Рет қаралды 65,223
Wapo vijana waliochumbia mke kwa kuangalia sifa za ndani tu, wakashindwa kuangalia zile za nje. NB. Unapooa au kuolewa hauowi roho, bali unaoa mwili. Kwa hiyo ni vyema sana kwa vijana kuangalia sifa zote mbili za ndani na za nje.
Mchungaji na Mwalimu Mitimingi P. VHM 0713183939