Mbona hakuna maneno ya kumkataa Mbowe acha uchwa wako ama na ww ni kspuku big up Kusaga una Akili
@solomtz704911 күн бұрын
Sasa hawa wanaanza kufanya utumbo kama viombo vya habari vingine…. Kichwa cha habari na maongezi tofauti
@SharaMan-yn9px11 күн бұрын
Uko vizuri Boss kusaga
@IshmaelLuyagaza11 күн бұрын
Kudos Kusaga, well-spoken words !!!!!
@thomaskiponda607911 күн бұрын
KUMBE KUSAGA NI MWANAUME WA KWELI ANATEMA MADINI TU SAFI❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@Peterchila-un2lx11 күн бұрын
Wewe ni mwanamke wa uongo
@Peterchila-un2lx11 күн бұрын
Wewe ni mwanamke wa uongooo
@simeonmazigo591811 күн бұрын
Hongera sana brother 🤝
@francomwalutende786411 күн бұрын
Genius, royal people do speak fact
@stenobway360211 күн бұрын
My mentor ❤❤❤
@KapingaAjuaye-es7fq11 күн бұрын
Kuna level ukifika hautak8wi kuwa na upande big up bro
@TheKinyago11 күн бұрын
Brilliant!!!
@emmanuelfundi748611 күн бұрын
Safi sana ❤🎉
@jonakajigili699111 күн бұрын
Boss Jo Salute sanaaaaa
@benedictomahombo11 күн бұрын
Big minded person🎉
@ernestkirigitik944811 күн бұрын
Nice big J
@BarakaCKimambo10 күн бұрын
Safi sana bwana Kussaga
@ELIFASMADEBHO11 күн бұрын
Unajtambua saana mzee good
@elifazmpozayo293011 күн бұрын
Wajina🎉
@harounmaarufu324111 күн бұрын
Huyu jamaa akili kubwa.hajaongea kichawa kama vyombo vingine
@KhamisFeysal10 күн бұрын
Chadema sio chama cha wananchi wote hata ccm sio chama cha wanachi wote
@LovenessLusiani11 күн бұрын
WELL SAID BOSS
@AliKhamis-j9z11 күн бұрын
Afadhali ww hujipendekezi na ccm moja kwamoja
@ChristerKok11 күн бұрын
True,Kusaga.
@VladimirNtuli11 күн бұрын
Dah kusagaaaaaaaaaaaa miaka bukuuuuu mjombaaaaa
@BahatiMayombo-k7m11 күн бұрын
Huyu bwana mtulivu sana wa fikra
@anosiata824211 күн бұрын
Afadhali yako unaongea point.
@shabanimbega4011 күн бұрын
Kusaga asante sana
@HamzaOmary-r6u11 күн бұрын
Big up sana
@hamadyndembo336611 күн бұрын
Big joe❤
@SilverYanga11 күн бұрын
Big brain 🧠
@harounmaarufu324111 күн бұрын
Well said
@AsiaShaban-zz4yr11 күн бұрын
Kusaga na kukomboa big up Mzee
@amirjuma939511 күн бұрын
Tatizo Mzee wagu sio kupiga kuratu Kura tunapiga lakini kama utakumbuka kauli ya nape anasema inategemea na nani anatangaza matokeo ukisha tangaza sio baadae unaomba radhi kwaiyo hakuna haki yakutambuliwa Kura nibosheni
@ibraagwanda468311 күн бұрын
Joe kaongea vizuri sana,tatizo ni kichwa cha habari,poor journalism.
@GKukuz10 күн бұрын
Una uchungu na taifa na unatamani sana vijana wapate akili ya kujisimamia na kutokua chawa maana hii husabasha kukosa haki zao za kiuzarendo... Hiii ni kwa mtu yeyote anayelipa kodi (VAT) kwa haki. Corporate tax na tax zozote zile zinauma sana pale unapoona hazifanyi kazi sawa sawa.. big up i promise, ntajifunza mengi kutoka kwako
@khalidmamdadi107211 күн бұрын
Big up kaka
@HASSANBAKARI-q9c11 күн бұрын
KAJIVUWA😊
@josiacharles277811 күн бұрын
Uko sawa nimependa, ongereni sana cloud na Azam UTV mmefanya kitu Cha mahana sana, nimependa sana nimeshangaa TBC kutokuonyesha mkutano wa chadema.
@margarethpolepole743811 күн бұрын
@@josiacharles2778 Clouds Biashara na Azam Tbc Serikali ya ccm hsya kazi kwako
@josiacharles277810 күн бұрын
@margarethpolepole7438 ni kutokujitambua tu Kwa serikali usika, TBC ni lawananchi wa Tz na chadema ni chama cha siasa ndani yake wapo ao ao wananchi wa Tz wanaolipa Kodi, wanakosea
@hashimmziray741610 күн бұрын
#akili kubwa Kusaga #5tena kwako na vyombo vyote vya habari vilivyo chini yako
@denisJoel-v7i11 күн бұрын
Safi sana tajr akil ming
@SundaySteven-bz4yq11 күн бұрын
Mimi ni chadema mbowe akishinda nahamia act maana kipindi magufuli na lisu Mimi nilikuwa wakala madhaifu ya mwenyeki tuliyaona tulilazimishwa kusain na police huku ccm wamepigwa kwenye sanduku
@solomtz704911 күн бұрын
🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@johnmbitiyaza125411 күн бұрын
Akili kubwa sana.
@nadirdoody795511 күн бұрын
Amen anen
@ibrahimkibira994310 күн бұрын
Les go guys and don’t forget to vote for opposition
@paulbernard713510 күн бұрын
Kusaga IQ is very higher than an ability of an individual who’s applying his mental and physical abilities in his daily life routine.
@Pweza11 күн бұрын
Hii kauli ya mmiliki wa chombo cha habari afungamani na chama chochote kile ...hii inatafsiri ya wazi kuwa diamond na Alikiba sio wamiliki wa radio station
@josephkiwale37411 күн бұрын
Wamealikwa lkn🤔🤔
@DavidCurtis-e4c11 күн бұрын
@@josephkiwale374umemjibu vizuri sana hata hafikirii anachokiongea mbona huyu yupo hapa chadema? Pili wale anaosema si wamiliki anatakiwa ajue kuwa ni wafanyabiashara na lazima wasapoti sehemu ambayo itawalinda kibiashara zao