UTAPENDA PAULA ALIVYOIMBA NA MARIOO WIMBO WA MY DAUGHTER ALIOTUNGA KWAAJILI YA MTOTO WAO

  Рет қаралды 409,888

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 162
@LatifaSeif-cs6rd
@LatifaSeif-cs6rd Ай бұрын
Sijui kwanini ata mtu akimuongelea Paula vibaya nakasirika nampenda sana uyu mtoto 😘😘😘😘
@FasnatyAdamu
@FasnatyAdamu Ай бұрын
Wew ni me😂😂😂
@doristuppa
@doristuppa Ай бұрын
Yaan ww km mm hakimungu 😂😂😂
@HadijaJoseph-d1g
@HadijaJoseph-d1g Ай бұрын
Nawapenda sana paula na Mario mungu awafanyie wepesi mfunge ndoa yenu musiachane. Nawapenda
@Elizamuseven
@Elizamuseven 11 сағат бұрын
Nawa penda sana pau na marioo mungu awajalie ❤❤❤❤❤
@FatumaChizi-m2n
@FatumaChizi-m2n Ай бұрын
Nkupenda sana paula wee n mario n Mungu awajaalie ndoa yenu
@NewstarTheonest-o6n
@NewstarTheonest-o6n Ай бұрын
Sio sir pau anajielew pau zaa mzalie Omar komesha waesabu siku❤
@PrincessHellen-pg1oy
@PrincessHellen-pg1oy Ай бұрын
I like the way Paula alivyoimba 😊😊😊😊
@Linnahsimon
@Linnahsimon Ай бұрын
😂🤣🤣😂😂 mwijaku bhana ety wadada acheni kukomaa kwenye cm hatutaki umbea amkeni tucheze🤣🤣😂😂 mwijaku apana jaman umenishinda tabia
@marthesifa-5803
@marthesifa-5803 Ай бұрын
Acheni kukomaa kwenye sim 😂 nimecheka 😂😂😂😂😂😂
@jamilashabani8580
@jamilashabani8580 Ай бұрын
Kumbe na ww umeona si Ndio ukajuaa kumbe watu huwa wanakomaaa kwenye cm hawawezi angalia cm wataamka waangalie na cheze wavyo imbaa
@beatricearon5119
@beatricearon5119 Ай бұрын
Yaani😂😂uyu baba
@SuhailaMohammed-t2o
@SuhailaMohammed-t2o Ай бұрын
Paula my hoi love you❤😂
@MwanalimaMwalimu-c4m
@MwanalimaMwalimu-c4m Ай бұрын
Uzuri huyu kaka anamwambia mtu ukweli 😂😂😂😂
@JasminSuleiman-i7n
@JasminSuleiman-i7n Ай бұрын
Nawapnda san pau na marioo ni couple nzuri mno mzidi kupendan achan na vimmbu vinavyotak kuwagombanisha❤❤
@HalimaWilliam-w4y
@HalimaWilliam-w4y Ай бұрын
First lady paula❤❤❤❤
@Zulpha-i5d
@Zulpha-i5d Ай бұрын
I love this 💜 wish them all the best
@aishaaisha4549
@aishaaisha4549 Ай бұрын
Alhamdulillah kukupata ww 🙏🙏🙏
@CuthbertKitigo
@CuthbertKitigo 16 күн бұрын
ilike the way Paula and Mario sang I love you Paula ,Mario and princess amairah
@NajmaHakizimana-b2x
@NajmaHakizimana-b2x 23 күн бұрын
Paula ni murembo wanaendana na marioo❤❤❤
@SarahManyama
@SarahManyama Ай бұрын
Nawapenda sana pau na omari ❤❤❤
@IssaDaudi-f4t
@IssaDaudi-f4t 28 күн бұрын
Mimi nampenda mume wanguu tyu
@ZabibuElisabeth
@ZabibuElisabeth Ай бұрын
Ooh kiukweli iyi couple ni zurii mnooooo😗😗😗😘
@RajabuMwago
@RajabuMwago Ай бұрын
All the best, wish them.
@MasesaJuma-l1k
@MasesaJuma-l1k 7 күн бұрын
Mungu awatangulie katok maisha yenu niny pamoja n mtoto wenu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@Shekha-qs3bw
@Shekha-qs3bw Ай бұрын
Very nice marioo na Paula ❤❤
@JanethMush
@JanethMush 15 күн бұрын
Nampenda Sanaa Paula Kila mara nikutabasamu tu hafai raha❤
@MarieLulu-k9u
@MarieLulu-k9u 29 күн бұрын
Nyimbo nzuli sana hata kama humupendi Paula lazma utaipenda❤🎉
@Ester-z6q
@Ester-z6q 7 күн бұрын
Nawapenda sana jaman❤❤
@JoyceKiwango-j5r
@JoyceKiwango-j5r 11 күн бұрын
Love uuu Paula jaman
@judithkirenga9977
@judithkirenga9977 Ай бұрын
Huu wimbo mzuri kuliko makorokocho ya Diamond na zuchu walioimba
@HadijaJoseph-d1g
@HadijaJoseph-d1g Ай бұрын
Kabisa
@SignorahKioko-ln1ff
@SignorahKioko-ln1ff Ай бұрын
Paula ❤❤❤
@reymoothomas559
@reymoothomas559 Ай бұрын
Duuh mungu awajaalie maish malefu❤😊
@MariamKazinza-v6q
@MariamKazinza-v6q 12 күн бұрын
Paula nakupenda sana dada yangu mungu awabariki sana
@HappinessNyalege
@HappinessNyalege 15 күн бұрын
Nakupend Paula and Mario
@RebeccaOdhiambo-q5i
@RebeccaOdhiambo-q5i Ай бұрын
Love xan❤❤❤ mzidi kupendana xan
@Fatima-v9k6f
@Fatima-v9k6f Ай бұрын
From 🇧🇮 mashaallah ❤
@mwendemwende5789
@mwendemwende5789 Ай бұрын
Paula hapendi cameras
@ThedorRajabu
@ThedorRajabu 11 күн бұрын
Ongera sana Paula nimimi thedor
@ThedorRajabu
@ThedorRajabu 11 күн бұрын
Ulijifungu mtoto gani
@SylviaAuma-t2x
@SylviaAuma-t2x Ай бұрын
Wow wow very nice family 🥰🥰🙏🙏🙏🙏
@RhodaPaulo
@RhodaPaulo 3 күн бұрын
Napenda cauple yenu
@HadijaHeri-j7y
@HadijaHeri-j7y Ай бұрын
Mungu awalindè jamooon
@mariedelarie873
@mariedelarie873 Ай бұрын
Ni so macho kweli Paola😂😂😂😂 sijuwi kama ni mim peke yangu ndo misikiya
@souvenirweber7169
@souvenirweber7169 Ай бұрын
Ameimba kwa lugha ya wanaigeria so much wanasema somacho
@jescadeogratias5292
@jescadeogratias5292 Ай бұрын
Ametumia lafudhi ya wanaigeria"too much o
@KhadijaSaidy-v1h
@KhadijaSaidy-v1h Ай бұрын
So much oooh
@SaphinaSamson
@SaphinaSamson Ай бұрын
Kumbe Paula hakusa amejipata Sasa kapata chaka lake anajinawilia hana Sheri wala BP Mungu awatunze
@PaulinaEdward-v7q
@PaulinaEdward-v7q Ай бұрын
Nawapenda sana wasanii wote
@salometenga4147
@salometenga4147 Ай бұрын
Ila mwijaku😂😂😂😂
@kibibisafi3331
@kibibisafi3331 Ай бұрын
So machoooo❤
@RhobinaJuma
@RhobinaJuma 12 күн бұрын
Nakupenda san
@PrisillaPius-v7r
@PrisillaPius-v7r Ай бұрын
Much loooove ti to them
@VictoriaMpanda
@VictoriaMpanda 9 күн бұрын
Kwakwel MUNGU awazidishie upendo na Aman ya maisha
@HusnaHashim-o9y
@HusnaHashim-o9y Ай бұрын
Hizo nywele hazijapendeza
@JenifaRichard-s9j
@JenifaRichard-s9j 12 күн бұрын
Paula ana mwanaume mwingine Sasa ndo mnamsifu huyo Paula na Marioo hamna ndoa wala chandoa mesikia🙆🙆🙆
@JenifaRichard-s9j
@JenifaRichard-s9j 12 күн бұрын
Bwana nawatania
@PendoKavishe-o8x
@PendoKavishe-o8x Ай бұрын
Ni nzuri
@JamilaBahati-mx8co
@JamilaBahati-mx8co Ай бұрын
big love sana❤❤❤❤
@SophiaBenadrd
@SophiaBenadrd Ай бұрын
Nice
@OnesmoEmmanuel-xr2rf
@OnesmoEmmanuel-xr2rf Ай бұрын
𝐌𝐰𝐚𝐤𝐚 𝐰𝐚 𝐚𝐦𝐚𝐫𝐚 😂😂😂😂😂
@SahilMtumba
@SahilMtumba Ай бұрын
All the best
@marthasonia5005
@marthasonia5005 Ай бұрын
👌
@KhadijaMasoud-m6u
@KhadijaMasoud-m6u Ай бұрын
Mashallah
@Elizamuseven
@Elizamuseven 11 сағат бұрын
Wow😅😅😅
@NajmaHakizimana-b2x
@NajmaHakizimana-b2x 19 күн бұрын
Jamani paulah nimuzuri na mutoto wake amarah nimuzuri kabisa marioo
@meshackjackson2838
@meshackjackson2838 Ай бұрын
Dah rayvanny anaugulia kwa mbali pale kumbe naye yupo
@ZamdaHussein-u1y
@ZamdaHussein-u1y 16 күн бұрын
Kabisa
@MaimunaKasimu-xz5kd
@MaimunaKasimu-xz5kd Ай бұрын
Kwan walikuw live kweny chanel gan
@Chingamedias
@Chingamedias 12 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉
@MISPAGIDEON
@MISPAGIDEON Ай бұрын
wow very nice
@lyrics_forum
@lyrics_forum Ай бұрын
Millard Ayo, hivi nyie Mnaepukaje Copyright za Nyimbo? Hii Nyimbo ina copyright but mmetamva nayo kwenye Video 😂
@MariamNgondae
@MariamNgondae Ай бұрын
Nice sana
@NeemaLwoga-s4c
@NeemaLwoga-s4c Ай бұрын
Safiii nyimbo kali
@GraceStephano-b9p
@GraceStephano-b9p Ай бұрын
Namuona cawina kwambali sanaaaa❤🎉
@everinrobert6539
@everinrobert6539 Ай бұрын
Asee imebidi nikaze macho mpka nimemuona
@GraceStephano-b9p
@GraceStephano-b9p Ай бұрын
😂😂😂😂​@@everinrobert6539
@BeatriceSamwel-p7u
@BeatriceSamwel-p7u Ай бұрын
Ndo nani jamani
@GraceStephano-b9p
@GraceStephano-b9p Ай бұрын
@@BeatriceSamwel-p7u babake samir
@BeatriceSamwel-p7u
@BeatriceSamwel-p7u Ай бұрын
@GraceStephano-b9p bado sijamjua
@AminaFindikila
@AminaFindikila Ай бұрын
Paula msanii wetu😂
@upendoomary1921
@upendoomary1921 Ай бұрын
Hivi huyo mwijako wanamuogopa au nini au kujipendekeza saa nyingine hawachambe
@edithwilliams2957
@edithwilliams2957 Ай бұрын
Unaimba au unaongea Marioo,au unaongea?
@BoraManirakiza
@BoraManirakiza 14 күн бұрын
Na wapenda sana
@JenifaRichard-s9j
@JenifaRichard-s9j 12 күн бұрын
💖💖💖💖💖💖💖💋
@Elizabethnzulavoma
@Elizabethnzulavoma Ай бұрын
Hii ni wimbo gani hapambi wapi farma
@ElizabethJoseph-t1n
@ElizabethJoseph-t1n Ай бұрын
Mwijaku mwijaku tumbo tena 😂
@DativaMbowe
@DativaMbowe Ай бұрын
Huu ndio wimbo wenyewe 😂😂😂
@jamilashabani8580
@jamilashabani8580 Ай бұрын
Usha fika Mwisho Bila kuelewa
@DativaMbowe
@DativaMbowe Ай бұрын
@jamilashabani8580 ndio 😂😂😂
@jamilashabani8580
@jamilashabani8580 Ай бұрын
@DativaMbowe Hata Haielewekii Ila ulivo sifiwa BASI ILI Mradi watu Wasikomae na cm Wachezee
@DativaMbowe
@DativaMbowe Ай бұрын
@jamilashabani8580 ndio maana nikauliza wimbo wenyewe ndio huu🤮🤮🤮🤮
@jamilashabani8580
@jamilashabani8580 Ай бұрын
@DativaMbowe Kupoteza watu nyakati tuu Ila basi watu wakosa kazi walivo amka utasema cha manaa lkn wapi sifa tu
@JudyLee-hf9cy
@JudyLee-hf9cy Ай бұрын
Ao wadada maskini😂😂😂😂
@fogoscomedytv
@fogoscomedytv Ай бұрын
yani ndo Kama uimbaji u wa marioo ee ngoja na Mimi niingie kwenye gemu
@JoharryPasko
@JoharryPasko Ай бұрын
Ety eeeeh sawaa mashabik wako tuko apa 😂😂
@JescaKaaya-g2s
@JescaKaaya-g2s Ай бұрын
😂😂😂
@ShakilaMMbaga
@ShakilaMMbaga Ай бұрын
😂😂😂😂
@ASHAKHAMISMUSSA
@ASHAKHAMISMUSSA Ай бұрын
Imba km hutoomba view kama Nuhu Mziwanda😅😅😅😅😅😅
@ummusalamameena8714
@ummusalamameena8714 Ай бұрын
Ingia mwaya
@MonkeyDLuffy-p4g
@MonkeyDLuffy-p4g Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤😊😊
@rispermueni889
@rispermueni889 Ай бұрын
To my baby girl 🎉🎉??
@NadiaNdayisaba-k8c
@NadiaNdayisaba-k8c Ай бұрын
G❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@nathanbenard664
@nathanbenard664 Ай бұрын
Matumizi mabaya MB tu ,wimbo gani
@jamilashabani8580
@jamilashabani8580 Ай бұрын
@@nathanbenard664 sifa
@JosephineJoseph-o9v
@JosephineJoseph-o9v Ай бұрын
Et jaman mchuuu
@__skodo__
@__skodo__ Ай бұрын
Wow ❤❤
@kulwalucas8848
@kulwalucas8848 Ай бұрын
Mix ya Lugha Swahili and English , Title😁🤭🤭
@MonkeyDLuffy-p4g
@MonkeyDLuffy-p4g Ай бұрын
😂😂😂😂😂alaf ni kiswahili sanifu pamoja na broken English mama yangu😂😂
@PendoKavishe-o8x
@PendoKavishe-o8x Ай бұрын
4:41
@Sarah-bo8lc
@Sarah-bo8lc Ай бұрын
❤❤❤❤
@LoveAron
@LoveAron Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@aminaabdalla-uo9zq
@aminaabdalla-uo9zq Ай бұрын
Ila mwijaku😂😂
@RoseMadatta
@RoseMadatta Ай бұрын
😂😂😂❤❤❤❤🎉🎉
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg Ай бұрын
Iyo my daughter wameiba kwa clam vevo 😅😅😅
@MwanalimaAbdu
@MwanalimaAbdu Ай бұрын
sasa mtoto wake wa kike angemuimbiaje kama daughter ni clam VEVO pekee ndio anatakiwa anatakiwa atumie neno daughter 😏😏😏😏😏 nkt
@sifatiiman
@sifatiiman Ай бұрын
Hivi unaakili kweli wewe😂 mbona unaonyesha uzwazwa wako hadharan 😂😂
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg Ай бұрын
@sifatiiman kuma la mama ako
@sifatiiman
@sifatiiman Ай бұрын
@@AllyBabu-kr6lg kuma la babako la nyuma kuma la mamako mwenyewe msenge nini mnafilwa familia nzima
@MashakaShabani-s5m
@MashakaShabani-s5m Ай бұрын
Shida nini vijana wangu​@@sifatiiman
@ZaujiaJabir
@ZaujiaJabir Ай бұрын
Ivi chino yupo?
@SeifJuma-l8t
@SeifJuma-l8t Ай бұрын
Ayupo
@paizinhosaide-cv9pm
@paizinhosaide-cv9pm Ай бұрын
Muajuma we we kuma
@BoraManirakiza
@BoraManirakiza 14 күн бұрын
😂
@jofrayanthony9769
@jofrayanthony9769 Ай бұрын
Nani kamuoma vannyboy
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 Ай бұрын
Na Juma Lokole hujamwona😂😂
@SalhaSultani-t5j
@SalhaSultani-t5j 9 күн бұрын
Velonika fureck
@meowzna
@meowzna Ай бұрын
😂😂😂🎉🎉
@SylviaAuma-t2x
@SylviaAuma-t2x Ай бұрын
😂😂🤗💞💞
@rerisamba
@rerisamba Ай бұрын
Huyu paula makeup hazimpendezi kabisa
@elizabetty-rt7py
@elizabetty-rt7py Ай бұрын
Na Hilo wigi alomwekea sijuwi saluni Gani, wanazambi sana watu, Yani unaweza ukamuaacha mtu atoke hivyo kichwaani siku yake yeye na mpenzi wake, huyu aliemtengeneza sio mtu mzuli
@theresaelizabethelijah117
@theresaelizabethelijah117 Ай бұрын
​@@elizabetty-rt7pyalikua na wivu kikulacho woyooo
@rerisamba
@rerisamba Ай бұрын
@@theresaelizabethelijah117 watu na mawivu
@MwajumaZagazaga
@MwajumaZagazaga Ай бұрын
Xxxwarab😅
@JanethMutoka-e1z
@JanethMutoka-e1z Ай бұрын
@airini bahemuka
@saumukiduma
@saumukiduma Ай бұрын
Wow❤❤
@RehemaAbdul-b2l
@RehemaAbdul-b2l 18 күн бұрын
Mashaallah
@FaudhiaWadongo
@FaudhiaWadongo Ай бұрын
❤❤❤❤
@kidawajuma9597
@kidawajuma9597 Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@saidmwakuchengwa
@saidmwakuchengwa Ай бұрын
❤❤❤
@HabibaKawambwa
@HabibaKawambwa 25 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤
@ArabiaIsmail
@ArabiaIsmail 10 күн бұрын
❤❤
@happymsigwa3857
@happymsigwa3857 20 күн бұрын
❤❤❤❤
@paulomtwale-m9g
@paulomtwale-m9g 19 күн бұрын
mamb
Жездуха 41-серия
36:26
Million Show
Рет қаралды 5 МЛН
Ful Video ☝🏻☝🏻☝🏻
1:01
Arkeolog
Рет қаралды 14 МЛН
요즘유행 찍는법
0:34
오마이비키 OMV
Рет қаралды 12 МЛН
MAHABA MAZITO YA PAULA APANDA KWENYE STAGE NA KUCHEZA NA MARIOO
3:45
Baby Shower ya Paula na Marioo Walivyotuonesha Jinsia ya mtoto wao.
13:06
Yammi & Mbosso - Nitadumu nae (Lyrics Video)
3:29
Yammi
Рет қаралды 4 МЛН
Diamond Platinum and Zuchu make appearance on 10 over 10
13:04
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 436 М.
"NAMPENDA SANA PAULA, SIJAWAHI KUPENDA KIASI HIKI" - MARIOO
4:45
Wasafi Media
Рет қаралды 275 М.
Жездуха 41-серия
36:26
Million Show
Рет қаралды 5 МЛН