Jamani Mungu atusaidie maana dawa zikiwa adimu zile zama zamabega kupanda juu na nywele kunyonyoka zitarudii😂😂😂😂😂mara papu watu nywele kama manyoya ya paka😂😂😂😂😂Mungu atunusuru jamani😂😂
@AmanLaizer-rb5rt7 сағат бұрын
Sasa unacheka nini K wewe
@evakessy32823 сағат бұрын
Sasa ata akilia itasaidia nini jamani😂😂😂 au na wewe ni victim@@AmanLaizer-rb5rt
@LucasRuben-x1t2 сағат бұрын
Nikunyoa nywele zote
@rumdeesonsoa181128 минут бұрын
Itakuwa ni rahisi kuwajua wenye nao
@jeremiahevodius92549 минут бұрын
Ati uyo ndo kiongozi majibu yake mepesi ajuwi kwa esabu za alaka alaka kila walipo watu 65 kuna mwenye ukimwi mmoja 1 yani kila mtaaa wapo watu wenye kuishi na vvu 100 afu anachukulia pow viongozi wa nchi hi mashaka kweli
@rumdeesonsoa181124 минут бұрын
Asilimia 4 ni sawa na watu 2.6 ya kila watu 65. Hivyo kwenye kila watu 65 watu zaidi ya wawili ni waathirika. Na hapo ni kwa wale waliopima
@MauriceHaseen7 сағат бұрын
Kuhusu swala zima la upatikanaji wa dawa zinazopunguza makali ya VVU ni hivi- Baada ya Trump kuiondoa marekani katika ufadhili wa shirika la USAID siku chache zilozopita; Raisi Trump amerejesha msimamo wake na kuamuru ufadhili wa dawa za ARV , PREP, PEP pamoja na upimaji wa VVU utaendelea kama awali hadi Aprili huku wakijadiliana njia mbadala kwasababu shirika la USAID linakisiwa kuwa na ubadilifu wa fedha. Ila hajatoa tamko kuwa amesitisha ufadhili wa dawa na vilevile ni lazima Senate liweze kujadili mswada huo. Mbali na hayo yoooote, TUTUMIE KINGA, TUACHE MICHEPUKO, TUSIZINI, TUMIA DAWA ULIVYO ELEKEZWA, JUA AFYA YAKO na CHUKUA BIMA YA NHIF.
@Saggy-z4q12 сағат бұрын
Hongera Ayo tv mpo makini sana🎉🎉
@LuluAquai10 сағат бұрын
Huyu demu Frida mkali,napenda sana madem wa style izi
@abdulmohd688022 минут бұрын
Unapenda ma tom boi ww😂
@Bibi_Chaka11 сағат бұрын
HANSBOY Wangu Milard Ni Kama Nimekuelewa Hv
@ImaniBalankwaya9 сағат бұрын
kucha sasa
@mugishamajeba962848 минут бұрын
NGOJA INYESHE TUONE PANAPO VUJA MAANA MURIKUWA MUNATUCHANGANYA IRIKUWA NI NGUMU KUTAMBUA US 🇺🇸 OYEEEEEE KITAEREWAKA TU
@PeterBaton-x7b11 сағат бұрын
Mvua Nyesha Tuone Panapo Vuja🤣🤣
@ramahamidu12 сағат бұрын
Mimi WA kwanza jamani nipeni like zangu🎉
@EGM-TZ12 сағат бұрын
From #EconomicallyGrowthMusicians Duh Guys hatari sana anyway Enjoy Muziki Mzuri kutoka EGM
@tekashichannel11 сағат бұрын
Tutumie dendilion badala ya kutumia ARV
@PlickaChacha11 сағат бұрын
Hyo mama nayo hajielewi maambukizi yapo chini sawa swala tunaongelea waathirika wanapata dawa ?kama dawa zitapatikana na ghalama zake zisiwe rafika unadhani waathirka wataweza kuzinunua hizi dawa watakaposhindwa kuzinunua hyo takwimu uloitaja kwa english 64M people sio number itajimultiply rapidly na kumbuka kizazi hichi gen Z wanavyopenda zinaa bila kinga
@allhailkingjesus64848 сағат бұрын
Asilimia 4.7 ya mil 65 ni watu mil 3+. Anawezaje kusema ni hiyo idadi ndogo tuu? Hiyo ni mikoa miwili eti! Hao ni watanzania wenye mchango mkubwa, tegeo la sasa na baadae. Embu basi tupewe majibu yenye mikakati, siyo kupuuzia idadi! Ikiwa idadi si kitu, basi msiba wa mafuriko ya Hanang uta-tu-paint kama sisi ni watu wa double standard!
@juliusdonard93311 сағат бұрын
Huyu hata mm namzid , watanzania tupo 65 M? Sio kwel around 70M