Mimi S01Ep37 (TV Series)

  Рет қаралды 7,846

Elizabeth Michael

Elizabeth Michael

Күн бұрын

Пікірлер: 200
@JackieYohana-x4t
@JackieYohana-x4t 12 сағат бұрын
Mnachelewesha sana mpaka tunasahau tulipoishia jamani
@fatmaathumani7116
@fatmaathumani7116 13 сағат бұрын
Nick kubabake 😂😂😂😂😂 nimecheka leo khaaa mzee anasafisha koo unafki huo mzee mnafki anakaa na wanafki
@pur-ple-girll-304
@pur-ple-girll-304 12 сағат бұрын
😅😅😅😅😅😅 nick mpuuz so pw
@arya-star53
@arya-star53 10 сағат бұрын
​Kwakweli ni mpuuz Yan nacheka cheka dharau ksma zote ila nimecheka sana😂😂😂
@jamesangujo1195
@jamesangujo1195 11 сағат бұрын
Nicky mwanangu wew kichwa daaaaaaaaaaaaaaaaaah............ get your flowers kbsaaaaa🥀🥀🥀🥀🥀
@marryofficial9143
@marryofficial9143 5 сағат бұрын
Ila nick hakiii huendi mbingun😂😂😂😂 kelele moja kwa naomi wakee weweweee😅😅😅😅
@souvenirweber7169
@souvenirweber7169 12 сағат бұрын
Waomba like wote tambueni kuwa mna afya ya akili hivyo tafuteni jinsi ya kupona.na ukiona huombi like basi jua kuwa umekuwa mzima uache utoto
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 10 сағат бұрын
Ila ushauri wangu Lulu ungekuwa unaweka episode 5 kama zamani, hapo hata ukikaa wiki sio mbaya, sema Nick mjinga sana aisee😂😂😂😂.
@SleepyOutdoors-zm2ys
@SleepyOutdoors-zm2ys 6 сағат бұрын
Ni kweli tunasubiri mpka inatuboa😅😢
@SleepyOutdoors-zm2ys
@SleepyOutdoors-zm2ys 6 сағат бұрын
Ni kweli tunasubir mpka inatuboa😢😢
@annasitti120
@annasitti120 11 сағат бұрын
Naomi tuwahishie movie jmn tupe mwendelezo hata baada ya siku 2 jmn hizi wiki tunasahau matukio😢🎉❤❤❤❤❤ ni nzuri sana
@arya-star53
@arya-star53 10 сағат бұрын
Dear kuandaa tu episode moja mpk ikakamilika sio poa kipenz
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 10 сағат бұрын
​@@arya-star53kwani si inakuwa tayari recorded?
@rebeccamagoke4276
@rebeccamagoke4276 10 сағат бұрын
Ndio tunasahau
@UnrulyHope-e9j
@UnrulyHope-e9j 2 сағат бұрын
Nick nimecheka kama fala hapa kwa kweli umeweza eti shostii 😂😂😂😂😂mauwa yako Nick🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉alafu Mama Ake n steve N mrembo MashaAlllah ❤
@naomikisaba5785
@naomikisaba5785 9 сағат бұрын
Aki leo mmetuchekesha haraf nick amekula chakula kingi kuwashinda wote😂😂😂😂😂😂
@heavenlightmafie393
@heavenlightmafie393 11 сағат бұрын
Jaman Nick duuuuuuh🙉🙉🙉
@Olperbenjamin
@Olperbenjamin 12 сағат бұрын
Eliza tunaomba mwendelezo jaman😢😢😢 wengine uvumilivu hatuna tunataka bandika bandua 😅
@cristaezekiel1036
@cristaezekiel1036 25 минут бұрын
😂😂😂😂😂Mzee muda mwng unapenda kusafisha koo 😂😂😂😂tuite umbea?unafki?majivuno? 😂😂😂😂😂
@NadiaAlladin
@NadiaAlladin 8 сағат бұрын
Weeeh nicky weeeh umevuruga, ukawaweka sawa, ukavuruga😂😂😂😂💔 yani umejua kuiplay hii part kijana weeeh ni nouma❤️✌🏽💯...., hatariiii sana mtu wangu🔥🔥🔥
@michaelmkubwa8050
@michaelmkubwa8050 Сағат бұрын
Yan watu wote wameach kula wanamuangalia tu nick
@OmanBd-s7z
@OmanBd-s7z 7 сағат бұрын
Me sijapenda Nick 😂😂😂😂
@BibianaKobelo
@BibianaKobelo 13 сағат бұрын
wow! asanteni kwa kweli mwe mnawahi
@Nailaty564
@Nailaty564 7 сағат бұрын
Hii siri mwisho wake sio mzuri😂😂😂😂😂
@naomikisaba5785
@naomikisaba5785 10 сағат бұрын
Nampenda mama nina❤
@FurahaKulapha
@FurahaKulapha 9 сағат бұрын
Abuju buju naomi ake 😂😂😂nick
@mariamkimati5857
@mariamkimati5857 12 сағат бұрын
Nick Nick Nick jamani ❤😂😂😂😂😂😂😂kha! Mvurugaji kweli kweli
@RoynerMlowe-j6c
@RoynerMlowe-j6c 6 сағат бұрын
Kubabeki nick umeua sana❤❤❤❤😂
@sophiaazizingaiwa3857
@sophiaazizingaiwa3857 12 сағат бұрын
Kwani nick ni chizi jaman 😂😂😂😂 mbona kama kachanganyikiwa😅
@Malkey4real-330
@Malkey4real-330 13 сағат бұрын
Good work
@pendoinnocent9648
@pendoinnocent9648 3 сағат бұрын
Nick ulikua ushaniboa ilaa mekupentaaa bure😂😂 mimi ni moto🔥
@StephanoCharles-d3v
@StephanoCharles-d3v 3 сағат бұрын
Nick unafurahisha sana nimekupenda kwa jins ulivyo wapiga pazito bila wao kujua kinachoendelea
@MB-cd1db
@MB-cd1db Сағат бұрын
Episode ya moto sana hii😂😂😂🙌🏾🙌🏾
@BerthaModest
@BerthaModest 11 сағат бұрын
Yani nick jmn😢aibu naona mimi uku khaa😂😂 simtak mim
@RebecaSanke
@RebecaSanke 10 сағат бұрын
Abuju buju buju😂😂ila nick
@fatmaathumani7116
@fatmaathumani7116 13 сағат бұрын
Mtoto mzuri chuchu shema bashi 😂😂😂😂😂 weweeeeeeeeeeeeee👌👌👌
@pur-ple-girll-304
@pur-ple-girll-304 12 сағат бұрын
😂😂😂😂
@mwanjalasayota567
@mwanjalasayota567 10 сағат бұрын
Abujubuju
@zena6203
@zena6203 13 сағат бұрын
Mungu nikingeeeee namwanaume kinganga kama nick mana nikwenda polici kumshtaki basi🤣🤣🤣
@arya-star53
@arya-star53 10 сағат бұрын
😂😂😂😂
@RachelEmid-jq6eo
@RachelEmid-jq6eo 12 сағат бұрын
Nick daaaaa😂😂😂😂
@teclarmapenzi
@teclarmapenzi 57 минут бұрын
Haki kwa kweli nick😂😂😂❤❤
@salmasaid4309
@salmasaid4309 13 сағат бұрын
Mtoto mnzuri😂 mwaaa He he heee I miss you😅😅😅😅
@omanbahla1511
@omanbahla1511 13 сағат бұрын
❤❤ nawapenda
@catherinecharlz2814
@catherinecharlz2814 Сағат бұрын
Nick chukua mauwa yakoo nimechekaa saana yaani umecheza kama pele , by the way naampenda sana mama ninaa ❤
@mariamkimati5857
@mariamkimati5857 12 сағат бұрын
Ahsante Nick umeokoa jahazi 😂😂😂😂
@mwajumalubunga1534
@mwajumalubunga1534 10 сағат бұрын
Ya leo kali sana 😂😂😂 yaani Nick dah!😂😂😂😂😂
@Olperbenjamin
@Olperbenjamin 12 сағат бұрын
Eti naweza kukaa tuu au hata kula pia, duuuh huyu mwamba hatari😂😂😂😂nimecheka sana
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 8 сағат бұрын
Na mimi nikija kuoa kwenu takuja kama Nick kwa baba mkwe.
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 8 сағат бұрын
Sipendi nick anavyojitoa fahamu
@TunuBukile-t3c
@TunuBukile-t3c 12 сағат бұрын
Iv nicky hana akili 😂😂😂
@Mwajuma-bx7wk
@Mwajuma-bx7wk 10 сағат бұрын
Jaman msicheleweshe sasa tunaipenda sana😊
@neykidoti102
@neykidoti102 4 сағат бұрын
Daaah humu ndani mko very dramatic 😂😂😂😂
@AgathaMrosso-z8j
@AgathaMrosso-z8j 11 сағат бұрын
Tumemisi kuwekewa dabo dabo kama zamani jamanii
@MoshiFura
@MoshiFura 13 сағат бұрын
Waooooooooo turisubri kwahamu tujuane
@Salama123-iw7hj
@Salama123-iw7hj 7 сағат бұрын
Mnachelewesha sana jamani paka tuna wasahau tunawapenda sana ❤❤❤
@ZainabuMathias-x6p
@ZainabuMathias-x6p 5 сағат бұрын
Jamani nick 😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉mbavuzangumie
@pur-ple-girll-304
@pur-ple-girll-304 12 сағат бұрын
Kelele moja kwa naomi akee😅😅😅😅
@DoktaGidawida
@DoktaGidawida 13 сағат бұрын
Niki anchekesha jamn hhahahahahahhah😂😂😂
@oscarprince2999
@oscarprince2999 11 сағат бұрын
Hey Lulu, yaani sijui nisemeje. Kua mama kua zaidi na ukuze tasnia ya uigizaji East-Afrika
@winniembodze5378
@winniembodze5378 10 сағат бұрын
😂😂😂😂nick jamani mshenzi uyu
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 4 сағат бұрын
Bora iishe tu kama mnatuletea Siku mkijiskia Alafu hamtoi sababu zakuchelewa😢
@DainesPatrick
@DainesPatrick 19 минут бұрын
Inaenda kuisha nin
@EstheurWabenga-n6r
@EstheurWabenga-n6r 10 сағат бұрын
Nick ni mbwa sana😂😅kubabake wahuni sio watu wazuri kwakweli😂😂
@cristaezekiel1036
@cristaezekiel1036 35 минут бұрын
😂😂😂😂😂Nick bwana
@Jdshhd-rr3zy
@Jdshhd-rr3zy 2 сағат бұрын
ila nic bana aaaah😂😂😂😂😂
@agnesmarcus-n8q
@agnesmarcus-n8q 12 сағат бұрын
Wa kwanza Leo naomben likes zangu
@UpendoSwaiba
@UpendoSwaiba 10 сағат бұрын
Khaaaah Nick kudadadeki umenishinda tabia we kaka haaa😅😅😅😅😅😅
@Mwajuma-bx7wk
@Mwajuma-bx7wk 10 сағат бұрын
Leo nimecheka sanaaa duh jamani niki 😂😂😂😂
@GraceRoman-xw7xm
@GraceRoman-xw7xm 36 минут бұрын
Ila nick akiiii nimechekaaa kama mjingaaa
@NasarSaid-z5s
@NasarSaid-z5s 5 сағат бұрын
Nick Jmn 😂😂😂 sema ikua vzr sana
@NasmahTomasi
@NasmahTomasi 10 сағат бұрын
😂😂😂😂😂Nick umetisha jmn
@Ritaritare
@Ritaritare 10 сағат бұрын
Nicky wewe Nicky umejua kunifurahisha 😂😂😂😂😂
@belyseirakoze5371
@belyseirakoze5371 8 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂uyu nick anakicha sio bure 😂😂😂😂
@MoshiFura
@MoshiFura 6 сағат бұрын
Nick mshenz kweli anauzi ila nimecheka 😂😂😂😂
@JacklineShirima-hn1yt
@JacklineShirima-hn1yt 3 сағат бұрын
Jaman nick duh😅😅😅
@naomikisaba5785
@naomikisaba5785 9 сағат бұрын
Mama alishakufa 😅😅😅 ila nick mweee
@nesdolandayisaba3335
@nesdolandayisaba3335 8 сағат бұрын
Yoooo😂 Leo nick kanimaliza😂 ameact kabisa😊
@naomikisaba5785
@naomikisaba5785 9 сағат бұрын
Wahuni sio watu kmmk😂😂😂😂
@MaryamRajab-vb6sx
@MaryamRajab-vb6sx 9 сағат бұрын
Nashukuru kaingia kwenye mfumo haha
@PrincessHellen-pg1oy
@PrincessHellen-pg1oy 6 сағат бұрын
Huu mchezo hauhitaji hasira 😅😅😅😅😅
@arya-star53
@arya-star53 10 сағат бұрын
Jamani kumeanza kuchangamka jamani, Nick kubabake nakuchukia ila nimecheka sana eti mimi ndimi😂😂😂😂
@BibianaKobelo
@BibianaKobelo 13 сағат бұрын
umejua kutufurahisha
@CharifaRachidi
@CharifaRachidi 10 сағат бұрын
Nick kajua kunifuraisha sana
@winnieambwene2875
@winnieambwene2875 10 сағат бұрын
Aaaah da lulu tupostiee❤
@cristaezekiel1036
@cristaezekiel1036 32 минут бұрын
😂😂😂😂Nick anafanya saut yake km mwehu ananiudhi
@sammyharny688
@sammyharny688 7 сағат бұрын
Nimecheka jaman nick hapana 😂😂😂😂😂
@shufaamushil8886
@shufaamushil8886 4 сағат бұрын
Kwa hasira za Nick kuhusu Naomi akimshirkisha mpango wake wa kisasi, movie itaisha mapema Sana, hawez kumwacha salama huyu mzee
@ZainabuMathias-x6p
@ZainabuMathias-x6p 5 сағат бұрын
Jamani mpaka nasahau
@letshavealiltalk2313
@letshavealiltalk2313 12 сағат бұрын
Ila hii movie ilinifanyaga niwe namuogop Isarito😂😂yan kwa kipind hiko ningekutana nae kichochoroni ningekimbia
@naomikisaba5785
@naomikisaba5785 9 сағат бұрын
Kama mm walah😅😅😅😅
@letshavealiltalk2313
@letshavealiltalk2313 5 сағат бұрын
@@naomikisaba5785 😂😂😂😂
@cristaezekiel1036
@cristaezekiel1036 24 минут бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@rebeccazagabe
@rebeccazagabe 9 сағат бұрын
Aisée kumbe Nick ni kicha nime sheka kweli 😂 Naomi leo
@Madam255
@Madam255 14 сағат бұрын
Jamani unatucheleweshea
@mankinishee
@mankinishee 8 сағат бұрын
Micky umeweza ise akili zako unazijua mwenyew 😂😂😂😂🎉🎉
@Agathamartine-d3s
@Agathamartine-d3s 9 сағат бұрын
Nikajua Ulivyokaa kimya lulu ukija utatuletea vipande vitano kwasiku eti ndio umepunguza unatuwekea kipande kimoja😢😢
@winnieseba2257
@winnieseba2257 11 сағат бұрын
Inachelewaga sana jamanii
@paulinengeresa8649
@paulinengeresa8649 11 сағат бұрын
mmeona eeeh wali na watermelon inaenda😂😂😂😂
@naomimeshack8319
@naomimeshack8319 8 сағат бұрын
kama umependa kamchezo ka nick ka leo like hapa😊😅😅😅😅
@pendoinnocent9648
@pendoinnocent9648 4 сағат бұрын
Wow🥰
@SABRINASHAMSI-j4l
@SABRINASHAMSI-j4l 8 сағат бұрын
Nick nmecheka sanaa jmn kwa kumtaaliza msafisha koo
@benymathew4277
@benymathew4277 13 сағат бұрын
Asante Lulu ❤❤
@winnieambwene2875
@winnieambwene2875 8 сағат бұрын
Nick ww ni kichaa ilaa so wa mirembeee😂😂💔👍 aah leo umejua kunivunjaa mbavuu😆😆😹
@Olperbenjamin
@Olperbenjamin 12 сағат бұрын
Madam Elizabeth adante kwa kutukumbuka leo duuuh ila usitusahau sana
@mariamassawe9760
@mariamassawe9760 7 сағат бұрын
Lulu umeweza tupe back to back😜
@mimihuyo8239
@mimihuyo8239 9 сағат бұрын
Nick kha😂😂😂😂😂
@Kim_Cathrinah
@Kim_Cathrinah 6 сағат бұрын
Jmn Nick Anavyochekaga Mwe 😂😂😂
@LithaBrighton
@LithaBrighton 6 сағат бұрын
Dah nick 😁😁😁😁
@veronicabruno6071
@veronicabruno6071 Сағат бұрын
😂😂😂😂 ila Nicky ndo nini sasa umemfanya mpaka mama naomi kapigwa na butwaa mtoto haeleweki kama chizi au tahira pole yake maana huku kauliwa huku kapewa mtoto wa hiyari
@neymahrashada7607
@neymahrashada7607 10 сағат бұрын
Makofi kwa nicky basi
@JerolinaLuwagila
@JerolinaLuwagila 4 сағат бұрын
Ila nick nyumba nzima wanamsikiliza yeye daaaah 😂😂😂
@JacklineShirima-hn1yt
@JacklineShirima-hn1yt 3 сағат бұрын
Jaman alikuwa anatoa vipande 5 ila kwa sasa kapunguza sana
@HappyNass-mu3lu
@HappyNass-mu3lu 4 сағат бұрын
Nick noma
Mimi S01Ep36 (TV Series)
25:56
Elizabeth Michael
Рет қаралды 24 М.
I Sent a Subscriber to Disneyland
0:27
MrBeast
Рет қаралды 104 МЛН
번쩍번쩍 거리는 입
0:32
승비니 Seungbini
Рет қаралды 182 МЛН
SANDRA [21]#kiparabrand #clamvevo #sandraofficial
18:46
SANDRA OFFICIAL
Рет қаралды 38 М.
MY DAUGHTER  I ep 12 I
16:21
CLAM VEVO
Рет қаралды 358 М.
OFFICIAL TEASER  2 | TWISTED SERIES | HUN PLUS
2:16
Hun Plus
Рет қаралды 4,5 М.
USISEME - EPISODE 06 | CHUMVINYINGI
21:53
CHUMVINYINGI GANG
Рет қаралды 13 М.
Linda amuomba Emily ampe ujauzito | TUFANI EP 20
3:23
Sinema Zetu HD
Рет қаралды 1 М.
CHUKI YA WIFI PART 1 || NEW BONGO MOVIES 2023 || PILI MABOGA
23:55
Mimi S01Ep24 (TV Series)
27:48
Elizabeth Michael
Рет қаралды 23 М.
MY DAUGHTER  I ep 13 I
20:51
CLAM VEVO
Рет қаралды 272 М.