No video

MTANZANIA ANAYEISHI UINGEREZA ANENA MAZITO "TUKIFA TUNARUDISHWA, KUNATIA AIBU"

  Рет қаралды 82,302

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 211
@mzeerajab9154
@mzeerajab9154 2 жыл бұрын
Ah! Natamani na mimi ningekuwa kama yeye.Huu ni wema mkubwa sana lkn inatakaka moyo.Allah amzidishie huyu Hajjat kuwa mwema zaidi na mahasidi wanaomzunguka Mungu awatokomeze.
@zahradattan4957
@zahradattan4957 2 жыл бұрын
Aamena YaRabbi 🙏🏾
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 2 жыл бұрын
Hongera sana Hajjat.Maa Shaa Alla Hiyo Sadakatul-jaariya Allah akupe pepo mama🙏
@fraiscarkaruho3487
@fraiscarkaruho3487 2 жыл бұрын
Mama ubalikiwe sana 🤝 mwenyezi mungu akupe maisha marefu 🙏 na mtangazaji uko vzr unaiweza Kaz yako
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 2 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akuzidishie dada, achana na hao viongozi wetu wanakazi yakutuminya wanainchi, tunaotafuta kwa nguvu zetu.
@oscarezekiel1826
@oscarezekiel1826 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mama. Mwanganga wa milelele uwe juu yako duniani na akhera...eeemin
@wiliminawiliams9384
@wiliminawiliams9384 2 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana Mama,Mwenyezi Mungu azidi kukufungulia milango.
@fatmaabubakar7300
@fatmaabubakar7300 2 жыл бұрын
Masha'Allah. May Allah bless u.
@salimkassim6020
@salimkassim6020 2 жыл бұрын
Umefanya biashara na M/mungu umetengeneza sadaka yenye kuendelea,,,Allah akulipe duniani na Akhera Inshaa Allah
@ukhtyzainab7254
@ukhtyzainab7254 2 жыл бұрын
Aamiin
@maymunahomar5016
@maymunahomar5016 2 жыл бұрын
Allahumma Aamiyn
@chrisshonga
@chrisshonga 2 жыл бұрын
MUNGU akubariki sana mama na kukupa maisha marefu kwa ajili ya viumbe wa MUNGU! Maisha ya nchi za nje ni vigumu sana kwa watu wengi kukumbuka nyumbani lakini wewe MUNGU amekuwezesha! Heri ya tumbo lililokuzaa
@fandun6921
@fandun6921 2 жыл бұрын
Jamani naomba number yahuyo mama..
@zainabmohammed6622
@zainabmohammed6622 2 жыл бұрын
Mashallah ALLAH kuzidishie uliko toa akujalie Afya mjema uzidi kusaidia
@D.P.O
@D.P.O 2 жыл бұрын
Huwa napenda mahojiano kama haya kwa kutumia Lugha yako ya nyumbani huo ni uzalendo, sio kama wale wakihojiwa wanachanganya na Lugha isiyo yetu utadhani watanzania wote wanaelewa. Hongera sana dada....
@edgarlinus2720
@edgarlinus2720 2 жыл бұрын
Ukiona hivyo ujue hawajakuwa wanakuwa ni sawa na masela nondo wale wavaaji Wa macheni mengi shingoni kama waliofungwa na shetani kuzimu lakini huyo mama ni mtu mzima katulia anajua anachofanya. Safi Sana uwe ni mfano na kwa wengine walifanikiwa kuwamumbuka wa kwao
@salma-fc4xc
@salma-fc4xc 2 жыл бұрын
Nimempenda hasa kiswahili kwanza
@rashdiyange7758
@rashdiyange7758 2 жыл бұрын
yn mama loooo yko nasula yako tafika mbali sana huna loo yakimasikin safi sana mama anguu yn ww ni mama wakuigwa see nandomana mungu anakupa saaaa
@joshuajofrey9832
@joshuajofrey9832 2 жыл бұрын
Nitafanya hivo pia napenda kusaidia wengine, Nilichokupendea ni kwamba umeishi uingereza miaka ishirini na huna shobo na kizungu licha yakukijua vizuri, Yaaani umezungumza kiswahili vizuri.
@faustinaurio3703
@faustinaurio3703 2 жыл бұрын
Haswaa hana mashauzi hata kidogo mungu amlinde huyu mama
@kiri5807
@kiri5807 2 жыл бұрын
Mimi niko tangu 1996 na nnazungumza lugha yangu hata kazini hapa niko na mkenya na mTanganyika na tunazungumza lugha yetu . Na nnajiproud kwa hilo na wanangu wa mwanzo ana 26 kazaliwa huku km kazaliwa Africa .
@jackyluns8224
@jackyluns8224 2 жыл бұрын
@@kiri5807 oooh 96 hata sijazaliwa duuu ila ubonge nilionao ni hatari tukitangulizana naweza wewe ndio ukawa mdogo
@kiri5807
@kiri5807 2 жыл бұрын
@@jackyluns8224 Oops . Hiyo ni mbaya punguza mwili , hauna faida ila hasara ukizingatia ni mdogo wala usidanganywe kuambiwa wewe una jadi ya unene hata ukifanyajee mwili unao niuongo ukijicontrol nakuambia unaondoka . Mimi kwetu unene uko na kuna watoto wa sister walikuwa wanene huyo boy akiitwa bonge kila siku nikiwapigia kelele sasa hivi wamelose weight . mmoja girl aliolewa akakaa niaka 3 hajapata mimba akaambiwa ana mayoma apasuliwe , nikamkataza ili bora kwanza apunguze mwili inawezekana ni mafuta tu alifanya juhudi akapunguwa sana na ziwa alikuwa nalo hadi anaumwa mgongo na kifua na mapumzi muda wote lakini alhamdulillah alitoka ziwa akawa yuko okay yeye mwenyewe akajipenda na hakuchukuwa muda akapata mtoto na hivi sasa ana mimba ya 2 yule hajafika miaka 2 . Na huyo bonge sasa kakonda sana naye tatizo sasa anamagozi na miziwa imeangukia km mwanamke namwambia auliziye kwa Dr wa cosmetic km ataweza kufanyiwa operation atolewe yale magozi ila nahisi anaogopa .
@jackyluns8224
@jackyluns8224 2 жыл бұрын
@@kiri5807 nisaidie jamani mbona nakimbia sana lakin sipungui? Uwii alitumia diet gan
@bas2823
@bas2823 2 жыл бұрын
Great Job! U are doing! GOD! Bless U Always. Proud of U good Creation of GOD.👌👏🤝👍🏽🙏💖
@joackimmbonde4125
@joackimmbonde4125 2 жыл бұрын
Dini ya kweli, ni ile inayo saidia ,yatima, wajane,wagane,masikini na wote wa sio jiweza,, Bwana Yesu akubariki sana aunt
@fauziakarama8581
@fauziakarama8581 2 жыл бұрын
Maa Shaa Allah Sadaka kubwa hiyo ya maji na hospital Allah akubariki 🙏❤
@upendolema9809
@upendolema9809 2 жыл бұрын
Miaka 22 Uingereza na kiswahili kimenyooka.Ubarikiwe mama kukumbuka kwenu👏👏👏
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
Mashallah hongera sana ndugu yangu katika Imani 😘🙏Allah akulipe kher inshallah 🙏
@siamariamaro3500
@siamariamaro3500 2 жыл бұрын
mashaaAllah mashaaAllah God bless you mother
@joycentongani388
@joycentongani388 2 жыл бұрын
Ongera sana mama Mungu akubariki kwa huduma yako hakika ni wito kutoka kwa Mungu .,🙏
@hassanmpemba5747
@hassanmpemba5747 2 жыл бұрын
Hongera mama ubarikiwe na Allah itakuwa vizuri zaidi wengine waige mfano wako mama
@kessyester2479
@kessyester2479 2 жыл бұрын
Huyu dada ni mjanja sana anatafuta pepo yake mapemaaa ataacha alama kubwa sana. hongera kwake.
@johannahakim8470
@johannahakim8470 2 жыл бұрын
Mungu akujaliye afya njema Mama yangu,ukuzidishiye uhayi Na uyo moto wakuyowa, apana awo wanaoshika franga,kisha ziwana wachanganya wafika wanajiita niwa MUNGU na kutaka Watu wawa abudu ewo, Mungu Awa ajali,
@maymunahomar5016
@maymunahomar5016 2 жыл бұрын
MaaShaaAllah MaaShaaAllah. Shukraan sana kwa jitihada zako. Jazakallahulkhayr.
@yonamsemo6634
@yonamsemo6634 2 жыл бұрын
Hongera sana mama, nimependa unachokifanya.
@user-cl2jr3re4s
@user-cl2jr3re4s 2 жыл бұрын
Wahaya wanasifa lkn huyu nimhaya mwenye akili mtu kama huyu ukimpa uongoz nifasta tunakua km tup shangai china just imagine hachaji ela nibure wanachota sema awoote mama
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 2 жыл бұрын
Masha Allah. Hajasahau kwao n hajasahau asili yake..wengine hataki hata kuongea kiswahili au atabadili lafdhi yake
@sonialand2646
@sonialand2646 2 жыл бұрын
Yuko uingereza miaka 23 lkn hajaongea kiingereza hata neno moja! Lkn sleikwin hapo! Tungekoma
@zahradattan4957
@zahradattan4957 2 жыл бұрын
🙈🤣
@habibakhalfan1065
@habibakhalfan1065 2 жыл бұрын
Haaaaaa_kweli
@allyhassan7522
@allyhassan7522 2 жыл бұрын
Khofu ya Mungu ndo Msingi pekee wa mafanikio yake.
@tumainimathias2395
@tumainimathias2395 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana dada kwa kujitoa ,mtangazaji uko vzr,hongera.
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 2 жыл бұрын
Ant hongera sana kwa msada ila m/mungu kasema unapotoa msada usitangaze yani tolea mkono wakulia wakushoto usione kama baresa
@zahradattan4957
@zahradattan4957 2 жыл бұрын
Nashukuru. Kuna vitu vingi hatutangazi ila wakati mwingine kutangaza kunasaidia wenye shida watutafute na pia wafadhili waweze kutoa misaada tuwasaidie walio wengi. Allah SWT anaelewa zaidi na atusamehe kunako mapungufu
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 2 жыл бұрын
@@zahradattan4957 Nimekuelewa
@mbulabalenzi3790
@mbulabalenzi3790 2 жыл бұрын
Kasambya kwetu. Mungu akubariki
@marselinarweyemamu4034
@marselinarweyemamu4034 2 жыл бұрын
Wahaya wote km tulivyoongea huyu mama tumpe tuzo
@omaryjumaa7730
@omaryjumaa7730 2 жыл бұрын
Masha allah, Mungu akusaidie ili usaidie zaidi. Hongera kutoka Comoros
@magrethmbuma3045
@magrethmbuma3045 2 жыл бұрын
Mtangazaji uko vizurii....endelea kijitengeneza utakuwa juu
@shukurukihwelo3084
@shukurukihwelo3084 2 жыл бұрын
Safi umewa fungua nawenzio iwe darasa kwani nyumbani ni nyumbani nimekupenda ghafra na mwenyezi Mungu akuzidishie
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 2 жыл бұрын
Umetoa sadaka kubwa Sana ya maji kila tone la maji malaika wanakuombea dua Allah akulipe kheri,nasi atuwezeshe kutoa angalao kidogo tulichonacho,amiin amiin
@ukhtyzainab7254
@ukhtyzainab7254 2 жыл бұрын
Aamiin
@kassimibrahim4776
@kassimibrahim4776 2 жыл бұрын
Mko wachache sana bi hajath....Allah atakulipa kinachostahili kwa mapenz yake Insha Allah
@raudhakassim6929
@raudhakassim6929 2 жыл бұрын
Katonda akubere,akuwe omugisha gwena
@najaburhan754
@najaburhan754 2 жыл бұрын
Mashallah, tunajivunia uwepo wako, Allah akulipe Mala dufu😘💋😘😘😘🥰🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@nadirmahfoudh1812
@nadirmahfoudh1812 Жыл бұрын
Masha'Allah, juhudi na budii kubwa mmezipitisha na nakuombea kwa Allah akubarikie kwa ulichotoa na ulichobakisha.
@devothaignatus5911
@devothaignatus5911 2 жыл бұрын
Ahsante mama Mungu akubariki sana mpaka ushangae barikiwa sana Karibu Kyamulaile.
@saadettinkuru6021
@saadettinkuru6021 2 жыл бұрын
Mange kimambi kuna jambo la kujifunza kupitia huyu mama
@AlAl-sd9pl
@AlAl-sd9pl 2 жыл бұрын
Manshalah manshalah ameish miaka yote hiyo lakin anaongea kiswahili kizur tu. Sio kina fulani.. Miaka 4 tu haongei kiswahili bila kutia kingreza
@rehemadaudi4390
@rehemadaudi4390 2 жыл бұрын
Safi Sana mama kwa uzalendo, wangekuwepo watano Kama Hawa nchi itapanda sana
@edgarlinus2720
@edgarlinus2720 2 жыл бұрын
Niliona kule makete mkoani njombe kwa kuwa kuna milima mingi ina vyanzo vingi vya maji hivyo wale waliobahatika kuwa na uwezo wamesaidia Sana kujenga matenk na kuyasambaza maji kwa wananchi pengine karibia kijiji chote.
@khalfachannel1340
@khalfachannel1340 2 жыл бұрын
Shida kuna baadhi ya watu ni wapigaji misaada kutoka nje inakuja mabilioni ya pesa ila haipelekwi sehem husika
@loveremedy5348
@loveremedy5348 2 жыл бұрын
Safii saaan yaan wew ungefaa uwe hta kiongoz
@mercymwasha3993
@mercymwasha3993 2 жыл бұрын
Hongera sana mama na Mungu akubariki sana kwa kuwajali wengine
@zakiaothumani836
@zakiaothumani836 2 жыл бұрын
Mashaallah da Zahra sikujua kama unakuja kufanya mambo makubwa kama haya Allah akulipe na akuzidishie inshaallah
@nooroman2535
@nooroman2535 2 жыл бұрын
MashaAllah MashaAllah ogera sana Allah hatakulipa kwa wema wako na hakupe afya njema na umuli mrefu
@nooor1120
@nooor1120 2 жыл бұрын
Maa shaa Allah Allah azidi kukuongoza hajjat zahra Hii yote ukiwa na hofu ya mmungu ndio unafikiria wenzako ili kupata radhi za mola wako. Na pia wengi hatujui km Allah akikupa mali hio sio yako unatakiwa ufanye heri na usaidie wasionacho kupitia wewe ila inataka akili.mmungu atuongoze
@othmaniddi7637
@othmaniddi7637 2 жыл бұрын
Hongera sana,,, Mama,,Allah atupe yalo mema
@othmaniddi7637
@othmaniddi7637 2 жыл бұрын
Hongera sana
@oliverleon7417
@oliverleon7417 2 жыл бұрын
So so proud of you mama... Wanawake tunaweza
@paulinacherement2534
@paulinacherement2534 2 жыл бұрын
Mashallah ALLAH barik
@rubensaitoti6839
@rubensaitoti6839 2 жыл бұрын
Hongera sana hajati dhahara Mungu akulipe
@abdulrahmanbakar3818
@abdulrahmanbakar3818 2 жыл бұрын
mashaallah may allah bless your future..here and akhera
@godlovekamuntu973
@godlovekamuntu973 2 жыл бұрын
Asante Mum,huko sawa. Charity begin at home.
@johnsonbagambi1908
@johnsonbagambi1908 2 жыл бұрын
Asante dada
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 2 жыл бұрын
Viongozi wa nchi yetu wengi wanawaza kampeni, ubinafsi ,husda na choyo, kwa juhudi anazozifanya huyu Mama ilitakiwa hata apigiwe simu na Waziri au Mkuu wa Mkoa, na kuzidi kumpa moyo, lakini usikute ndio kwanza wanamsema pembeni na kuhisi labda ana mpango wa kugombea ubunge hahahahaha, hii ndio TZ kila jambo lazima lizungumzwe na Raisi kana kwamba hakuna wanaomzunguka
@ellyitete938
@ellyitete938 2 жыл бұрын
Yaah kweli
@jovingeorge3782
@jovingeorge3782 2 жыл бұрын
Mungu Akukumbuke sana mama
@musason1680
@musason1680 2 жыл бұрын
Aseee kazi nzuri sana ✊
@hajiali9300
@hajiali9300 2 жыл бұрын
Allah akupe afya njema watu wa bukoba wanajalisana maskini
@kimsamespa8490
@kimsamespa8490 2 жыл бұрын
Wau umejiwekea akiba nyingi katika ulimwengu ujayo be blessed
@azzaalhabsi1505
@azzaalhabsi1505 2 жыл бұрын
Asante hajat zahra nimefurahi kurudi nyumbani kwa maendeleo na kutusaidia mpango mzima wa maji.tunaomba wilaya ya karagwe uijali kwa visima vya maji japo umeikumbuka lugera lakini hata vijiji vinginevyo bado ni tabu tupu tunaomba mkono wako ufike vijijini karagwe.allah akufanyie wepesi.
@mozasaid3869
@mozasaid3869 2 жыл бұрын
Mashaallah , Safi sana mama❤❤❤
@venancerichard920
@venancerichard920 2 жыл бұрын
Safi mama
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 2 жыл бұрын
Mashallah Mwenyezi Mungu ndio atakae walipa
@zaitunomar54
@zaitunomar54 2 жыл бұрын
Hongera Dada mungu akupe upeo zaidi sote wanawake tunahangaika da natamani unichukuwe nifanye kazi huko mie niko Omani nimekupenda
@salmahanai3601
@salmahanai3601 2 жыл бұрын
Allah akuzidishie
@edinachami4318
@edinachami4318 2 жыл бұрын
Pamoja nakuishi uingereza said ya miaka 20 bado kiswahili chake kimenyooka,ingekuwa nihawa masista do wasasa ungeskia is the
@deograciakashaigili5973
@deograciakashaigili5973 2 жыл бұрын
Wanawake hoyeeeeeee!
@skjjsj1889
@skjjsj1889 2 жыл бұрын
Ma sha allah Dd. Zahra allah akubariki na akuhifadhi
@fatmaabubakar7300
@fatmaabubakar7300 2 жыл бұрын
Niajiri Nami kwa kampuni yako u.k plz
@cosmaschuwa8718
@cosmaschuwa8718 2 жыл бұрын
Mama mungu akupe maisha marefu sana
@Bongo1Media
@Bongo1Media 2 жыл бұрын
Karagwe Rugera nimewahi kufika.... 🙏🔥
@RashidRashid-ie9rj
@RashidRashid-ie9rj 2 жыл бұрын
Assalamu aleikum mama hajrat mwenyeze mungu akupe wepesi kwa haya unayafanya nikusikiliza vizuri sana. mimi niko oman
@robertamos3646
@robertamos3646 2 жыл бұрын
Waitu mwakola munonga.Hii ni miongoni mwa sadaka Mungu aipendayo. Mungu akupeni mtazamo mpya wa kusonga mbele.
@maimunashaban9538
@maimunashaban9538 2 жыл бұрын
Nasi tunahitaji mdaada zahra
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 2 жыл бұрын
Masha Allah 💞
@OnlyRuky
@OnlyRuky 2 жыл бұрын
Mashaalah
@jeremiaholendika4563
@jeremiaholendika4563 2 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu
@OmanOman-ky2oo
@OmanOman-ky2oo 2 жыл бұрын
Amen
@aishaamwalimu2887
@aishaamwalimu2887 2 жыл бұрын
Ni mfano nzuri Sana, mungu akubariki.
@wasalimie11
@wasalimie11 2 жыл бұрын
mashallah ona dada kama huyu bado anaongea kiswahili safi kabisa kibusara na ni tajiri ila yule wa mzee abdul anajifanyaga hajui kiswahili hadi bongo zozo anamshinda shm
@ukhtyzainab7254
@ukhtyzainab7254 2 жыл бұрын
Kweli kamisa,maana yule wamzee Abduli wengi ametshangaza maana mie wanangu nemewazaa huku uk lakini wanaongea kiswahili vizuri tuu labda baadhi ya maneno huwayanawapatabu kujuwa maana yake
@leahsamson9354
@leahsamson9354 2 жыл бұрын
MUNGU AKUBARIKI SANA,
@ramadhanwilbard8196
@ramadhanwilbard8196 2 жыл бұрын
Safi sana Mama!
@mossyally3352
@mossyally3352 2 жыл бұрын
Mashallah Mashallah. Mola azidi kukujaalia.
@leticiamapunda3324
@leticiamapunda3324 2 жыл бұрын
Wahaya sema mnajisahau hamfanyi maendeleo kwenu
@aminitu3766
@aminitu3766 2 жыл бұрын
Dada unaa akili sana wengine wanaenda ughaibuni wakirudi wanatuuza kwa wazungu jifunzeni jamani uzalendo huo
@bekabakari7394
@bekabakari7394 2 жыл бұрын
Mungu akuwezeshe insha Shalah
@richardsaidi2448
@richardsaidi2448 2 жыл бұрын
mama hongeraa sana kwakuongeaa kiswahili. Wengnee wakienda ulayaa wakirudii wanaongeaa kiswaenglish.yaan puwaapuwaaapuwaaa... Puwaa...puwaa.....puwaa..puwaaaa...puwaaaa...puwaaaa kabisaa
@aishamtwana1323
@aishamtwana1323 2 жыл бұрын
Zahra naomba nikutane nawe tafadhali nikutanishe mwenyezi mungu akuzidishie umri mrefu
@OmanOman-ky2oo
@OmanOman-ky2oo 2 жыл бұрын
Mashaallah Allah akupe afya njema 🥰🥰🥰
@shamsakiobia6421
@shamsakiobia6421 2 жыл бұрын
Hajati Zahra nitakipataje mama
@hemedisalim5522
@hemedisalim5522 2 жыл бұрын
Ongera sana mama MUNGU aendelee kukubaliki
@thefactsspotter251
@thefactsspotter251 2 жыл бұрын
good job
@isunga1964
@isunga1964 2 жыл бұрын
Woow vizurì sana mamy naiman ntapata kazi kwa campuni yako ntakutafuta nipo nasomea CAREGIVER hapa UAE DUBAI
@shamsakiobia6421
@shamsakiobia6421 2 жыл бұрын
Allah akulipe my dear
@thisiszai2045
@thisiszai2045 2 жыл бұрын
Mungu akubariki mama
@dashuu5295
@dashuu5295 Жыл бұрын
Taawanuuu.....saidianeni mashallaah jina limeswadifu
@thuweiybab3338
@thuweiybab3338 2 жыл бұрын
Millardayo naomba namba zenu za simu please
@ambitiousholyspirit395
@ambitiousholyspirit395 2 жыл бұрын
mungu akubariki
@skjjsj1889
@skjjsj1889 2 жыл бұрын
Ma sha allah dd Shukran sn
MPOKI NA WAZAZI WAKE
10:59
CHEKESHA TV
Рет қаралды 12 М.
Touching Act of Kindness Brings Hope to the Homeless #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 17 МЛН
Мы сделали гигантские сухарики!  #большаяеда
00:44
女孩妒忌小丑女? #小丑#shorts
00:34
好人小丑
Рет қаралды 98 МЛН
Matching Picture Challenge with Alfredo Larin's family! 👍
00:37
BigSchool
Рет қаралды 52 МЛН
MAANA YA NDOTO ZA WANYAMA HASA PAKA  "NABII FRANK MCHOMVU
16:35
SWAHILI GOSPEL TV
Рет қаралды 109
TARERE 6/ 9/ 2024  HII IMETOKEA IJUMAA
20:48
Allykk tv
Рет қаралды 260
Touching Act of Kindness Brings Hope to the Homeless #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 17 МЛН