MIRAJI | TIMU ZISIIGE ALICHOFANYA AZAM MTAKULA NYINGI | ZILE DAKIKA 7 AZAM WALIONA KAMA 90 ZINGINE😂

  Рет қаралды 71,044

Finest Online II

Finest Online II

Күн бұрын

Пікірлер: 206
@janethmsangah8374
@janethmsangah8374 Ай бұрын
Katk wachambuzbwote miraji unajua sana kufuatilia mpira na kwwny ukwel unasema ukwel ukifa usioze miraji nakupenda sana
@luvboynyamz27
@luvboynyamz27 Ай бұрын
Kweli kabisa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@AminoKhalif
@AminoKhalif Ай бұрын
Yanga yetu ni Bora kuliko azam hi kawaida tu💚💚💚💛💛💛
@AminoKhalif
@AminoKhalif Ай бұрын
Hi ni kawaida tu yanga bingwa tena na tena tabu iko palepale daima mbele ilove yanga
@janethmsangah8374
@janethmsangah8374 Ай бұрын
Mm mwanayangu kaka miraji ni kwel mm nimekuelew sana
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا Ай бұрын
Miraji anaongea mpira kweli huyu mwamba yupo vizr
@ericssonkitomary1724
@ericssonkitomary1724 Ай бұрын
Miraji kawape somo akina oruma na wenzake…, ushabiki umewazidi sana
@malietamaliet
@malietamaliet Ай бұрын
Woyo tumefungwa Jana ila Leo nimekua wa kwanza Leo 😂😂😂🎉acha mtukandamize umalize aje Mzee Said na mkeka wake umechanika maskin gamba usimchukulie ela ake bhs
@marcobulili4341
@marcobulili4341 Ай бұрын
Milaji wewe ni unachambua bila ushabiki, Safi sana
@LovelyOmbreSky-pu4jt
@LovelyOmbreSky-pu4jt Ай бұрын
Huyu jamaa Miraji anajuwa sanaa kuchambuwa mpira yanii anaongea sahihi kabisa bira hata ushabiki
@ifmknowledgepower7333
@ifmknowledgepower7333 Ай бұрын
Patamu hapo, yanga kamfunga Simba na Simba kamfunga Azam na Azam kafunga Yanga 😂😂😂🎉🎉🎉❤
@JosephChrisant
@JosephChrisant Ай бұрын
Miraji uko vizuri sana unaelewa mpira kabisa
@imraniqbal00765
@imraniqbal00765 Ай бұрын
Simba leo mmefurahi mnooo Kuliko azam
@taseleli9181
@taseleli9181 Ай бұрын
Kama mlivyochukia sana juzi kuliko mashujaaa wenyewe hivyo ni kawaida
@HassanNdauka-x1z
@HassanNdauka-x1z Ай бұрын
Dar young Africa's ni timu kubwa,
@HASSANTL-m7c
@HASSANTL-m7c Ай бұрын
Milaji umeongea fact❤
@ramadhanimbutasalumu9909
@ramadhanimbutasalumu9909 Ай бұрын
Miraji unajua saaana kaka...kuna kitu cha kujifunzaa apo
@IbuniKilapaya
@IbuniKilapaya Ай бұрын
Nice🎉🎉🎉
@devothaignatius5256
@devothaignatius5256 Ай бұрын
Umechambua vizuri mno nimekuelewa sana
@GiresseMukwemulereGirelo
@GiresseMukwemulereGirelo Ай бұрын
Namu ngoya mzee Saïd Gamba
@Amne_ggg6
@Amne_ggg6 Ай бұрын
Gamba Mzee Said kamuhijie nyumbani kwake leo aliomba jana😂😂😂mfate tucheke sie
@falajijuma-f2m
@falajijuma-f2m Ай бұрын
Miraji kwali miraji ukosahihi kwali 👍👍👍👍👍
@ReylaSele
@ReylaSele Ай бұрын
Wewe miraji mtoto mdogo midevu iyooo nyooooo
@AlexNgonyani-s1q
@AlexNgonyani-s1q Ай бұрын
Na msubiri mzee saidi
@kitovasaidi6753
@kitovasaidi6753 Ай бұрын
Sahihi zijenge viwanja vyao
@yudaogonyi2383
@yudaogonyi2383 Ай бұрын
Ushabiku mtupu ..Match ya simba alimponda refa
@RabsonSalmon-ys7bf
@RabsonSalmon-ys7bf Ай бұрын
Htr sanaaa🎉🎉🎉🎉
@lucasndaganiwe5764
@lucasndaganiwe5764 Ай бұрын
Miraji yanga na chagamba wote ni makenge tu
@nicholausmwandeko2524
@nicholausmwandeko2524 Ай бұрын
Miraji unajua mpira kweli kasomee ukocha
@lucasndaganiwe5764
@lucasndaganiwe5764 Ай бұрын
Miraji na chagamba na timu ya yanga wote ni makenge kama kenge wengine yanga ita fungwa tena na tena
@KidoBanks
@KidoBanks Ай бұрын
Na msubiri mzee said jamn
@luvboynyamz27
@luvboynyamz27 Ай бұрын
Kenya 🇰🇪🇰🇪 is watching...
@alfredymalata269
@alfredymalata269 Ай бұрын
YANGA AMEWAACHA MBALI SIMBA 🦁 Baada ya Yanga kupoteza mchezo nilitaka nione reaction ya mashabiki wao katika vijiwe vya kidigitali nilitamani Sana nione ni kiongozi gani atamshutumu mchezaji gani kauza mechi. Nimegundua viongozi, Mashabiki pamoja na wazee wa klabu wapo smart Sana wamekubali maisha ya mpira Kuna siku mtapoteza haijalishi mna ubora kiasi gani. Pengine hapa dhana ya football ndio inaingia kuwa mchezo wa soka una matokeo matatu. Simba alipopoteza dhidi ya Yanga mbuzi wa kafara alikua kayoko, viongozi wakamvaa Kijili na Camara huku wazee wakiitisha press ya vitisho vya uchawi umeona utofauti? Kuna namna Kama timu zinatakiwa zipevuke kimpira na ziamini Zina haki za kupoteza mchezo.
@taseleli9181
@taseleli9181 Ай бұрын
Usimalize maneno wote ni walewale muda utaongea Niko pale Wala hakuna Cha kuachwa mbali.
@DanielChaula
@DanielChaula Ай бұрын
Noma sana 😂😂😂
@AlexNitereka
@AlexNitereka Ай бұрын
😂😂😂yanga Jana wametolewa majini😂😂😂😂😂😂 milaji ongea nakukubali Sana nachagamba
@omarymuya142
@omarymuya142 Ай бұрын
Tupeleke kwa mzee saidi ukitoka hapo chagamba mzeeeeee saidi
@Tashmaorg
@Tashmaorg Ай бұрын
Mzee said jana kaomb sana 😂😂😂😂😂😂azam wamfung chura pori😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉
@RoseMuniss-y5q
@RoseMuniss-y5q Ай бұрын
@@Tashmaorg akuomba Tena alibet yanga ashinde
@Tashmaorg
@Tashmaorg Ай бұрын
@RoseMuniss-y5q aaa aliomb azam awafunge yang 🤣🤣🤣kaiangalie ten
@AbdallahRashidy-l2v
@AbdallahRashidy-l2v Ай бұрын
Miraj ataftiwe redio
@taucdulle7460
@taucdulle7460 Ай бұрын
Uyu naeee asaiv anapoteza mvuto anaisfia tu yanga
@bajakisonzo4935
@bajakisonzo4935 Ай бұрын
Akiiponda ndo anakuwa na mvuto???😅😅😅😅😅😂
@Anuarmustafa4128
@Anuarmustafa4128 Ай бұрын
Kwaiyo wewe unatakaje
@stevensosipita
@stevensosipita Ай бұрын
UKWELI USEMWE MIRAJI SIYO MNAFIKI KAMA NYIE NDO MAANA MNAAMBÌWA MASHABIKI WA SIMBA WANAOJIELEWA NI MIRAJI,SAM NA MCHOME WENGINE WOTE VIPAPA TU WAROPOKAJI TU
@aliferuzi1537
@aliferuzi1537 Ай бұрын
Ameongea ukweli INGAWA mgumu kuuelewa
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 Ай бұрын
Mashabiki wa simba wanapenda watu kma kina kisugu wenyewe ndo wanaona wanapenda timu yao
@ABDTVOnline
@ABDTVOnline Ай бұрын
Miraji anaongea pointi sana
@ChenchiKing
@ChenchiKing Ай бұрын
Mirajiiii Mara Moja Noma Xana Kbs Unachambuw Mpir
@shadrackjuliuskaboya5239
@shadrackjuliuskaboya5239 Ай бұрын
*nilikuwa sijui kumbe yanga inachukiwa kiasi mpaka watu wakafanya sherehe jamani*
@hafsamohammed3835
@hafsamohammed3835 Ай бұрын
Chagamba Mzee Saidi.
@harrsmgaya8141
@harrsmgaya8141 Ай бұрын
Tuletee mzee said
@MusaStephano-s9c
@MusaStephano-s9c Ай бұрын
Acheni longolongo, Yanga kacheza mechi 5 ngumu ndani siku 12, kamsliza mechi na singida kapumzika siku2, Azam kapumzika siku 8. Wakati yanga ikiasafiri na kucheza. Vile vile mwaka jana hii ni Rushwa ndani ya Tff na Azam.
@MalikiKavindi
@MalikiKavindi Ай бұрын
Miraji kumbe na ww ni msenge tuu
@DonaJohn-q4r
@DonaJohn-q4r Ай бұрын
Bado mzee said
@peterkarume6954
@peterkarume6954 Ай бұрын
Kijana yupo sawa nimesikiliza uchambuzi nikiwa natabasamu kwa material
@YusuphAlly-y9o
@YusuphAlly-y9o Ай бұрын
Mlete mzee saidi chgamba
@lucasndaganiwe5764
@lucasndaganiwe5764 Ай бұрын
Kenge ana wafariji kenge wenzake
@janethmsangah8374
@janethmsangah8374 Ай бұрын
Miraji kwel unajua kuchambua kaka hakika kaka unajua washamba hawawez kukuelew mpk D2
@amaniomar1755
@amaniomar1755 Ай бұрын
Huyu mwamba Maramoja yuko wazi sana katika maelezo yake
@Josephtibu-l9e
@Josephtibu-l9e Ай бұрын
UBAYA UBWELA 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@lusubilokorosso5661
@lusubilokorosso5661 Ай бұрын
Kairudie ile unayosema ilikua ni penati,yule mchezaji wa Azam alijiangusha ila goli lilikua halali
@AbubakarallyRajab
@AbubakarallyRajab Ай бұрын
Milaji mpila anaujua kaka
@janejonathan9846
@janejonathan9846 Ай бұрын
Chagamba mlete mzee Saidi nae tumemis kucheka aisee
@Ibrahimlundenga
@Ibrahimlundenga Ай бұрын
Simba amuoni watu awa wa kuwapa uongozi mnang'ang'ania vibabu hivo
@SalmaMakusudi
@SalmaMakusudi Ай бұрын
Miraji kunamechi kama 3 waamuzi wangekuwa wanatowa haki mpaka sasa usinge onea ivyo .. ila kunasiku utaelewa
@MlwatiCharles
@MlwatiCharles Ай бұрын
Kimbia kwa Mzee saidi chap
@NchundeTzofficial
@NchundeTzofficial Ай бұрын
Miraji Congratulations
@LinusSirayo
@LinusSirayo Ай бұрын
Apooo miraji nimemuelewaa igaa ufeee kumi
@Jadenmarley-nx2wi
@Jadenmarley-nx2wi Ай бұрын
Tunamtaka mzee said
@AhmedMaalim-e2o
@AhmedMaalim-e2o Ай бұрын
Miraji mimi nishabiki yako wakaribu kufatilia interview zako lakini unapo chambuwa game za yanga unamaliza Kila kitu Lakin simba humalizi kwamfano dube alichezewa foul na last defender ilitoka yellow card lakini hii hamuku chambuwa
@saidsalum6101
@saidsalum6101 Ай бұрын
Miraji umeongea kwenye kadi nyekundu upo sawa kabisa ila na azam wangetaka kuendelea kupata magori wangepata tu maana kipa wayanga alikuwa anatoka mpaka katikati
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 Ай бұрын
Kipa wa yanga hta aende upande wa azam kama hakuna mfungaji hakuna tu mana diara sio mara ya kwanza kutoka
@Tashmaorg
@Tashmaorg Ай бұрын
Gamba uses kwamzee said
@Leeobite
@Leeobite Ай бұрын
CHAGAMBA KACHUKUE PESA YAKO TSH.50000 KWA MZEE SAID
@kakore_jr
@kakore_jr Ай бұрын
YANGA KIPINDI CHA KWANZA SHUTI ON TARGET 000000000000000000000😂😂😂😂😂
@PedadMiyombo-pc8gc
@PedadMiyombo-pc8gc Ай бұрын
Ila Azam Kaya kanyaga viongozi wa yanga awapend fedhea atajutia alucho kifanya
@ahmedalsaadi7108
@ahmedalsaadi7108 Ай бұрын
Kabisa
@hellensamwel6708
@hellensamwel6708 Ай бұрын
mjielewi nyie kufungwa si kawaida jmn
@Mumlion2624
@Mumlion2624 Ай бұрын
We nae kalale huko
@laninjeje8290
@laninjeje8290 Ай бұрын
Miraji shoga Kama shoga wengine tu, alisema yanga hakuna timu ya kuifunga hapa Tanzania
@laninjeje8290
@laninjeje8290 Ай бұрын
@McBaraka-tz hakuna kinachoniuma bali namfahamu vizuri miraji ni shoga Kama shoga wengine
@laninjeje8290
@laninjeje8290 Ай бұрын
@McBaraka-tz poa, nmekuelewa
@laninjeje8290
@laninjeje8290 Ай бұрын
@McBaraka-tz 👍👍
@joshuameshack3902
@joshuameshack3902 Ай бұрын
Ukweli ni kwamba yangu kiwango kimeshuka unamweka mzize nje unamweka dube dkk 60 zote
@SalimaRuku
@SalimaRuku Ай бұрын
kaka miraji we bonge la mchambuzi unaelewa sana nn mana ya mpira ww
@KayembaRashid
@KayembaRashid Ай бұрын
Wewemiraji. Unanjaa. Ndiyo. Sababumpira. Ufahamu. Njaa. Imekutawala
@EssanPius-l6i
@EssanPius-l6i Ай бұрын
Haina noma sisi ni people tutakutana 😢😢😢
@SevarinijrChitanda
@SevarinijrChitanda Ай бұрын
Nakubali🔥
@OmariAsumani-h3y
@OmariAsumani-h3y Ай бұрын
Gamond ahachane kwanza na dube kosakosa ni nyingi ajistamini
@masoudsaad7753
@masoudsaad7753 Ай бұрын
We Miraji unajuaje?? We,si wakawaida,kamaMASHAMBENGA wengine.
@joackimumalya7138
@joackimumalya7138 Ай бұрын
Arajiga jana alikua anaangalia meseji ya tigopesa kila mda akaona wanachelewa kuweka mzigo akamua yalio sahii Azam wakawini
@Feisali-e7f
@Feisali-e7f Ай бұрын
Mpumbavu wewe
@CikeTanzania
@CikeTanzania Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@Amne_ggg6
@Amne_ggg6 Ай бұрын
Kabisaaa Jana kawanyima penalty Azam live
@raphaelkyando1094
@raphaelkyando1094 Ай бұрын
Sema ukweli miraji uliisifia yanga kabla ,hata wewe imekukera
@AshaShariff-lr6ry
@AshaShariff-lr6ry Ай бұрын
Huyu naye miraji anajikomba sana naona sasa hivi kuna kitu anapewa anaboa ht kumsikiliza haiwezekani yanga hana kasoro jirekebishe la sivyo utapoteza mvuto haiwezekani timu zote hakuna wanachofanya eti timu zikiiga km azam zitafungwa nyingi? Na walikuwa hawajaruhusu kwa ubabaifu tu
@reinfridlipili5666
@reinfridlipili5666 Ай бұрын
Anajua mpira sio shabiki kama nyie hamjui lolote!
@ReylaSele
@ReylaSele Ай бұрын
Uyu anashobo pale yanga ana bwana kama mwenzie mchome Uyu sio simba kabisa alone kizungumzia simba
@ReylaSele
@ReylaSele Ай бұрын
Akomome kuizungumzia simba kwanza atumpendi mbwa uyu
@ernestkamata2555
@ernestkamata2555 Ай бұрын
Miraji chambuai uhalisia, Yanga ni wazuri ila imeshuka ukilinganisha na kipindi kilichopita siyo kwasababu ya kufungwa na Azam
@omarymwenebatu
@omarymwenebatu Ай бұрын
Jana mlisema mtaongelea kuusu faini za yanga mbo mmelisahau?
@VeronicaNyondo
@VeronicaNyondo Ай бұрын
Miraji na chagamba Mungu awajalie uzima mzidi kutupa vitu vizuriii
@yudaogonyi2383
@yudaogonyi2383 Ай бұрын
Walizidiwa acha uongo.. kwan walikaa nyuma mda mrefu si walkua wanatoka wanaenda mbele mbona walkua hawana madhara..
@TomasiklistophaMwinuka
@TomasiklistophaMwinuka Ай бұрын
Miraji nawewe saiz unaanza uchawa yanga mechi karbia tatu ilibidi wafungwe ila marefa wanawabeba, ongea ukwer acha nawe uchawa nlikuwa nkuelewa lakin saiz umeanza kupewa kidogo
@ReylaSele
@ReylaSele Ай бұрын
Wewe Miraji sio simba kabisa choko wewe
@salehwaziri5062
@salehwaziri5062 Ай бұрын
Siku ambayo Yanga naSimba watakapomilikiviwanjavyao Azam ndio atasahaulika kwenyesoka
@augustinokessy
@augustinokessy Ай бұрын
Mm simba lkn kwa ubora wa ynga ulivyo tucje tukaibeza kabsa maan ht jana kufungwa kwao hakun anae amini...
@burukinyebo6294
@burukinyebo6294 Ай бұрын
Dah Utopolo wamenunua vyombo vya habari vote pamoja na watu wao,..kikawida ukiwa mshabiki wa Simba kamwe hauwezi kuwasifia Utopolo pindi wanapofungwa, ndio vilevile ukiwa mshabiki wa Utopolo hauwezi kuwasifia Simba pindi wanapofungwa,...kwa hiyo huyu na Mzee Saidi wote Mamluki wanaotumiwa na Utopolo kwa ajili ya kuulinda Ugali wa GSM
@matiankomola2391
@matiankomola2391 Ай бұрын
Uonavyo wewe !😂
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 Ай бұрын
Ndo akili zenu miraji anasomea ukocha na ndo maana hna ushabiki mandazi
@FurahaShekivui
@FurahaShekivui Ай бұрын
Chagamba ukimaliza naenda kwamzee. Saidiy tuko. Wote
@omarymwenebatu
@omarymwenebatu Ай бұрын
Timu ikishafungwa na imeshapigwa kadi nyekundu nilazima wajitume hiyo nikawahida kwakilatimu mana ninakumbuka yanga walishawai kusawazishwa magoli yote na simba wakiwa pungufu.
@HaruniMkwizu
@HaruniMkwizu Ай бұрын
Huyu jamaa musa
@Mamunabeel-hh9kb
@Mamunabeel-hh9kb Ай бұрын
𝚓𝚊𝚖𝚗 𝚖𝚒𝚛𝚊𝚓 𝚖𝚒𝚛𝚊𝚓
@MeshackMeshack-bn6yp
@MeshackMeshack-bn6yp Ай бұрын
Milaji upo juu kimpila kaka
@jumasuleiman1629
@jumasuleiman1629 Ай бұрын
Timu iliyoweka record ya kuruhusu goli kila mechi halafu yanakataliwa jana imeweka record mpya imefungwa goli limekubaliwa. Ni record mpya kwa YANGA msimu huu
@mohamedabdul9895
@mohamedabdul9895 Ай бұрын
Miraji anakicheko cha kinafki yani anaongea huku anacheka chini chini
@ShukuruMakoko
@ShukuruMakoko Ай бұрын
Yanga bila manuva hamnakitu
@AbisinaRashidi-c8d
@AbisinaRashidi-c8d Ай бұрын
Azam hawana habali za kichawi yule ni nyuma mwiko hatimae wameliwa kiboga na kutolewa bikra Yao nyuma hakuna kitu
@LilianBitwale
@LilianBitwale Ай бұрын
Acha ufara
@maalimzingizi4221
@maalimzingizi4221 Ай бұрын
Kuma we 😂😂😂
@Saidindenya
@Saidindenya Ай бұрын
Ili huyu jamaa na mzee SAIDI wasipoteze ukweli wao wasipewe kituo chochote kile Cha radio au tv watakutana na wanazi wakapoteza ukweli wa kuuchambua mpira
@samsonmkumbo4793
@samsonmkumbo4793 Ай бұрын
Miraji mtafute mzee said ila mwambie mm Shabiki wa yanga na nishabiki yake pia ila Ile 50000 akupe to mm ciwezi changia maana ninamaumivu sanaa ya kufungwa
@AminaLibisa
@AminaLibisa Ай бұрын
Uyu miraji ni mshabiki pacha ana card mbili yanga na Simba ila kiualisia ni utopolo 🐸👈
@Erickdluhanga
@Erickdluhanga Ай бұрын
😂😂😂 kweli mti wenye matunda lazima upigwe Mawe
@AminaLibisa
@AminaLibisa Ай бұрын
Asomeki anayumba sana
@JosephJumbe-w6h
@JosephJumbe-w6h Ай бұрын
Miraji anaongea mpira siyo ushabiki anaposifia ubora wa Yanga ndo ukweli tukubali tukatae. Mechi ya Jana azam walipelekewa moto kipindi cha pili utadhani wao ndo walikuwa pungufu!!
@DIVINEPROMISE-c1n
@DIVINEPROMISE-c1n Ай бұрын
Miraji anajua mpira hua sio shabiki maandazi
@abdullatifkhamis3787
@abdullatifkhamis3787 Ай бұрын
Apate nafas ktk media uyu jmaa ya uchambuzi ana ktu
@SaidJumanne-j1e
@SaidJumanne-j1e Ай бұрын
Na wew hukujua kwanin azam hawakutaka tena kupishana tena na yanga ingawa walkuwa na uwezo huo kutokana na wao kuwa wengi ila kocha wa azam alirud kweny history mara nying utokea azam anatangulia yanga usawazisha na kuongeza na ndio hakutaka hilo lijirudie ni bora kulinda hiki kidigo alichonacho mkononi tuwe tunaelewa mbinu c eti yanga kapeleka moto azam angeamua kutawala angetawala
@JosephEmmanuel-eb7gj
@JosephEmmanuel-eb7gj Ай бұрын
Unadhani Azam walizidiwa,mbilnu za Azam waliamua kubadili Mfumo kipindi cha kwanza Azam ingekuwa clinical yanga walitakiwa 3 na bacca anachezag fouls lkn Marefa wanapeta hamtaki kukubali kwamba timu yako ineshuk kweny upachikaji wa magori pia katikati pamepwaya yanga inafikika san
@aminaomari2312
@aminaomari2312 Ай бұрын
​@@JosephEmmanuel-eb7gjbila red card yanga wasingefungwa kabisa acha kudanganya watu wote tumeangalia mpira.
@janejonathan9846
@janejonathan9846 Ай бұрын
Ila Miraji maramoja,mtu wa maana kabisa huwa hubase upande wowote
@HassanMfullu
@HassanMfullu Ай бұрын
Miraji wewe ni mshabiki wa simba ila unauchambua mpira kama unavyotakiwa bila mapenzi na moyo wako viko wapi.
Lissu Ataja UTAJIRI WAKE, Nchi YATETEMEKAAAAA!!!!!
17:15
SUPER TAMUTAMU
Рет қаралды 143 М.
Гениальное изобретение из обычного стаканчика!
00:31
Лютая физика | Олимпиадная физика
Рет қаралды 4,8 МЛН
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН
RAIS_WA_YANGA AKUBALI YAISHE!
3:58
MEDIA 12
Рет қаралды 12 М.
Гениальное изобретение из обычного стаканчика!
00:31
Лютая физика | Олимпиадная физика
Рет қаралды 4,8 МЛН