Nazidi kupenda mafundisho yako mchungaji.MUNGU akubariki na azidi kukutia nguvu
@angelinaelishachisongela78595 жыл бұрын
Mimi naona MUNGU ATUHURUMIE
@jafaryjey5 жыл бұрын
@MITIMINGI Bila shaka kuoa mwanamke zaidi ya mmoja pale unapokuwa na uwezo wa kufanya hivyo sio dhambi kikubwa uwatendee haki wote na hilo ndio suruhisho pekee la dada zetu kutozeekea majumbani na kusema kuwa kuolewa ni bahati, kuolewa ni wajibu kwa kila mwanamke na sio bahati, Tatizo letu sisi tunashindwa kujiongeza Tumeng'angania mila na desturi za Magharibi na nyingine some times hazina mantiki yeyote kwa jamii yetu basi tu tumeziamini hadi tumepitiliza. Mungu aliyeumba wanawake wengi kuliko wanaume mnaona hana akili ama, wapi kwenye maandiko pameandikwa ole wake yule atakayeoa mwanamke zaidi ya mmoja? Bila shaka hamna ila utakuta tu imeandikwa mtakuwa mwili mmoja na ndio maana mmoja wenu akifariki inaruhusiwa kuolewa na mwingine au kuoa mwingine, tutumie akili some times sio kukaririshwa kila kitu. Miaka ya nyuma Babu zetu walikuwa wakioa mpaka wanawake zaidi ya 10 ulishasikia wanaume wengine wamekosa wake wa kuoa eti kisa mtu flani na flani kaoa wanawake 10 hivyo wamekuwa hadimu mtaani? Hawa viumbe wapo wengi sana na Mungu alijua mnyama yeyote mwenye jinsia ya kiume ni anapenda kuwa na majike kadhaa thats why akawaleta wengi, Kuna mtu yupo kwenye ndoa lakini ana michepuko kibao sasa hiyo inamaana gani je hiyo sio dhambi?
@dominicntobi54165 жыл бұрын
huu ndio ukweli
@jafaryjey5 жыл бұрын
Aisee kuna haja ya kufuata mila za mababu zetu kwamba mwanaume ukiwa na uwezo wa kuwatuza na kuwatimizia wanawake zaidi ya mmoja basi na awaoe haijarishi ni wakristo au waislam ili kumaliza tatizo la mabinti kuzeekea nyumbani...
@jafaryjey5 жыл бұрын
@Rahima S Bila shaka kuoa mwanamke zaidi ya mmoja pale unapokuwa na uwezo wa kufanya hivyo sio dhambi kikubwa uwatendee haki wote na hilo ndio suruhisho pekee la dada zetu kutozeekea majumbani na kusema kuwa kuolewa ni bahati, kuolewa ni wajibu kwa kila mwanamke, Tumeng'angania mila na desturi za Magharibi na nyingine some times hazina mantiki yeyote kwa jamii yetu. Mungu aliyeumba wanawake wengi kuliko wanaume mnaona hana akili ama, wapi kwenye maandiko pameandikwa ole wake yule atakayeoa mwanamke zaidi ya mmoja? Bila shaka utakuta tu imeandikwa mtakuwa mwili mmoja na ndio maana mmoja wenu akifariki inaruhusiwa kuolewa na mwingine au kuoa mwingine, tutumie akili some times sio kukaririshwa kila kitu. Miaka ya nyuma Babu zetu walikuwa wakioa mpaka wanawake zaidi ya 10 ulishasikia wanaume wengine wamekosa wake wa kuoa eti kisa mtu flani na flani kaoa wanawake 10 hivyo wamekuwa hadimu mtaani? Hawa viumbe wapo wengi sana na Mungu alijua mnyama yeyote mwenye jinsia ya kiume ni anapenda kuwa na majike kadhaa thats why akawaleta wengi, Kuna mtu yupo kwenye ndoa lakini ana michepuko kibao sasa hiyo inamaana gani je hiyo sio dhambi?