Huyu Jamaa yupo smart Sana kichwani ila watanzania wengi njaa zetu zinaondoa maarifa, wamlipe Tu stahiki zake najua huo uwezo wanao
@AdamChezeАй бұрын
Anatumia saut ya kutishia mabondia akiona kwamba wao ndio watu pekee ambao wanaweza kuonesha mjinga mmoja
@feithaliyakweli65602 ай бұрын
Jamaaa ni genius sanaaa, sio rahisi kumuelewa ila anaelekeza na anafundisha vzr kbs yan
@DM_152 ай бұрын
Hata mimj namuelewa jamaa changamoto kama hii imewakuta wengituu wazo lakufanya jambo fulani unakuanalo lkn shida mtaji wakufanikisha hilojambo ukiamua kumshirikisha mwenye fedha uwetayari ume weka security ya wazo lako ili usidhurumiwe , sababu wapo watu wenye pesa hawana wazo wafanyie nini ukitokeawewe nawazolako wanapitanalo wan invest kibunda😂😂😂😂
@jaytalented_tz2 ай бұрын
Tatizo n wasimamizi, Huyo kabemele Apewe likizo kwanza😁😁😁
@AmisamauridNgagadaАй бұрын
Daaaaaah mambo ya magoma yamekuja huku tena😂 ila hii ishu itawaumiza wengi
@DamasJuliusАй бұрын
Duuu tupo gizani kumbe some time watu Wana copy aidia
@cleartzboy2 ай бұрын
kama mahakama imesibitisha ngumi n yamwamakula kwann mlionyesha na kwann msilipe fidia
@AbrahmanAlly-h8hАй бұрын
Hamana looted azam jamaa ana haki
@thomassalvatory83032 ай бұрын
azam wamefanya wizi alafu wanatishia hatutaonyesha ngumi ili kuonyesha how monopoy they are
@mwl.elishafredrickmwambeng89212 ай бұрын
Hakuna mnyakyusa mjinga mjinga.... Big up bro Mwamakula
@MuhemeliNyogwa2 ай бұрын
Acha ukabila fala wewe
@jovithageorge82202 ай бұрын
Wangapi wamemwelewa huyu mtu
@YusuphChinguile2 ай бұрын
Very bright
@christopherdiu7851Ай бұрын
Huyu kiongozi wa AZAM Boys kabisa, anatola ktk hoja ya wizi na kukimbilia kutoonyesha NDONDI😊😊😊
@MudhiryHassan-pq4se3 күн бұрын
Jamaa anahaki issue ni kwamba wamlipe then wakae chini kujadili swala la kununua wazo
@IshaKhamis-v3p2 ай бұрын
Jamaa Hana akili sana kama Shule haipo uwezi kumuelewa
@VictorNgasapa2 ай бұрын
Haki yangu haiendi bure aisee... safi sana pambana Broo
@DanielKikoti2 ай бұрын
big up bro 💪🏿
@charlestobby60312 ай бұрын
King'amuzi chenu mnatupandishia bei kila mnavyojisikia ila kulipa madeni ya watu aaaaaaaah azam lipeni deni la watu acheni chuplichupli😮😮😮
@visitDar20112 ай бұрын
Jamaa ana akili sana ... wale wenye upeo mdogo hii kitu ni ngumu sana kuelewa yaani anaongea points kwa kina. Hapa Azam ataboi
@JustinMwakalukila2 ай бұрын
Azam atatoboa kwasabbu ni taasis na mahakama iliamuru jamaa alipwe,lkn azam atapata favour fulan kwa sabbu watu wengi ulaji utpotea kwahyo jamaa atamezwa tyu na mashambulizi ya wasakatonge.jamaa yuko vzur na ni kichwa sna nmemkubar ila weng wana mawazo Mazuri lkn hawana uthubutu na hii inatokana Wogan tyu
@rogertuga0072 ай бұрын
@@JustinMwakalukilaanatoboaje mbele ya Sheria?
@ngadumbishi14052 ай бұрын
Kimsingi kesi hii haina utofauti na mzee magoma na Yanga jamaa anachokiongea yuko sahihi na kanyooka ila shida inakuja kuwa Azam tv ndio mlezi wa mabondia hivo kutokuonyesha kwake ngumi nk dhahiri shahiri kuwa ngumi tunakwenda kuzipoteza jambo ambalo sidhani kama linaweza kutokea na viongozi wakakubaliana nalo
@sulleymanjimmy22142 ай бұрын
@@JustinMwakalukilauelewi ulichoa andika
@lirastanley390Ай бұрын
@@ngadumbishi1405mpuuzi wewe unamjua Amosi Nazaleth wewe? Hiyo ni idea yake na kila kitu na anashinda
@josephatSwaiАй бұрын
Jamaa ana akilii sanaa
@AgustaZaile2 ай бұрын
Azam ni kikundi cha wahuni
@YusuphChinguile2 ай бұрын
P. Kahemela ana hoja
@AbdallahHamisi-c6x2 ай бұрын
Akili nyingi
@liberatusjackson50452 ай бұрын
Wakuuwe 😂😂😂😂😂😭😭😭😭Afuuu wayafunge...hayana maana yoyote
@nitumesokoni31642 ай бұрын
Hili jamaa Peter Kahemela linatakiwa kufutwa kazi. Limeiba wazo kisha linaleta ubishi.
Pesa aliyoweka azam ni nyingi sanaa, sio rahisi kama mnavyodhani
@limo_72 ай бұрын
Haki bin haki
@WaziriAbdallah-vr4xg2 ай бұрын
Huyu jamaa wamalizane nae tu huyu jamaa maisha yaenderee
@lulujackson98982 ай бұрын
Tuache uoga Azam kutoonyesha ngumi haimaanishi ngumi zitapotea. Hiyo ni fursa yoyote anaweza kuingia na mambo yataendelea. Tunapata shida sana kwenye ligi kuonyeshwa na kampuni moja.
@adudeswalehe87242 ай бұрын
Tafuteni uyo anaeweza kuonesha sasa
@fumotv79142 ай бұрын
@@adudeswalehe8724DStv anaonesha Acheni kuleta umonopoly Nyerere alikua kama mungu tz maana tz ilikua na wajinga wengi walivyotokea wenye akili zaidi yake wakaonekana wahaini wa nchi yaan vibaraka wa wazungu Nchi ikawa maskini maradufu
@millitarybattalion75152 ай бұрын
Azam lipeni fedha za watu haiwezekani mtumie wazo la mtu kujinufaisha nyie halafu mlengwa afe njaa huu ni wizi, na msijifiche nyuma ya mabondia eti hamtaonesha ngumi😂😂😂😂 lipen haki ya mtu kesi mmeshindwa na hii inaonesha wapo wengi sana mliowanyonya hawajaamua kuweka wazi, lipeni deni la watu
@josephatSwaiАй бұрын
Akili nyingii sanaa
@salumtanganyika95512 ай бұрын
Ni haki yake Azam sio mungu Aaache kuonyesha ata mpira tumpe startimes akaonyeshe kenya lipeni ela ya watuuu
@naimasbuguza23952 ай бұрын
Mwamakula ypo sahihi
@noordinjr2 ай бұрын
Ishu ni Patrick aliiba
@IshaKhamis-v3p2 ай бұрын
Mimi nimecheza ngumi za amacha lkn watu wanafaidika na majina tu lkn kiuchumi hamna kitu ela ndogo mabondio ujitasmin Kwanza hunafanya mazoezi kwa kujituma hufanyi majukum mengine unategemea ngumi Alf bado masikin
@suleimanmwahesa46552 ай бұрын
Namkubali Sana mwamba ana UJASIRI
@predictioneasyodds27792 ай бұрын
Hv Azam wanakosa Bil 5 kumlipa duuuy
@fumotv79142 ай бұрын
Ni pesa nyingi sna hyo
@ngadumbishi14052 ай бұрын
Kimsingi kesi hii haina utofauti na kesi ya mzee magoma na yanga jamaa anachokiongea yuko sahihi na kanyooka safi ila shida inakuja kuwa Azam tv ndio Mlezi wa mabondia hivo kutokuonyesha kwake ngumi ni dhahiri shahiri kuwa tunakwenda kuzipoteza ngumi jambo ambalo sidhani kama viongozi watakubaliana na uamuzi uo
@LeodegardRutakyamirwa-hg9hu2 ай бұрын
SIO KUZIPOTEZA NGUMI WALIPE SIO WAPATE PESA PEKE YAO
@fumotv79142 ай бұрын
Kuna vyombo vingi sana vinaonesha ngumi sio azam tuu
@ngadumbishi1405Ай бұрын
Apo mwanzo walikuwa wapi? @@fumotv7914
@jacksonnyoni19782 ай бұрын
Kajitokeza magoma wangumi
@fadgachamberlain56762 ай бұрын
Genius
@JustinMwakalukila2 ай бұрын
Jamaa anajitambua na uthubutu pia anao,namkubar kikubwa wakae waongee nae mbna anaonekana muungwana sna. Sasa azam wanakimbili kusitisha kudhamin ngumi i means wanatafuta favour ya watu ili jamaa aonekane hana maana kitu ambacho si kizur,wakae nae tu wasitake kukandamiza watu kisa wao ni taasisi kubwa wakae nae tu.
@husseinally66992 ай бұрын
Ingekua mpira wengi wangelalamika Ila ngumi , haina mshabiki wengi Pia kuna mapambano kazaa mmezingua , mmesababisha watu walele usiku , bure YAANI KAMA MKIACHA FLESH TU WATU WALALE MAPEMA
@newzon53002 ай бұрын
Jamaa anahakili sana
@jumaalmasjuma17002 ай бұрын
Mie nimeelewa sana sana tunaibiwa mno
@MsabahaKashindi2 ай бұрын
Kama mzee Magoma huyu
@danieltsaxara91992 ай бұрын
Azam mumefikiwa ... hapa hamruki mbwa patrc
@MsabahaKashindi2 ай бұрын
Anataka kuwaharibia wanaoanza hawajui chochote si vizuri tamaa mbaya
@AgustaZaile2 ай бұрын
Kikubwa jamaa apewe haki yake
@AgustaZaile2 ай бұрын
Tapeli huyu Peter
@voicdesition8972 ай бұрын
Magoma wa boxng
@lilmojr72 ай бұрын
Daah njaa mbaya saana...😂😂😂
@hapsasharia15122 ай бұрын
kwaiyo ww ukiibiwa na mwizi unamjua ukenda kudai kitu chako ndo njaa ?
@sulleymanjimmy22142 ай бұрын
Huna akili?
@bakarikayugwa32952 ай бұрын
Hakuna shida mtu kudai haki yake
@damsonwilson52022 ай бұрын
Huyu Azam kakosa hoja nzito ya kumjibu mwamakula Mwamakula Ana hoja nzito
@wapakaya_family2 ай бұрын
Kichwaaa🤔
@luqmanomary35582 ай бұрын
Jamaa anatumika huyu lengo ni kuishusha azam tv ,inawezekan kuna hujuma za idea lakin bado kesi hii ni nyepesi sana
@AFRiCANKiDOnline2 ай бұрын
Azam taasisi kubwa ila nayo haikosi mapungufu kaeni myamalize Funika kombe mwanaharam apite
@fumotv79142 ай бұрын
Azam wafuate sheria
@saidhamza53182 ай бұрын
Hivi ile ya Ruge na Sugu iliishaje 👀😳
@rogertuga0072 ай бұрын
Fedha ndio ilimaliza ule mgogoro.
@edesiuskuyasiwa63522 ай бұрын
Waache tu kuonyesha...
@moviekaa2 ай бұрын
CONTROL 'C' control 'V'
@mackchacha41142 ай бұрын
Kwan azam ikiacha kuonyesha wengine hawatapatikana? Mtu adhulumiwe kisa kuna mtu anataka aonewe huruma. Azam lipeni jamaa wa watu acheni usela usela
@bahatimellita66192 ай бұрын
Njaaaa mbaya
@mwikamwika48512 ай бұрын
Mtu anadai chake unamwita njaa!? Kitu kibaya hicho . Wacha adai chake
@mnyampaa_kisasa2 ай бұрын
njaa ipi huna creativity ndo maana unaona ni kitu cha ajabu 5billion kwa creativity ni haki kabisa....vitasa zimetengeneza mahela kibao vipindi 15 duh
@AgustaZaile2 ай бұрын
Lipeni
@maulidstondo27702 ай бұрын
Yaaan Azam mngejua DSTV anavyowapumulia kwa nyuma, msingefanya huuu ujanja ujanja , mkijipindua kidogo tuu, DSTv anawa over take hapa hapa yaan
@adudeswalehe87242 ай бұрын
Jidanganyeni
@fumotv79142 ай бұрын
@@adudeswalehe8724azam kuonesha ligi bongo ndo advantage yake kubwa DStv alikwama hapo, alidharau tz Kuhusu vipindi vya maigizo DStv hakamatiki
@khalidimponela279Ай бұрын
Dstv hana ujeuri wa kushindana na azam hata kidogo, tumbe azam wasisuse mana akuna ataeweza kuinua micheZo kama azam huyo dstv au staa wote wamezaliwa kabla ya azam ila nini kilichowekezwa kwenye michezo hapo kabla,
@PascalGoba-sr5fg2 ай бұрын
Bilioni tano za nyoko
@michaelmhina36132 ай бұрын
Nyoko ya mamako
@edesiuskuyasiwa63522 ай бұрын
Apewe haki yake..bhana hii ni biashara..
@mwikamwika48512 ай бұрын
Patrick unataka mabondia wamchukie jamaa kwasababu ya wizi wako binafsi. Kahemela acha uongo na kukwepa lawama. Bakhressa family in napaswa kukufukuza haraka kwa kuharibu image ya taasisi yao
@zubeiramlanzi24802 ай бұрын
Atamwagwa mda SI mrefu
@StevenNdandu2 ай бұрын
Kaka huyo jamaa Hadi kwenye mpila anatuhalibia nyembela sijui yukoje
@wolfugangtesha57242 ай бұрын
Wamlipe huyu mtu
@MsabahaKashindi2 ай бұрын
Katumwa huyo
@abilahmanzi59212 ай бұрын
Azam watoe fedha waache kutia huruma
@salumdigaga5422 ай бұрын
Usela umefanya kwenu mbeya
@VictorKotein2 ай бұрын
Ndio kafanya kwao wewe umefanya wapi
@BenderaMussa2 ай бұрын
Acheni kama mmeiba lipeni unadhalilisha taasisi unaongea pumba wewe kahemela
@salumdigaga5422 ай бұрын
Anataka bilio 5 duh
@adudeswalehe87242 ай бұрын
Ivi anaichukuliaje bilioni 5
@ibrahimkimweri23292 ай бұрын
Kinachotokea ni Elimu sisi hatuna wala hatujui kupambania haki zetu...Huyu jamaaa anajua anachokifanya Ila tunapaswa tujue tunachokifanya tuwache shortcut zisizomaana yyte
@PascalGoba-sr5fg2 ай бұрын
Ana njaa tu ana lolote uyo
@jumannemussa82812 ай бұрын
Sawa km kudai haki yako njaa
@Peter-fy3gf2 ай бұрын
Mtu ana vielelezo vyote we unasema njaa ndo maana kaishinda Taasisi kubwa kama Azam Maakaman