Mimi S01Ep32 (TV Series)

  Рет қаралды 23,412

Elizabeth Michael

Elizabeth Michael

Күн бұрын

Пікірлер: 162
@hawasaid7151
@hawasaid7151 3 ай бұрын
Yan hapa kwa Dhahabu Joseph kajichanganya wallah mana ofisin miguu juu kama kwake😂😂
@shufaamushil8886
@shufaamushil8886 3 ай бұрын
Bora hata Naomi, huyu dhahabu Ana mchachafya haswaa
@UmmyJumaa
@UmmyJumaa 3 ай бұрын
Mama ake Naomi nampenda mzuri ❤
@EsterLuis-y5m
@EsterLuis-y5m 2 ай бұрын
Mama naomi anamuudumia mwanae bado namshahara Anagonga 😂
@ireneevaristo5552
@ireneevaristo5552 3 ай бұрын
Yaan Joseph na upuuzi wake wote lazima amuite mkewe sweetheart nyi😂😂❤ Mungu nipe mume kama joseph ila asiwe mbakaji😂😂😂😂😂😂😂
@LouizPs3
@LouizPs3 3 ай бұрын
Nipo hapa sweet heart
@magdalenamatonya4963
@magdalenamatonya4963 3 ай бұрын
😅😅😅​@@LouizPs3
@ireneevaristo5552
@ireneevaristo5552 3 ай бұрын
@@LouizPs3 😂😂😂😂😂😂woooiiiiiii
@estherpaul3864
@estherpaul3864 3 ай бұрын
😂😂😂😂​@@LouizPs3
@esterkimalio8846
@esterkimalio8846 3 ай бұрын
Nimecheka sana kwa nguvu aloooh,,,, sio hawa tunaowapata atakuita mama mtu hehehee
@neykidoti102
@neykidoti102 3 ай бұрын
🤣🤣🤣 jamaan kumeanza kuchangamka 🙆 mama Naomi kashaingizwa kwenye mchezo na mwanae 😢 na usikute Joseph na Melisa wamewahi date na akazaliwa Naomi 😂😂😂 patamu hapo 🔥🔥🔥
@DinahAudax
@DinahAudax 3 ай бұрын
Ama kweli ukiwekeza sana kwenye kisasi huwezi kuwa mwenye amani kamwe. Tunaumbiwa kusamehe Kwa Kila jambo Mungu yupo atatupigania inshallah!
@yjkbcdghjb
@yjkbcdghjb 3 ай бұрын
Hivi huyu mama naomi ana undugu kwelina lulu maana wanafanana akitabasamu na anajua kuigiza kweli .
@UmmyJumaa
@UmmyJumaa 3 ай бұрын
Kweli wanafanana
@RahmaAbubakar-cb3jx
@RahmaAbubakar-cb3jx 3 ай бұрын
Huyu atakua ni damu yake mana huyu mama amefanana sana na mamake lulu mzazi pichq za ujanani
@irenejane4213
@irenejane4213 3 ай бұрын
Maskini mam naomi 😂😂wafinyilia kilio mshuto utakutoka😂😂😂 Lia mama lia
@SleepyOutdoors-zm2ys
@SleepyOutdoors-zm2ys 3 ай бұрын
Elizabeth,tuna ombi Moja Kwa week at least uwe unaturushia vipande kumi vitano katikati ya week na vingine vitano weekend 😂ili weekend iishe murua kabisa
@marypaul9038
@marypaul9038 3 ай бұрын
😅😅😅
@mwanaidikingazi4222
@mwanaidikingazi4222 3 ай бұрын
Jmn 😂 😂
@TausiAlly-i3h
@TausiAlly-i3h 2 ай бұрын
Eeeee jamn huyu zahabuu ananikelal sana jaman niliku sitaki kukometi kahaaa
@dorcasmueni2290
@dorcasmueni2290 2 ай бұрын
😂😂joseph!! Msichana amekuweza huyu
@Jenipha-f5q
@Jenipha-f5q 3 ай бұрын
Hapo Nesy Anaenda kumtibu mwanae pasipokujua twend kazi❤❤💯
@dakeeog585
@dakeeog585 3 ай бұрын
Ukute NAOMI ni mutoto ya Joseph ...mbengo zitafongoka
@DorcasLusha
@DorcasLusha 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂 nitagaragara
@Giftypmushi
@Giftypmushi 3 ай бұрын
Nais😅
@MaryMkoma
@MaryMkoma 3 ай бұрын
Hahahahahahahaha nimecheka kwa sauti sana😂😂😂
@AishaRashid-z8k
@AishaRashid-z8k 3 ай бұрын
Nmechekaa😂😂😂
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 3 ай бұрын
😂😂😂😂​@@DorcasLusha
@OmarJaffar-fw4lt
@OmarJaffar-fw4lt 3 ай бұрын
dhahabu mbwa ww unaniboa sana 😂😂😂😂kinachomuuma MAMA Naomi ni kwamba anamuamin sana Joseph 😂😂😂😂😂patamu hapo
@AishaRashid-z8k
@AishaRashid-z8k 3 ай бұрын
Yan me namchukia pusy uyu😂😂😂
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 3 ай бұрын
😂😂😂
@esterkimalio8846
@esterkimalio8846 3 ай бұрын
Muuguzi na yeye kaugua mweeee
@nancyg8664
@nancyg8664 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@fatumabekatana9870
@fatumabekatana9870 3 ай бұрын
Hakuna rafiki wa kweli kwenye hii ndunia rafiki wa kweli ni mungu na wazazi wako tu
@joycemichael4086
@joycemichael4086 3 ай бұрын
Ohoooo mama Naomi anaumia Sema tu Hana namn😢😢😢
@liamjaylan2848
@liamjaylan2848 3 ай бұрын
Itakuwaje sasa muuguzi kawa mgonjwa 😂😂😂😂
@SharifaMombo-eh2bg
@SharifaMombo-eh2bg 3 ай бұрын
Muuguzi kauguwa sana kuliko mgonjwa😅😅😅😅😅
@sarapiaernesti4921
@sarapiaernesti4921 3 ай бұрын
Yaaan ni hatari 🤣
@Salama123-iw7hj
@Salama123-iw7hj 3 ай бұрын
Pole mama na umi 😢😢yani ni siri ya moyo
@RuthNyongesa-me9cx
@RuthNyongesa-me9cx 3 ай бұрын
Dhahabu pliz atakama joseph alikosea heshima unaudhi bna😁😁
@scheillamutoni1558
@scheillamutoni1558 3 ай бұрын
Ayiiiii🥳🥳🥳🥳🥳
@PinkVallah
@PinkVallah 3 ай бұрын
Naomi,steve na mama Naomi wote wamefanan
@Inezamethodebrighton
@Inezamethodebrighton 3 ай бұрын
Nimemupenda bure mama naomi 😢😢😢
@Maria-l4h3q
@Maria-l4h3q 3 ай бұрын
Mm rafiki kama dhahabu naona nitakata kichwa😢😢😢😢
@tinahminja2452
@tinahminja2452 3 ай бұрын
Ety wew ndo unatakiwa kumlea vzr wew si ndo upo kwenye zamu😂😂nyie😅😅
@MagrethLucas-i6p
@MagrethLucas-i6p 3 ай бұрын
Jamani pole mama Naomi
@hawasaid7151
@hawasaid7151 3 ай бұрын
😢😢😢
@MaryMkoma
@MaryMkoma 3 ай бұрын
Nimecheka apo joseph kua kwenye zamu ya malezi 😂😂😂
@EfremuMwasumbi
@EfremuMwasumbi 3 ай бұрын
Sijaelewa Mzee Joseph na Melisa Nini hahaha Mzee Joseph sikuelewi
@arya-star53
@arya-star53 2 ай бұрын
Jamani mm nawahakikishia Joseph atamaliza pesa zote kwa dhahabu na hakuna kitu cha muhimu atapata
@jemimajerome3971
@jemimajerome3971 3 ай бұрын
Muuguzi kawa muugizwa😂😂
@AishaRashid-z8k
@AishaRashid-z8k 3 ай бұрын
😂😂😂
@Bellus-luxury
@Bellus-luxury 3 ай бұрын
Tamthilia ninayoipenda❤
@AliceMudandi
@AliceMudandi 3 ай бұрын
yaani sikuzani kama zahabu angefika mbali ivi
@LovenessAbel
@LovenessAbel 2 ай бұрын
Kumbe Steve huyu sio mamake mzazi Ila huyu mama Steve anaupendo sana
@LilianIsmail-os8kw
@LilianIsmail-os8kw 3 ай бұрын
Mama naomi 🎉
@GraceAndrew-s2o
@GraceAndrew-s2o 3 ай бұрын
Mama Naomi mrembo🥰
@GrolyMlawa
@GrolyMlawa 3 ай бұрын
Nikiwa na kaka kama nick najihudhuruuu❤
@MaryMkoma
@MaryMkoma 3 ай бұрын
Hahahah😂😂
@AishaRashid-z8k
@AishaRashid-z8k 3 ай бұрын
​@@MaryMkoma😂😂😂😂
@phronimouslady1653
@phronimouslady1653 3 ай бұрын
Mimi ni kakaa😂😂😂😂😂 kaka mwenyewee Nick 😆😆 nachoka mie
@StephanoCharles-d3v
@StephanoCharles-d3v 3 ай бұрын
Rafiki anakusaliti tena jaman
@mathildemwangaza109
@mathildemwangaza109 2 ай бұрын
Mr Joseph I love you
@AminaMaisha-vd6mf
@AminaMaisha-vd6mf 3 ай бұрын
❤❤🇰🇪bdo naomba like
@arya-star53
@arya-star53 2 ай бұрын
Alafu uipeleke wapi😂😂😂
@AminaMaisha-vd6mf
@AminaMaisha-vd6mf 2 ай бұрын
@arya-star53 nakuletea
@arya-star53
@arya-star53 2 ай бұрын
@AminaMaisha-vd6mf nizipeleke wapi mm sasa movie mnaletewa ili mjifunze, mburudike nyie ndo mmeweka sehem ya kupata likes zenu sijui mnazifanyiaga nn likes zetu nyie watu😅😅
@emes602
@emes602 3 ай бұрын
Ila nina 😂😂😂😂😂😂😂
@estergohalimu1887
@estergohalimu1887 3 ай бұрын
Muuguzi kawa mgonjwa😂
@mwakaathuman5637
@mwakaathuman5637 3 ай бұрын
Brayani nakupenda bure
@adela-adella
@adela-adella 2 ай бұрын
Kwan LULU wiki ilopita mbona umetutelekeza🤦‍♀️..sijui kwann huwa humalizii movie zako😌😌ile movie ya ONLINE nayo iliishia njian😌..
@ChristineKesi-k9r
@ChristineKesi-k9r 3 ай бұрын
Ww dhahabu nni shda huishi kutafuna😂mara bigj mara permende..mmmh au ndo uraibu na ujasiri wko huo 😅
@VeronicaRugoyi
@VeronicaRugoyi 3 ай бұрын
Mama naomi liya kwa sauti
@hafsakawilo3690
@hafsakawilo3690 2 ай бұрын
Joseph hana tofauti na Balthazar 😂😂😂
@dianeuwamahoro5186
@dianeuwamahoro5186 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@CharifaRachidi
@CharifaRachidi 3 ай бұрын
Uyu ninah ananifurahisha jmn
@winnieseba2257
@winnieseba2257 3 ай бұрын
Weeh patamu hapo😂
@DommyAbasy-cn5nc
@DommyAbasy-cn5nc 3 ай бұрын
mama Naomi tusaidie kisasi kikamilike tuwe na Amani kabisa 😧😧
@gracethomas683
@gracethomas683 3 ай бұрын
Usikute huyo Naomi alizaa na melissa ndo maana analia sana….
@tedysylivester3703
@tedysylivester3703 3 ай бұрын
Melisa amepoa yan 😢
@EstheurWabenga
@EstheurWabenga 3 ай бұрын
Uyu mama naomi mbona anafanana kama ni mama yake wakweli kbs maana wanafanana sana🙄😴🤔
@SimaCharles-c4o
@SimaCharles-c4o 3 ай бұрын
Dhahabu ni bangi
@MissFreeda
@MissFreeda 3 ай бұрын
Mbon Nais km mam Naomi Ametok n josef
@subirarichard3236
@subirarichard3236 3 ай бұрын
Ndomana anataka kulipa kisasi😊
@mariethachitema
@mariethachitema 3 ай бұрын
Mara na Naomi anakuwa n Binti wa Joseph😂😂
@UpendoAyubu-b5r
@UpendoAyubu-b5r 3 ай бұрын
Hahahahahahahha
@UpendoAyubu-b5r
@UpendoAyubu-b5r 3 ай бұрын
​@mariethachitehahahahahahaaaaaaama
@LaverineDeusdedit-u4s
@LaverineDeusdedit-u4s 3 ай бұрын
😅😅😅 umeanz kuifatilia tok lin lkn
@ChristineRobi-y6u
@ChristineRobi-y6u 3 ай бұрын
Ila zawadi katundu sana 😅😅
@omanbahla1511
@omanbahla1511 3 ай бұрын
❤❤kz mzr sn
@mathildemwangaza109
@mathildemwangaza109 2 ай бұрын
Mama Steve unatetea Nina
@jarpopmajedah3318
@jarpopmajedah3318 3 ай бұрын
Eliza tuongeze nyngne jmn😢
@EfremuMwasumbi
@EfremuMwasumbi 3 ай бұрын
Mzee Joseph hayo umeyataka pambana nayo
@agnesndagijimana168
@agnesndagijimana168 3 ай бұрын
Joseph anamuke
@RoselyneKhavere
@RoselyneKhavere 3 ай бұрын
Naomi Naomi ...utaua ur. Mum na pressure 😢
@shakilasharifa9
@shakilasharifa9 3 ай бұрын
Zahabu nyoko kweli 😅😅😅😅
@AishaRashid-z8k
@AishaRashid-z8k 3 ай бұрын
Umbwaaa kabisaaa 😂😂😂
@NshomaSayi
@NshomaSayi 3 ай бұрын
Dhahabu ni pasua kichwa walahi 😂😂
@FurahaJacqueline-c2n
@FurahaJacqueline-c2n 3 ай бұрын
dhahabu rafiki mbaya Sana jamani
@AishaRashid-z8k
@AishaRashid-z8k 3 ай бұрын
Yan namchukia mmbwa uyuu😂😂😂
@CarolineDominic-c8d
@CarolineDominic-c8d 3 ай бұрын
Hivi siku mke Wa Joseph alikijua vile mumewe Ali fanya sijui itakuaje
@rizikiMwafungo-ge7fh
@rizikiMwafungo-ge7fh 3 ай бұрын
Kuxema ukweli naomi kafanana na mamake
@saidali1166
@saidali1166 3 ай бұрын
yaan mpk tushamaliza MB zetu ndo unatoa muendelezo kwel
@sophiaazizingaiwa3857
@sophiaazizingaiwa3857 3 ай бұрын
Ila dhahabu anajua anachokifanya "michezo hyo" kuna siri imejificha kati ya mr joseph na Melissa
@gloriakadzo6500
@gloriakadzo6500 3 ай бұрын
Dhahabu unakera poooooo😏😏😏😏
@AishaRashid-z8k
@AishaRashid-z8k 3 ай бұрын
Mbwaa simpendiii😂😂😂
@gloriakadzo6500
@gloriakadzo6500 3 ай бұрын
@@AishaRashid-z8k mwanzo alianzana roho sai anamaliza na mwili 😂😂
@AishaRashid-z8k
@AishaRashid-z8k 3 ай бұрын
@@gloriakadzo6500 😂😂😂
@SwabraHabibuOmar
@SwabraHabibuOmar 3 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@EliufooMassawe
@EliufooMassawe 3 ай бұрын
Dhahab nakupenda bure maaana unaongea ukweli😂😂😂😂
@AishaRashid-z8k
@AishaRashid-z8k 3 ай бұрын
We nae toka apa😂😂
@neemaamanolotu3157
@neemaamanolotu3157 3 ай бұрын
😅😅😅​@@AishaRashid-z8k
@daudasajile813
@daudasajile813 3 ай бұрын
Dhahabu nakukubar mbaya yaan
@neemamkambwahamisi4718
@neemamkambwahamisi4718 3 ай бұрын
❤❤❤
@ChristineKesi-k9r
@ChristineKesi-k9r 3 ай бұрын
Joseph asema alihama aftr mama steve kufariki,vp tena mama steve yupi? Sio Mercy au?ukiona mume akuita majina matamu tamu saaana,chunguza iko jambo,anakuzingua tu, ILA yategemea😮
@arya-star53
@arya-star53 2 ай бұрын
Mercy sio mama Steve jmn Kwan hamjafuatilia tangu mwanzo ni mama mlezi wa Steve but anamlea Steve kama mwanae wa kumzaa ndio maan Steve anamuheshim sana mamaye kulko babaye
@EvaemmanuelMondea
@EvaemmanuelMondea 3 ай бұрын
Yaan rafiki kama dhahabu hafai kabisa
@arya-star53
@arya-star53 2 ай бұрын
Mwanzo mlimsifia sana now mnamponda hahaha ni scripts tu ambazo lulu ndo kampan aigize hvy
@LuckyKenga-yy8ny
@LuckyKenga-yy8ny 3 ай бұрын
Naombeni like plz
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 3 ай бұрын
Japo muvi Ila dhahabu anakera
@AishaRashid-z8k
@AishaRashid-z8k 3 ай бұрын
Yan silipendiii😂😂😂
@donathageorge6551
@donathageorge6551 3 ай бұрын
Sasa muuguzi anaugua why
@irenejane4213
@irenejane4213 3 ай бұрын
Dhahabu fake
@SaqnaAlly-jb9nv
@SaqnaAlly-jb9nv 3 ай бұрын
❤❤🎉🎉
@magrethkapinga1811
@magrethkapinga1811 3 ай бұрын
Simpend zahabu
@AishaRashid-z8k
@AishaRashid-z8k 3 ай бұрын
Namchukia kisengeee😂😂😂
@arya-star53
@arya-star53 2 ай бұрын
Mnanichekesha nyie watu mwanzo mliwezaje kumpenda now ndo hamumpendi😂😂😂😂
@CaroliniSanga
@CaroliniSanga 2 ай бұрын
😅😅😅😅
@BabycandSylvester
@BabycandSylvester 3 ай бұрын
Dhahabu anamkomoa tu Joseph mda so mrefu atarud kwa naomi
@FurahaKulapha
@FurahaKulapha 3 ай бұрын
Ht mm nahis ivyo
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 3 ай бұрын
Mi nahisi hvo japo anaboa sana apunguze kidogo
@AishaRashid-z8k
@AishaRashid-z8k 3 ай бұрын
​@@FurahaKulaphaMmnh sidhan🙌😂
@MoshiFura
@MoshiFura 3 ай бұрын
Maua yenu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@mathildemwangaza109
@mathildemwangaza109 2 ай бұрын
Melissa
@dorcasmueni2290
@dorcasmueni2290 3 ай бұрын
Kwa nini hutaki mama yako ajulikane?
@KibibiCarry0000
@KibibiCarry0000 3 ай бұрын
Ila dhahabu kaanza kuboa humu
@Inezamethodebrighton
@Inezamethodebrighton 3 ай бұрын
Apigwe risasi tu😢😢😢
@CharifaRachidi
@CharifaRachidi 3 ай бұрын
Lkn mwishon akishatoa siri zote atauliwa t
@AishaRashid-z8k
@AishaRashid-z8k 3 ай бұрын
​@@InezamethodebrightonYan AFE kwa heruf kubwaa😂😂😂
@jojo-tj8ol
@jojo-tj8ol 3 ай бұрын
❤❤❤
Mimi S01Ep33 (TV Series)
27:32
Elizabeth Michael
Рет қаралды 24 М.
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 22 МЛН
Mimi S01Ep36 (TV Series)
25:56
Elizabeth Michael
Рет қаралды 29 М.
NI NOMA - Elizabeth Michael (Movie)
1:40:29
Elizabeth Michael
Рет қаралды 3,7 МЛН
JIRANI EPISODE 1   Majirani ni ndugu ila hawa wanapeana mapezi kipofu
20:05
KITIMTIM Episode 28| Season 3 - Daa Zuu, Pili, Zunde,  Masantula,
29:07
Gladness Kifaluka [ Pili Kitimtim ]
Рет қаралды 11 М.
MY DAUGHTER  I ep 16 I
15:06
CLAM VEVO
Рет қаралды 264 М.
KINGWENDU ANAUZA MBOGA ZA MAJANI/ EPISODE 04
12:22
CHOMA FAMILY
Рет қаралды 1,7 МЛН
DIWANI |1|
22:50
Comedy Plus
Рет қаралды 77 М.
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН