Swadakta Rizki mtoaji ni Mwenyezi Mungu. Namuomba Allah aendelee kukubariki ktk maisha yako.
@fatimarizvan311915 минут бұрын
Mashaallah mungu akuzidishiye boss na Asante kwa maneno mazuri 🙏
@hajikatanje596131 минут бұрын
Boss upo Allah Aendelee kukupa riziki na salama ktk umri wako
@jeremiahcharles60272 сағат бұрын
Connection ni muhim kwenye haya maisha ya bongo,,,,,,,,,,
@AlliMohamed-q2y22 минут бұрын
Daah interview inatia huruma sana😢 safi sana boss lugumi
@brownngullo405137 минут бұрын
Ukitaka kutoboa jitahidi sana kuwa jasiri na mwenye uthubutu. Watu ambao elimu zao ni darasa la 7 wana nafasi kubwa sana ya kufanikiwa kuliko wasomi.. Wasomi wengi ni waoga wa maisha
@HakizimanaFistonСағат бұрын
Yes kabisa mungu Akuzudishiye
@SalimSalimu-z5cСағат бұрын
Tajiri Lugumi Mungu Akupe Maisha careful Tupo Kongo hatuna njia ya kuja tz
@AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm2 сағат бұрын
Mahojiano bora mafupi kuwahi kuyaona duniani😊😊😊😅😅😅
@AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm2 сағат бұрын
Samia ni miongoni mwa viongozi ambao hawapendi kuzulumu watu
@saidilome-ue2df2 сағат бұрын
Imam natamani nimsikilize na kumuangalia wakati woote.Allah amuhifadh sn na amjaalie afe ni muislam wa kweli
@faridahalwaily8551 минут бұрын
Subhannaah Allaah kwelii kabisaa
@ip_header2 сағат бұрын
Nice interview, I learned something
@danieljoseph161013 минут бұрын
Ila huyu Lugumi ndo mimi kabisaaaaaaa
@IddiAllykh2 сағат бұрын
Mashaa allah mungu aziku kukupa riski ya kuishi katika haya maisha uzidi kuwasaidia hao watoto
@ShoppingMall-eo1vtСағат бұрын
Masha Allah
@kelvinlimbe1263Сағат бұрын
Kaka mungu akubariki sana.najifunza vitu vingi sana. kutoka kwako
@user-to6up4hg2w2 сағат бұрын
Masha Allah ❤ may Allah protect you
@giztony20092 сағат бұрын
Huyu jamaa maneno yke nayatumiaga kama faraja nikiwa namawazo!
@fidelMlonsi2 сағат бұрын
Sina RAFIKI 🎉 mhimu sanaa❤
@hassanmitayo187538 минут бұрын
Maneno mafupi mazuri sana.
@sheddmusic47Сағат бұрын
LUGUMI TAJIRI🎉🎉
@mcmgassa33 минут бұрын
mwandishi, ulipaswa kupanga maswali yako vizuri.
@zaburi2386Сағат бұрын
Kwahyo hao watoto Yatima kawachkua waislam wenzie tu
@SebastianNgimba2 сағат бұрын
hapo kwa marafiki nimekuunga mkono,
@hanifaa1487Сағат бұрын
Mashallah ❤❤❤❤❤
@HappyatHome-bn8wmСағат бұрын
ukiona HAMISI hv ujue kifo kinakaribia mtu anajutia madhambi yake na alivyoumiza watu na kuibia watu.
@BonnyMwajombe-iu7hb28 минут бұрын
Huyu mwandishi serikali ya jamhuri ya watu wa Tanzania inapaswa imjengee sanamu, iwe kielelezo cha uandishi wa habari , maana anahoji kwa utaratibu sambamba na akili,hekima ,heshima na adabu!
@Kareemmedia2 сағат бұрын
Maisha ni hatua na ni Siri pia
@ngotosilasi2099Сағат бұрын
Rugumi tumekumisi magu ujebwana
@kamalmohamed66448 минут бұрын
Tafuta hela usaidie wazazi wako📌
@ellsonmkonyi13192 сағат бұрын
Safi mkuuu unachokifanya n kitu kizuri na ni watu wachache wanaoweza kufanya kama ww
@AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm2 сағат бұрын
Rafiki watoto ndio rafiki bora ktk maisha yangu ninao wapenda
@kuchimillionaire6683Сағат бұрын
Naomba namba ya Said Lugumi
@MzeeKagamboСағат бұрын
Unayo MAWAZO YA HALI YA JUU
@tumainiellyimo465738 минут бұрын
Nje wanamzungumziaje?
@fidelMlonsi2 сағат бұрын
Waiting for this🎉
@davidkihiga3531Сағат бұрын
Kama kuna mtu ana moyo wa kweli ni huyu Bwana. Amesema hata nyumba itauzwa kwa ajili ya kulea watoto hao
@maase202316 минут бұрын
Elimu ni jambo muhimu mno
@Brunotarimo102 сағат бұрын
BIG UP LUGUMI
@HakizimanaFistonСағат бұрын
Yes
@amosmahona433Сағат бұрын
Millard ayo na ayo tv mko vixuri sana
@tumainiellyimo465743 минут бұрын
Hahahahhaa atauza nyumba hahahhaah
@franckswedi5664Сағат бұрын
Wahabudu ibilisi
@MzeeKagamboСағат бұрын
Umezungumza SAHIHI
@MohdTryson2 сағат бұрын
Mashaallah
@sixbertguntrammoyo8483Сағат бұрын
Mimi mwenyewe naamini utajiri ukiendekeza ndugu na marafiki unafirisika
@faridhassan6834Сағат бұрын
Huyu jamaa alikuwa rafiki yangu long time Nyamagana Ziwa,kumbe ndio lugumi Duu dunia hii wacha
@faustinedeogratias433710 минут бұрын
Alkua anajihusisha na nin kpindi icho
@itanzaniaAS44 минут бұрын
LUGUMI ALITREND SANA . TUJUE BIASHARA KWANZA?
@AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm2 сағат бұрын
Aliepita alitaka kumuangusha huyu jamaa
@BonnyMwajombe-iu7hb25 минут бұрын
😂 halaf kumbe ni mkanda ya ziwa mwenzake
@ZaidAKissinza17 минут бұрын
Wewe Mwandishi sijui ni wa aina gani, Mimi nakuuliza ulikwenda kwa Lugumi kutembea au ulikwenda kufanya interview? Mbona hakuna hata swali moja ambalo limenishawishi nikuone kama wewe ni Mwandishi wa habari kweli? "Ushauri wa bure" Siku yoyote ukipata nafasi ya kwenda kufanya naye Interview basi jipange, andika maswali yako muhimu kumhusu mlengwa, na maswali mengine utayakuta huko kadiri atakavyokuwa anakujibu. Umeonekana ni dhaifu sana kwa maswali, na kama ungekuwa unafanya kazi kwenye Ofisi yangu basi wakati unarudisha mike na vifaa vingine vya kazi hapo ndiyo mwisho wako kufanya kazi ofisini kwangu.
@faustinedeogratias43374 минут бұрын
Aombe ushauri kwa wenye upeo kumzidi, vijana wanahitaji inspiration, maswali hayana chembe ya kitu icho