Nimependa mwanangu mungu akusimamie adi nimetokwa na machozi mazito
@PatriciaSidi-c4w3 күн бұрын
😭😭😭😭😭 Mungu akubariki zaidi na zaidi mtoto wangu machozi yana tiririka yenyewe acha mungu akutimizie haja ya moyo wako❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@annointamani32852 жыл бұрын
Nenda nenda mtoto mzuri Mungu amekupa neema ya kuyafikia mataifa, wengi wafunguliwe kupitia kile ulichobeba 💪
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
amen
@philemonlolem97852 жыл бұрын
amina , annoint amani ,nimebarikiwa pia kupitia nyimbo zako ,endelea vivyo hivyo mungu hakubariki
@jeffersonfrancois2960 Жыл бұрын
comment elle s'appelle cette langue je veux d'apprendre beaucoup
@sharonadhiambo2791 Жыл бұрын
Exactly
@wkjshsxbbsbs6392 Жыл бұрын
@@jeffersonfrancois2960 Swahili language
@hakizimanasamuele5863 Жыл бұрын
bwana mwenyezi mungu amekuchaguwa mtoto
@janetmkumbo9879 Жыл бұрын
Ubarikiwe mtoto mungu aendeleze kipaji chako
@nicodemussimiyu47212 жыл бұрын
Nimeguzwa moyoni mwangu,🙏🙏ubarikiwe sana
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
amen asante sana kwa kutazama kazi zangu/ thanks for your support be blessed more please share my contents to others
@bestlambert94562 жыл бұрын
Jamani Johnson, congratulations 👏 Mungu Mwenyenzi azidi kukuinua.
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
Amina na Mungu akutane na haja ya moyo wako ukiamini tu na itakuwa sema amina Amen and God will meet the need of your heart if you just believe and it will be say amen
@bestlambert94562 жыл бұрын
Amen.
@ericbahizi65265 ай бұрын
Mimi naimani utakua mikali sana
@jacquilineminja18092 жыл бұрын
Aiseee mtoto ni nomaa wimbo ni mzuri . Video ndioo balaa yaani kalii sanaaa
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
amen nashukuru sana kwa support yako ,please subuscribe my channel and share to others and God bless you
@ShavanAuko7 ай бұрын
1
@fidelismaliti39662 жыл бұрын
A very nice song ...nkumbuke Mimi pia bwana
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
Amina barikiwa sana Asante kuwa na Mimi katika huduma yangu, wewe ni baraka kwangu be blessed more thanks for your support and subscribe my channel SIFAELI MWABUKA
@fellyomwoha67582 жыл бұрын
😭😭😭😭niuchungu mini bt huzuri wanao baba wanajua kuwa ww ni baba pekee. .. pia mm niko hapa niguse na usikie kilio changu🙏🙏🙏😭😭😭hii wimbo imegusa nafsi yangu.. God almighty bless u dear🙏🙏❤️❤️🤗
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
amen asante sana barikiwa please subscribe my channel and share to others be blessed
@dolisejohn53652 жыл бұрын
Daah huu wimbo umenigusa kila nikiskilza napata nguvu mpya mungu akusimamie mtoto mzuli kila ufanyalo
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
amen thanks for watching&listening my songs be blessed more
@clovismunihirepremice17902 жыл бұрын
Oooh m'y god,bless your child,kabisa mungu uku mwish
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
amen thanks be blessed more asante sana kwa kuendelea kufuatilia kazi zangu usiache ku share na wengine zaidi ya 50 wawe na ushuhuda amen by sifaeli mwabuka AKUPE USHUHUDA WASHUHUDIE
@zuhuramuhanga54002 жыл бұрын
Mie ni mwislam lkn wimbo huu huyu mtoto kani toa machozi ubarikiwe mtoto kwakumsifu Mungu na ujumbe mzuri 💑💑💑
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
Asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami, thanks for your support please subescribe my channel and share to others and be blessed
@aumaorwa81562 жыл бұрын
Mungu anakupenda sana may God bless you my dear
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
amen asante sana be blessed more please subscribe and share to others
@immaculatenabwire7892 жыл бұрын
Aki nmetokwa na machozi huu wimbo unaguza holly spirit ameshuka,,barikiwa Sana babyboy 🙏🙏
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
Amen asante na Zaidi kubarikiwa
@zawadi94972 жыл бұрын
Hongera mtoto mungu akumiminie mafuta zaidi
@simoncristovaoluis32548 ай бұрын
Amen😢😢😢🇲🇿
@franklineosere80513 күн бұрын
Thanks for the beat.....it's so touching......Good work kiongozi
@mdedinah88412 жыл бұрын
Nimefeel huu wimbo sana thanks sana na may God expand your ministry 🙏🙌🙌🙌
Very talented child !!!! Tunapenda nyimbo hiyi kutoka Rwanda!!! Oyeeee!!! Tunashukuru sana kwa hiyi nyimbo kbsa!!! Mungu akubarikiye Petit !!!! Eeelll ni Harmonize mutoto kweri!!!!
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
Amen thanks for your support usisahau, like,subscribe and share to others asante sana Mungu akubariki sana
@PhinaStefano Жыл бұрын
Mungu akuwezeshe
@catherinejoram776 Жыл бұрын
Hongera kwa kumlea mtoto kwa maadili ya kimungu
@sebonikegobi62442 жыл бұрын
Hongera sana umeimba vizuri sana naomba Mungu mwenyewe akuinue juu
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
asante kwa support yako,please watch my video,like,comment,subscribe and share my link channel to others and be blessed kzbin.info/door/nA3Yz3ZPhABK2W2ONek9Kw
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
MIMI MWANAO NIKO HAPA BABA
@ev.lukaskatonzowakatonzo74122 жыл бұрын
Good song
@winniejames1172 жыл бұрын
I can stop crying when am listening to this song
@patriciakhadenze89442 жыл бұрын
I love this song God bless you my son 😭
@christinaphilipo63122 жыл бұрын
Video
@moldinhojosesalimosalimo-tm7tw Жыл бұрын
Burundi
@mabaibemakabesh42062 жыл бұрын
Niko hapa baba mmi mwanao, touching song🇰🇪💪 keep up mtumishi
@VeronicahMbithi-xq3zt Жыл бұрын
wow...congrats kijana Mungu azindi kuinua kubali chako
@magejuliani52932 жыл бұрын
Sauti tamu na wimbo mtamu umeyagusa watoto wanaoteseka! Kuna watoto mtaani Wana matatizo Hadi wameyazoea! Ndugu wanayaona, jamii inayaona na serikali inaona nasi tumewazoea! Mungu mwenyewe awalinde! See Yesu wasimamie
@Allelua202410 ай бұрын
Tuma number zawo na majina tuwasukumie
@alfredinakatto16052 жыл бұрын
Pokea sifa mfalme wa amani kwa ajili ya mtt hyu muinue zaidi Jehovah..Ubarikiwe na Mungu mtt mzuri..
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
amen asante sana kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you
@rodawafula37422 жыл бұрын
Mtoto mwenye sauti nzuri saana mungu akuinue saana kipaji chako
@MpoleNaomy Жыл бұрын
May the almighty God help you amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@Moudgram2 жыл бұрын
Asante sana baba mwenyezi mungu azidi kukuinua🙏🙏❤
@benmparanyiofficiel99882 жыл бұрын
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you for your supports🙏🙏🙏🙏
@sarahdaudi46122 жыл бұрын
Woohoo God Blessing you with your family congratulation
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
amen thanks for your support my works Mungu akubariki sana share na wengine kazi zangu nao wabarikiwe asante sana kwa like,comments,na subscribe
@IsackMipawa5 ай бұрын
Hongera kwa nyimbo nzuri Mungu azidi kukuinua🙏🙏♥️
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL4 ай бұрын
Amen
@Mammy-eq7ef Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏ewe mungu wangu nameleta maombi yangu kwako sikia maombi yangu 😭 god bless you Amen🙏🙏🙏
@milkakala65312 жыл бұрын
Mungu ayasikie maombi ya huyu mtoto,,, Mbarikiwe sana, napenda kuona watoto wadogo wakionyesha talanta, a good start 🙏🙏🙏🙏
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
Amina kubwa asante
@RoselynekanzeMumba-sb1bmАй бұрын
Mungu azidi kubariki kipawa chako na azidi kukuinua.❤️❤️
@evangelisteclaudine60622 жыл бұрын
Mungu akubariki sana kwa kazi njema. Keep it up we love you
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
amen asante sana kwa support yako, please subuscribe my channel and share to others and God bless you
@evalungwa78 Жыл бұрын
Ubarikiwe katana isonge
@monicasisya67792 жыл бұрын
Oh,Yes, mwanangu Johnson Mungu akufanyie jambo la aina yakipekee ju ya huduma yako 🔥🔥🔥🔥
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
Aminaaa
@JaphetJulias8 ай бұрын
ja
@dorcaskathure31692 жыл бұрын
Lovely song talented family nlikujua 2017 n heri lawama nlikuwa nauza vcd zako nikiwa kenya napenda nyimbo zako huwa zinanitia nguvu barikiwa sana
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
Amen asante sana nakushukuru kwa support yako please subscribe my channel and share to others and god bless you
@annewakevo26342 жыл бұрын
Mungu anaenda kumtumia huyu mtoto kwa nafasi kubwa sana.Nakusikiza nkiwa Qatar ubariwe sana kwa kipaji hiki.
@johnsonkamolemwabukaoffici3062 жыл бұрын
Amina asante
@samwelabong43852 жыл бұрын
Vizuri sana acha mungu akuzidishie mtoto 👏👏👏👏
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
amen asante sana kwa support yako please subscribe my channel and share to others and be blessed
@protasd.massawe80132 жыл бұрын
Amen Barikiwa Jonson! Mungu Azidi kukuza kipaji chako!
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
Asante
@johnsonkamolemwabukaoffici3062 жыл бұрын
Amina
@antonyboy-n4xКүн бұрын
Asante sana baba kwa huduma hiyo utalipwa siku ya siku Mungu anakuona na atatenda kazi kubwa juu Yako
@SIFAELIMWABUKAOFFICIALКүн бұрын
Amen Mungu akubariki
@annenekesa76172 жыл бұрын
Nyimbo nzuri mwanangu mungu akuneemesha zaidi
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
amen asante sana kwa support yako, please subuscribe my channel and share to others and God bless you
@rebecapierre16542 жыл бұрын
Mw juste renmn song an mwen tandel pa konprann anyn paske se kreyòl ak Francais mw pale hufff se byn domj mw se Afrika mn nu pa pale mnm Lang 🇭🇹
@moseskimathi53732 жыл бұрын
Hongera sifaeli son great talent your fan from Kenya we love you
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
Amen thanks subscribe his channel kzbin.info/door/nA3Yz3ZPhABK2W2ONek9Kw
@kenethkayuni86582 жыл бұрын
Kweli Mtoto wa nyoka ni nyoka Mungu akubariki sana mwanangu
@CheerfulHighway-op8tf Жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏.nimekubaliana nawe.nikweli kabisaa. musahada wa mwana damu hukoma.ila Kwa mungu wetu musahada hautakoma kamwe.
@aughstusmasila86732 жыл бұрын
Amen 🙏 Johnson barikiwa sana wimbo safi sana amen amen 🙏🙌👏
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
Aminaaa
@ruthwakoli77572 жыл бұрын
Nice song young boy mungu akubariki sana like father like son am watching from 🇱🇧 Kenya my home country tunawapenda San tunabarikiwa n nyimbo zinu tukiendelea kutafuta maisha izi inji za warabu mungu atukubuke naatupe uzma tumalize salama team 💪💪pite n like zenu tukisonga team 2023 mungu upo tutamaliza salama Ameen🙏🙏
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
asante kwa support yako,please watch my video,like,comment,subscribe and share my link channel to others and be blessed kzbin.info/door/nA3Yz3ZPhABK2W2ONek9Kw
@sunzansamson2872 жыл бұрын
Jaman Hadi huma Baba sikia maobi yetu tunakuoba Baba Sisi waja wako 🙏🙏🙏😭😭😭
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
Amina
@gaudensiamganga81402 жыл бұрын
Mungu azidi kukutumia kwa viwango vya juu Sana, Wimbo unagusa. Baba Niko hapa naomba uniguse mwanao pamoja na uzao wangu😭😭🙏
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
amen asante sana be blessed more please subscribe and share to others
@ebelishimwela1792 жыл бұрын
Ongela kwawimbo wako mzuli mungu akubaliki
@PapaTheKingKenya2 жыл бұрын
Great work Kama Mtumishi wa mungu I second these from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@benmparanyiofficiel99882 жыл бұрын
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you for your supports🙏🙏🙏
@Moren2024-l2o8 ай бұрын
Mungo hatakupalik hew Johnson nin sikilisha kutok dammm
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL8 ай бұрын
Hi!! my fancy thanks for following my content to all platforms be blessed!! youtube.com/@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL?si=8L-iW9FDTvqXzZET KZbin onerpm.link/818041537428 Song= ULIYONITENDEA KUHESABU SIWEZI DIGITAL PLATFORMS SKIZA DIAL *811*117# OK onerpm.link/392578501032 SONG: NAOMBA MBINGU ZIFUNGUKE DIGITAL PLATFORMS SKIZA DIAL *811*457# OK ±254799200738 HIZI HAPA NYIMBO 50 ZA UPONYAJI -link below gusa hapa chini listen all. kzbin.info/www/bejne/bIvPdGivhpp0hcksi=aMw5gZvAJzIdF06u BEST CONTENT
@princevtv67992 жыл бұрын
the boy drove tears rolling down my cheeks😪😭😭😥make you go beyond mt. zion and serve the lord faithfully by grace of God we'll meet in music industry
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
thanks for your support be blessed,please share my video link to others amen
@RichardNyembo-f5n15 күн бұрын
Amen Merci beaucoup pour cette belle chanson et que Dieu vous bénisse abondamment. ❤
@bonganaflorence56812 жыл бұрын
From Kenya... Pass my congratulations message to that boy
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
Amen thanks
@johnasenga87182 жыл бұрын
Glory to God Mungu azidi kukuinua kwa viwango vya juu mtoto mzur
@BintaDiallo-r4d Жыл бұрын
@@johnasenga8718 ndjxjxjxjxjjddududuuddiudueeueei eine Einladung zur Erstattung erfolgt ein er hat es richtig Eur ruurue❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤shhxhu Urlaub richtig richtig toll Rechnung Rechnung Rechnung finden richtig 😁 richtig Rechnung richtig Rechnung richtig richtig Re Re 😺 richtig Rechnung Rechnung richtig ru ich rot Rechnung r😅r die er eine andere Rechnung richtig Rechnung ist trotzdem tr 😁 richtig richtig Türzubehör U und die ich iiu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ heiße Tage eine erfolgreiche Entwicklung eines anderen ein wenig Erholung wünsche ein eure Nacht war ich eure Einladung Eur eine Einladung zur Eröffnung Eur eine erfolgreiche Entwicklung einer eine Einladung ein ein zu zeigen was es für ein ein ein ein Rezept Rezepte ein wenig Zeit ein ein ein ein ein ein ein ein Rezept e❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤eii
@تتغتا-س6ش11 ай бұрын
Futa machozi Mungu amesikia kilio chako❤❤
@zaitunnanjira60782 жыл бұрын
Hallelujah! Glory to God...Mungu azidi kuinua hicho kipaji kilicho ndani yako...
@benmparanyiofficiel99882 жыл бұрын
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you for your supports🙏🙏🙏
@lilianshantelmugonyi93842 жыл бұрын
🙏🙏🙏 Mungu akuinue kiwango kingine kijana mdogo umeguza moyo wangu sana kupitia hii wimbo
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
amen thanks so much be blessed more please share to others and God bless you,
@blessedesther22382 жыл бұрын
Aki Mungu akuinue sana Johnson,,God is possible in everything
@benmparanyiofficiel99882 жыл бұрын
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you for your supports🙏🙏🙏
@DoreenEsther-p9k Жыл бұрын
Wew mtoto jamani god akupenguvu uwendelee nakipaji choko nimenda sena sautiyako🙏🙏
@Swtdebrah2 жыл бұрын
Waoh, 😭😭😭😭kweli mungu halali kwa anjili yetu, congratulations little one
@mackrinaerenesto82372 жыл бұрын
Hongera mtoto mung akupe nguv na akuze Zaid Iman yako
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
amen mungu akubariki
@mackrinaerenesto82372 жыл бұрын
Amina
@levinamakokha6358 Жыл бұрын
That voice is a blessing to me, dearling boy I keep on watching this song every time n hour bcz of my situation , tumaini langu ni mungu kwa sasa
@nangobimariam6712 жыл бұрын
Let God bless that boy to standup.
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
amen thanks for your support Mungu akubariki sana please share na wengine nyimbo zangu ili na wao wabarikiwe be blessed more
@floramumbua33932 жыл бұрын
Wow wow wow like father like son May God bless you
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
amen nashukuru sana kwa support yako ,please subuscribe my channel and share to others and God bless you
@beatriceauma32602 жыл бұрын
Wow,,hongera sana unaenda mbali mungu wa mbinguni akuangazie ktk huduma nzuri,,, Glory to God be blessed
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
amen nashukuru sana kwa support yako ,please subuscribe my channel and share to others and God bless you
@beatricesabwa63642 жыл бұрын
Amen amen and amen glory glory hallelujah watching from Mogadishu
@tunsumeanosisye43942 жыл бұрын
Director Vendeko ni viwango vya juu Sana.Hongera Johnson, wimbo nzuri Sana.
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami ,thanks for your support please subuscribe my channel and share to others
@gospoworld2 жыл бұрын
Amen, God I am here calling you to cleanse my tears, I have cried a lot but Lord you are living and I know you are preparing something new in my life
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
Amen
@hellennasimiyu99852 жыл бұрын
Amen 🙌🙌 🎷🎷🎷. 💪💪 @@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@mukaipeter21862 жыл бұрын
Jamani mtoto wa sifaeli mwabuka ananifanya nitoe machozi hogera sana barikiwa sana 🙏 napenda nyimbo zenyu sana ❤️mukai kutoka kenya
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
amen asante kwa support yako, please subuscribe my channel and share to others and God bless you
@mukaipeter21862 жыл бұрын
Ameni 🙏
@catherineaseikin45062 жыл бұрын
Powerful powerful song, powerful words, powerful prayer points. GOD bless you abundantly in every area of your life in JESUS NAME AMEN
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
Thanks be blessed
@chimilas2 жыл бұрын
Keep it up young boy
@fearful2542 жыл бұрын
Kazi mzuri toto Mungu akuzidishie neema ni Victor omong'o kutoka busia county teso south currently in Nairobi embakasi west upcoming gospel artist
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
amen be blessed more
@PeninahKendy-ue7gz Жыл бұрын
Mungo akubariki baba
@khaiza1696 Жыл бұрын
I love this chirld of God,my chirld I pray 4u to God 2protect ,2renew,2redeem your talent which God has bless u with🇺🇬🇺🇬🇺🇬🙏🙏🙏♥️ Amen.
@nikodemmwakifuna9430 Жыл бұрын
Mungu tunomba utusaidie kwel wanadam Awana msada
@joshjoea33542 жыл бұрын
Wow a very good example to many, God bless you.
@johnsonkamolemwabukaoffici3062 жыл бұрын
Amen thanks
@sarahchristopher57752 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtoto mzuri, nyimbo yako nzuri sana,imenitia Simanzi, barikiwa mtumishi wa mungu
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
amen nashukuru sana kwa support yako ,please subuscribe my channel and share to others and God bless you
@ndeshukurwakaaya43852 жыл бұрын
Very revolutionary right from the bottom/ basics is needed. It has break my heat. Crazy amen
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
Amen
@TUMAINIMBEMBELA72 жыл бұрын
Mbona anatuliza watazamaji mwee big up baby
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
Ujumbe ufike vile ulivyotoka moyoni mwake barikiwa
@rommiebulls86592 жыл бұрын
Yes Lord am here..wait for the Lord in that place of prayers n surely He'll come.Keep it up boy n Dad.Fun of your songs from Kenya
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
Amen
@NeemaJoseph-x6b4 ай бұрын
Mungu nakumba umpe uyu mtoto Kibali mbelezako
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL4 ай бұрын
Amen
@rosechebet55722 жыл бұрын
Oh, what a lovely voice from the son of the Christian songs guru, Sifaeli Mwabuka himself. Kumbe this talent runs in the family.......May God richly bless the family
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
amen asante sana kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you
@NabutuBeatu11 ай бұрын
Like father like son, indeed God is judge into your family,mtoto wa SIFAELI , you have made me 😢😢😢🔥🔥🙏🇺🇬may God bless you my chirld of God🙌👼
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL10 ай бұрын
Thanks for your support. I appreciate it... Mungu akubariki sana nakushukuru mno usiache kufuatilia kazi zangu. Subscribe and share with others
@andrewbarasa14892 жыл бұрын
A very nice song,,,mtoto amebarikiwa na sauti
@benmparanyiofficiel99882 жыл бұрын
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you for your supports🙏🙏🙏
@foretws12652 жыл бұрын
Sa fait trop mal au cœur de voir ce petit bonhomme chanter j'ai pleurer jusqu'à la fin
amen asante kwa support yako, please subscribe my channel and share to others and God bless you
@agnesmatakwe50842 жыл бұрын
Be blessed Johnson ... You act like your dad so be bessed🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@lilycheruiyot14272 жыл бұрын
Be blessed my Grandson
@pendosande57832 жыл бұрын
Nimeguswa Sana moto wangu na huh wimbo bwana yesu akubalik na akupe ufaham said ili hfanye visit zaidi.
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
amen thanks for watching&listening my songs be blessed more
@shantelmemo23052 жыл бұрын
May you be blessed young boy....good work keep on moving no turning back..
@clovismunihirepremice17902 жыл бұрын
Oooh m'y god,bless your child,kabisa mungu ukupe mwisho muzuri kuliko mwanzo
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
amen thanks be blessed more asante sana kwa kuendelea kufuatilia kazi zangu usiache ku share na wengine zaidi ya 50 wawe na ushuhuda amen by sifaeli mwabuka AKUPE USHUHUDA WASHUHUDIE
@emmyjames8912 Жыл бұрын
Amazing kid may Almighty God protect him and his family
@rechomethod82882 жыл бұрын
Hongera safaeli mwabuki, kwa kuona kipaji Cha mwanao nakumsapointi
@benmparanyiofficiel99882 жыл бұрын
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you for your supports🙏🙏🙏
@inspirationmessage71812 жыл бұрын
Watching from kenya nice song
@johnsonkamolemwabukaoffici3062 жыл бұрын
Amen
@teresiajumwaamosteresiajum7667 Жыл бұрын
God bless you baby mungu yuko pamoja nawewe mtoto mzuri
@verohnikolnikol45522 жыл бұрын
What a talented boy...may God bless you 😍😍😍😍🙏
@carolinenduku67222 жыл бұрын
Amina,huu wimbo wanitoa machozi haswa sai niko mbali na mtoto wangu,Mungu akubariki sana mtoto Johnson
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
Amina asante Kwa niaba yake
@gabinessjeniffer6532 жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏 Ubarikiwe sana mtoto
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
amen barikiwa pia
@azizatatu16772 жыл бұрын
Amen amen Mungu muweza wa wote
@MaryTsofa Жыл бұрын
Barikiwa Sana boy.
@juliusmgundoy2 жыл бұрын
Kazi kubwa sana hii Mungu amwinue zaidi hakika wimbo umenibariki sana
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
amen
@carolinekadzokenga19822 жыл бұрын
Congrats little guy may God continue to connect your family together with God
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
Thank you so much
@esthermutua23192 жыл бұрын
Wow👏👏👏 Johnson,Mungu Na akutumie zaidi.zonga mbele kampite Baba yako..........Glory be to God Almighty,🙏🙏🙏
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
asante kwa support yako,please watch my video,like,comment,subscribe and share my link channel to others and be blessed kzbin.info/door/nA3Yz3ZPhABK2W2ONek9Kw