4271
@hemedmuddy4271 5 жыл бұрын
Hahaha aminikwamba
@learnlivelove7606
@learnlivelove7606 2 жыл бұрын
Came here after the wedding....Love wins!!!
@estermasatu2499
@estermasatu2499 5 жыл бұрын
Aki hawa watu wanapendana na watarudiana tu . kama unakuabaliana na mm gonga like
@mrlyrics8512
@mrlyrics8512 4 жыл бұрын
ulikuwaga xahihi
@christinamsuya5492
@christinamsuya5492 2 жыл бұрын
Wamerudiana na ndoa imefungwa jana
@emmyyahya8358
@emmyyahya8358 5 жыл бұрын
Mie nasoma comment nacheka pekeangu 😂😂😂😂😂
@irenebeatus9481
@irenebeatus9481 5 жыл бұрын
Hii page ya tatu naona sura yako hahah haha
@zakyahya4645
@zakyahya4645 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂Uuuwi we kama mimi
@yaziduramathan8949
@yaziduramathan8949 4 жыл бұрын
Kama me vle
@lazboylazboy6188
@lazboylazboy6188 3 жыл бұрын
Kwann jmn
@papafikiri
@papafikiri 5 жыл бұрын
Ukipenda umbea hii ni interview nzuri sana....Billnass unaongea sana humpi nafasi Nandy.....mkiwa wawili kwenye interview mpe tym mwenzio
@ProsperReuben-fg6uh
@ProsperReuben-fg6uh Ай бұрын
Mwanaume ndo kichwa
@yasserabubakar6167
@yasserabubakar6167 5 жыл бұрын
Ayo Walete jux na vanesa.
@boybunchbay6639
@boybunchbay6639 5 жыл бұрын
😂😂😂
@shekinahfaymatatiana5875
@shekinahfaymatatiana5875 5 жыл бұрын
Walete Fayza ali na sugu😂😂😂😂
@rebecamsonga5574
@rebecamsonga5574 5 жыл бұрын
Shekinah Fayma Tatiana 😂😂😂
@yasserabubakar6167
@yasserabubakar6167 5 жыл бұрын
Tena jux yuko wazi ajua kuzungumza na yuko real kuliko bilnas anamenya maneno akimumunya.
@winfridamatonya9393
@winfridamatonya9393 5 жыл бұрын
Watu kwa kupenda ushilawadu hahahaa
@husnamagayane5663
@husnamagayane5663 5 жыл бұрын
Yan vituko walikuw wanafanya wao najikuta mm nafurahi jamn uuuuwiiii
@rosechami5637
@rosechami5637 2 жыл бұрын
Nimeona ya Nini mieee nkarudi kuja kuangalia hii interview Tena na Tena love always wins ❤️❤️❤️❤️❤️
@fabianbisama2026
@fabianbisama2026 5 жыл бұрын
Namimi nimeona bado wanalana hawa jamaa🔥🔥🔥
@muhusinibakari7045
@muhusinibakari7045 5 жыл бұрын
Mtoto kafikishwa hapo hataumpenini
@amjardspata5804
@amjardspata5804 5 жыл бұрын
Nanukuu.... Huyu pamoja na ex wangu..... Hapa penzi bado lipo piga like kama tupo pamoja😁
@muniraahmed624
@muniraahmed624 5 жыл бұрын
Nani anaamini kwamba hapa hakuna lngne zaid ya BUGANA promotion👆
@samweljulius1478
@samweljulius1478 5 жыл бұрын
Mimi😂😂😂😂
@hajiha6507
@hajiha6507 4 жыл бұрын
Wanagongana hao
@anicyaedward5605
@anicyaedward5605 2 жыл бұрын
Nimerud tena after kufunga ndoa na nandy akalia aiseee umenifanya pia nilie na vile ninavyowapenda mpaka nyumban wananisema yan guys all the best hamjui how much I was following you to see you getting married Coz tuliweka mpaka deal la pesa japo cjapewa ila 😢😢😢🙌🏽🙌🏽🙌🏽guys nawapenda nandy upow emotional 😭 like me pliz billinas ni mme bora upo sehemu sahihi goodluck Mungu yupo nanyi.. Tanzania 🇹🇿 tupo na couple hii kenya 🇰🇪 ni Bahati na Diana yan hz couple ndo my inspirational cchoki kuwatazama and I learn a lot from you guys
@bhokerappah4823
@bhokerappah4823 5 жыл бұрын
Hawa ni lazma walivyotaka hapa walienda kunjunjana sio kwa contact eyes izo 😊😊👌
@michaelgeorge1431
@michaelgeorge1431 5 жыл бұрын
Kama umependa hiyo ya kushindishana magari gonga like hapa
@catieeefrance6220
@catieeefrance6220 4 жыл бұрын
Nawapenda sana
@aminaselemani677
@aminaselemani677 4 жыл бұрын
tulokuja baada ya wao kuvishana pete?🤗
@wittyraha1176
@wittyraha1176 4 жыл бұрын
hatar
@millyxent6826
@millyxent6826 4 жыл бұрын
Who's watching again after their proposal?
@paulinekileo324
@paulinekileo324 4 жыл бұрын
Me
@robertondari1747
@robertondari1747 4 жыл бұрын
@susan syombua mwiitu wa mwaitu
@djjoman
@djjoman 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@neycoleclassic4426
@neycoleclassic4426 4 жыл бұрын
Tupooo
@mwanahsalim9569
@mwanahsalim9569 4 жыл бұрын
Waoooow
@rajabumussa4602
@rajabumussa4602 5 жыл бұрын
Nan anaamini kuwa ni wapenzi ila wanatuzuga, gonga like
@casmirmwapinga3589
@casmirmwapinga3589 5 жыл бұрын
😂😂😂🤣🤣
@kidotanne429
@kidotanne429 4 жыл бұрын
Jaman kwa hayo maongezi Nandy kama wameachana bas Nandy amemmiss sana Billnass😃na Billnass anapenda sana utani I like it Millad anaweza akarudisha watu kwenye relationship
@rukiashoko7528
@rukiashoko7528 5 жыл бұрын
Yani bilns anaonekana ni mwana umee anapenda kukazaa hataki kuonekana km ana mkubali nandy
@hasanigimba3644
@hasanigimba3644 5 жыл бұрын
Rukia Shoko . yap
@lazaroclavery2353
@lazaroclavery2353 5 жыл бұрын
Nenga uo muwasho umetoka wap jamaaani!mbona haturiiiiiiiiii
@onesmomazingo6932
@onesmomazingo6932 5 жыл бұрын
Lazaro Clavery ni poz mbele ya ndina
@aminakilahama2751
@aminakilahama2751 5 жыл бұрын
Lazaro Clavery 😂itakuwa cheni labda imechubuka
@photunatamakelele6980
@photunatamakelele6980 5 жыл бұрын
😢😢😢
@patriciamassawe5370
@patriciamassawe5370 4 жыл бұрын
Au genye
@sandrakateslopez2488
@sandrakateslopez2488 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@nelsonalfayo4728
@nelsonalfayo4728 5 жыл бұрын
I like the way millard is always relaxed during an interview....high maturity level....
@salmasmith123
@salmasmith123 5 жыл бұрын
Kabisa
@mwajumamwenkale9192
@mwajumamwenkale9192 2 жыл бұрын
Hongereni kwa kutunza mahusiano hatimae kufunga ndoa mungu awabariki Sana kwenye ndoa yenu
@sniper93999
@sniper93999 2 жыл бұрын
"SIKU IKITOKEA TUMEREJEANA NITAKUOWA" Millard ayo "TUNASUBIRIA after 2 years imekuwa done
@julietkhoin3554
@julietkhoin3554 2 жыл бұрын
God’s timing 🥺
@martinkredo7103
@martinkredo7103 2 жыл бұрын
Jambo limekuwa jambo wamekuwa pa1 now wanandoa hawa wawili aiseeee gonga like hapa kama uko happy na interview hii..
@AngelAngel-it7jv
@AngelAngel-it7jv 5 жыл бұрын
nandy bado anampenda jmn billy jmn😘
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA 5 жыл бұрын
😀😀😀😀😀😀😀😀
@kingflavour715
@kingflavour715 5 жыл бұрын
Millard Ayo umetisha Sana kwa maswali mazuri ila Bilnas na nandy mpo pamoja ila mnatuzuga tu mpendeza Sana brother
@mericky6031
@mericky6031 5 жыл бұрын
🤝
@zainabboss5619
@zainabboss5619 5 жыл бұрын
Millado naomba namba zako
@muddykabasele1188
@muddykabasele1188 4 жыл бұрын
bilinax mpe nandza
@mariamfredy9531
@mariamfredy9531 4 жыл бұрын
Ayo kibokoo was maswali
@jumaboy1039
@jumaboy1039 3 жыл бұрын
Gh
@twaariqazizkijida1849
@twaariqazizkijida1849 5 жыл бұрын
Kama umesikia nandy akicema et, tunaenda gest tunalipia hata 5000 tunalala gonga, lik twend ok
@raphaelbemeye496
@raphaelbemeye496 4 жыл бұрын
Millard ayo umechangia sana kuirudisha hii couple pamoja🙌
@bonifacehamis4088
@bonifacehamis4088 2 жыл бұрын
Hongereni sana jana mumeyatimiza haya nandy+bilnass ❤️❤️❤️
@judyngowi391
@judyngowi391 2 жыл бұрын
Yaani wewe, umerudi kusikiliza huku kama mimi baada ya jana
@zubedajuma763
@zubedajuma763 2 жыл бұрын
@@judyngowi391 adi mm😂
@suzanaagustinookelo4953
@suzanaagustinookelo4953 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂Hadi mimi
@floramkwizu6964
@floramkwizu6964 2 жыл бұрын
Hadi mimi
@mwanaidsalehe1109
@mwanaidsalehe1109 2 жыл бұрын
Na mim pia.
@raymondkanyama6387
@raymondkanyama6387 5 жыл бұрын
tunaomba iendelee part3 wengne tunastress tunazpunguzia kwa hawa jamaa..wanapendeza kchiz
@mericky6031
@mericky6031 5 жыл бұрын
👍
@jeffmauzo5483
@jeffmauzo5483 5 жыл бұрын
Umeona eeh
@nadiahussein5892
@nadiahussein5892 5 жыл бұрын
Haaaa haaaaa
@mandyfitnesstv6738
@mandyfitnesstv6738 5 жыл бұрын
Kweli mkuu
@zaynabkalombi1579
@zaynabkalombi1579 5 жыл бұрын
Mweeeee
@tausingomeni2568
@tausingomeni2568 5 жыл бұрын
Bora mrudiane na muowane tu,
@misojisahani9469
@misojisahani9469 5 жыл бұрын
I love the interview, they are so really. Hongera sana Millard. Kila la heri kwao Nandy na Billnass. I wish kama ingeendelea hivi 😀😀😀😀
@priscaalphonce1662
@priscaalphonce1662 2 жыл бұрын
Hatimaye kwa KWELI, yalikuwa Ni matumaini yetu wengi wawe pamoja coz they love each other
@estherlema4720
@estherlema4720 2 жыл бұрын
Nimeirudia tena jamn dah ilikuwa pambe sanaaa Kama Mungu aliamua waifanye aisee Kila la kheri katika ndoa yenu❤️
@dafrosamsonge2007
@dafrosamsonge2007 2 жыл бұрын
wameoana sasa Millard jitahid interview ingne km Mr na Mrs official
@margarethsaramaki1100
@margarethsaramaki1100 5 жыл бұрын
Mungu awape baraka ili mje muoane na kuwaepusha na mabalaa mfunikwe kwa damu ya Yesu
@mwajabugasala9154
@mwajabugasala9154 4 жыл бұрын
Dua yako inaenda kukubaliwa
@ditlindarutekiza1428
@ditlindarutekiza1428 2 жыл бұрын
Finally they're getting married ♥️
@winfridagama5832
@winfridagama5832 2 жыл бұрын
Hakika yametimia
@missshaely8053
@missshaely8053 5 жыл бұрын
Ruge was a good person indeed..RIP
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 5 жыл бұрын
Sanaaa alkua mtu SMART.MUNGU AMSAMEHE MADHAMBI YKE
@saudaabdallah.6480
@saudaabdallah.6480 5 жыл бұрын
Hawa bado ni wapenzi wanaonyesha tu
@harunasimba7700
@harunasimba7700 3 жыл бұрын
@@saudaabdallah.6480A Sac. Xeexxc,2xx2sm Ddaax as ÷÷ X of A,1 s"#÷¤ C C CX2DCzwc z w 2xz
@johariabdalla3319
@johariabdalla3319 5 жыл бұрын
Yaaaani hili interview kibokooo,maana ingelikuwa inaendelea mpaka part v😂😂,hii kiboko na imevunja record kwa ukaliii,big up Millard..Na nawatakia kila lakher katika hiyo harusi yao,maana halina mjadalaa...
@allyndossy8789
@allyndossy8789 5 жыл бұрын
dah kwel master am so excited wid thiz interview
@rambomchoraji1918
@rambomchoraji1918 5 жыл бұрын
Hii ni ya kibabe
@bettymassanja881
@bettymassanja881 5 жыл бұрын
Johari Abdallah, kwao hao wamepanga kuoana tafadhali?.
@johariabdalla3319
@johariabdalla3319 5 жыл бұрын
@@bettymassanja881 sisi ndo mabahari wenyewe wa mjini😂tunaoona mbali,na tuliiia mambo mazuri hayataki harakaa..utaonaa
@priscarchalamila469
@priscarchalamila469 5 жыл бұрын
johari abdalla duh yaan nimependa sanaa et ndo inatakiwa hivyo so kila mtuu kuweka waz ajue
@aminamkindi922
@aminamkindi922 2 жыл бұрын
Nimerudi hapa 2022 and yes i was rght baada ya hii interview nilijua watarudiana tuu na hakuna kuachanaa 😁😁😁😁😁😁😁😆😆😆😆😆
@andromedagalaxy8627
@andromedagalaxy8627 2 жыл бұрын
Na wameoana tayari 😄😄
@avelinngwada8154
@avelinngwada8154 2 жыл бұрын
Mungu ni fundi hongera Sana kwako,ukiiangalia hii interview unaona kabisa walikuwa bado wanapendana
@gladnesssanga1601
@gladnesssanga1601 2 жыл бұрын
Kwel kabisa
@seifmohamedseif9467
@seifmohamedseif9467 5 жыл бұрын
Nandy anaonyesha nataka tena penz ila jamaa anajifanya kujibu hvo kuonyesha atishwi nae tena ana mwona wa kawaida
@fatmabushiri1301
@fatmabushiri1301 5 жыл бұрын
Kabisaaa, ananichefua bill nass
@angelalfred8128
@angelalfred8128 5 жыл бұрын
Aseme mumuone mdhaifu anampenda bado Ila awezi kusema
@leylasaid2616
@leylasaid2616 5 жыл бұрын
Anajifanya hakuwa akimpenda nandy...yaani kama vile hajali
@seifmohamedseif9467
@seifmohamedseif9467 5 жыл бұрын
@@leylasaid2616 kafanya kusudi nae anapenda tu ila bas nadhan km anataka jamii ione hastuki hv 😂😂 na hyo bada nandy kua na ruge
@seifmohamedseif9467
@seifmohamedseif9467 5 жыл бұрын
@@angelalfred8128 anazuga tu
@Khalid-640
@Khalid-640 5 жыл бұрын
Ka unangoja part 3 ya hi interview angusha like
@nanceymartines8257
@nanceymartines8257 5 жыл бұрын
Jaman naomba mrudiane dahhh nawapendaaaa mpk naumwa😤😭 they are so lovely jaman
@Fx_expertmoneymaker001
@Fx_expertmoneymaker001 2 жыл бұрын
Duuh ila hii interview mlikua bado mnapendana nyie na mmethibitisha.😍😍. Kwa mara ya kwanza kuangalia interview mwanzo-mwsho bila ku skip..😅Mungu awaongoze ...🙏🏼🙏🏼
@najma3268
@najma3268 5 жыл бұрын
Nandy ulipata mwanaume anaejua matatizo ni sehemu ya maisha , hakika Allah ampokee huko aliko inshaallah
@zackylaizer1203
@zackylaizer1203 4 жыл бұрын
Najma 3 umeonaee?
@onexofficial95
@onexofficial95 5 жыл бұрын
Interview kali..never ever seen nimependa mno imenifanya cku yangu ikaenda poa mno big up @millard ayo
@benedictorhilary4614
@benedictorhilary4614 5 жыл бұрын
Wanasemaga "Watu walioachana kuwa marafiki ni aidha bado wanapendana au hawakupendana kiukweli"😅😂 Kwa case ya hawa jamaa nashindwa kuelewa ila I love the chemistry
@carolnashy105
@carolnashy105 2 жыл бұрын
Congratulations to the lovely couple, words are powerful, we witnessed.
@dynahgeorge8631
@dynahgeorge8631 2 жыл бұрын
Kaka Millard hongeraa buanaa naweza sema umechangia Hawa watu kufika walipo saivi hizo ni baraka Mungu awatangulie couple yangu pendwaaaa
@samgaya
@samgaya 2 жыл бұрын
Millard waite tena hawa jamaa😂😂😂
@muhubiriproduction69
@muhubiriproduction69 5 жыл бұрын
kutumia mua kama mkongojo wa kati wa jua kali ni ngumu, lazima utatafuna, so ukaribu wa hawa unatia shaka
@annasamo7063
@annasamo7063 4 жыл бұрын
Muhubiri Production hii comment hainiishii utamu
@giftmwiba5000
@giftmwiba5000 3 жыл бұрын
Ok
@anwarally7611
@anwarally7611 2 жыл бұрын
🤣 mzee big up hii message kali sana
@japhethlyamba232
@japhethlyamba232 5 жыл бұрын
Kama umesikia dogo janja ni mbea gonga like
@florentmwenda804
@florentmwenda804 5 жыл бұрын
asanteeee
@Muubadtz
@Muubadtz 5 жыл бұрын
ivooo
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@jenstachekichini3926
@jenstachekichini3926 4 жыл бұрын
Umbea nayo kazi mm
@lovenessaron2669
@lovenessaron2669 Жыл бұрын
Binafsi nilikuwa nawaona mbali sn hawa wana Ndoa nilijua tuu Mungu atajalia Ndoa,Nawapenda sn Hawa watu jamanii 😍😊♥️🔥🔥🔥
@pinahoscar6735
@pinahoscar6735 5 жыл бұрын
Masikin ka nandy kanampenda sana nenga yan kanavomuangalia hilo jicho duh! si mrudiane bhana na nyie??? ila millad hii ni bonge la interview tunasubiri part three kaka
@wailesdeus3764
@wailesdeus3764 5 жыл бұрын
Hii interview unaweza maliza kula mkate bila chai 😂😂😂😂😂😂
@salomelucas2587
@salomelucas2587 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂🏃🏃🏃
@jenyjaphet2157
@jenyjaphet2157 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣🏃🏃🏃
@photunatamakelele6980
@photunatamakelele6980 5 жыл бұрын
😂😂😂😂
@bulashijesca7554
@bulashijesca7554 5 жыл бұрын
Daaa kweli asee,
@essyesther3077
@essyesther3077 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@jimmystevens6068
@jimmystevens6068 5 жыл бұрын
Hawa bado wapenz waache kuzingua watu.
@thabitnasibu1436
@thabitnasibu1436 5 жыл бұрын
Ni kweli bado ni wapenzi na ndoa wanafunga mwaka huu!
@sach9960
@sach9960 5 жыл бұрын
Kumbe mwanang umegundua ilo ndo mahn hata maelezo yao ayanyooki
@jalomedaud6105
@jalomedaud6105 5 жыл бұрын
Mnapendana kweli
@tonnytonnytonnytonny4607
@tonnytonnytonnytonny4607 5 жыл бұрын
kweliii
@venbeestz6856
@venbeestz6856 5 жыл бұрын
Vęñ Błees Ťź
@winniepriyanca3853
@winniepriyanca3853 5 жыл бұрын
Bills unajaribu kuficha hisi zako kwa nandy the way unajibu maswali bh truth u see want her
@yasserabubakar6167
@yasserabubakar6167 5 жыл бұрын
Mmmh millard anachimba mpaka jama a wanaonekana wazi wapo kwenye mapenzi upya.
@jacquemeela474
@jacquemeela474 5 жыл бұрын
Hahahahhaah
@hajikibaya766
@hajikibaya766 5 жыл бұрын
Vichekedho
@lusekelojohn7467
@lusekelojohn7467 4 жыл бұрын
Bukoba municipal
@happyvan6613
@happyvan6613 5 жыл бұрын
macho ya mirad mbona kama vile yana wivu vile au wako honeymoon ila hawa hawajaachana bado, macho yao yanazungumza aisee,
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 5 жыл бұрын
Yani ndio ningekua mpnz wa nandy kwa hapa ningeterminate contract zote nikatafute mahali salama koz hapa ni sawa na kuweka shamba la miwa karibu na shule ya msingi
@abduljembe6608
@abduljembe6608 2 жыл бұрын
Haha 🤣 kweli kaka
@zulfamwinyi187
@zulfamwinyi187 5 жыл бұрын
Jaman mrudiane tu mmenoga hatari yaani hd kuwasikiliza interview yenu raha
@kituhilel.j9747
@kituhilel.j9747 5 жыл бұрын
Kwakweli warudiane jamani
@mozahaji8744
@mozahaji8744 5 жыл бұрын
kwakweli warudiane tu
@andromedagalaxy8627
@andromedagalaxy8627 2 жыл бұрын
Wamerudiana, wameoana na wamepata na mtoto juu 😛😛
@maisaalawi5399
@maisaalawi5399 5 жыл бұрын
Ata mkirudiana sio mbaya Ila mcheki afya zenu.
@annasamo7063
@annasamo7063 4 жыл бұрын
Maisa Alawi sure
@gracebahati738
@gracebahati738 5 жыл бұрын
Mtangazaji hapenda sana interview zako zote Hakuna ujinga wagonga meza Wala maswali yakipuzi
@shanymwenda7920
@shanymwenda7920 2 жыл бұрын
Millard hii interview ndo imesababisha ndoa ya nandy na billnass maana walifunguka ya moyoni kila mmoja kumuhusu mwenzie,hongera sana sana
@BahatiAbdarahamani-vv4tc
@BahatiAbdarahamani-vv4tc Жыл бұрын
Real
@dayanafelly1488
@dayanafelly1488 2 жыл бұрын
Now they are hubby and wifey! Love you too so much! Mungu ailinde ndoa yenu
@minalirajab451
@minalirajab451 5 жыл бұрын
Nandy funguka dada angu jama mwambie kua bado wamupenda kuliko kumutizama tizama na macho ya mahaba
@mariasospeter6533
@mariasospeter6533 5 жыл бұрын
Bilinas ana vidole vizuri
@justinamapema7431
@justinamapema7431 5 жыл бұрын
Maria Sospeter hahahahaha nimecheka sana
@mariasospeter6533
@mariasospeter6533 5 жыл бұрын
Jmn mmenifikilia tofauti na ninavyofikili Mimi ila kiukweli nimetokea kuvipenda vidole vya billnass
@mariasospeter6533
@mariasospeter6533 5 жыл бұрын
@@justinamapema7431 umefurahishwa na nn
@mariasospeter6533
@mariasospeter6533 5 жыл бұрын
@SwahiliBuzzOnline naanzaje kuwaza ujinga alafu cikufikilia chochote kibaya
@mariasospeter6533
@mariasospeter6533 5 жыл бұрын
@@mohamedslh5478 inawezekana
@hamad_xr1265
@hamad_xr1265 5 жыл бұрын
It's like Millard wants these two together
@fafabrownny6675
@fafabrownny6675 5 жыл бұрын
walai vile lol
@ereswidamoshi7404
@ereswidamoshi7404 5 жыл бұрын
Me mwenyewe nahisi
@sittimohamed7556
@sittimohamed7556 5 жыл бұрын
Hamad_ XR sure
@anithamwambola9292
@anithamwambola9292 2 жыл бұрын
Kafanikiwa
@samayrakindago9947
@samayrakindago9947 2 жыл бұрын
0
@auntyjj2754
@auntyjj2754 2 жыл бұрын
Aisee turorudi apa tujuane
@nolimittvonline6822
@nolimittvonline6822 2 жыл бұрын
Mapenz na ushkaji laha sanaa
Salama Na NANDY Ep 53 | MNOGESHAJI PART 1
35:35
YahStoneTown
Рет қаралды 324 М.
How do Cats Eat Watermelon? 🍉
00:21
One More
Рет қаралды 11 МЛН
OYUNCAK MİKROFON İLE TRAFİK LAMBASINI DEĞİŞTİRDİ 😱
00:17
Melih Taşçı
Рет қаралды 12 МЛН
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 56 МЛН
NANDY ASIMULIA ALIVYOMTESA BILLNASS UJAUZITO ULIVYOKUWA MCHANGA
9:45
SHUGHULI ZETU
Рет қаралды 236 М.
BABA LEVO afichua siri NILIWAONA NANDY na BILLNASS WAKIZAGAMUANA
8:36
LIVE: EXCLUSIVE INTERVIEW NANDY NA MILLARD AYO, NANDY AFUNGUKA
1:13:16
Nandy - The African Princess
Рет қаралды 120 М.
How do Cats Eat Watermelon? 🍉
00:21
One More
Рет қаралды 11 МЛН