Kazi Safi sana kidundo hongera kwa ubunifu na endelea kutafuta zaid wabunifu na kofia sasa uibadilishe maana tushaizoea sana twata tukuone na muonekano mpya ni maoni tu
@haithamjuma247210 ай бұрын
Kidundo we tumika tu huwezi jua mara mkeo ataka kuzalia mtoto wa kichina😂😂
@ZediBayi11 ай бұрын
Nakubali broo kidundo upo vizuri kwatuchekeshat umesemaje apoo
@AlabanyAlabuyu2 күн бұрын
Hhhhh kidundo weyye asa mkaliii
@NaimaHamad-n7d Жыл бұрын
Kidundo safi sana nakukubali 😊😊😊😊😊
@MuhamadiAli Жыл бұрын
Jumba la udongo ndio jumba la kifahari
@SamsunGalaxy-e5k Жыл бұрын
😂😂😂😂kidundo utatuuwa kwa kucheka
@fatmasaid9765 Жыл бұрын
Na mie nimecheka mpaka iyo weleo
@YussufAli-i2d Жыл бұрын
Kazi mzur
@fatmasaid9765 Жыл бұрын
😂😂😂😂Kidundo kwa kuota hodari
@khamisali5978 Жыл бұрын
Mitandu ya nseto😅
@Moc.khalfan Жыл бұрын
Weleo nimecheka😂😂😂😂😂
@OthmanOthman-sc9cp Жыл бұрын
Utajua ww kama nsakuwa litakuwaaaa
@OthmanOthman-sc9cp Жыл бұрын
Asnte mkuu tuko pamoja piga kaxi Allah atakufikisha ulipokusudiaa.
@KIDUNDOMEDIA-bl4ho Жыл бұрын
Amin
@abubakarsuleman1983 Жыл бұрын
Mtu na chake nisawa na mungu na rohoe
@NassraSoud-ou3qv Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 kidundo leo nshachekaaaa haki ya Mungu dah mbavu zang mieee🤣🤣🤣🤣 hyo nyumba ya udongo sasa ndio imenimaliza 😂😂