Nyie watu Huwa mnalala uku KZbin jmn😅😅😅 enewey kazi nzurr dokoo❤❤❤❤❤
@mohammedkidody5618Ай бұрын
😂😂😂ata na mm najiuliza
@PaulineNasoro4 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉 Kwa team Doko good job bro
@kibibiabdalla14514 ай бұрын
Mapema ndio best❤❤
@SichanaKhamis3 ай бұрын
Mjombaa sioo lazima awe mzee apo kwenye mjomba mumefelii uzeee haupatiii ataaa kidogooo
@NeemaAlphoince4 ай бұрын
kuwapenda ndo kitu najuaga hongeren kwa kaz nzur
@KingDull-hd2gk4 ай бұрын
Wakwanza ku view wapi like zenu mobb love from Kenya 🇰🇪
@SalmaSaid-v3d4 ай бұрын
Uyu bibi kichaaas yupo vizuri na kazi zake apa doko umapata kiumbe 😂😂😂
@directorsmyth35044 ай бұрын
Wakwanza From Kenya
@claudepepe21954 ай бұрын
Doko unatisha mwanangu
@RashidYewo4 ай бұрын
Ongera mfinanga
@hamzaIlunga3 ай бұрын
From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi kaka mkubwa❤❤
@paulinekombe37534 ай бұрын
Doko we unaweza
@Heiskmb4 ай бұрын
Oyaaa weee wenye vipara atuchekeshi😂😂😂
@BahatiKadenge-n5r4 ай бұрын
❤❤❤😢😢😢❤❤be strong bro I love from saudi ❤
@AssaneBacarBacar-x1j3 ай бұрын
Assante sana mze wangu, mimi nimeiyanza biashara yangu Jana ambayo ni siku ya juma tano .lakini sijajua kama ni siku mzur ya kuanzisha jambo. Inshallah mungu aniongoze kuenhe biashrayangu.
@Masterstevemedia-kb5oc4 ай бұрын
kazi nzuri doko
@andrewkilave35324 ай бұрын
Huyu dada mwenye mwanya anajua sana kuigiza
@aganzeroger4 ай бұрын
Wa kwanza Leo kutoka Congo goma nipe like zangu asheni ushoyo🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🎉🎉🎉
@khamzalockymaster60084 ай бұрын
Makuumazani nakukubali 💫✊
@PatrickYaye3 ай бұрын
Nawakubali mzee Kwa Kazi zenu Patrick from Congo but staying in South Africa Cape town
@ZuhuraSwai-k3k4 ай бұрын
Kazi nzr
@AgnesAa-b3z4 ай бұрын
Nimejifunza kitu asanteni sana
@AmaniNkurunziza4 ай бұрын
Ngo Kichwa Ududu Kipara Igwe Ao Makumazani Ao Ngombe la nyani😂😂😂Watu weny vipara Atuchekeshi yan ww Msaz Kabisa Respect😂😂😂😂😂😂
@dahuuuu-rz8sz3 ай бұрын
Nyimbo yenu tuuuuuu mm hoi !kaz nzur ongeren team doko
@tuwenasitv96954 ай бұрын
Binamu kimwanya uko vizuri
@mohamedywally-sw6sh4 ай бұрын
😂😂😂 mm nitamsifia bibi Kila ski anajua San bhn
@mwinyihajjsalim44053 ай бұрын
BIG UP SANA DOGO MNYAMA UMETISHA SANA NAKUKUBALI SANA MZEEE.KIBAMBA KIPO VZRI SANA. watch from qatar🇧🇭
@Samwel4864 ай бұрын
Kaz nzuri
@FurahaKulapha4 ай бұрын
Bibi ee😂😂kudadadek
@AllyBabu-kr6lg4 ай бұрын
Makumazani msalim Sonia wa 13 Leo jeshiiiiiiii mfinga😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮
@AnnickTugizere4 ай бұрын
much love💞
@VeronicaKalinga-r9d4 ай бұрын
doko km doko 🎉🎉🎉❤
@mejubagu68254 ай бұрын
Tuta holewa wote😂😂😂😂😂
@aahdgd4 ай бұрын
Nice job
@SamyMacensiАй бұрын
Nawa elewa sana
@OmarShevo4 ай бұрын
Doko uko vzur ndugu
@radjabuharerimana25384 ай бұрын
Nawakubali
@Kibawajoseph4 ай бұрын
Doko we kiboko
@fhugghi41094 ай бұрын
Namkubali sana mfinanga 🎉
@sommohd79034 ай бұрын
Bibi Cheka 💪🏼
@bigbossbongotv15644 ай бұрын
Mjomba wake mfinanga jamani mjomba 😂😂😂😂
@ZuhuraSwai-k3k4 ай бұрын
Ila doko punguzaa mbwembwe
@roppyjoe4 ай бұрын
Naiona kali zaidi hii. Nime subscribe ju hii channel jamaa vitu zake ni fire joh. Kama unapenda hawa waigizaji..... ama group ya Doku nipe likes.
@madevujnr33833 ай бұрын
🎉🎉❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@donitalivetv4 ай бұрын
AYA SASA GUY LETS GOOO
@zainaabdallah8093 ай бұрын
Team Doko mbona amjaniita jamani aya tusalimiane team furus team kupambana team WiFi team kazi kazi nawapenda mno 🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲
@HassanMkulu-e2b4 ай бұрын
Hiii song y hii movie kama ipo tu utuambie jina n msanii tu download
@MwakaMwadzombo3 ай бұрын
Waaaau kazi nzuri sana 🎉🎉🎉😢 donga like mfinyanga nawapenda sana 💔💔💔🥰🥰🥰
@Tiffa914 ай бұрын
Wakwanza kutoka oman
@NTUMWABOY-nx2fk3 ай бұрын
Owae vip lakini mbona muna chelewesha laik
@lameckelasto-ih9jk3 ай бұрын
mfinanga nakukubari sana kanzi nzuri kaka
@sadamuall82494 ай бұрын
😂😂😂😂😂 Nipen like zangu from unguja zanzibar
@sharifamohd38574 ай бұрын
tupo wazanzibar wenyewe
@sharifamohd38574 ай бұрын
piga kelele kwa unguja yake weyweeeee surport kwa doto makumazan
@mohammedkidody5618Ай бұрын
Wazanzibari tupo
@RahmaMoon-e3h3 ай бұрын
Nimechelewa but tuko pamoja
@SophiaUhuru3 ай бұрын
Jaman nilijua tu bibi chaka ana jambo lake si kwa mbio zile 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@MoTalentTz4 ай бұрын
Kichwa ududu 😂😂😂😂😂😂
@JasminKilimo4 ай бұрын
Hatariii sana
@nicktv43954 ай бұрын
nawakubari sana awa jamaaaaa like zangu
@Bahatiqueen-o6h4 ай бұрын
Wenye vipala atuchekeshi ata siku moja naombeni like zangu na mimi leo sija chelewa sana ❤🇺🇸🇺🇸❤️💪💪
@KraudiusOswadi3 ай бұрын
Namuona kamote karudi, muvi inazidi kukolea
@kamote93 ай бұрын
😂
@saidiabdalahshabani9414 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂kipala ingwe
@hodamzungu41074 ай бұрын
kazi nzur
@user_95838vicky3 ай бұрын
Aisee doko unatisha sana yaan stories zako huwa ni za ukweli balaaa!!!
@killerwizzyofficial21574 ай бұрын
Kipara igwe😂😂😂
@killerwizzyofficial21574 ай бұрын
kichwa ududu😂😂😂
@KoreanDramaMoviesKiswahili4 ай бұрын
❤❤❤
@MFINANGA7354 ай бұрын
TUNAWAPENDA SANA NDUGU ZETU BAADA YA 2 DAYS TUNAACHIA NEXT EPISODE ❤
@NeemaAlphoince4 ай бұрын
pia sanduku tunasubili my priority wangu nmekumis mno
@winnymbula4 ай бұрын
Yule Bibi hatari
@ramadhanfakh69253 ай бұрын
Bi chaka anatisha sana 😅🙌
@QueenJane-x3m4 ай бұрын
Maoni yangu ni kwamba uyo kijana aache kuongea kama kicheche
@aishaomar22874 ай бұрын
Umeonaeee? Ameiga sana
@kamote93 ай бұрын
😂
@MaryNzai3 ай бұрын
Mimi nawatau
@AdyTokyo4 ай бұрын
Amezing❤❤❤❤
@ukhtymwana404 ай бұрын
Wa 25 leo
@NeemaAlphoince4 ай бұрын
watu makini
@Mariam-fm8vq4 ай бұрын
Doko kama yy🎉🎉🎉🎉
@ZoyaAli-qy3tg4 ай бұрын
❤❤❤❤😊
@RajabuRashidi-y5w4 ай бұрын
Unyama
@sharonchemutai73754 ай бұрын
Iko wapi likes za huyu bibi jamani 🎉😂😂
@ginafaruque53354 ай бұрын
EP 4
@MussaChimbilimanaАй бұрын
😁😁😁uyu maman anaumiza moyo wangu 😢
@AhadiBwanyungu-j6s3 ай бұрын
Miye nilipitaga naona kama biniyhuyo anafananatu nimuchawi