Hongera sana Baba Askofu.Naitwa Frt.Roberto Maholo Jimbo Katoliki la Njombe. Tunaomba maombezi yako katika safari ya wito wetu kwani tunaamini ndiyo silaha yenye nguvu zaidi katika kila gumu na furaha zetu.
@witnessmbaga25092 жыл бұрын
Nampenda sana askofu wetu MUNGU azidi kukulinda katika utume wake ❤️
@aichaabdul58447 жыл бұрын
Hongera sana Baba Askofu
@yuvencepatrice89564 жыл бұрын
Ee askofu wangu ulienipa sakrament ya kipaimara nakuombea baraka njema katika utume wako