FRIDA NA VIDO WATOA YA MOYONI, TABIA ZA WAGENI ZINAZOKERA

  Рет қаралды 4,494

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 22
@nakilingwembele9504
@nakilingwembele9504 12 күн бұрын
Nakupenda frida wangu❤️❤️❤️❤️❤️,nawapenda pia Millard na vido pia, Mungu awatunze
@AbelCharles-co6qb
@AbelCharles-co6qb 15 күн бұрын
Mimi hata ukinipa taarifa kwakwel cpend2....napenda sana kukaa mwenyew tu.....alaf me mwenyew cpend kwend kwa wa2..
@jacksonlusagalika
@jacksonlusagalika 14 күн бұрын
Wewe ni introvert kama mimi na sio kosa
@Catty-e7o
@Catty-e7o 15 күн бұрын
Lazima tu set boundaries la sivyo kila mtu aataingilia maisha na kufanya maamuzi kwangu huji bila taarifa na nikubali kama kwa kipindi hicho anaweza kuja , ni bora aniseme vibaya kuliko aje alale na njaa ataniita mchoyo kumbe hali ngumu
@queenmilan2024
@queenmilan2024 15 күн бұрын
MIMI KWAKWELI LAZIMA UNI TAARIFU UNAKUJA LINI NA UNAKAA SIKU NGAPI. KWASABABU MIMI NAPENDA MY SPACE KUWA MWENYEWE.
@JenifaLucas
@JenifaLucas 15 күн бұрын
Ila vidox 😂😂😂 et kupasha kiporo😂😂
@tzstanley_1
@tzstanley_1 15 күн бұрын
Mimi nilisha wahi kugombana namtu kisa tu kumuuliza unakaa siku ngapi😂😂
@BarakaKusalula
@BarakaKusalula 15 күн бұрын
Kwa maisha ya dar na kwa kipato changu hapana ndugu mnisamehe tu siwataki kwa wakati huu😂
@AkyooagapeM
@AkyooagapeM 15 күн бұрын
Millard ukakiuka ukaondoka na uliyoyaona😂😂😂
@joslinchuwa1298
@joslinchuwa1298 15 күн бұрын
Ukweli lazima mgeni atoe taarifa haijalishi ni ndugu ama rafiki. Kiherehere na ustaarabu muhimu cwezi kuvumilia.
@swaibakamikazi-tj7py
@swaibakamikazi-tj7py 7 күн бұрын
Dini imeshasem kila kitu usienda kwa mtu bila taaarifa il k Wassa utaskia mtu et nakuja nik njian 😂😂,ila kwend kw myu unaaanz ujuaj ishanishnda kbsa ukiniach nimeikaaa utanikut pal pal had mkojo najikojolya pal ph had uje nikuomb ruhsa😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@pmpaga1063
@pmpaga1063 15 күн бұрын
Millard huna kaba😂😂😂 "Uloyaona umeyaleta kwenye kipindi" umefeli bro😂😂😂
@thabitdaudi9815
@thabitdaudi9815 15 күн бұрын
Millard ni mtu na nusu very wise. Hao wngine ni selfish
@michaelmulokozi1512
@michaelmulokozi1512 15 күн бұрын
Frida uko sahihi😅😅
@queenmilan2024
@queenmilan2024 15 күн бұрын
ALAFU FRIDA HAPO KWENYE KUPIKA ALIKUWA ANAFANYA VIZURI KUJIPIKIA CHA KWAKE TU KWASABABU MLIKUWA WATU WAWILI NA HAJUI UTARUDI SAA NGAPI NA KAMA UTAKULA HICHO CHAKULA. SO KULIKO KUHARIBU NI BORA APIKE CHA KWAKE TU. ILA NI VIZURI ANGEKUWA ANAKUULIZA.
@BarakaKusalula
@BarakaKusalula 15 күн бұрын
Frida hiyo ya kupika chakula chake naelewa kuna wengine hajiamini sana katika mapishi wake hivyo anaona ni bora ujipikie Mwenyewe tu.
@Stellastella-yi5vu
@Stellastella-yi5vu 15 күн бұрын
Frida na vido ubinafsi sana Bora Millard
@Kiyama-g8f
@Kiyama-g8f 15 күн бұрын
mgreni anayeniulizia ulizia zaidi mamabo yangu ya binafsi,mbona umefanya hivi,nanai kafanya kile,kwa nini imekuwa hivi,n.k.........
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 15 күн бұрын
Yan kama mim napenda watu ila Kuna mda mwingine napendaga kuwa peke yangu...napendaga privacy na apo Kwa vido napenda ustaarabu na sipendi kiherehere..napia sipendi mtu kupitia na viatu ndani...hususan viatu vya nje unaingia navyo mpaka nje alafu unapita navyo ndani..Yan sio mstaarabu mtu wa ivyo simpendi kabisa
@ogdosho93
@ogdosho93 13 күн бұрын
Ujue nyi ni wasen@e sana😅😅 asa vido na uyo chakike😅😅
@joslinchuwa1298
@joslinchuwa1298 15 күн бұрын
Nawapenda bureeee❤
@agnesskaduma3910
@agnesskaduma3910 15 күн бұрын
Vido is back😊
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН
Сестра обхитрила!
00:17
Victoria Portfolio
Рет қаралды 958 М.
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН
TS Dabrina-collection interview
23:12
Taifa Star Media
Рет қаралды 4,3 М.
BSS 2024 SE15 EP02 MWANZA | FULL SHOW
1:01:31
BongoStarSearch
Рет қаралды 189 М.
ALIYEKUWA MKE WA MADEBE LIDAI AFUNGUKA ANAYOPITIA HIVI SASA
4:09
Wasafi Media
Рет қаралды 22 М.
STEVE NA NDARO WALIVO VURUGA NDOA UTACHEKA
16:04
Ndaro Tz
Рет қаралды 801 М.
"KWA BAKORA NINAZO WACHAPA LAZIMA WENIPE HESHIMA YANGU " DULLY
25:16
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН