Morris mainda from kajuki parish watching and feeling blessed with these holy songs,Mary mother of God pray for us all and the whole world amen
@graceandrew39883 ай бұрын
❤❤❤blessed by these special songs..my stress reliever every time I listen to them..Ooh mother Mary you are the reason who I am today,you have never left me alone,you are the reason my kids are alive today,you prayed for me every second I needed your intercession...I am the true witness of your prayers to our Almighty father.. I still need you beside me in every step of my life. I still need you to protect my kids as I promised you since they were in my womb that they will forever remain faithful to you and to your beloved son,Jesus Christ.❤❤❤
@floridefeza47092 ай бұрын
Ee Bikira mwenye huruma uniombeye kwa mwana wako ili aweze kumponya magonjwa yote yenye kuwa kwa watu wote katika familliya yangu bila kumsahau mume wangu mwenye kuteseka sana na magonjwa ya miguu
@CeciliaMramba3 ай бұрын
Amen bikira Mama wa Mungu tufikishie sala zetu kwa Baba wa Mbingu.
@japhethrogasiano-hp3lj3 ай бұрын
Bikira MARIA MAMA yetu UTUOMBEE
@evelinevicent79092 ай бұрын
Ee mama bikra la maria utuombee wanao tunaopitia kaktka changamoto nyingi hapa duniani tufikishie sala na maombi yetu kwa mwanao yesu hakika wewe ni mama wa mfano kwetu katika kanisa katoriki tunakupenda tunakuheshimu mama yetu mpenzi🙏🏻🙏🏻
@floridefeza47092 ай бұрын
Ee bikira mama wa mwokozi na mkombozi wetu utuombeye mama mwema neema nyingi ili maombezi yetu imufikiye mwanao bila kukawiya
@brigithabernard3747Ай бұрын
❤
@lellogama14026 ай бұрын
Mama marria uilinde nchi yetu hasa 1:17 kipindi hiki tukiwa kwenye vita yaimani nahata naanchi zajiran zinazo teseka na machafuko yadunia
@kasindimawazondiba80836 ай бұрын
Maman mwema utuombeya watoto wangu wa shomeur wapate nazi maman uniombe nippone magojwa Niko nayo ya diabète n'a ya moyo
@catherinembaluto67096 ай бұрын
Am Catherine Mbaluto watching from Athiriver. Mtoto wa Mama Mlegio. Baraka tele kutoka kwa Mama
@ImaniKuu6 ай бұрын
Hongera sana sana sana.
@janemuli96925 ай бұрын
I love Marian songs Jane watching from ondia❤
@annieriziki41082 ай бұрын
Mama Maria utufikishe kwa yesu mukombozi amen
@rosekiwale83023 ай бұрын
Mama maria utuombee kwa Yesu kristu
@mercykaremi95593 ай бұрын
I trust in u my faithful mother,pray for our country Kenya, families and all the sick love my mum
@maryanmukene92936 ай бұрын
Mama yetu mwenye huruma tuombee sisi wanao. Yakumbuka mahitaji yangu uyafikishe kwa Kristu mwanao
@PatriciaMuingi5 ай бұрын
Mama maria zidi kuwa mwombezi wetu daima
@TinaAzama4 ай бұрын
Merci maman marie prié pour nous tes enfants ici dans les mondes plein de stress et d armertune et de tristesse intercede après de flis pour nous et pour nos famielle 🙏 🙏 🙏
@mkililaelias18776 ай бұрын
❤ I'm Dr Mkilila 🇹🇿 BVM SUA
@ImaniKuu6 ай бұрын
Congratulations. Please, subscribe our channel
@NadraNadia-ed1bj6 ай бұрын
Mama bikira maria tunaomba utuombee uko mbinguni kwa mwana wooo yesu kristu.
@ImaniKuu6 ай бұрын
Amina
@VicentKisese2 ай бұрын
Ave maria mama wa huruma utuombee.
@edwinarthuraguko87042 ай бұрын
The Holly mother of the Lord Jesus Christ 🙏
@juliuskinyua78127 ай бұрын
Am Julius kinyua whatching from meru,mlegio Maria.
@ImaniKuu7 ай бұрын
Thank you so much, be blessed
@mariagrace3507 ай бұрын
Well done,so inspiring
@mariagrace3507 ай бұрын
Mother Intercede for us . CATHOLICS ❤ SO MUCH BLESSED 🎉❤
@mariagrace3507 ай бұрын
SURELY WE HAVE A MOTHER, AVE MARIA,MOTHER OF JESUS AND OUR MOTHER🙏🙏🙏
Ee Mama Maria utuombee sisi wanao hasa katika kipindi hiki kigumu
@dolphineojiambo17642 ай бұрын
Mama maria bikira maria , have mercy on us and pray to our lord Jesus Christ to forgive our sins ,bless our kids and protect them for us , ooh Holy Mother of God i pray 🙏🏻
@perisluvumochonga55712 ай бұрын
Eeh Mama Maria uniombee, uniongezee imani, uwarudishe ambao wametoka inje ya imani kama mtoto wangu Heri, Upatie kazi watoto wangu Heri na Leonard
@mariagrace3507 ай бұрын
❤🎉🎉sure well done,we need SUPPORT FROM VIRGIN MARY,HER PRAYERS AND INTERCESSION
@ImaniKuu6 ай бұрын
Amen. Please, subscribe our channel.
@gidgejeginangu5 ай бұрын
Nyimbo tamu Sana zinabaraka tele
@anitakaviramatusela29043 ай бұрын
Ave Maria, maman wa neema utuombeye kwa mwanao yesu christ
@mariewilliams36627 ай бұрын
Ave Maria
@ImaniKuu6 ай бұрын
Amen. Please, subscribe our channel.
@benedictamwongera50613 ай бұрын
Tuombee Mama yetu Maria❤🎉
@sabinabusalama3 ай бұрын
Mawa wa wote utuombee
@japhethrogasiano-hp3lj25 күн бұрын
@@sabinabusalama Tumsifu yesu kristu
@catherinemapendo44973 ай бұрын
BIKIRA MARIA MAMA UTUOMBEE
@japhethrogasiano-hp3lj25 күн бұрын
@@catherinemapendo4497 Tumsifu yesu kristu mtumishi
@EmmanuelMakhanu-yu6gx6 ай бұрын
Bikiria marria mama wa mungu tuombea sisi wakosefu ssa ni saa y kukufa hamina
@ImaniKuu6 ай бұрын
Amina. Mungu akubariki sana.
@teresabonga-s3e4 ай бұрын
Iam Teresa Lee, from Angola , Im watching lovely songs. Mama Maria bless the world
@lucympanda3 ай бұрын
E mama maria naomba unifikishie maombi yangu kwa mwanao mpenzi sana
@VeronicaLucas-f1h3 ай бұрын
Mama usiye na doa, niongoze nipatate kaz niombe kwa yes mwanao
@biteraphyАй бұрын
Eeh Mama Maria utuombee
@RaimondKitumaini2 ай бұрын
Avec maria, prier pour nous maintenant et pour toujours.
@romeokahamire65823 ай бұрын
Mama maria uniombeye nipate maisha mazuri
@gregortherry60486 ай бұрын
Mama Maria! Mama wa wote!!!
@ImaniKuu6 ай бұрын
Hakika.
@NancyNyandago6 ай бұрын
Salaam Maria tuombee Mama Yeti Mwema ❤
@JaneMunyiva-os1ji3 ай бұрын
Mama Maria utuombee
@lellogama14026 ай бұрын
Maria utuombee kwamwanao yesu kuiishii imani yetu
@mariapialakanje34466 ай бұрын
Prega per Noi.nostra Bella Mama ❤❤
@ImaniKuu6 ай бұрын
Hakika
@marygathoni5466 ай бұрын
Mother Mary, you are the mother of all people, accept our prayers and our needs. Amen