What a wonderful young man .really talented .As your kenyan neighbour I salute you young man .
@rollahngimbwa697810 ай бұрын
Good talent kaka👍👍 Balikiwa mnooo mwenyz mngu akulinde na akuzidishie kipaji Zaid🙏🏽
@BedeDC5 ай бұрын
Balikiwa ❌ Barikiwa✅
@subirajohn728 Жыл бұрын
Umeweza kijana ! Mama mwenyewe akisikiwa❤️❤️❤️❤️
@Valentinedionz11 ай бұрын
😮
@chingaomar4 ай бұрын
❤
@liandonatus8561 Жыл бұрын
Ukisikia maajabu ya Dunia ndo haya Sasa. Huyu ni mwanaume lakini kaweza kuigiza sauti ya Samia. Hiki ni zaidi ya kipaji. Mungu akusimamie ili ukanufaike kupitia talent yako
@mariammalimi9551 Жыл бұрын
Hahahaa ni hatar sana
@JustaTz11 ай бұрын
Dogo Anakipaj tu! Hongera Yake
@siamnyone840310 ай бұрын
🤣🤣🤣saut aigizeee na vyoteeee zidii kumuombeaaaa
@itiamekimbui72210 ай бұрын
ukisikiza bila kuangalia utaamini ni mama kweli
@exaverymakoye602610 ай бұрын
@@siamnyone8403😂😂😂
@worldknowledge254 Жыл бұрын
The voice, tone and rhythm is Samia's... watching from Kenya🇰🇪
@janeatjaneat659911 ай бұрын
😂😂😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@سوزي-ع1ل11 ай бұрын
🇰🇪🇰🇪👌👌
@chaomadedo11 ай бұрын
I tell you lol 🇹🇿
@OnesmoEmmanuel-xr2rf Жыл бұрын
Mweee hii ndo Tanzania yetu kila kukicha ni mpya😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@AntonyKibunguru-z5h11 ай бұрын
Hongera sana kwa hotuba yako nzuri, serikali ikupe nafasi nzuri
@zainabmaulid9637 Жыл бұрын
Ww jamaa umetisha kuliko wote wanaoigiza sauti
@KM-hx8zy Жыл бұрын
Shukuru Mungu kijana ndo namna ya kubarikiwa, sasa ulienda kwa waganga kupata kipaji sawa na hicho! Mungu anabakia Mungu
@mustaphabett561611 ай бұрын
Much love from Nairobi capital city of kenya...Greetings to you and all our neighbours raw talent
@kizittohescary1213 Жыл бұрын
Jitahidi kwenye matamshi ya Ra na la,usimix ili uwe sawia na mama ,ila uko vzur sana its a pure talent
@deograciakashaigili5973 Жыл бұрын
Hakika arekebishe hapo tu
@sophiezakaria Жыл бұрын
@@deograciakashaigili5973accent comes natural, there's nothing he can do about it
@rashadymuhamad62934 ай бұрын
Ni kweli yupo vizuri, ajitahidi na re na le
@MulindaMulinda-p5l2 ай бұрын
Exactly.
@josphatkariuki845711 ай бұрын
Pure talent. Much love from Kenya.
@mohamedkutwambi Жыл бұрын
He is a very talented boy
@JamesMwandoje Жыл бұрын
Wa2 wanatalanta ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉...mungu wa ajabu
@professeurleonard685 Жыл бұрын
Hongeraa Sana kijana,umeupiga mwingiii,sauti na namna ulivyopangilia hotuba yako....... great😊
@carolyneaketch1653 Жыл бұрын
Watching from Kenya. Raw talent!
@JRN26129 ай бұрын
Kila kitu on point ispokuwa herufi R na L.. Mama Samia hayuko na hiyo tatizo😅
@luciakabui31513 күн бұрын
Tatizo yetu Wakikuyu hiyo. Never imagined the 'disease' can be beyond our borders.
@MonicaNgussa Жыл бұрын
Da Yuko vizuri jamani Mungu fundi
@brownsebastianmwibi5647 Жыл бұрын
Tayaŕi kijana katoboa. Ni zamu yake hii baada ya Miso Misondo na wazee wa makoti kujipatia umarufu. Hongera sana kijana
@salimkhamis3638 Жыл бұрын
Samia hasemi Wazili bali ni Waziri
@frankhoffa8356 Жыл бұрын
Umeambiwa anaigiza sasa kuigiza huwezi kufaulu kilakitu
@ancyblix Жыл бұрын
@@frankhoffa8356😂🤲🏾
@SporaJackson10 ай бұрын
@@salimkhamis3638anaiga sauti sio matamshi bna
@ZulfaYussuf-b1r3 ай бұрын
@@salimkhamis3638kaigiza sauti so lafudhi zingatia sauti brother
@edwinndirangu778 Жыл бұрын
Watching from Kenya this is pure talent and it reminds me of Baraka Magufuli
@rizikirashid119911 ай бұрын
MashaALLAH mweshimiwa Rais Dr Samia Salim kuza talanta ya kijana
@christinemarura1944 Жыл бұрын
Watching from Kenya...much love❤❤❤
@janeatjaneat659911 ай бұрын
❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@kaburaberchimas-n6l Жыл бұрын
Kweli upewe mauaaaaa🎉🎉🎉🎉! This is creativity
@janeatjaneat659911 ай бұрын
Watching from🇰🇪🇰🇪🇰🇪 good talent 👏👏👏😂😂😂
@kenyatop-notchnewstv.3 ай бұрын
Greetings to our brothers of Tanzania, watching from Nairobi,Kenya.
@bettyisaya-km6mf Жыл бұрын
Big up kwakwelii, kipaji amazing Nimependa❤️
@kingsweetbert Жыл бұрын
So talented❤❤❤❤❤❤
@adamlalana7146 Жыл бұрын
Nice boy ,uyo kijna anastahiki kupewa mauwa yake 🎉
@kaberiawankaune694311 ай бұрын
🔥🔥🔥 Respect Large from Kenya
@LennoxBugeraha Жыл бұрын
😂😂😂, amempita mpaka mama samia mwenyewe..
@mariammalimi9551 Жыл бұрын
Hahahaaaa
@ajfanofly7944 Жыл бұрын
Umeona ee😂mm hapana hajampatia😂
@ajfanofly7944 Жыл бұрын
Kwanza rais Samia anazungumza kiswahili fasaha😂lkn uyu anaongea kama bata.
@nururaymond52 ай бұрын
Anajitahidi ila akazane R na L asichanganya @@ajfanofly7944
@salamasaidi662010 күн бұрын
@@ajfanofly7944😂😂😂😂😂😂😂
@timothynzioka355211 ай бұрын
Watching from Kenya,much love boy,umeweza
@salamaisayas8281 Жыл бұрын
Hongera sana kijana unaweza mnoooooo
@joycekisamo4896 Жыл бұрын
Isipokya L kwenye R, ndio inamwangusha 😄
@TwalibuIddy-f6m4 күн бұрын
Kaka hongera sana kwa talent
@honestandakidemi2332 Жыл бұрын
Hapo kwe( la) na (Ra)rekebisha,ila unajua aiseee👏👏👏👏👏👏
@josephineokama2200 Жыл бұрын
jamani mfuatilie Rais mwenyewe ndo hua anaingea hivyo badala ya R A WEKA L
@benedictachok677211 ай бұрын
Hongera kwa kipaji hatari kweli. Watching from Kenya
@VickIzaack Жыл бұрын
😂😂😂😂umeweza tena umeweza Big up kijana.
@LooqmanAbdoul11 ай бұрын
Congratulation brather unaigiza vizuri sana🎉
@nikodemmwahangila3334 Жыл бұрын
Umeweza umetisha
@benadethacreophace243311 ай бұрын
Hongera kijana.Kipaji unacho.❤❤❤.
@hawaelymaricca7602 Жыл бұрын
Dogo umeweza sana mama anakuona atakuita kwenye mikutano huko
@Ramadhannjalimbo-np1ms9 ай бұрын
😂
@isabellemande8 ай бұрын
Watching from Mombasa Kenya, congrats kijana wetu unastahili muigizaji shupavi, hata unadhania mama Samiya mwenyewe hongera sana
Watching from USA, this reminds me about Baraka Magufuli
@YusufLubangula-yn6tq Жыл бұрын
Anajitaidi Hanaukanjanja Huyu jamaa Nisauti ya Muheshimiwa kabisaa🤣🤣🤔
@TabiaSalim3 ай бұрын
Huyo n yeye kabisa kkngu nkubali I congratulate you it's like ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ mashallah tabarakallah Allah taala uko n kipaji kkngu
@salamuushawji2044 Жыл бұрын
Hongera lakini jitahidi kutamka vizur R ikae sehemu yke....
@CeciliaRichard-j3d17 күн бұрын
Mungu abariki kipaji chako hongera sana kaka
@everlineeverlinewamalwa243 Жыл бұрын
Wow! Very talented guy
@LinetMapenzi-sw2pt11 ай бұрын
Waaah hongera sana kaka 🇰🇪🇰🇪
@evansnyarib032 Жыл бұрын
This is wonderful, very wonderful, mungu akubaliki zaidi na zaidi.
@SurprisedRetroCamera-kl8yx11 ай бұрын
Ahahaaa😂😂😂🙏🙏🙏 Mungu akuinue zaidi
@MakoyeMakoye-i4h Жыл бұрын
Hongera sana kijana wetu mtanzania
@Eustina-cn1zz3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂Mungu azidi kukuinua kijana.u can say mama samia uyo,watching from Kenya,much ❤.
@sammykimilu-ms1lv Жыл бұрын
Wawawawa,He talks exactly like her.,. WOW
@iaurentpanema6810 ай бұрын
umetisha👋👋👋👋
@SelemanMuhamed-ir5zl Жыл бұрын
He is talented ❤❤😊
@ConjesterKalyahiАй бұрын
Shda inafata maelekezo big up brother ❤❤❤❤
@sadikjuma5519 Жыл бұрын
Talent hatari ❤
@franklinpendo444 Жыл бұрын
Kipaji kipo kweli. Hongera brother
@zulfaissa7814 Жыл бұрын
Wallah umetisha maanshallah
@leaherasto9299 ай бұрын
Mwanaume kaigiza sauti yamwanamke PURE TALENT
@aidaikahimbi7056 Жыл бұрын
Dogo umetisha sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@brotherkevin438011 ай бұрын
Nime barikiwa sana❤❤❤❤❤
@magembesitta5657 Жыл бұрын
Very talented guy
@adelinelyaruu3036 Жыл бұрын
Indeed 🎉🎉
@maswamills3161 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂♥️
@NuruAbuBakr11 ай бұрын
Watching from kenya pure talent,❤❤❤❤
@Happypeter-r9q Жыл бұрын
Kaka uko vizuri
@evanscalvine463711 ай бұрын
Wueeeee❤❤❤❤❤❤❤ kenya nimefurahi sana Kazimierz nzuri kijana
@trusttv6884 Жыл бұрын
Kuna Kodi kanazipatia kweliiiii😂😂😂 kongole kwake kijana wetu
@mashramadhani1989 Жыл бұрын
Kafiti hatoki kwenye key wala note
@faridadumasalhathoseni10 ай бұрын
Duh huyo nama kabisa❤❤
@athumanishabani4800 Жыл бұрын
Upo vizuri ❤❤
@EnockWafula-l1l3 ай бұрын
Watching from Kenya wonderful voice
@littlelunie.7653 Жыл бұрын
😂😂😂😂 huyu jamaaa hatariii
@DollaIbrahimDollaIbrahim-ro7yq4 ай бұрын
Uko vizuri sana kaka angu❤❤❤❤❤ love
@trusttv6884 Жыл бұрын
Leo ndio nimekuwa wa kwanza na mie kukomenti eeeh😊😂😂
@mercylinemotum2 ай бұрын
Thanks 👍 preso akupe kazi
@bahatilaizer8706 Жыл бұрын
Walahi kumbe Watu wako talented 😂😂😂😂
@JoyceMarwa-z5w3 ай бұрын
Hongera sana kijana❤❤❤
@atutweve4160 Жыл бұрын
Hatariiiiii🔥🔥🔥🔥🔥
@mercyjulian6866 Жыл бұрын
Watching from kenya so talented 😂😂😂😂😂
@mswakisaid2320 Жыл бұрын
Mmmmmmh kijana ni zaidi ya kipaji. Kwa kweli unastahili kupakuliwa minyama ya kutosha😅. Mama ukiwa na zarura inayokuzuia kufika, huyu kijana ataweza kukuwakilisha vizuri bila tofauti kwa sauti yako. ❤
@DominicMulwa-x5o7 ай бұрын
Watching from Nairobi Kenya
@rogoyassin5 Жыл бұрын
🤣🤣🤣 Umetisha Sana 🙏🤲
@sokomoko675711 ай бұрын
Amejaribu, lakini rais hatamki i r kuwa l
@evelynochola4743 Жыл бұрын
😂😂😂😂 very talented i love this.
@TherezaLimbe3 ай бұрын
❤❤ mashaaalaah unaweza jazaka Laah🎉🎉
@BruBru-i1u Жыл бұрын
This is talent.
@KessyKibundeАй бұрын
Hongera kaka❤❤❤❤
@masoudsalum Жыл бұрын
Jitahidi ila mzee Hafidhi akikusikia akikushika mkono utajijua
@khajumkhamis7910 Жыл бұрын
😂😂😂😂 ila wazenj hatuna mambo ayo
@masoudsalum11 ай бұрын
@@khajumkhamis7910 Afande Hamza alishinda kesi mahakamani
@KimbilimaSocial-dy9cl Жыл бұрын
AISEE WEWE KIPAJI UNACHO DAAAAA BONGE LA TALENTED Kweli vipaji mtaan vipo WEWE NI ZAIDI YA #JKCOMEDIAN ZAIDI YA #OSCAR #BARAKAMAGUFULI #NA WENGINEO