►Instagram / stbongotv ►TikTok / stbongotv.tz ►Facebook / stbongotv ►Twitter / stbongotv ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder
Пікірлер: 19
@MohmmadAwadh-t2w Жыл бұрын
Jaman miso mmisondo uje mwanza tunakupenda sana 🥰🥰🥰
@michaelngalo1808 Жыл бұрын
Hongera sana Kijana Misso. Mungu aendekee kukubariki wewe na wenzako mfanikiwe zaidi
@mwanaidikingazi4222 Жыл бұрын
Halafu anajibu vz ❤❤
@nyerere1259 Жыл бұрын
Uyo mtangazaji wa shati la lite blue ana kitu atafika mbali inshallah, ingawa wote mko vzuriii sana
@NahiratyMachela Жыл бұрын
Yaan anajua kinoma anasaut flani ivi nilidhan nimeona Mimi t
@cocotz1892 Жыл бұрын
TRUE
@gibsonjosephat6352 Жыл бұрын
Exactly
@michaelngalo1808 Жыл бұрын
Hongereni sana nyie Watangazaji! Mko vizuri sana ! Mnatumia weledi na huyo kijana ameongea ukweli kuwa nidhamu, heshima na kutokataa tamaa ndizo siri za mafanikio mafanikio m
@FatimaBakari-n6n Жыл бұрын
Homeboy ❤
@RahmaYusufu-d2o Жыл бұрын
Mwenyez mungu..awatangulie kwenye xafari yenu ya mafanikio, ila usimsahau ukiodeti nae Sasa maana wanawake wengine ukidet nae utoboiii maishaa Wana nuksi Toka tumboni kwa mama zao kakaaa
@shamsahasan2748 Жыл бұрын
Watangazaji mpo vzr sanaaaa❤
@gibsonjosephat6352 Жыл бұрын
Misso njoo Kigoma Kidyama Beach tukiwashe.
@AbelAnastaz Жыл бұрын
Muhimu kupambna una talent
@bernaberna4159 Жыл бұрын
Umepigaje hapoo 😂😂❤❤❤
@MohmmadAwadh-t2w Жыл бұрын
Naitwa amina salum nipo Dubai nawapata vizuri sana
@ADAMMAFUNDE Жыл бұрын
Dogo tafuta Maisha kwanza Majimama watakupotezea Ndoto zako