BIG UP sana kwa wote mnao zidi kutupa Support yenu 💪 Leo sina usemi sana ila nipo kwaajili ya kujibu kila Comment yako MY FAN'S 📌📌
@SuzzaneNgassaКүн бұрын
Msewe maana yake nini???
@omaryhussein3814Күн бұрын
Mnazingua kutucheleweshea mzee😠
@International_AdminКүн бұрын
Karibu sana chado
@JamespandeiКүн бұрын
Kazi nzuri sana mnafanya ila hapo kwa kutaka kubaka Dem jeu
@HalfaniGogo-n3iКүн бұрын
Cheusi inakuwajee
@siddytv_onlineКүн бұрын
Ila Ngwengwe amekulia Kwenye Movie!! Nakumbuka Mwanzo Kalikua Kadogoooo
@HassanPyagulaКүн бұрын
Kwaiyo na ww upo uku🫢🫢
@RamaJames-d2dКүн бұрын
Wanao mkubali chado master gonga like ♥️♥️🎉
@FabianNtimbaКүн бұрын
Chado master tunaomba hii sirzi isiishe maana inatupa furaha sana sisi watazamazi respect kwenu washirika mlio shiriki hii chado master 🙏
@sophiamwalamiКүн бұрын
Duh😂😂 nyie watu kwani mna lalaga umu umu maana nimeitafuta mbaka basi nimetoka dakika 1 na ludi naikuta na watu mmesha jazana umu😂😂🙌
@clalencemtewa7425Күн бұрын
Safi sana chado getto si limezingua limetuumiza sasa sisi tunacheza na vitu vyote hadi vumbi tunafagia kabisa
@aminasheha62311 сағат бұрын
😂😂Chado unanikumbusha mbali Sana penz la msela oya weeee noma nakubali msela
@magdalenasylvester112Күн бұрын
Chado ni mtu makini sana unafanya vitu vikubwa sana ❤❤❤❤ tunategemea mengi kutoka kwako..... Ila natamani sana kumuona mdada mmoja hivi ni muigizaji makini sana anaitwa @magda performance yake ni kali na uwenda akaongeza ladha Fulani kwenye mission impossible💯💯❤️❤️❤️
@hanifahkhamiss8485Күн бұрын
Unaweza ukapanga lako yule akalipangua...mbele unapo angukia noma...mission impossible...mkubwa kampenda mtoto...mtoto nae changamoto mtoto hajafuzu loko mission impossible 😂😊😊😊
@orestabennyКүн бұрын
Mmmgh huyu apa anaitwa chado kwenye A. K. A yake anaitwa chado mastaa
@Naah-o2cКүн бұрын
Kidem jau nae analeta mazingzo,Video queen nae analeta maringo ngwengwe na mama ngwengwe wazee wa bingoo ,mzee wa misumar a.k.a aaaah Lahaulaaaah bongeee🤩🤩
@LilianMbugi-d2tКүн бұрын
Wajinga kweli nyie?😂😂
@Mwanasiti-r8gКүн бұрын
Nimeipenda😂😂😂
@ChristinaShayoКүн бұрын
Inaitwaje jamani hii nyimb
@patriciachangawa1754Күн бұрын
Hii yaleo chado atari sana🎉🎉🎉🎉mjomba pole😢😢ila dady na jojo na wapenda bure kimoja chali🤣🤣🤣🤣
@medo-x1b22 сағат бұрын
😂😂😂
@Hamisarashidi-k8rКүн бұрын
Wakwanzaa me Leo gonga like km unamkubali chado master 👍
@Djpochie10 сағат бұрын
Oyaaa wanangu kama unamkubali chado master kitengo na KAZI yake nzuri weka like❤❤❤❤
@sharifamasudi-b8uКүн бұрын
Nimefurah dady kutokea bila hivyo najma angepituwa shwaaa😂😂
@SalmaSamiryКүн бұрын
Kajojo nikama kana ugwadu vile 😂😂😂😂kafata utamu hadi nyumbani chado salute 🫡 👏 kwako ❤❤❤🎉🎉🎉
@gior-el8lvКүн бұрын
Jmn na me leo naomba like zang 😂🎉🎉 tunaomkubali najma na chado tujuane🎉🎉🎉😂
@FatmaMwintanga-h8nКүн бұрын
Xema mzee wa mixumali anapendeza Sana tngia awo n penzi jipya
@adehcuteoffciall3 сағат бұрын
Tatizo shughuli hana😂
@gseh9277Күн бұрын
Twende kazi kitu hcho on air ❤❤❤❤tunawapenda bhana hata mchelewe ila mtarusha tuu
@JuliusJembelayexu-dh5mm12 сағат бұрын
Jojooooo ama kweli mapenzi ni xiri mzeee wa mixumari kapendwaa jaman naombe like juu ya mixumari❤❤❤❤❤ upendo wako ni muhim
@faidhajumerКүн бұрын
Alhamdulillah Allah katukutanisha tena kwa siku nyingine ndani ya ep 32..Mungu aendelee kutubaliki na kutusameeh madhambi yetu inshallah..❤ *CHADO*😊
@RabiaSaid-sh1kmКүн бұрын
Ammin yarrabal ghalamin
@webnet5652Күн бұрын
Chado noma san😂😂😂
@ZuwenaIssa-y1iКүн бұрын
Ubongokids 15054
@Officialshabani9Күн бұрын
Ameen 🤲 🤲 🤲
@CynyAkothКүн бұрын
Big up Mzee wa msumari hapo umeweza, nawapenda Bure,cheusi Yuko wapi namis umbea wake,,alafu chado kazi ni nzuri na mungu azidi kkupa uwezo na hekima Kwa kazi Yako.
@AdijasaideMusmedeКүн бұрын
Mm wa mwixo aya nipen like zang za mwixo mwixo...chado masta Allah akubless kwenye kazi yako
@WilliamManyandaКүн бұрын
Jaman leo nimewahi na Mimi nawapenda wote tunaofatilia mission impossible
@naomibernard6400Күн бұрын
Wa kwanza toka kenya love you team chado🥰🥰🥰
@noellahmanenoКүн бұрын
Ila uncle 😂😂😂 umenichekesha sana ngoja ukutane na Kitengo🤣🤣🤣
@issaKighanga12 сағат бұрын
Jama ninoma nakwagizi anavyo toa macho anazid kunipa vibe🤣🤣🤣🤣🤣
@SaumuNyale-s6hКүн бұрын
Kidogo nishikwe n pressure mara boom 💥 ndio hiyo 😂😂😂😂 ...nipeni tena hizo like sasa
Kitenga naomba like zenu pamoja tunao angalia hii series 🎉🎉🎉
@StellaKimaro-y8uКүн бұрын
Kama unalipenda Penzi la mzee wa misumari na video queen🔥🔥🔥gonga like hapa❤️❤️❤️
@RahmadidKubo14 сағат бұрын
Hao ni Bi.nyundo na mzee wa misumari 😄
@adehcuteoffciall3 сағат бұрын
Tatizo misumar shughulia hana😂
@JacksonMgaya-x8vКүн бұрын
Movie nzuri sana Ila mtoage hata vipande viwili viwili mnatunyima Raha na kuchelewa kutoa ,,,big up chado chado masta
@chugaboy249Күн бұрын
😂😂😂Wabongo kweli hatuna shukrani yani Kuna wengine Wana achia kipande kwa wiki kimoja hapo 3 Ila haturithiki mimi naweza Sema tangu na fatilia movie Tz chado ndo Ana wahi kutoa movie tu wengine kwa wiki ni kimoja
@PendoSamweli-g6kКүн бұрын
Mwambie mama chado ndo anaeongoza kutoa movie kwa wakati🎉@@chugaboy249
@zahraali5113Күн бұрын
Kabisa shukurani ya punda matekee @@chugaboy249
@MaryanMaryam-lc1etКүн бұрын
@@chugaboy249 Umeonaee sio poa
@chugaboy249Күн бұрын
@@MaryanMaryam-lc1et kweli
@Justin-z1mКүн бұрын
😂😂😂😂 sema kuna watu magaidi jmn HV unatoa wapi nguvu za kuhamisha vitu kwenye chumba ambacho sio chako😂😂😂😂😂😂😂😂
@LettyLussiКүн бұрын
😂😂yn
@joharithabiti334Күн бұрын
Hiyo ndo alaiki😂😂
@hanifamwaroКүн бұрын
Nimependa hyoo
@preciousDeCuteСағат бұрын
Hiyo ndo I like you😆😆😆😆
@Ibrahim-f8pКүн бұрын
Chado Mungu aibarik kaz ya mikon yako❤❤
@RashidiAkalombaКүн бұрын
Ali dadi ni kaka bora sana hatakama ni muuni lakn na anasaidia sana mdogo wake hatakama hamuelewi
@kidstarking4056Күн бұрын
kimeumana sahv inavyozid kwenda mbele ndy inakuwa kali big up bro chado 🎉
@GivenKogan-j5zКүн бұрын
Mapenzi yanauma sana jamani selewi mwisho wa najima na chado🙉🙉 wanaopenda penzi la najima na chado liendeee gonga like apa👌👌👌👍👍👍👍
@SabinaMwampambaКүн бұрын
Yaan ngwengwe na chado akili zao zinafanana hatar
@irenebenbellaКүн бұрын
Tok mzee wamisumari apate penz jipy anapendeza Atari
@Wyckliffe-hy3nbКүн бұрын
Mambo
@FadhiliMcholy-d1gКүн бұрын
Umbea to kuoga aaah 😂😂😂😂😂
@HassanNdimubaziКүн бұрын
Wa kwanza mimi leo munipe like zenu Hassan from goma
@Fatmamakame-q5wКүн бұрын
Me nataka kwenda nyumbani 😂😂😂😂 swaumu wewe unabalaa mtoto 😂😂😊😊❤🎉🎉
@fatihamwandotoКүн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@SaumRamadhan-k2vКүн бұрын
😂
@mouna6920Күн бұрын
Wenye mlikua mnaamin kma kidem jau hangebakwa na manyonga ju ya kaka dady weka like tukisonga ❤❤team chado pamoja sanaa
@AshuraIsimailКүн бұрын
Sas umeandik nn apo
@mouna6920Күн бұрын
Wewe umesoma nn labda@@AshuraIsimail
@nuwairatolage6194Күн бұрын
😂😂@@AshuraIsimail
@ceshleyshahad1123Күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂sasa ndo nn hikiii😂😂😂aaaaa
@mouna6920Күн бұрын
@@ceshleyshahad1123 ajabu 😄 🤣 😂 😆
@KenesVungwa-q4fКүн бұрын
loh dg ngwengwe kiboko sana nakukubal sana mdg wetu.
@ChikuNyaulingo-j1mКүн бұрын
Tuliomuona rafiki Ake najma kipindi anaona mwenzio anataka kubakwa ety nataka kwenda nyumbani Kama clam 😊😊😊😊😂😂😂😂😂 dady NAE kamsindikiza na misumari 😅😅😅😅
@saidissa4741Күн бұрын
Haha nakwmbia bdo kusema nataka ubwabwa na maharage
@RosemaryJohn-m7mКүн бұрын
Tumekuchoka najima na Dela lako la Kila sk kwani hauna nguo za kubadili umetoka kulala ni lasi hata kuoga hamna dh we mchaf kweli
@RehemaMuhodeКүн бұрын
Ivyo ushawai kuvulugwa??? huo muda wa kuoga unapata wapi najima kavulugwa.......
@Jamila_1996Күн бұрын
Stress na kuoga wapi na wapi? Una stress nguvu ya kuoga unaipata wapi
@LettyLussiКүн бұрын
Yan mh at Kama Ni uswahilin lkn najm kiboko😂
@HadijaMuhamed-n4kКүн бұрын
Watu mpo chapu kila nikisema niwe wa kwanza Na kuta mshapita Na brand mpo vizuri lakini
@nurusaid4698Күн бұрын
Sijawahi Commenti Moves Zote Ila Huuu Apana Kwa Kweli Nimeshidwa Kujizuia Uyu Bba Na Mtto Wake Kweli Wauniii Namaanisha Chado Na Gwengeweeeeeeeee Kwelii Wauniiiii😂😂😂😂😂😂
@MosesiPasikaliКүн бұрын
mh leo nimekuwa wakwanza daah asante mungu
@muktarahmed-lc8vdКүн бұрын
Umekua wa kwanza kunishinda
@JahidaRashidКүн бұрын
Ngwengwe na chado mnanifulaisha kwakweli mnavo amisha ivo vitu 😂😂😂
@LeilaMussa-d2v5 сағат бұрын
Mjomba mdomo kwishaa
@mussahosseni8229Күн бұрын
Ila mishion imposible ni noma hii naipa namba 1 kwa bongo move
@ShamsaKalim-tv4jmКүн бұрын
Masikio yamekutanuka kama msikiliza azana za alfajir 😂😂ila emma 🙌😂
@LettyLussiКүн бұрын
😂😂
@Fathmaabubakar-q2cКүн бұрын
😂😂😂😂ima ww 😂😂😂eti za kumeza kanywqa za kunywaa amezitema 😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤ ima jomba nakupenda bureee unanikoshaaa
@PauloJohn-w6g37 минут бұрын
Kisogo ka komwe komwe Kam kisogo Mdogo mdogo Kam nyimbo y daimond huyu mjomba huyu nomaaaa
@CarolMurikiКүн бұрын
Daddy Mzee WA misumari bomoa uyo dada sasa kakupa chance,from Kenya tuko Dani kma kasongo😂
@NeemaBaya-e3dКүн бұрын
Kasongo tutaiimbq leo abomoe yeye😅😅😅
@samehezaburi3 сағат бұрын
Achenitu jamani mapenzi yanauma xatal omba ya xikukute
@Jamila_1996Күн бұрын
Yan najma akili hana kabs,kakake anabananishwa ye katulia tu badala achukue hata mwiko
@TimaBofuloКүн бұрын
Nawapenda wote wenywe hii move naomben like y chado masta leo kutoka 🇰🇪
@VicentJonh-b7oКүн бұрын
Tumshukuru mungu kwakutujaaliya uhai na pumzi gonga like hapa🎉🎉🎉🎉 wapi chado masta
@AzizakhamissGori-l2e2 сағат бұрын
Huyu ndo chado mast na ngwengwe mast ninao wajua mem sasa km unamin ivo gonga hap twend saw❤❤🎉
@Sashatravis254Күн бұрын
Ngwengwe:wee nan anakueza kwa mdomo Mjomba: marehemu baba yako😂😂😂
@MILCAHWasongaКүн бұрын
Nimecheka mm jmn
@Sashatravis254Күн бұрын
@MILCAHWasonga 😂😂😂
@MILCAHWasongaКүн бұрын
@Sashatravis254 ni hatari ii movie
@Sashatravis254Күн бұрын
@@MILCAHWasonga sana
@KeisaaSalum17 сағат бұрын
😂😂
@khalifaseif795810 сағат бұрын
Chado lipije mpk uliuwe litoke kwenye hii movi anaichafuwa
@JustineAlex-b3uКүн бұрын
Nakubali deleva mwenyewe kitengo😂😂 deleva wa taifa
@JesloveOfficial-t6l3 сағат бұрын
Big up sana chado kila jambo unaliwezea 🎉
@HoHo-l1rКүн бұрын
Ngwengwe mjomba analilia pesa ndio mana kachaluka kama katiwa pilipili 😂😂😂😂 🤣🙌🙌🙌🙌 big up kwenu mloshiriki kwanye hii movie ❤❤❤
@Marry-u8mКүн бұрын
Hapa mpaka kieleweke kabsa ❤❤❤🎉🎉tuna wapeda sana kutoka 🇰🇪
@HassaniNgomboКүн бұрын
Oya chado Kaka we mtu na nusu ❤❤❤
@LilaAl-b3x3 сағат бұрын
Chado baba hongera zako mamboyako n 🔥😂
@Naah-o2cКүн бұрын
Ila Allydady😂😂😂maneno kibao kupigana aaah😂😂😂 ila wezi
@AgnessBageniКүн бұрын
Mjomba anambwembwe😂😂😂😂😂😂
@mussahozaКүн бұрын
huyu dokta kumbuka wa mission impossible ananifurahisha kwel nikimuonaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@MunahHassan-v1yКүн бұрын
Napenda sana movie yenu kutoka USA Nawafatilia mno timu nzima ya mission impossible 🎉 TANZANIA OYEEE 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@OfficialMaxKingКүн бұрын
Big up bro 💪❤ Kama unamkubali Chado Masta Gonga like hapa ❤❤
@Naah-o2cКүн бұрын
Ila mjomba wa uchumi umeyumba anafurahisha😂😂😂
@gabu_8Күн бұрын
Huyo mayonga maproso simpendi mm😂😂
@SharletEllyКүн бұрын
Ata haunifiki kakangu
@CynyAkothКүн бұрын
ana roho mbaya
@LuciaTarimoКүн бұрын
Kama mkaanga sumu @@CynyAkoth
@gabu_8Күн бұрын
@@CynyAkoth 𝐁𝐚𝐧𝐚 𝐚𝐧𝐚𝐫𝐨𝐡𝐨 𝐦𝐛𝐚𝐲𝐚 𝐬𝐚𝐧𝐚𝐚
@NeemaBaya-e3dКүн бұрын
Manyonga manini😅😅
@ChristianMdeeКүн бұрын
Manyonga maprosoo hapindi hacheki na wowoteee😂😂 sheria haipingwi❤
@CharlesCharles-ri8rdКүн бұрын
Dogo gwegwe umenifurahisha chado yupo kwenye kilikuu anavuta na sigara😂😂😂😂😂
@clalencemtewa7425Күн бұрын
Ila dady umezingua sana ila jitaidi uweze kupiga mashine acha kutuzaurisha sisi wenye ndevu kapege mashine mapaka aelewe mtoto
@AlexSokoni-n3kКүн бұрын
Jaman kipande kijacho mjomba ngwengwe apewe muda mrefu , mi I like mjomba ngwengwe
@willyobiike5500Күн бұрын
MTUPOSTIE HUU WIMBO WA NAANGAIKAA,, MTUTUMIE JAMANI
@fatumajuma9388Күн бұрын
Wa kwnza kutoka kenya 🇰🇪🇰🇪
@FatumaSalimu-f1t13 сағат бұрын
Kazi ni nzuri kama unamkubali chado master gong like Moja apo maan mission impossible ndy unyama
@Fatmahassan-m9eКүн бұрын
jamn mim leo wakwanz mwenyw nipeni tuu hizo like zangu jmn msininyimee😢
@HalimaKimbyewele2 сағат бұрын
Wawoooo
@HalimaKimbyewele2 сағат бұрын
Naommb like zen anae mkubal zen
@JasminMuhqКүн бұрын
Sasa chado kachukua vitu vya nini mambo ya kisenge kwan huyo almleta ndo alimtomba najima😏😏😏😏