Mitaa ya kati (Bila Sanaa) - Immam Abbas Ft Juma Nature

  Рет қаралды 99,351

Bongo HipHop

Bongo HipHop

Күн бұрын

Пікірлер: 104
@imanimwasongwe5458
@imanimwasongwe5458 3 жыл бұрын
Zama hizi ni ngumu mno kutokea ngoma kali ya hip hop kama hii. Ninamiss sana ngoma kali za hivi mpaka naishia kusikiliza ngoma za zamani.
@mohamednassor1891
@mohamednassor1891 4 жыл бұрын
Beats za majani bwana sijui jamaa alikua anafkiria nini mpaka kuweza kugonga beats kali kama hizi big up kwako majani🔥🔥🔥🔥
@amanimshana8979
@amanimshana8979 3 жыл бұрын
Jamaa kwa mtoni angekuwa billionaire yani ila bongo system mbovu katika kila kitu
@simonrusigwa3024
@simonrusigwa3024 Жыл бұрын
Fikiria kama asingekuwepo duniani kipindi hicho. Ingekuweje? Dah
@Gravock254.
@Gravock254. 6 ай бұрын
makofi Kwa majani yaani anatikisa ulimwengu wa hip hop 🔥
@shaurimtanda8285
@shaurimtanda8285 6 ай бұрын
kabla kajala hajazingua
@christianmichael5331
@christianmichael5331 4 жыл бұрын
Juma kama Juma yaani namaanisha Juma Nature sauti hiyo Baba Daaah umepiga sana kazi mzeiya
@blackblue9729
@blackblue9729 Жыл бұрын
23 years ago but still living much respect to Immam Abbas 🔥🔥🔥👑🤝
@joshuamuro9494
@joshuamuro9494 Жыл бұрын
This kind of vibe give me strong way back memories, Sept 2023 it's still Rocking 🔥🔥🔥🔥
@abubakarishariff8489
@abubakarishariff8489 5 ай бұрын
Uniambie kitu kuhusu ili pini imam abas Ngoma kama akuna mtu anaweza fanya bongo imetulia katika kila kitu
@hamisimkongo1543
@hamisimkongo1543 3 ай бұрын
NOma sana hii Ngoma iko kwenye top 5 zangu za muda wote za Rap Tanzania
@ericklyaruu6109
@ericklyaruu6109 3 жыл бұрын
Bwana hii beat ni kisanga💯💯💯
@edwardmushi4183
@edwardmushi4183 2 жыл бұрын
Huyo ndio majani p funk kwenye balaa lake
@RahimhalmasRahimhalmas
@RahimhalmasRahimhalmas 4 ай бұрын
Penda sana nature,diamond kwangu hapana simuelewi kwakweli
@faundimustapha7489
@faundimustapha7489 Жыл бұрын
Hawa watu wanajua 100 %
@homeboybeyondtheborders4935
@homeboybeyondtheborders4935 2 жыл бұрын
Bila sanaa will stay forever young again 2022
@kabezijoshua5413
@kabezijoshua5413 11 ай бұрын
Hiyo korasi sasa daaaaahhhhh
@georgesajiro1402
@georgesajiro1402 4 жыл бұрын
Bila sanaa,ningekua mkabaj mitaayakati... Umefia wapi Mzee, lud tumikumis imamu abasi banaa
@msongoleherbert983
@msongoleherbert983 3 жыл бұрын
When da music was at it's own home!! Salute
@kenybenjiz7850
@kenybenjiz7850 3 жыл бұрын
Hii ngoma ilitakiwa iwe na views hata 1bln moja ya ngoma inayoishi
@christianmichael5331
@christianmichael5331 4 жыл бұрын
Neno Mitaa ya kati hapo ndipo likakaa midomoni kwa vijana "Oi wapi hiyo.....Mitaa ya kati hapo" Respect Production nzuuri kutoka Bongo Record chini ya P funk Majani
@eggesilo8070
@eggesilo8070 5 жыл бұрын
Bonge ra beat bonge ra chorus bonge ra verse
@kbmhd
@kbmhd 3 жыл бұрын
Hiyo nyimbo haina chorus hiyo inaitwa hooks
@ESTONIATV
@ESTONIATV 4 ай бұрын
Naam
@georgesajiro1402
@georgesajiro1402 4 жыл бұрын
Ivi huumuziki utakuja kuludi kweli, miiningeomba hawa wasanii waanzishe ata kampeni ya kuutetea muzikiwao ili tusisikie nyimbo zahovyo
@rajabuseifr2065
@rajabuseifr2065 3 жыл бұрын
Ni ngumu sana hii vitu kurudi,wanaoelewa kuwa huu ndio ulikua muziki ni wachache sana kama vile mm na ww!
@deusdeditswebe8930
@deusdeditswebe8930 3 жыл бұрын
Sidhanii kama utarejea.... Huu mziki wa kiwango hiki
@maximilianjohn5694
@maximilianjohn5694 3 жыл бұрын
Sawa
@epimackoscar25
@epimackoscar25 3 жыл бұрын
Tisini kurudi nyuma ndio tuna kiu Sana na nyimbo hizi sio watoto wa elfu 2 awaelewi kitu ndio wenye miziki ya ovyo
@yogaatypeshulichindikayoha2270
@yogaatypeshulichindikayoha2270 27 күн бұрын
Hautakuja kurudi na hakuna msanii atakaeweza kuja kufanya kama hivi.
@generalmwegama3384
@generalmwegama3384 5 жыл бұрын
Nimekuja apa baada ya kumsikia jamaa kwenye interview ya Blue chin ya lilly ommy
@brahmsbabaa6411
@brahmsbabaa6411 4 жыл бұрын
Tupo wengi 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@jirac1456
@jirac1456 4 жыл бұрын
Twamsikiza hadi Mombasa.
@amanimshana8979
@amanimshana8979 3 жыл бұрын
Pure talent no kiki!
@tumainimatandala1847
@tumainimatandala1847 3 жыл бұрын
Incredible rapper ever happen in this HIP HOP music in our Country . Thank you Abbasi
@frankmuyoba5807
@frankmuyoba5807 6 ай бұрын
nikisikiliza nyimbo hi moyo wasuzika wale wezangu nami gonga 💪
@abdulmwengo8827
@abdulmwengo8827 2 жыл бұрын
Bongo Hip Hop at it's very Best. Salute to Sir Nature and Majani. Too much contents on Verses Respect Imam Abbas
@sebastianmwita9149
@sebastianmwita9149 10 ай бұрын
True dats, i salute Sir nature
@abubakarishariff8489
@abubakarishariff8489 6 ай бұрын
Ni uwandishi mkubwa Sana kwa wanaokuwa hip hop wataelewa
@kibasamohamedi8029
@kibasamohamedi8029 2 жыл бұрын
Imam Abbas ulikuwa unatoaga Sana enzi ,ako
@nelsonmilinga331
@nelsonmilinga331 4 жыл бұрын
Sir Juma Nature... respect brother
@omarymakungu1520
@omarymakungu1520 4 жыл бұрын
Juma nature... legend
@shabanrufumbo3701
@shabanrufumbo3701 2 жыл бұрын
huyu ndioo alikuwa juma nature chorus hapana.... hiki kipaji jmn! respect sir nature Bonge la Ngoma kutoka bongo record ...Majani pfunk hakika uliutendea haki mziki wa bongo Flava.
@XylaxTz
@XylaxTz Ай бұрын
Unyamaa 💥💥💥💥
@hamzaadrin941
@hamzaadrin941 4 жыл бұрын
Bila sanaa ningekua mkabaji mitaa ya kati Bila sanaa ningekua mtaja mitaa ya kati
@ozzyrichi
@ozzyrichi 3 жыл бұрын
Listen 🎧 till now 💪🏽🇹🇿
@yvesyveldinhomzee.5682
@yvesyveldinhomzee.5682 Ай бұрын
Legend
@adamjackson7269
@adamjackson7269 2 жыл бұрын
Naikubali Sana hii truck inspection Sana kuusu life ya street dah asee nibonge la truck Nature hajawahi poteza kuusu vitikio mbambie tu atafanya na akifanya hakosei nawakubali Sana wanangu wanguvu
@happyapolynal1475
@happyapolynal1475 4 жыл бұрын
Mkali wa mitaa.... Abbas
@Pahalintu
@Pahalintu 5 жыл бұрын
Nice 🤩
@adinanitimandembo276
@adinanitimandembo276 5 жыл бұрын
Kama ww umeletwa Apo na nyandu tozy gonga dole tujuane
@hamisiussiku1151
@hamisiussiku1151 3 жыл бұрын
TIA moja
@kabezijoshua5413
@kabezijoshua5413 11 ай бұрын
Sasa hivi wana hiphop wana chambana😅😅😅😅
@frankkajoba8372
@frankkajoba8372 28 күн бұрын
hili goma si mchezo😂
@youngdula5409
@youngdula5409 4 ай бұрын
hip hop kama hip hop ♥️ 2024
@jessekusipa7325
@jessekusipa7325 3 жыл бұрын
Bonge moja ya beat+ngoma
@kilianraymond1862
@kilianraymond1862 Жыл бұрын
hatari sana,real hip hop aisee,kiblaaaaa
@DonSompo
@DonSompo 4 жыл бұрын
HoT Rap!!!.. HoT Rapper!
@tulisanga2023
@tulisanga2023 3 жыл бұрын
Kipindi ik nilikuwa naishi mabibo daaah nakumbuka mbali saana
@richardkirongo4835
@richardkirongo4835 2 жыл бұрын
Nasikia sauti kwa mbali kama ya Balozi hivi, dah 2022 kitu bado kina dunda ....
@kindulijumanne7632
@kindulijumanne7632 4 ай бұрын
It was Fan Imam kama hayupo vile
@mabudaissere2295
@mabudaissere2295 4 жыл бұрын
Jamaa siku hz swala tano
@shaibuosman7579
@shaibuosman7579 4 жыл бұрын
Yuko wap?
@shedrackelkana6108
@shedrackelkana6108 4 жыл бұрын
Nimeletwa na Nyandu Tozzy
@jandaboytzz2755
@jandaboytzz2755 3 жыл бұрын
Namimi
@festohaule1499
@festohaule1499 2 жыл бұрын
Majani alikua ananyonga beat za kuchana kina 50 cent daah noma sana kama drdre
@buruanisaidi2411
@buruanisaidi2411 Жыл бұрын
Hili goma ni historical 2023
@deusdeditswebe8930
@deusdeditswebe8930 3 жыл бұрын
Bila sanaa... 👍👍👍👍👍👍👍
@sixbertbudodi
@sixbertbudodi 2 жыл бұрын
Emmam Abbas 🔥🔥🔥
@mudmudmkeche5662
@mudmudmkeche5662 5 жыл бұрын
Imamu Abass
@tomitohumphrey9630
@tomitohumphrey9630 5 жыл бұрын
Kiongozi wa mitaa ya kati
@cosmaskamwela4921
@cosmaskamwela4921 3 жыл бұрын
Aisee respect hip-hop 💪💪💪
@chachasagara1985
@chachasagara1985 3 жыл бұрын
#Bila Sana! Bongomotoni. #Mitaayakati
@EliasKilalwe
@EliasKilalwe 9 ай бұрын
Hii bit Ni hatari sana,kiitikio nature Amelia sana
@zuhrasulyman5701
@zuhrasulyman5701 5 жыл бұрын
kitambo hiko
@Pedeshee01
@Pedeshee01 3 жыл бұрын
Hata wewe ulikuwa mitaa ya kati?
@johnsovela9061
@johnsovela9061 3 жыл бұрын
Mitaa ya kati kama Imamu Abbas
@ikungasyamwakitalu6540
@ikungasyamwakitalu6540 Жыл бұрын
Bendera ya bati
@alizonatheostell5999
@alizonatheostell5999 Жыл бұрын
"ni kipofu ata ukivaa miwani"
@lupakisyosteven
@lupakisyosteven Жыл бұрын
The hip hop! pls man tustue
@SuddyElite-pq5ur
@SuddyElite-pq5ur 9 ай бұрын
Taifa la leo la majambazi wa kesho
@momanyisamwel1591
@momanyisamwel1591 2 жыл бұрын
Kitu moto @abbas imaam
@cosmaskamwela4921
@cosmaskamwela4921 3 жыл бұрын
Best tz hip hop song
@kaijagekironde
@kaijagekironde 2 жыл бұрын
2022 bado nasikiliza pini za zamani
@nuhuking
@nuhuking Жыл бұрын
Lyrics please
@davidmwampagama8339
@davidmwampagama8339 4 жыл бұрын
🇹🇿❤️
@kitwampuya9271
@kitwampuya9271 2 жыл бұрын
Classic Bongo Hiphop my era
@SaidMaurid
@SaidMaurid 4 ай бұрын
Abasi.ludibwana.nimekumisi.r.ip.kakayangu.aliupendauwimbi
@Mo_Blaze
@Mo_Blaze 2 жыл бұрын
Hizi back vocals naskia kama sauti ya Baloz Dolla Soul.
@ikungasyamwakitalu6540
@ikungasyamwakitalu6540 2 жыл бұрын
Bendera ya bati
@leonardsijila3356
@leonardsijila3356 4 жыл бұрын
Sana 2.
@emmanuelsimon3456
@emmanuelsimon3456 Жыл бұрын
Bila sanaa
@ahmedmambosasa4443
@ahmedmambosasa4443 2 жыл бұрын
Imamu abass
@eddiemohamed9003
@eddiemohamed9003 8 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@ramseymsoke7643
@ramseymsoke7643 Жыл бұрын
2023 go with me for one like
@WilsonSamson-r1t
@WilsonSamson-r1t 7 ай бұрын
2024 🔥
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 6 ай бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌.
@mbarakasaidi8243
@mbarakasaidi8243 3 жыл бұрын
noma sana
@efronaaron6772
@efronaaron6772 Жыл бұрын
Bongo Records
@verdianrweyemamu6367
@verdianrweyemamu6367 2 жыл бұрын
old skulz✍️✍️
@verdianrweyemamu6367
@verdianrweyemamu6367 2 жыл бұрын
nice
@ayubuayubu2811
@ayubuayubu2811 Жыл бұрын
Shika madil pig misele
Gwear ft juma nature & KR-msela audio
3:56
Jerome INK
Рет қаралды 72 М.
Family Love #funny #sigma
00:16
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 3,4 МЛН
"كان عليّ أكل بقايا الطعام قبل هذا اليوم 🥹"
00:40
Holly Wolly Bow Arabic
Рет қаралды 15 МЛН
버블티로 부자 구별하는법4
00:11
진영민yeongmin
Рет қаралды 26 МЛН
Inaniuma sana - Juma nature (HQ audio)
8:02
Mellody
Рет қаралды 3,1 М.
Juma Nature - Mtoto Iddi (Visualizer)
5:00
Bongo Records Ltd
Рет қаралды 138 М.
ocg   aquelina
3:51
Mapito Online Tv
Рет қаралды 306 М.
Life ya Uswazi_Gangwe Mobb
3:50
Graphix Master
Рет қаралды 20 М.
Afande Sele  ft lameck ditto - Dunia ina Mambo
5:06
Afande Sele
Рет қаралды 10 М.
Fid Q Ft Matonya - Usinikubali Haraka (Official Audio)
4:04
AY Feat LADY JAY DEE- Machoni Kama Watu
4:20
AY Masta
Рет қаралды 133 М.
Juma Nature- Sonia
4:49
Swahili 360
Рет қаралды 2,5 М.
Professor Jay feat Ferooz - Nikusaidiaje (Official Video)
4:57
ProfessorJay
Рет қаралды 7 МЛН
Family Love #funny #sigma
00:16
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 3,4 МЛН