Nilianza kukufatilia kitambo Sana kaka elimu yako inanifanya niwe na furaha Sana ubalikiwe sanaaaaaa
@mussabaraka52212 жыл бұрын
sasa hivi uko vizuri ,speed ya kutoa video imeongezeka zamani tulikua tunasubili mpaka wiki mbili sasa hivi ni back to back🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 GOD BLESS YOU
@KenzoTembo2 ай бұрын
ubarikiwe San bro
@NgeMotV2 жыл бұрын
Kk joel Mungu amekufanya kuwa mafanikio ya watu wengi Sana mmojawapo ni mimi umefanyi ni move zaidi kimafanikio Asante Sana.
@willymwaitege23792 жыл бұрын
Aaah naamni kaka Joel nanauka ww n role model wang,nafanya mazoezi,kujifunza,kusoma vitabu vyako natak niwe kam ww naamni umenibadilixha maisha yang ahxantee sku tutaonana at the top by willy mwaitege
@jacklinewilliam35472 жыл бұрын
Na huyu ni aliekuwa mume wangu kabisaaaa aisee nilipinganganae mpaka ndoa ikaharibika kwa kusimama katika lweli barikiwa sana
@williamkilulu22222 жыл бұрын
Maisha marefu kwako kaka joel Maranyingi unanipa moyo waku move !!
@thania822 Жыл бұрын
Asante sn leo umenifanya kubadilisha mtazamo wangu ,mungu akupe maisha marefu
@leilalusekelo1532 жыл бұрын
Nime Barikiwa sana kwahili somo zuri kaka Joel Mungu akutunze vyema tuzidi kujifunza zaid
God bless You, endelea kutuelimisha kweli ituweke huru, tusije tukaangamia kwa kukosa maarifa. Hosae4:6 Yaani sina cha kukupa Mchungaji.
@pudensianachristopher62392 жыл бұрын
Nondo hizo kutoka kwenye kitabu chako ulichoandika kinaitwa money formula ✅✅ 👍
@shalua83372 жыл бұрын
Na sapraizi yako kaka mwezi ujao yatakua matokeo ya ulimu unapo tupa mungu atupe uhai
@SHAYOEDWARD2 жыл бұрын
Mr Joel hi number 2 imenigusa sana i have to change
@hassanihassani71542 жыл бұрын
Nivitabu nitatu vya joerl nanauka vimenifanya niishimaisha ambayo ckutegemea kwangu hatimae nayaona na nitaenderea kuyaboreash respect kaka
@mathewmartin44132 жыл бұрын
Barikiwe sana ndugu
@yusufuheri65242 жыл бұрын
Kwa hakika my brother video zako hazijawahi kunikinaisha kwasababu ni mwanga maishani mwangu
@silverboy30652 жыл бұрын
Motivation zako zinatupa speed katika kizazi iki endelea kutupa moyo vijana Maana kuna watu kiukweli wamekata tamaa katika aya maisha 🙏
@KasimFola Жыл бұрын
❤
@hassanihassani71542 жыл бұрын
Nakushaul mwenzangu nunua kitabu cha joerl nanauka kinaotwa zimiza malengo yko hakiika niufunguo wa maisha
@mussakhamis23772 жыл бұрын
Thank bro nauka nimejifunza mengi kutoka kwako na hasa katika kujali muda yaan saiv najali sn muda yote hayo nimejifunza kutoka kwako broo uko uzur
@stephen98562 жыл бұрын
Safi sana kaka mungu akubariki
@AlexJefwaАй бұрын
Asante xna .. coach Joel 🙏🙏🙏.. naendelea kujifunza
@johndevi21532 жыл бұрын
Joel nakukubali hakuna motivation speaker Hapa Tz Kama wewe nadhan E Africa nzima
@194summer2 жыл бұрын
Money formula ubarikiwe mteule
@samwelmollel6022 жыл бұрын
Nashukuru mwalim
@maliatabuerenesti66812 жыл бұрын
Uhakika unazidi gusa maisha yangu kwakiasi kikubwa sana Mungu azidi kukulinda zaidi
@sharonyclement94572 жыл бұрын
Safi sana Toka nianze kupambana na toboa sikuamini fikra kamaizo
@nathanvenancy80292 жыл бұрын
Sir Joel... You are seriously helping people who don't even know how to speak English. I have been sharing your KZbin video to my friends and family, who doesn't know the English language and you have been changing their lives. Keep doing an excellent work.
@joelnanauka2 жыл бұрын
Thank you so much, keep sharing 🙏🏼
@martinsanga64132 жыл бұрын
is true
@apolinarytheking2 жыл бұрын
Ashukuliwe Mungu sijawahi kuwa na mitazamo ya hivo,barikiwa
@mawesetzbyharosindustry2 жыл бұрын
Mungu akubark sana
@levinaernest43642 жыл бұрын
Asante kutuelimisha nakuelewa sana coach
@rehemadaudi5502 жыл бұрын
Una akili Sana na roho wa Mungu anakaa ndani yako
@joelnanauka2 жыл бұрын
Ameen 🙏🏼
@timothykengere25352 жыл бұрын
Shukran Ndugu Nanauka 📚📚📚📚🎙️......
@sophiaoscar8851 Жыл бұрын
Asante kwa kunitia moyo🙏
@nurdinjeylan882 жыл бұрын
Ahsante sana brother Jo nakukubali sana
@omarjuma17942 жыл бұрын
#JoelNanauka Jenius by Discovery
@constatinemtindi23862 жыл бұрын
Shukran sana brother kwa somo zuri nimejifunza kitu MUNGU akubariki
@zaituniluboge88972 жыл бұрын
Baraka za mungu zikumiminikie Siku zote
@mbaganileo41252 жыл бұрын
Nice work Mr Joel.....#see yu at the TOP
@eme_sax14982 жыл бұрын
Dah hili wazo la pesa ziko chache Duniani Nilikuwa nalo mimi asee. Umenisaidia sana kaka. 🔥🔥🔥🔥🙌🏽🙌🏽🙌🏽
@mariamally7909 Жыл бұрын
Jisi ya kujitabua kimaisha
@hellenmwangi5414 Жыл бұрын
Kaka hiki kitabu cha Money formula kuna namna Mungu alikufunulia maana huwa nakaa na kutafakari hivi ni mimi kweli ndio nimeacha yale matumizi ya ovyo,
@mohamedyusuph8902 жыл бұрын
Amin kuwa na mtazamo chanya
@yahyabinayoub9182 жыл бұрын
Nice bro nakuombea kwa Mungu akubariki ww na sisi pia
@joelfotunatus8562 жыл бұрын
Good adviser think you brother.
@chrismassawe2939 Жыл бұрын
Kweli Mwalimu Joel
@bensonbarnaba14312 жыл бұрын
Thanks again 💪
@christianmwasakogo55792 жыл бұрын
Thank you hon: brother Joel!!
@jonastito7572 жыл бұрын
Hongera sana motivation speak 🥰🥰
@benardjuniour7822 жыл бұрын
hapa kaka nanauka umenena. kuna watu wana full package ya kutoboa ila mitazamo yao ndo inawaua kinoma.
@johnmagubo42692 жыл бұрын
Asantee San kaka Joel tumebarikiwa San wengi tulikuwa hvyo kabla
@johnmagubo42692 жыл бұрын
Kitabu chako Cha money formula kimenisaidia San kufkia huru wangu wa kifedha
@danielmwita76812 жыл бұрын
l
@joelnanauka2 жыл бұрын
@@johnmagubo4269 Hongera sana sana
@iluminathalembeli50422 жыл бұрын
Ubarikiwe sana kaka kwa kutukomboa.
@rashidisaidi8535 Жыл бұрын
Dah safi kk
@mcchristmass76472 жыл бұрын
Nana uka for life
@abelzedon71602 жыл бұрын
Asante kwa ujumbe mzur..
@shakirally38992 жыл бұрын
My mentor
@mohammedrashid29062 жыл бұрын
Mali bila ya Daftari inapotea pila Habari
@ashaidd29122 жыл бұрын
Huwa unaongea point shukran sana
@kassimali14772 жыл бұрын
Amazing lectures 👌
@Kusekwadani2 жыл бұрын
Greatest
@hassanovajunior69722 жыл бұрын
Live long my brother Joel🙏
@elisharashid2552 жыл бұрын
Among of a Genius with high IQ @joel_nanauka ✨👏
@AlbanMuni3 ай бұрын
Thank you brother
@danielmatondo96342 жыл бұрын
@joel nanauka my all time life coach
@godfrey_892 жыл бұрын
Ni kweli kabisa...
@elimikatv2 жыл бұрын
Ndio coach somo zuri
@stamelistameli84612 жыл бұрын
Asante tupo pamoja
@ElimwemaMahoАй бұрын
Upatikanaji wake
@jawadujuma62972 жыл бұрын
NI nzuri
@kennedymwampote2152 жыл бұрын
Amina
@alvezog_38362 жыл бұрын
Tunakufatilia Ila vipi vipi una group la WhatsApp
@meckitidisliweta28112 жыл бұрын
Hiko kitabu kinapatikana kwa chakato upi brooo Kama mim nipo mkoani nakipate hiko
@mohammedrashid29062 жыл бұрын
Sichoki kukusikiliza
@sofiakimvula41682 жыл бұрын
Asante sana
@Mr.officer992 жыл бұрын
I'm your student, Mr 👍
@tumainirwela64882 жыл бұрын
Jamani haya mafundisho nimeanza kuyafuatilia yamenipa hatua kimtazamo. Naomba kufahamu naweza kupata wapi vitabu vyako?
@joelnanauka2 жыл бұрын
Karibu sana 0762 31 21 71 Bookshop utavipata
@haidhabushiri95582 жыл бұрын
Bei YA kitabu cha money formula?
@rajanestofficial42372 жыл бұрын
@joelnanauka asant Sana brooo
@legendykoy29452 жыл бұрын
Kaka, me tatizo langu yani ni mtu asiye ma choyo yani napenda kusaidia wengine kuliko mahitaji yangu mwenyewe maana nikifanya ndo najihisi mtu
@saumusanjiama699114 күн бұрын
Naam
@samwelmollel6022 жыл бұрын
Nikweli kabisa
@sharifuhemedy6952 жыл бұрын
Shukran sana bradha Ila ninaswal moja unawez kunusaidia?
@alfredkenz3802 жыл бұрын
Be blessed mr niko Dubai how do I get that ka book
@saidmkashari60022 жыл бұрын
Hello Je nifanye Nini Ili niweze kufahamu Kwa urahisi?
@lucaskilimentilp25532 жыл бұрын
🇹🇿🙏🙏🙏
@pauloropian23672 жыл бұрын
Good
@mwanatz59802 жыл бұрын
Asante
@ellygach65152 жыл бұрын
Kaka Joel samahani kitabu cha Money formula upande wa hardcopy nakipata kw bei gani
@joelnanauka2 жыл бұрын
7,000/- karibu 0762 31 21 71 (Bookshop)
@ellygach65152 жыл бұрын
@@joelnanauka sawa kaka shukran takrbia hapo
@annamallya87562 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@jonasmalungu39222 жыл бұрын
Thanks
@faudhiasalum72792 жыл бұрын
😍📝
@barakaelectronicsbpt15492 жыл бұрын
%100
@thania822 Жыл бұрын
Asante sn leo umenifanya kubadilisha mtazamo wangu ,mungu akupe maisha marefu