Mimi ninani Ni wengi waliomba uzima lakini hukuwapa umenipa Mimi Asante Mungu wangu.
@faithfaith47825 жыл бұрын
Amen🙏❤mm ninani Jehovah be blessed sifaeli
@LeordaMushy5 жыл бұрын
sichoki kusikiliza nyimbo zako zinanibariki sana Mungu akuenue kwa viwango vya juu
@eleniambacha9515 жыл бұрын
SIFAELI MWABUKA(OFFICIAL) ...Much congratulations brother sifael GOd lift you higher and higher😘🙏
@tumaininicodem19065 жыл бұрын
Barikiwa kaka kwa ujumbe huu mzuri umetufanya tujitafakari
@marthamaduhu10285 жыл бұрын
asante yesu kwa upendo wako
@DorcasChege-p7t4 ай бұрын
Mimi ninani kweli.wote tuliadamana kuomba Visa wengine wakanyimwa. lakini Mimi sio Visa pekee, nikawa Citizen mimi ninani Yesu wangu umenipedelea nakuaukuru. Saa hii naabundu nikilia sana sio kwa shinda bali SHUKULANI TUPU.
@mercykocy91774 ай бұрын
Nipee connection dadaaaa
@DorcasChege-p7t4 ай бұрын
@@mercykocy9177 connection dada niya Roho m. then fill green card they will call you, then my part i will host u. Nimekwabiya kile ninajiwa nanilifanya by. the Grace of God.
@kipronoaron97513 ай бұрын
Unipe number please @@mercykocy9177
@fredrickmusyoka79913 ай бұрын
Amen and Amen 🙏 shukuru mungu sana na u ombe bila ku kosa
@SIFAELIMWABUKAOFFICIALАй бұрын
amen
@eliudwandera405 Жыл бұрын
Ok sawa 🇰🇪
@gloriamunyasi502710 ай бұрын
Kati ya wale walioomba umenijibu Baba , Asante Yesu kwa kunipa upendeleo❤❤
@EnockPinjA-sh7rd7 ай бұрын
Kutoka miti mingi Nakuru ❤😂🎉I love this song
@winniechebet7054 жыл бұрын
Kweli mi ninani ,, nimezaliwa na ugonjwa wa moyo na bado naishi kwa neema am 24yrs now life and strong....
@graceklyn87283 жыл бұрын
Mungu ni mkuu
@sophiahaule22703 жыл бұрын
Mungu akulinde
@entranceanderson69913 жыл бұрын
In God everything is bassible
@aliciahope4923 жыл бұрын
Mungu ni mueza yote anatujua vyema kip trusting in him
@victormutunga7663 жыл бұрын
Mungu zaidi ya yote
@carolinemakhungu75984 жыл бұрын
Hakika mm Ni nani Mungu ameniokoa mautini na wanangu 😭😭😭😭😭. Haki my brother you touched my heart 🙏🙏🙏 GOD BLESSE YOU 👏👏👏👏👏👏. Thanks.
@carolinemakhungu75984 жыл бұрын
Hakika mm Ni nani Mungu ameniokoa mautini na wanangu 😭😭😭😭. you touched my heart, GOD BLESSE YOU 👏👏👏👏👏👏. Thanks.
@dorcaskenya96753 жыл бұрын
Violet Asava it's asoul touching song 👃
@austinedanda97733 жыл бұрын
Prayers God
@ArnoldMakumba3 жыл бұрын
Who am I Lord.....
@milkahchetambe13602 жыл бұрын
Woou you touched my heart bro.
@mossesmuumbakhan76174 жыл бұрын
Tukubaliane na tuwe wakweli watu wa kanda za ziwa wanaimba.just put your like kama unawakubali hwa watu
@vascomwansile81403 жыл бұрын
Nyanda za juu kusini
@philyskasaya73174 ай бұрын
Who's here watching with me.your songs will remain to uplift our spirit rip man of God someone like my comment so that ican come and watch again
@KavitaKiume10 ай бұрын
Mungu akubariki😂❤ xana,napenda nyimbo zako xana ,mbali naiyo ukuangi ni kiburi😢😮❤
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL6 ай бұрын
Asante sana.... ubarikiwe sana sana
@evelyneamolwa94685 жыл бұрын
mimi ni nanny? kati ya wale wengi waliokua wakiomba mimi ni nanny umenikumbuka umejibu maombi yangu indeed your love for me is too much barikiwa sifaeli### new year moods
@eunicecliff3 жыл бұрын
4m
@byronadeli25662 жыл бұрын
Pia Mimi Mungu anikumbuke nitoe ushuhuda hapa, na Nina Imani atanikumbuka
@deodorouserastho96622 жыл бұрын
@@eunicecliff as
@heriwokovujacob16775 жыл бұрын
Niseme nini baba Mimi ninani umenipa uzima ooh Asante Mungu wangu
@reinecharamila46194 жыл бұрын
Mimi ninani bwana umenipa upendeleo ,umenipa amani umenipa uzima tele hakika mungu akutumie viwango vya juu San mtumishi yaan huu wimbo umekuwa wa baraka kila kona ya Nairobi nikipita nausikia umekuwa favorite song in our church
@shideashidea55705 жыл бұрын
Asante Mungu kwa uzima na Neema kwa familia yangu ni upendo wa ajabu mimi kuwa hai umenipendelea Ee Mungu wangu
@veronicammboga72244 жыл бұрын
Amen
@danstanomari64474 жыл бұрын
Umenipendelea mungu wangu asantee sana
@efremamiri62214 жыл бұрын
Mimi ninan
@happylusasi72263 жыл бұрын
Asante Mungu wangu kwa kunipa upendeleo mm na wanangu mm ni nan
@happylusasi72263 жыл бұрын
Asante Mungu wangu kwa kunipa upendeleo mm na wanangu mm ni nan
@gilbertmakokha47743 жыл бұрын
Halleluyah😭😭what asong
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,Thanks for your support subscribe my channel and share to others and God bless you
@wavinonoclassic12745 жыл бұрын
Mimi ni nani mungu,umenipa uzima na afya njema,,,asante sana mungu kwa baraka zako kwangu,,,,,
@issackjohn58054 жыл бұрын
Barikiwa sana na yesu aliyetupenda san
@Faith-n7r1i2 ай бұрын
Halleluhya nko mzima mm n nani
@SIFAELIMWABUKAOFFICIALАй бұрын
Amen Mungu akubariki
@makamwabuka24105 жыл бұрын
Kweli wengi waliomba wawepo leo lakini hatuko nao Mimi ninani nipo leo Asante Yesu
@thomasjamesmabigi84845 жыл бұрын
ubarikiwe kwa Ujumbe mzuri.
@jacklineawinja29953 жыл бұрын
Ameeen! Mimi ni Nani! 1st chronicle 17 :16
@RosemaryJackisony6 күн бұрын
Mm ni nan mpaka nimfika hapa wakat wengine hawsfika
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL4 күн бұрын
Barikiwa sana
@yonekiagollo76005 жыл бұрын
Mm ni nan jaman mpaka Leo niko hai Asanteeeeee yesu
@bonyemusalima14585 жыл бұрын
Amina ubarikiwe
@wafabian81163 ай бұрын
Mimi ni nani ulizuilia nisikufie warabuni Yesu
@SIFAELIMWABUKAOFFICIALАй бұрын
Mungu azidi kukutuza
@edinakitui12162 жыл бұрын
Kati ya wale wengi waliomba amani umenipa mimi baba mimi ni nani 🤲🤲🤲kumbuka na wengine baba
@latifamwajuma19203 жыл бұрын
Mimi ni nani, mungu awezi ni bariki na bwana mzuri
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
Amen asante sana nakushukuru kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you
@lilianmassawe62295 жыл бұрын
MUNGU AKUTENDE MEMA ZAIDI HUU WIMBO NAUPENDA SANA BARIKIWA SANA
@savelianmteisi71244 жыл бұрын
Mimi nani baba wengihi wamekufa umenipa upendelea asante baba sifa na utukufu ni kwako
@faithkibet99822 жыл бұрын
Mi ni nani ,,umbali umenitoa nashindwa nikushukuru vipi😓😓thank you Lord 🙏🙏
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
Amen thanks for your support usisahau, like,subscribe and share to others asante sana Mungu akubariki sana
@amberviola22002 ай бұрын
@@SIFAELIMWABUKAOFFICIALUkweli
@miriammsuya44543 жыл бұрын
niliusikia msibani juzi nimeutafuta umenibariki nakuniliza mimi ni nani hadi niweze hata kuwa na afya njema asante
@OlivierNtakinanirimana-y6o4 ай бұрын
Huyu muimbaji bwana abalikiwe kwanyimbo zake❤❤
@joycefissoo18632 жыл бұрын
Mimi ni nani naishi Hadi Asante mungu kwa pumzi ya uhai mungu huu wimbo unanipa nguvu ya kumtumki mungu Asante
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
amen thanks be blessed more asante sana kwa kuendelea kufuatilia kazi zangu usiache ku share na wengine zaidi ya 50 wawe na ushuhuda amen by sifaeli mwabuka AKUPE USHUHUDA WASHUHUDIE
@amberviola22002 ай бұрын
Amen.
@amberviola22002 ай бұрын
Asanti sana mtumishi wa Mungu.Ann@@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@honorathamuzuli57345 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana kbs Mimi ni nani hadi niwe hai hadi Leo nimeguswa
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL5 жыл бұрын
Amina barikiwa
@simfukwemathias64875 жыл бұрын
@@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL wimbo mzuri una hisia ya upendo kwa mungu
@CatharineNasipwondi-lk2hlАй бұрын
hallelujah yesu wangu Mimi ninani mungu wangu ooooh God help me amen 🖐️🖐️🖐️🤞🤞 hallelujah Jesus Christ you are wonderful God ❤️❤️❤️ amen sing sifaeli ♥️♥️♥️♥️ amen 🙏🙏🙏❣️
@haikamremi48655 жыл бұрын
Kaka Barikiwa mno.Umeshatoa na video.Mimi Ni Nani Baba.Umenipa upendelea Baba.
@petronillambinda7343 жыл бұрын
Hakika mm sio mzuri sana kuliko wenye wameaga leo hii bali ni neema na upendo wake Asante bro kwa nyimbo zako zazidisha imani yangu God bless you 🙏
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
amen asante sana kwa kuendelea kutazama kazi zangu,please subscribe,like,comment my video and share to others and be blessed
@amberviola22002 ай бұрын
@@SIFAELIMWABUKAOFFICIALNiombe
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL10 ай бұрын
Hi!! my fancy thanks for following my content to all platforms be blessed!! youtube.com/@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL?si=8L-iW9FDTvqXzZET KZbin onerpm.link/818041537428 Song= ULIYONITENDEA KUHESABU SIWEZI DIGITAL PLATFORMS SKIZA DIAL *811*117# OK onerpm.link/392578501032 SONG: NAOMBA MBINGU ZIFUNGUKE DIGITAL PLATFORMS SKIZA DIAL *811*457# OK ±254799200738 HIZI HAPA NYIMBO 50 ZA UPONYAJI -link below gusa hapa chini listen all. kzbin.info/www/bejne/bIvPdGivhpp0hcksi=aMw5gZvAJzIdF06u BEST CONTENT
@DennisTumaini-ww6xk8 ай бұрын
Nyimbo zako ni nzr
@DorrisWafula-zw6og5 ай бұрын
2oo iOS 2 ii
@marylumumba21233 жыл бұрын
Mm ni nani umenifikisha umbali huu baba, be blessed bro kwa ujumbe
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
amen asante sana be blessed more please subscribe and share to others
@agnesmariseli45 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi wimbo mzur
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL5 жыл бұрын
Asante
@MarrimerahWangeshiАй бұрын
Ishaala kwakemwenyesi mungu
@rehemadaniel4655 жыл бұрын
Mimi nani ee baba asante Yesu wangu. Hongera kaka Mungu azidi kukuinua pia Dada berthania chungu nakupenda
@rosemathew43924 жыл бұрын
Asante mungu wangu mim n nani siwa n kwako mungu wangu ubarikiwe kwa ujumbe huu
@Sophia-ts7mc2 ай бұрын
Be blessed mtumishi wa Mungu kwa nyimbo zako za baraka kweli zinanitia nguvu na matuaini kila ninaposikiza
@swahiliandculture65995 жыл бұрын
Kweli nimependelewa na Yesu... ni mwema tu imenifunika... barikiwa sana watu wa Mungu
@CatharineNasipwondi-lk2hl2 ай бұрын
hallelujah hallelujah ✋✋✋ yesu wangu niokowe mimi ninani mungu wangu ooooh God you are mighty God hallelujah may God continue to bless you sifaeli wowsersa amen 💪💪💪 hallelujah ♥️♥️♥️♥️♥️ amen 🌹💐❣️❣️ very nice one song amen ❤️♥️❤️ hallelujah
@SIFAELIMWABUKAOFFICIALАй бұрын
Amina
@gracepeter32005 жыл бұрын
Asante baba kwa kuwa unatujali sana mm ni nani
@aliceonyango66395 жыл бұрын
Mimi ni nani bwana unipa amani
@demetriafidelis23544 жыл бұрын
Asante mungu kwa kunipatia nafas ya upendereo had Leo nipo hai,asante kwa upendo wako wa pekee.
@CatharineNasipwondi-lk2hl3 ай бұрын
Mimi ninani mungu wangu umenibariki hallelujah yesu wangu well done sifaeli amen ❤️❤️❤️ amen
@fidelkisoi93883 жыл бұрын
Jameni mimi Ni nani Yesu Wangu,wengine wamekufa Mimi Niko uhai
@CatharineNasipwondi-lk2hl23 күн бұрын
ameeeeen hallelujah hallelujah hallelujah yesu wangu well done sifaeli amen ❤️❤️❤️🌹💐🍀👌💕💕 wonderful song amen 💪💪💪 hallelujah ♥️♥️♥️🍀
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL19 күн бұрын
amen
@marcojoseph22245 жыл бұрын
Barikiwa kwa huu wimbo hakika mungu atasema nawe kupitia kuimba kwako
@IsaiMuco2 ай бұрын
Nakupenda jonasi
@hagaimwaikenda56805 жыл бұрын
huduma yako ya iwimbaji ina zidi kuni bariki na kunibadilisha katika maisha yangu mungu akuzidishi maradufu
@judysnasambu33494 жыл бұрын
Wow mm n nn ,Asante mtumishi was mungu
@judysnasambu33494 жыл бұрын
Wow Asante mtumishi was mungu
@roselynenjoki54993 жыл бұрын
Mimi ni nani Baba...umeokaa bwanangu toka mautini kati ya wengi
@dorcaskeya81562 жыл бұрын
surely am Soo humbled thank you God for choosing and loving me💝
@andrewsayi15994 жыл бұрын
Mungu akubiriki kwa ujumbe mzuri
@fatmafa18965 жыл бұрын
Amen kazi nzuri Sana Mungu Baba yetu wa mbinguni na azidi kukuinua na kukubariki kweli kwa Jina la yesu kristo Aliye bwana na mwokoz wetu amen
Asante Mungu kwa kunipendelea na kunistahilisha maana sikustahili..MIMI NI NANII Ubarikiwe sanaa kaka Sifael
@dicksontemba95595 жыл бұрын
Ok
@evshearthielrupama35564 жыл бұрын
Ok
@christinaphilipo2043 жыл бұрын
mm ni nani asante mungu kwa uhai mimi pamoja na family asante mungu
@rosemaryminja58134 жыл бұрын
Mimi Ni Nani? Asante Mungu kwa Baraka unazoendelea kunijalia🙏
@gentlemtenga24804 жыл бұрын
Ppp000ppppo
@jackisonselestine14093 жыл бұрын
Wimbooo huuu unipa furahaa
@mutonyibarbra55154 ай бұрын
Mimi ninani yesu wangu😭😭😭God have mercy on us 🙏🙏🙏
@SIFAELIMWABUKAOFFICIALАй бұрын
amen
@rehemamusic74095 жыл бұрын
Mimi ninani baba hata nipo leo mbona wengine hawapo lakini Mimi umenipa uzima barkiwa mtumishi wa Mungu @ Sifaeli mwabuka
@rudiamganiexaudi16284 жыл бұрын
Unanipa uchungu mm ninani mbele zako umenitoa mbali asant bab .asant kak ulie imba mm ninan
@BettyBayo-is6pi7 ай бұрын
Umenipa uhai bure kweli mimi ni nani Mungu wangu
@CatharineNasipwondi-lk2hlАй бұрын
very powerful song amen 💪💪 hallelujah yesu wangu well done sifaeli ♥️♥️♥️ wonderful song
@agnellazighe61754 жыл бұрын
Mimi ni nani Mungu wangu ...umenipa upendeleo baba... may you be blessed.
@robertouko15922 жыл бұрын
who am i lord to deserve all this love? umenitendea mema Mungu .....asante
@uswegemwasanjala14654 жыл бұрын
Kizazi bola kaka umenikumbushan 2000 nyuma nilikua mtoto nateseka tukuyu apo naokota mapalachichi nakubari mungu na kuongoze ktk nymbo zko
@JeliqueMakolo8 ай бұрын
Asafz
@JeliqueMakolo8 ай бұрын
Asafa
@CatharineNasipwondi-lk2hl3 ай бұрын
hallelujah hallelujah very powerful song 💗💗💗 amen ❤️❤️ ameeeeen 💟💟💟💟🤞🤞🤞 ooooh mungu wangu nitetee sing sifaeli ♥️♥️♥️💪💪💪 hallelujah 🙏🙏🙏
@SIFAELIMWABUKAOFFICIALАй бұрын
Amen God bless
@janetmnini22323 жыл бұрын
Thanks a lot brother for your inspiring and spiritual songs,some 5 yrs ago i went through a lot with my daughters but our almighty God heard and answered our prayers.we were not special in any way but he answered our prayers and put a smile on our once grief stricken faces.may his name be glorified.may he look after your lives as your continue spreading his word through the good gospel songs you compose for us.AMEN.
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
amen be blessed thanks so much
@mufunyiibrahim36555 ай бұрын
WATANZANIA WAKO NA WANAMUZIKI WAZURI WA GOSPEL MUSIC. NAWAPENDA SANA KUTOKA KENYA 🇰🇪
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL5 ай бұрын
Asante.. barikiwa sana
@felixkusolo33234 жыл бұрын
I just love the praise from this guy...may the Almighty Lord continue anointing you my brother because your music is really touching.
@dorcaswilfred85843 жыл бұрын
Mi ni nani hata umenipa pumzi baba asante
@benjaminrawaka7755 жыл бұрын
Wimbo wa gusa moyo wangu, in did mimi ni nani!!!! Hakika Mungu Aitwe Mungu. May the Lord bless you shalom
@davidmburu9332 жыл бұрын
Mimi ninani yesu umenitoa kwa kifo ukanipea wokovu bure pokea sifa unasitahili siku zote
@lilylastborn33175 жыл бұрын
Nice song mtumishi wa mungu
@CatharineNasipwondi-lk2hl3 ай бұрын
hallelujah hallelujah hallelujah 🤚🤚🤚 yesu wangu well done sifaeli wowsersa 💟💟💟💟💟💟 ameeeeen 🙏🙏🙏
@SIFAELIMWABUKAOFFICIALАй бұрын
Amen God bless
@TheSalma19995 жыл бұрын
Umenipa upendeleo umenikumbuka baba umejibu maombi yangu
@patrickkusudi13054 жыл бұрын
Mungu uko mwema mû maisha yangu
@fanicewandera2144 жыл бұрын
Mimi ni nani asante eeh baba
@joshuastevenlukumay81894 жыл бұрын
Neno la Mungu kweli halirudi bure.
@alicekaninindeto Жыл бұрын
My kid song ever ,,hata tuko njiani kuelekea kikijini utaskia Tu mm n Nani tena dad niekee Mimi ni Nani ..wapi likes za sifaeli ???? Yabariki ADI watoto jamani 🙏🙏 twakupenda sifaeli huku Kenya ..
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL18 күн бұрын
amen Mungu akubariki
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL18 күн бұрын
nawapenda pia
@khatetekennedy11655 жыл бұрын
My God give you health and your family so that you my continue sing for him, safaeli even Ethiopians love your songs Woow.
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL5 жыл бұрын
Thanks
@ulimbakisyalaston51455 жыл бұрын
Hongera ubarikiwe
@consalatamumanuli54725 жыл бұрын
@@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL umenbarki nyimbo zako zmeniinua kimaisha wacha mungu azidi kunenanawe
@mkimbamirriam55594 жыл бұрын
God bless you
@josphatchomba46886 ай бұрын
Akika mungu ni mungu tusidi kumzukuru kira siku reo baata namirere na mirere🙏
@astaasta47894 жыл бұрын
2021 still listening kweli mungu umenipendelea umenipa watoto mimi ni nani baba wacha moyo wangu ukushukuru baba
@CatharineNasipwondi-lk2hl3 ай бұрын
hallelujah yesu wangu niokowe ✋✋✋🙌 amen very powerful song ♥️♥️♥️ amen 🙏🙏🙏💟💟💟🤞🤞 hallelujah
@SIFAELIMWABUKAOFFICIALАй бұрын
Amen be blessed so much
@jenifajafari76705 жыл бұрын
Ubalikiwe mtumishi kwa nyimbo nzuri nakutakia ndoa njema Baba❤️
@salomeambuka57064 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana inaniguza
@TheodoraNzuyu-ht9ru11 ай бұрын
Mm Ni Nan baba,Kama sio wew ningekuw wapi, wacha nikushukur Jehovah 🙏🏾🙏🏼🙏🏾🙏🏼🙏🏾
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL29 күн бұрын
Amen
@ngothokespeaks99574 жыл бұрын
Have watched this song countless times,I now feel like I'm addicted to it. Every morning I must rise to sing it very emphatically.
@rosemerymoses55873 жыл бұрын
Mimi nan ?
@annisaya153 жыл бұрын
@@rosemerymoses5587 ttvvvbn
@bakariathumani89053 жыл бұрын
]
@bakariathumani89053 жыл бұрын
@@rosemerymoses5587 p]
@bakariathumani89053 жыл бұрын
@@rosemerymoses5587 p
@vickydegal79952 жыл бұрын
Hakika mm ni nani mbele zako mungu.. umeniondolea aibu mbele za watezi wangu
@winniejfavors87195 жыл бұрын
Mimi ni nani ,ukajibu maombi yangu .
@graceilomo68364 жыл бұрын
hddi
@millycentamugune65833 жыл бұрын
Mungu amenipa upendeleo baba,uhai,afya,Amani,familia Najua anamshughulikia mume wangu wa maisha,nikumbuke Bwana🙏
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
Amen asante sana nakushukuru kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you
@danfordmwangesile90435 жыл бұрын
Ahsante sana mtumishi nimekupenda bure kwa kazi nzuri ya uwimbaji kwa kumtukuza Mungu. Mungu akubariki sana na azidi kukuinua zaidi katika huduma yako
@emmanuelmaturo41104 жыл бұрын
Wimbo mzuri unambariki mtu yoyote anayesikiliza
@RithaBisimwa-s2y3 күн бұрын
Mungu akuzidishiye🎉🎉🎉
@gladysamoit66823 жыл бұрын
Much blessed with that song,wengi waliomba waishi lakini wako wapi walikufa,Mimi ni nani ? Sifa za moyo wangu nikwako mungu
@alexsimiyu6513 жыл бұрын
Well done,
@esthersissamo11202 жыл бұрын
Moyo wangu acha nikushukuru baba vyote nilivyonavyo wewe umenipa sio kwa ujanja wangu asante mtumishi kwa ujumbe mzuri sana barikiwa
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
Amina
@akababenjamin3553 жыл бұрын
I don't know Kiswahili but when he says '' Yesu usinyamaaaze'' touches my heart. It must be very spiritual.
@mmoseh42 жыл бұрын
MEANS jesus dont be silent
@thebucketlist.2 жыл бұрын
Jesus dont be silent on me.>>translation
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
Amen asante sana kwa support yako kwenye huduma yangu ya uimbaji please subscribe my channel and share to others and be blessed
@risperosako15552 жыл бұрын
Don't be silent on me God
@sharonmakokha61532 жыл бұрын
@@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL i
@fredrickjuma77723 жыл бұрын
Mimi si mtu bila yesu,na hakuna chochote niwezalo kufanya bila yesu.
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
Amen thanks for your support to watch my videos please dont forget to subscribe, like and share to others pia nakushukuru sana by sifaeli mwabuka ni maombi yangu Mungu AKUPE USHUHUDA WASHUHUDIE
@mirriamkibet11232 жыл бұрын
May God bless spiritually,when I listen to your praises I move from one step to the other.
@royfordgitari33323 жыл бұрын
Mimi kweli si kitu umenipenda bure.. Nakushukuru mungu
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
amen asante sana kwa support yako please subscribe my channel and share to others and be blessed
@jm2graphix2 жыл бұрын
Who am I Lord? You've showed me love, you've blessed me, you've given me life My heart is thankful for the many things you've done for me. All I am and all I have is you🙏🙏🙏
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
Amen thanks for your support usisahau, like,subscribe and share to others asante sana Mungu akubariki sana
@wangecimbogo Жыл бұрын
God have you so much.
@denistryphon21694 жыл бұрын
Amina kubwaaaaa!
@lanipaulokayage54493 жыл бұрын
Sauti yako broo inanoga balaaaaa, Mungu akubaliki sanaaaaa kwa wimbo wako mzuri, mimi ninani?
@shshygibb223620 күн бұрын
You will live longer ole wao waliokuua❤❤❤❤❤❤Amen
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL19 күн бұрын
amen
@pastorpetermtaranya62834 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu Mungu akubariki kwa wimbo unanipa moyo wakusonga mbele katika maisha . Kweli Mungu ni mwaminifu. Salamu kutoka kenys
@CatharineNasipwondi-lk2hl5 ай бұрын
mimi ninani mungu wangu nitetee emba sifaeli wonderful man for songs Tanzania amen hallelujah ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️👍🏽