VIDEO: HALI MBAYA LOS ANGELES INAVYOTEKETEA KWA MOTO, MILIPUKO KUONGEZEKA ZAIDI, UPEPO MKALI

  Рет қаралды 54,075

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 410
@FestoMatayo-x1t
@FestoMatayo-x1t Күн бұрын
Kinacho tengenezwa na mwanadamu kwa Zaid ya Karne 1 mungu anaweza kukiharibu kwa saa moja jaman kwa wote waislamu na wakristo tutambuwe uwepo wa mungu na kuheshimu mipaka yake hapa duniani Amina🙏🙏🙏
@chrisshonga
@chrisshonga Күн бұрын
Amina🙏🙏🙏
@DullahIweni
@DullahIweni Күн бұрын
Ameen
@alicejumaa89
@alicejumaa89 Күн бұрын
Kweli
@IreenMlenga
@IreenMlenga Күн бұрын
Ni kweli kabsa
@abuumuhammad7133
@abuumuhammad7133 Күн бұрын
Haa haaa bado hamjasema na mtasema sana
@RukiaMandenge
@RukiaMandenge Күн бұрын
Mungu atulinde na tz yet...marekani tu ngoma ngumu na wana kila vifaa. Apa bongo je ingekuaje ghorofa moja tu raia kbao wmkufa...mungu ilinde nch y2
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 Күн бұрын
Amiin amiin ya rabialamin
@HvhVvb-k3i
@HvhVvb-k3i Күн бұрын
Usisahau muhimizane kuwacha maovu maana ushoga sio marekani tu Hadi Tanzania na maovu mengine pia kukashifiana dini
@PendoMarco-x3u
@PendoMarco-x3u 18 сағат бұрын
Amina
@kassimdc3288
@kassimdc3288 12 сағат бұрын
😂😂
@lailaoman3856
@lailaoman3856 5 сағат бұрын
Ila marekani umezidi mbaka makanisayakufunga ndoa
@kitaaofficial4119
@kitaaofficial4119 14 сағат бұрын
Moto ukiwa na Upepo Kuuzima ni ngumu sn😢😢 This is unstoppable fire
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 14 сағат бұрын
Hatakama'huo moto ni kiasi cha kuwakumbusha kuna Allah, waache kumuasi'kumpuuza'nakumdhihaki, wao huifanya ni miungu watu, wanaendesha Dunia watakavyo kwa uovu,wanataka kushindana na Allah
@HGvv-bh1ig
@HGvv-bh1ig Күн бұрын
Nkumuomba mungu msamaha awashushie mvua kubwa moto upate kuzima jamn Allah atujalie mwsho mwema
@shariffjuma7974
@shariffjuma7974 Күн бұрын
Acha nchi iangamie uharibifu umezidi mno na kuusambaza kwa lazima Kila nchi
@iddihamisiharuna8261
@iddihamisiharuna8261 Күн бұрын
Wamerekani walimpa silaha na wanajeshi Israel ili kuwaua Malaki ya wananchi wa parestina na kuharibu mji wa gaza. Acha nao Mungu awaangamize, Allah anawalipizia kisasi wanawake, watoto na wazee wa parestina waliouliwa na kuharibiwa makazi yao
@YusuphRashidi-b1j
@YusuphRashidi-b1j Күн бұрын
Hivi na wewe unaihuzunikia marekani wa azirishi ya machafuko
@chikuiddy9946
@chikuiddy9946 23 сағат бұрын
Mfanyaji wa haya yote ni MUNGU mmoja ambae hajazaa wala kuzaliwa, kwaiyo wacha afanye yake ili watu wajue kama kuna MUNGU
@nicodemuswidambe5132
@nicodemuswidambe5132 23 сағат бұрын
Mungu cyo mungu!!
@mbwanarajab7238
@mbwanarajab7238 Күн бұрын
MUNGU AWAPE KILE WALICHOKIFANYA GAZA , SYRIA, LIBYA, IRAQ , AFGHANISTAN NA MAENEO MENGINE AMBAYO WALIPATA MAUMIVU WALIOSABABISHA WAO
@abelmbilinyi1262
@abelmbilinyi1262 Күн бұрын
It's too much inabidi kutubu kwa Mungu bila hvy mji unaenda kufutwa , Km mtaendeleza kiburi Mungu atazidi kuwa onesha ukuu wake
@KHAMISISADICK
@KHAMISISADICK Күн бұрын
Mungu angamiza malekani yote maana tumechoka na matendo yao machafu na unyonyaji kwa mataifa madogo🙏🙏🙏
@mshambaused3840
@mshambaused3840 15 сағат бұрын
Kabisa
@Bahatisekile
@Bahatisekile 14 сағат бұрын
Unaposema Mungu aangamize taifa zima kwani hakuna watu wema na wacha Mungu
@annndunda3953
@annndunda3953 Күн бұрын
Sio upepo ni mkono wa Mungu, si wenyewe walisema Mungu kapata sufuri na wamtoe kwenye mji wao, mji wenye hauna Mungu hukaa hivi okay
@salmanassor8732
@salmanassor8732 Күн бұрын
Na waendelee tu kuteseka mie sitaman ata uzimike😂
@azizasaid5255
@azizasaid5255 Күн бұрын
Mmmm,
@HassanJaphari-rx7jy
@HassanJaphari-rx7jy 23 сағат бұрын
Wacha wachomeke na moto kama vile wao wanavyo choma nchi za wenzao. Ameen 🙏🙏🙏
@Kutaila99
@Kutaila99 23 сағат бұрын
😂😂😂😂uwake pande zote ili akili ziwakae sawa maana hata maji yatakwisha sasa
@ISSAJR-f5
@ISSAJR-f5 23 сағат бұрын
MAJI YATAISHA MWISHO WATAMWAGA MIKOJO WAHUNI HAO WAUNGUE 2.
@FidelisMushi-m5b
@FidelisMushi-m5b Күн бұрын
Wakati wa kutubu tuu bila ivyo kuamini mungu yupo moto utawatesa sana
@AminaOmar-v9f
@AminaOmar-v9f Күн бұрын
Subhannaallah moto unawawakia duniani nabado moto.wa jahannam mungu awasamehe nakuwaokoa lnshallah 😢
@HassanJaphari-rx7jy
@HassanJaphari-rx7jy 23 сағат бұрын
We ni mjinga mbona wenyew hawaja acha kuichoma Gaza huko Palestine. Namuomba Allah (s.w) aendelee kuichoma marekani kama vile wao wanavyoichoma Palestine na mashariki ya kati Kwa ujumla. Ameen 🙏🙏🙏
@karibunyumbani3824
@karibunyumbani3824 23 сағат бұрын
​@HassanJaphari-rx7jy kwa sababu wewe ni mkamilifu sana acha kiburi cha uzima ukijiona mzima nyenyekea hujampa MUNGU chochote Hadi akupe pumzi Hadi Leo kwahiyo acha kuhukumu usije hukumiwa
@TwahirMohammed-x2h
@TwahirMohammed-x2h 23 сағат бұрын
Wacha moto uwawakie mi siwaonei huruma kila siku kazi yao kupiganisha wenzao wamewagombanisha wa libya mpaka leo hawajakaa sawa
@LizenMaker
@LizenMaker 23 сағат бұрын
Unakuja Tanzania sio mda
@salmanassor8732
@salmanassor8732 23 сағат бұрын
@@HassanJaphari-rx7jy Amiin
@AminiMsellem-gk3yy
@AminiMsellem-gk3yy 18 сағат бұрын
Safi sana tena sana mazalimu hao wameiteketeza palestina Mungu analipa hapahapa duniani
@innocentmvungi8925
@innocentmvungi8925 Күн бұрын
Hamna kitu wanaweza Fanya hao kikafanikiwa wamrudie Mungu tu wafanye Toba ya kweli lasivyo wanatwanga maji kwenye kinu
@nakilingwembele9504
@nakilingwembele9504 Күн бұрын
Unakuta mtu anaandika mungu na watu wanaitika amen, jamani ni MUNGU/Mungu na siyo mungu 🙏🙏
@karibunyumbani3824
@karibunyumbani3824 23 сағат бұрын
Haswaaaaaaa🎉🎉🎉🎉
@Aziza-tx4jx
@Aziza-tx4jx 23 сағат бұрын
Aowenzetu wamevuka mipaka nakujifanya wameishika Dunia na kuijua vilivyo acha yawakute
@judyngowi391
@judyngowi391 23 сағат бұрын
Kweli​@@karibunyumbani3824
@MarcoPeter-y5n
@MarcoPeter-y5n 22 сағат бұрын
Safi Kwa kutoa Elimu ya jinsi MUNGU BABA wa Mbinguni anavyotakiwa Kwa kuheshimika Kwa kuandika Jina lake Kwa herufi kubwa
@ruthkamungo5566
@ruthkamungo5566 16 сағат бұрын
Ubarikiwe kwa kuliweka sawa
@mohamedkhatib5526
@mohamedkhatib5526 Күн бұрын
Laana hiyo Allah' ana majesh ambayo hayawezwi na majeshi yoyote na hilo n moja ya majesh yake sasa
@MsevenSaudisaidi
@MsevenSaudisaidi Күн бұрын
Wasilam mbona mnafulai malekani kuwaka moto
@chikuiddy9946
@chikuiddy9946 23 сағат бұрын
​@@MsevenSaudisaidi Wanaotuletea sisi huku ndoa jinsia moja ni hawa na pia ni wachonganishi watu wanauwana
@sayeedmsct4255
@sayeedmsct4255 Күн бұрын
تبارك الله ❤❤❤❤
@nassorali1034
@nassorali1034 18 сағат бұрын
Allahu akibar❤
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu Күн бұрын
Allahu akibaru maashallahhhh
@elvira9325
@elvira9325 21 сағат бұрын
😂😂
@fatimawazeer701
@fatimawazeer701 20 сағат бұрын
😂😂
@jumahamad3723
@jumahamad3723 Күн бұрын
Qur'an inasema kweli kabisa Cha kuwasaidia ni kuomba msamaha huruma ya Allah itaokuja na sio zima moto
@nellymtambo8432
@nellymtambo8432 23 сағат бұрын
Wamarecan bhana na nyumba zao ni mabox mabox cjui mbao mbao za kuulia nyoka😂😂😂 ndio maana imekua rahisi sana LA kiteketea kwa dakika 0 mungu awatie nguvu tunawapenda❤
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 22 сағат бұрын
Zipo sababu nyingi za kwann nyumba zao wanajenga kwa mbao
@TonnleeLwisgon-c6m
@TonnleeLwisgon-c6m 15 сағат бұрын
Huo ndio mkono wa Mungu Mashallah.
@SalmaAthuman-hp3en
@SalmaAthuman-hp3en Күн бұрын
Huu moto ni kama ukizima ndo unazidi tuombe mwisho mwema dunia ni mungu tusijisahau
@AmiWitu-n1y
@AmiWitu-n1y 20 сағат бұрын
Msaada wa haraka,wa kweli na karibu ni Mungu tu. Sio hata jeshi,polisi,mali ulizo nazo NK. Tumheshimu na kumkaribia Mungu.
@EdithaRaphael-fp4gb
@EdithaRaphael-fp4gb 17 сағат бұрын
Hapa yaani Mungu aingilie tu kati,pamoja na vifaa vyote havitasaidia ila Mungu akitamka yatosha moto na utatii na utazima.kwahiyo tuwaombee tu Mungu ni mwema sana🙏
@kileoisaac
@kileoisaac 16 сағат бұрын
Toba pekee ndio inayo weza kuwaokoa na huo moto; tofauti na hapo kwa jitihada zao hawawezi kuuzima huo moto... Mwenyezi Mungu turehemu! Tunaomba Rehema zako na Neema yako iwafunike! Uwaokoe na maasi yao!
@doramerits1077
@doramerits1077 Күн бұрын
Wao sinasikia wanaweza kutengeneza mvua imekuwaje ndio wajue kama Mungu yupo
@Kutaila99
@Kutaila99 23 сағат бұрын
😂😂😂wasingetumua nguvu kubwa kuzima moto
@hamoudmchiko4523
@hamoudmchiko4523 23 сағат бұрын
Mvuaa😂??? Mamlaka hayo anayo malaika ambae amepewa na Allah
@KhadijaMwenda
@KhadijaMwenda 17 сағат бұрын
Uliona kilichowakuta Dubai 😂😂
@aishahazary4097
@aishahazary4097 Күн бұрын
Alhamdulillah ..YAA ALLAH endeleza hasira zako kwa Taifa hili dhalmu lisilojua kama kuna MUNGU wa kweli ambae hashindwi na chochote.
@abdallahsaid8157
@abdallahsaid8157 22 сағат бұрын
INAWEZEKANA TATIZO HILI LIKAWA NI KUBWA SANA KULIKO CORONA. 😳🙏
@JamesJastin-bg1rx
@JamesJastin-bg1rx 23 сағат бұрын
Napenda sana Marekani kuungua😅😅😅
@elvira9325
@elvira9325 21 сағат бұрын
😂😂😂
@WansolaLuther-tq8qm
@WansolaLuther-tq8qm 21 сағат бұрын
Mungu akulaani
@Johnsonchristopher-uc5er
@Johnsonchristopher-uc5er 3 сағат бұрын
Tuishi kwa kutambua uwepo wa mungu na tuishi kwa amri zake hakika bwana atatutulinda na vyote vilivyomo duniani na kuishi maisha marefu atakavyo tumuombe sana mungu hii sio kawaida kuna mahali tumekosea anatukumbusha nankutupannafasi nyingine
@samwelmabula4455
@samwelmabula4455 Күн бұрын
Chanzo ni walipiga kura nani anakubalika sana Na wamweka Mungu na kwenye kura zao Mungu akapata kura sifuri wakaanza kusema mtoe mungu katika eneo letu asa Mungu niwa mchezo
@annndunda3953
@annndunda3953 Күн бұрын
Kwa hio ilinikera sana
@FilbertHabashi-zn1qu
@FilbertHabashi-zn1qu Күн бұрын
Ahh kumbe walifanya kitu kama icho, hyo story ndo nimeijua now japo kwa ufupi, nataman mtu anielezee kwa undani kdgo
@teddiekwai8424
@teddiekwai8424 Күн бұрын
​@@FilbertHabashi-zn1qumimi pia kweli nahitaji kujua vizuru
@beatricemwasunda5027
@beatricemwasunda5027 Күн бұрын
Muonapo matukio kama ayo,mjue Yesu yu karibu KURUDI 😭mwenye kudhurumu,azidi kudhurumu,na Mwenye KUJITAKASA,aZidi kujitaka...YESU YU KARIBU SANA KURUDI😭😭
@shariffjuma7974
@shariffjuma7974 Күн бұрын
Itikadi ya upotevu kabisa😮😮
@HassanJaphari-rx7jy
@HassanJaphari-rx7jy 23 сағат бұрын
Namuomba Allah (s.w) moto usizimike hadi marekani yote ipotee katika uso wa dunia na kubaki magofu tu kama vile walivyo iteketeza Gaza na mashariki ya kati Kwa ujumla. Ameen 🙏🙏🙏
@Chettymlambalipsi-lb9km
@Chettymlambalipsi-lb9km 22 сағат бұрын
❤❤
@jamalijamali6820
@jamalijamali6820 22 сағат бұрын
Ameena
@jamalijamali6820
@jamalijamali6820 22 сағат бұрын
Walishajifanya wanaweza kufanya watakalo Madhalimu mashoga wanyonyaji wakubwa Sasa waacheni tu wapambane na aliewaumba tuone sasa
@husseinmwanga
@husseinmwanga 14 сағат бұрын
Ameen yarabilaalamin
@kmotivation1130
@kmotivation1130 Күн бұрын
Amini Mungu Yupo ,Yesu ni Mwokozi Piga kazi
@kalelaonlinetv
@kalelaonlinetv Күн бұрын
Allah sio yesu uyo yesu ni mtume wake anaitwa ISSA bin mariyam
@angelelirehemachambo2382
@angelelirehemachambo2382 Күн бұрын
Wewe nawe​@@kalelaonlinetv
@facilitylema8423
@facilitylema8423 Күн бұрын
Iko Siku inakuja hapo Yesu Kristo atakaposhuka na mawingu na kila jicho litamwona. Hapo ndipo itakapojulikana Kama Yesu Ni Mungu.
@sbboymkaliofficial9108
@sbboymkaliofficial9108 23 сағат бұрын
​@@facilitylema8423 kajambe ukalalale acha kutupanga 😂
@barakashaban1082
@barakashaban1082 22 сағат бұрын
​@@facilitylema8423Yesu sio Mungu
@judithgodfrey6503
@judithgodfrey6503 20 сағат бұрын
Yesu wakumbuke Tena baba yetu! Uwiiiii. Kumbuka Rehema baba wa neema!
@hamadsheni8997
@hamadsheni8997 19 сағат бұрын
Kwahyo yesu ache kukaa mbinguni aje kuzima moto.
@elishaussiri345
@elishaussiri345 Күн бұрын
Walijiona wanaweza bila Mungu wakamuweka Mungu nje ya Kila kitu chao. Sasa acha wapambane bila Mungu
@HabibuUrasa
@HabibuUrasa Күн бұрын
Tesekeni na nyiye km mlivyowatesa wapalestina
@reynaaalrawahi4137
@reynaaalrawahi4137 13 сағат бұрын
Sana inshallah kwa uwezo wa Allah usizimike huu moto
@reynaaalrawahi4137
@reynaaalrawahi4137 13 сағат бұрын
Dhuluma wakubwa hawa
@nyandutozy_1
@nyandutozy_1 Күн бұрын
UNATAMAMI KUWAONEA HURUMA ILA UKIFIKILIA NAMNA WANA VYO ITESA DUNIA UNAOMBA ADHABU INENDELEE NCHI YOTE ITEKETEEE TU
@AnnastaziaJeremiah-ch3vx
@AnnastaziaJeremiah-ch3vx 23 сағат бұрын
Mlio coment hapa Yesu akija paa mnauhakika wote Tunaenda mbinguni au bado moyo wako unamaswali
@BashiruMohamedmrisho
@BashiruMohamedmrisho 13 сағат бұрын
Baada ya coronavirus mara p diddy Na sasa moto Mungu anatukumbusha uwepo wake😢
@AzaAzamhmod
@AzaAzamhmod Күн бұрын
Dah ALLAH SIO WA KUMDHIHAKI ANAWAONYESHA UKUU WAKE MTUBU.MUSTOPISHE VITA YA GAZA KENGE NYIE..ISRAELI MBON HAWAJI KUWASAIDIA SASA NEXT ISRAELI TUSEME INSHALLAH 😂😂
@jumakhamis226
@jumakhamis226 21 сағат бұрын
In sha ALLAH
@Jayhood28
@Jayhood28 22 сағат бұрын
Angalau wana vifaa vya kuzima Moto..Mungu awasaidie..pia wafanye SALA maalum
@saidalhinai1131
@saidalhinai1131 7 сағат бұрын
Wanalipwa kwa kazi zao huko Gaza yemen siria na kote duniani wanao sapoti usenge bado tunataka wamarekani wapigane na mungu na kila siku mooto uenee marekani yote
@hassnsalim5156
@hassnsalim5156 Күн бұрын
IMEKULA KWENU MTAJUTA KUKUFURU MBWA NYIE
@aishahazary4097
@aishahazary4097 Күн бұрын
Ona ALLAH alivyowapa kazi ya kufanya.Isingekuwa moto muda huu wangekuwa wanauwa binaadam wenzao hali hawajui hata kuumba Inzi.
@abdallahzuakuu9051
@abdallahzuakuu9051 20 сағат бұрын
ingekuwa afrika wangedai technology ndogo ya kudhibiti majanga moto....
@IdrisaTuppa
@IdrisaTuppa Күн бұрын
Kama Ni Moto Wa Mungu Atauzima Mwenyewe Sio Binadamu.
@khadijambwambo7664
@khadijambwambo7664 23 сағат бұрын
MUNGU
@lydiajoseph2571
@lydiajoseph2571 22 сағат бұрын
Comment nzuri saana.
@AminiMsellem-gk3yy
@AminiMsellem-gk3yy 18 сағат бұрын
Kabisa
@SeifMassoud
@SeifMassoud Күн бұрын
Allah anakupa nguvu mpaka unafikia kiwango cha kujiona hakuna wa kukuwajibisha,, lkn siku akiamua kukuweka mkononi kwake na kukupa adhabu ndogo tu hapa duniani utamjua yeye ni nani
@RehemaMasunga-ml7kt
@RehemaMasunga-ml7kt Күн бұрын
Na utaalamu wao wote lakini hapa kwenye moto wamedunda
@danielmabilika3695
@danielmabilika3695 17 сағат бұрын
Ayo tv hakika wewe ni mtu na nusu mungu akuweke sana
@doramerits1077
@doramerits1077 Күн бұрын
Watubu tuu Mungu ni wahuluma atawasamee
@lizyNgaa
@lizyNgaa 16 сағат бұрын
Ninani atasimama mbele ya hasira ya Mungu, Yesu nisaidie😢.
@ally-k3427
@ally-k3427 19 сағат бұрын
Yote tisa ila huu moto si wakawaida banah, maasi yamezidi sana
@stevenlugojeremia2323
@stevenlugojeremia2323 8 сағат бұрын
Damu za wa Libya 🇱🇾 Iraq, Congo 🇨🇩 Afghanistan 🇮🇶 na nchi zote mlizo sababisha maafa hazita waacha salama na kama huu ni mpango wa Mungu busi usiishie hapa ili Awatambie Mungu hafananishwi na kitu chochote hapa Duniani kama walivyo mkashifu kuwa amepata Zero
@kimlexbeats
@kimlexbeats Күн бұрын
Mkono wa Mungu muumba nchi na mbingu sio wakupewa dhihaka! Heshma mbele na mipaka,
@athumanyusuph1099
@athumanyusuph1099 22 сағат бұрын
Walienda kulitembelea jua hao juzi kati hapa sasa MNYAZIMUNGU anawaelekeza wapi mipaka yetu ipo... ALAH AKBAL
@omante194
@omante194 22 сағат бұрын
Acha Allah ainyeshe ukubwa wake 😂😂😂
@RashidShidhani-h4q
@RashidShidhani-h4q 20 сағат бұрын
Saa moja ni nyingi kwa mwenyezi Mungu. Dakika tu inatosha kuharibu Kila kitu
@shannarsaidSwahili
@shannarsaidSwahili Күн бұрын
Kama Kuna nchi ambayo naichukia saana ni USA na Israili,,,,
@AhmedMuhammad-b5n
@AhmedMuhammad-b5n 23 сағат бұрын
😂😂😂😂kwanini
@nahlaaasidee1848
@nahlaaasidee1848 20 сағат бұрын
Makafiri wameua sana ndugu zetu waislaam maeneo tofautitofauti.
@ZeldaMzena
@ZeldaMzena 22 сағат бұрын
Yaan hapa nimewaza mawazo mengiii..alafu yote siyakumbuki..Mungu ninaomba Rehema kwa ajiri ya Marekani.L.A.
@salumukatani03-u8b
@salumukatani03-u8b Күн бұрын
Yaan kama movie vile,,,moto unazimwa lkn bado ngoma inaendelea kuwaka duh🤔
@judyngowi391
@judyngowi391 23 сағат бұрын
Moto una hasira kama umevutq bangi
@daudamir-o9n
@daudamir-o9n 16 сағат бұрын
wazungu ndio wajue ya kwamba mungu yupo wamezid kukufuru adhab nyingine cyo mpaka mbinguni zinaanzia hapa hapa duniani😊
@victorvancharlz
@victorvancharlz 23 сағат бұрын
Eeh mwenyez Mungu kwanini huo moto usiende kwenye kambi zao za kijeshi za nyuklia na kuwalipua kama kumbi kumbi Hawa mbwa.. sijawahi kuwaelewa kabisa wamarekan
@dalilahothman-z3x
@dalilahothman-z3x 2 сағат бұрын
Kama movie flani vile kumbe ndio hali halisi ,Yarabi wafanyie wepesi waja wako na utunusuru na sisina mitihani mikubwaYaarabi🙏
@fatmamangallah8263
@fatmamangallah8263 Күн бұрын
Allah Akbar. SubhanAllah wa Astaghfirullah 😭😭😭😭
@nurdinmkwachu28
@nurdinmkwachu28 22 сағат бұрын
Yani unaona kabisa moto unawaka bila sababu ndio mtumie akili kuwa hio ni mipango ya mungu
@hassanrashid-l3u
@hassanrashid-l3u 21 сағат бұрын
Wamarekani hawatakiwi kupewa pole wala kuonewa huruma ,asilimia kubwa ya mauaji ya nchi zingine yanasababishwa na wao ,,namuomba mwenyezi mungu huo moto uzidi kuendelea kuwaka ndani ya miez minne tu .marekani yote itakuwa imeisha ili waanze upya kuijenga nchi yao wasahau habali za kuwaangamiza wengine.inshaalah
@bockerNyarusahi
@bockerNyarusahi 23 сағат бұрын
Huu Moto siyo wa kawaida,kuuzima kwa kutegemea hao wazima Moto ni kujichosha na kuwachosha wao maana lipo nje ya uwezo wao,Moto hauzimiki huo na kila kukicha unaongezeka, MUNGU kawaonesha Ukuu wake
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 18 сағат бұрын
Vzr sana wafe hawooo makafiri wanajifanyaga wababe hiyo salamu ya allah duniani bado huwoo moto wake siku ya hukumu.
@mwankunjatyson
@mwankunjatyson 16 сағат бұрын
Mwenyezi Mungu awasaidie moto uwahi kuzima
@MarckMasaki
@MarckMasaki 16 сағат бұрын
Unatetea mashoga sio,wanavo uwa watu huko Gaza watoto wasio kuwa na hatiya, Bora marekani iungue yote moto
@victorcharlesmwakikoti7764
@victorcharlesmwakikoti7764 22 сағат бұрын
Hasira ya Mungu imewaka ndani yao 😢
@IdrisaTuppa
@IdrisaTuppa Күн бұрын
Huu Moto Sio Wa Kawaida Asee, Kuna Kitu Cha Kujifunza Hapa.
@mustafa-wh8gi
@mustafa-wh8gi Күн бұрын
Malipo ni hapa hapa duniani akhera kuhesabiwa t na wao waonje machungu km wanayo wapa wapestine
@Saidimkwizu
@Saidimkwizu Күн бұрын
MASHAALLAH raha sana hii kuona mashoga wakiteseka
@Happy-n5i5x
@Happy-n5i5x Күн бұрын
utaniuwa bana😂😂😂
@Happy-n5i5x
@Happy-n5i5x Күн бұрын
tuwaombee waafrik wenzetu kina roma 😢😢
@alicejumaa89
@alicejumaa89 Күн бұрын
Ukweli ushoga ni dhambi nanga mkono huu moto
@Saidimkwizu
@Saidimkwizu Күн бұрын
@@Happy-n5i5x warudi kwao kwanza watarudi baadae
@johnmeshack4431
@johnmeshack4431 Күн бұрын
Mungu atusaidie❤jisia moja kuoana ndyo maana mungu anatoa kichapo
@omariputto3315
@omariputto3315 10 сағат бұрын
Hakika Mungu anaonyeaha ukuu wke😢 toba sala kumshukuru na kumtukuza yeye kuna malipo Mungu adhihakiwi matendo yke ni makuu na yanatisha.
@salmanassor8732
@salmanassor8732 Күн бұрын
Wazimaji hoi na moto unazidi 😂😂😂
@habibumallanga2381
@habibumallanga2381 Күн бұрын
Uwake Sana maana washenzi
@salmanassor8732
@salmanassor8732 Күн бұрын
Mie ndio nafurahia kila nikiamka naskia hali inazidi yaani hii imekaa powa sana 😂😂😂
@allymaranya
@allymaranya 17 сағат бұрын
😅😅😅😅😅😅😅 kwamb una enjoy ​@@salmanassor8732
@Drsilo-v5k
@Drsilo-v5k Күн бұрын
Tunashukuru MOLA WETU ILA ENGEZA UPEPO ULIANGAMIZE TAIFA LISOKUHESHIMU
@FatumaMwage
@FatumaMwage Күн бұрын
yaani ata wazimaji moto wapo tabaaan
@salmanassor8732
@salmanassor8732 Күн бұрын
😂😂😂😂😂 na bado uwendelee tu kuwaka
@hansondaniel-nb2jn
@hansondaniel-nb2jn Күн бұрын
Ni MUNGU sio (mungu )
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 19 сағат бұрын
Kumbe moto baodo upo subhannallah😮
@phiescophiladephy1036
@phiescophiladephy1036 Күн бұрын
hakuna atakae uzima uo moto ispokua alieuwasha nae ni Allah
@TheofridaLuwongo
@TheofridaLuwongo Күн бұрын
Mungu tunusuru na Hali kama hii
@maxsolutionstz
@maxsolutionstz Күн бұрын
nawaza ingekuwa tanzania hapa na zimamoto wetu lawama zingekuwa nyingi mno kwao
@JumaLulanje
@JumaLulanje Күн бұрын
Mwenyezi mungu angamiza taifa lote usiache yeyote anapumua
@azizasaid5255
@azizasaid5255 Күн бұрын
Ayo majanga tumuombe mungu hatunusuru, hayana mmoja, tuombe rabistara tu Kwa kweli.
@MuraniSalim
@MuraniSalim Күн бұрын
Amiin
@sudantz1846
@sudantz1846 22 сағат бұрын
Hapo baado yaan ungetakiwa moto ufike hadi Washington ikulu yoote iuuunguee washenziii haooo
@user-mA17o
@user-mA17o 22 сағат бұрын
Yaani hawa zima moto wafanyatu kulinda ugali wao lkn kiukweli washachoka😂😂😂wacha Allah atulipie waislam kwa wakharam hawa kutuuwa kila siku kila sehem wakiona pametulia wataleta choko choko alumradi waislam wafe tu kwaiyo wacha nawao wawe wakimbizi
@FasilKais
@FasilKais Күн бұрын
Wapeleka thaad ikiziwie na droni na makombora zikaziwie)( acha waingie wote isibaki nyumba yoyote wabaki wao TU wanajeuri sana hao)( nawao walale chini safali hii kama sisi
@JohnMalata-u4v
@JohnMalata-u4v 23 сағат бұрын
Walisema hamna kitu waamerika wanashindwa imekuwaje katika hili? Siku zinazidi kwenda.
@evelnjuma1834
@evelnjuma1834 15 сағат бұрын
Mwenyezi mungu atusaidie Sana dunia iniaelekea pabaya sana ee mwenyezi mungu tusaidie😢😢🙏🙏
@zainabibrahim9734
@zainabibrahim9734 Күн бұрын
Wanaosema moto ni wa kutengenezwa sasa walotengeneza si wauzime tena
@Happy-n5i5x
@Happy-n5i5x Күн бұрын
Hii ni kiyama tujue Mungu akiamua lake linawezekana
@victoriasweetbert1128
@victoriasweetbert1128 Күн бұрын
Hawa wenzetu wanapenda kutumia akili zao ,wakati hili swala la moto ni Mungu anamuonyesha mwanadsm anauwezo wa kufuta Kila kitu mwanadam alichotengeneza kwa Karne ishirini yeye anafuta kwa Kila kitu kwa masaa kadhaa TU .
@MgeniRamadhani
@MgeniRamadhani Күн бұрын
Hatuoni hata wakikimbilia misikitini na makanisani
@halamascat2816
@halamascat2816 Күн бұрын
Bado watapata moto kuliko uwo. Kwangumvu. Za aaalah
@blessedggithinji6192
@blessedggithinji6192 23 сағат бұрын
Wooi God you said you will finish world with fire you have starting😢forgive us all Jehovah God 🙋🏼‍♀️🇰🇪🙏🏼
@abdouibnmninara7000
@abdouibnmninara7000 22 сағат бұрын
Kuna funzo kubwa kwa wenye akili
@elesianakabuje5832
@elesianakabuje5832 Күн бұрын
Siku za mwisho izo usiombe ikukute...TUBUNI UFALME WA MUNGU UMEKARIBIA..MUNGU HAJARIBIWI.
@AhmadaHassan-gy5uj
@AhmadaHassan-gy5uj 22 сағат бұрын
Walikuwa wanatoa misaada ili nchi za kiislaam ziteketee sasa ni zamu yao kupewa misaada,huyo ndo ALLAH hakuna mwingine zaid yake
@MarthaIssangya
@MarthaIssangya Күн бұрын
Ee mwenyenz mungu warehemu baba wa rehema maana Kwa ufahamu wao na akili zao hawataweza hakika washushie mvua tu ndo itakua salama yao kristo yesu🙏🤲😭😭😭😭😭
@AmaniKizinga-ew9mk
@AmaniKizinga-ew9mk 22 сағат бұрын
Na hapa Tanzania hao wanaoleta maushoga yao wajifunze MUNGU hua achezewi
@TwahirMohammed-x2h
@TwahirMohammed-x2h 23 сағат бұрын
Hii ndo faida ya laana na kukufuru
人是不能做到吗?#火影忍者 #家人  #佐助
00:20
火影忍者一家
Рет қаралды 20 МЛН
Гениальное изобретение из обычного стаканчика!
00:31
Лютая физика | Олимпиадная физика
Рет қаралды 4,8 МЛН
[BM] Proton e.MAS 7 review: Tak perlu beli BYD Atto 3? Range OK ke?
22:12
Inside the V3 Nazi Super Gun
19:52
Blue Paw Print
Рет қаралды 2,2 МЛН
Learn English quickly with podcast | English learning Conversation | Episode 1
18:01
English Podcast Zone
Рет қаралды 1,2 МЛН