Napongeza sana hoja ya shekh shabani allah amjalie busara itawale zaid
@WilliamMtaita Жыл бұрын
ADA KUBWA SANA,
@nicholausnicholauscharlesmwaim Жыл бұрын
Wanapenda kujikanyaga sana hao wanapenda sana kukulupuka sana
@reginaldthomas3892 Жыл бұрын
Tupewe muda sio ck 30,hazitoshi
@zuwenashabani4072 Жыл бұрын
Tanzania nchi yangu .madereva tu polisi kaguweni na wanasiasa tuliowapa dhamana tuna Hari mbaya ripoti ya mkaguzi wa serikali inatisha mbona mpokimya
@temuramadhani5134 Жыл бұрын
Safi Sana mwekiti
@saidsalum6101 Жыл бұрын
Ndiyo safi sana ndugu dereva
@waltersesuru43 Жыл бұрын
Nimewaelewa %vizuri sana
@saidausi9917 Жыл бұрын
Afande akumbuke Licence wakati wa kubadisha ilikuwa ni fulsa ya Bure kutoka kwenye vitabu na kwenda kwenye electronic ilikuwa hakuna kutakiwa kusoma
@saidausi9917 Жыл бұрын
Sawa sawa Mimi nilikuwa pia Dereva wa Basi kutokana na ugumu wa ajira na Maisha nilishuka daraja Mimi mwenyewe kwa ridhaa yangu Mana hatuajiliwi Madereva wengi ni vibarua
@faustinisirili2395 Жыл бұрын
Uu
@faustinisirili2395 Жыл бұрын
U
@faustinisirili2395 Жыл бұрын
U
@faustinisirili2395 Жыл бұрын
U
@AlhajiBayakas-pl4cx Жыл бұрын
Kwanza tulipen hela zetu mlizo tuibia
@MohamediMchekwa-ou4dk Жыл бұрын
Safi sana
@FestoMajiyakunde Жыл бұрын
Sawa kabisa bwana
@SelemaniPeter-t3f Жыл бұрын
Lakn kwann wasijihoji wao leseni zilitokaje
@twaibumagongo5640 Жыл бұрын
magari kila siku yanaongezeka
@PantaleoMagonga-y6x Жыл бұрын
Tatizo ela mkuu
@josephinamkono5183 Жыл бұрын
Upo sawa mwekiti
@AlhajiBayakas-pl4cx Жыл бұрын
Mbona hujibu vzr maswal kamanda
@hepsonmboka6776 Жыл бұрын
Police inatengeneza pesa tuu kwa kupitia masomo ya udereva, na rushwa imezidi wajichunguze wenyewe kwanza, kiongozi huyo wa madereva yupo vizuri.
@rashidimgaa27896 жыл бұрын
Kamanda uko sawa ila wa Tanzania tunashida moja likitolewa tamko ndio tunalaumu lakini ukweli hili jambo lilitolewa maelekezo kabla leseni hazijabadilishwa.
@emmanuelmlowe-ew7gx Жыл бұрын
Ukaguzi wa vyeti usonge mbele .wanatusumbua sana rod
@RomanAloyce Жыл бұрын
Zunqumzia qarama hali ya uchumi wetu n mbaya sana inqekua ata laki 1 tunqepambana
@masoudmasoud4211 Жыл бұрын
Kiongozi wa madereva umeongea vizuri sana,polisi ww wanafikilia kabla awajakulupuka,kuna shida kwenye jeshi la usalama barabaran
@AlhajiBayakas-pl4cx Жыл бұрын
Jee madereva wanapewa na Nani lesen achana ufki
@Waziri-zm2rw Жыл бұрын
Kaka shabani ongera sana kwa mawazo mazuri kiufupi 80% madereva wamalori vyeti atuna
@victornyese9009 Жыл бұрын
Mimi nasema selekali nichanzo Cha ajali hapa wanavunga Kwa watu waio jua dereva anaendesha kwa stress kutokana na kuwajazia vitu viingu vya tozo lingine wameshindwa kuwawajibisha police waneleta balaa kwamadereva zamani wakati waleseni za vitabu tuliaanza na daraja (d)tulipanda hadi daraja(c) leo wanataka tuludi tena kule tulikotoka kulikua nahaja kubadilisha leseni
@mtindikoja8837 Жыл бұрын
Afande upo sahihi lakini kusitokee wajanja wakahodhi mchakato wenu hususan mkidhibiti rushwa mchakato utaleta tija kubwa lakini wajanja watanunua vyeti nakuharibu mchakato
@daudimichael949 Жыл бұрын
Maoni yangu suala hili liende sambamba na kipindi cha kurenue leseni ndio ifwatwe swala la cheti
@DaimaNyakunga-jb6do Жыл бұрын
Samia upo kweri
@nassoroathuman5161 Жыл бұрын
Kiongoz hili swala nimuhimu lakin lichukue tahadhali kwann hiliswala lisiwe muda wakulinew mtu awenacheti ndio alinew lesen
@MchinaKalimba Жыл бұрын
Cheri cha motor driver unachukua daraja lipi la leseni au serikali ilikua inataka kuibia watu?
@jaisuriaeoris5911 Жыл бұрын
JAISURIA , NIKIWA KAHAMA SHINYANGA, MAONI YANGU SERIKALI IJITOLEE KUTUSOMESHA BULE, MANA MAKOSA NI YA SERIKALI, LESEN WALITUPATIA WAO WENYEWE,
@kingwatabata42306 жыл бұрын
Mdemu uko sawa mana wasishitukize zoezi linaitaji muda
@SalimuShaban-t9q Жыл бұрын
Achen uwongo yani ata machon ,mnaoneka mnapend rushwa
@temuramadhani5134 Жыл бұрын
Cheti hakizuhi hajari
@abasimsonge5765 Жыл бұрын
Ni kwer kamanda ila muongeze miez hii mi 3 mwisho mwaka huu wote wawe wamesoma
@DaimaNyakunga-jb6do Жыл бұрын
Hivi samia upon kweri
@msafiriomary89310 ай бұрын
Hatuna mda mrefu tunataka tuache udereva waendeshe polis mazingira ya rushwa hao tunawajua
@kassimomary216 Жыл бұрын
Mnataka dereva akasome ada Tsh. Laki Tano mshahara wake laki mbili anasomaje? Msiwe mnampa mzigo dereva wakati maslahi yake hamuangalii
@RemyRemyjingu-wr4uz Жыл бұрын
Serikali ya tanzania imekuwa ikiwavuruga sana raia wake na hawa wagen wanaoingia kutoka Zambia,congo,nk wao nao wana vyeti na je kama hawana hawawez kusababisha ajal?
@JoshuaMsamila-tk9df Жыл бұрын
Askarii nao hawana resenii
@alexchalamila7036 Жыл бұрын
Ni ngumu sana nikupeana tabu zisizo za lazima na watu watachukia nchi yao sio kawaida
@SalimAlhajri-d8m Жыл бұрын
Kuna madereva wametoa lessening kuanzia 1973 jee wakati huo kuna luna au
@majaliwacosmas3322 Жыл бұрын
Nauliza polis walitowaje lesen kabla hawakuhakiki vyeti
@PantaleoMagonga-y6x Жыл бұрын
Kamanda nataka nikumbushe kitu wakati tunatoka kwenye lesninya kitabu tukabadili lesen bila kusoma naitwa magonga Niko mor
@victornyese9009 Жыл бұрын
Leseni ya zamani ilionyesha uzoefu was dereva leo hii dereva madam aende NIT Atakama hana uzoefu was kuendesha bus anapewa kwakua mfumo wa leseni sio rafiki kwa mwajiri hususa kwenye kujua uzoefu was dereva
@maximillianmayani5119 Жыл бұрын
Hawa makamanda waache mambo ya hovyo hata askari wao wengi hawajui sheria askari anatolewa ffu anawekwa trafic bila course yeyote tena siku hizi wameona hela iko road traffic anakaa pembeni wa uniform ya kaki ndo mkaguzi isitoshe hakagui kitu anataka buku uende ushauri jeshi liweke askari kama ni traffic ndio wawe barabarani sio uwe mradi askari akijisikia yuko road
Tatizo sio leseni ni elimu tu na ajali inasababishwa na watu sio leseni
@StewartAbdul-wx2oo Жыл бұрын
Shida dau kubwa
@husseinkassimu2714 Жыл бұрын
Vipi wale wenye vyeti mbona inasemekana wakasome tena tena latra tena mnawafelisha walipie mpaka awamu tatu ndio mnawapasisha ili mpate kiwango mlicho kusudia kwa kila dereva atakae soma upya
@mburaashura2248 Жыл бұрын
Vyuma vimekaza punguzeni ada angarau laki na nuxu lakini kama ada malaki familia hazina vyakula xhule watoto mmmmh
@gumbojr9172 Жыл бұрын
Chuo cha taifa N I T. Hakipokei mwanafunz asie naleseni je anaipataje na wao hawatoi bila cheti hamuoni mnatuchanganya chuo kinataka lesen kikupe chet na polisi wanataka cheti wakupe leseni nani alaumiwe
@njombemji13116 жыл бұрын
sana tu
@twaibumagongo5640 Жыл бұрын
nchi hii inatakiwa kuwa na mambo endelevu sio kuamka tu mwisho tarehe 30 sio sawa
@robisonikadogo7371 Жыл бұрын
Sema ukweli mnatafuta pesa mmetuchosha navisingizio visivokiwa namaana
@amaningalla9420 Жыл бұрын
Polisi waongo sana hawajafanya utafiti wowote wa tatizo
@ImamuKipepe-ke7gv5 ай бұрын
Hakuna madereva wa bovyo kamawanaoendesha mabasi ndiokisababishicha ajali
@alphoncejuma9652 Жыл бұрын
Jeshi la polis ndiyo chanzo kikubwa cha kutoa leseni bila cheti ,polisi wabadilike wao ni rushwa tuu
@njombemji13116 жыл бұрын
safi sana chama cha madereva
@abdallahlamuud1046 жыл бұрын
Sidhani kama hata watu wakienda kusoma ajali zitaisha kinachotakiwa tu wapambanaji wawe makini barabaran
@kajilually19126 жыл бұрын
wee unawakazia madereva ivi unajua shida wanayopata madereva?pese hawana adayenyewe kubwa waambie wenye chuo wapunguze ada harafu poric mbona mnakua wakari sana? kumbukeni wote niwapita njia
@rahabumgaya6435 Жыл бұрын
MUNATUSAIDIAJE MADEREVA AMBAPO MAENEO MENGINE SHULE HIZO HAZIPO NAWANAFANYIA KAZI ENEO MOJA WALA HAFIKI MIJIN UKAGUZI MALAMOJAMOJA SANA
@akidajulius1581 Жыл бұрын
HUWA YANAKUJA NA KUPITA ,TUMESHA ZOEA HIZO HALI
@robisonikadogo7371 Жыл бұрын
Muongeze mda mstukurupushe kama yatima
@habakukiephes-ld8rd Жыл бұрын
Nchi yangu Tanzania
@davidsambala80816 жыл бұрын
Sio kwamba madereva hawataki kusoma masirai ni kidogo ada ingepunguzwe kuringana na masirai ya dereva
@majaliwacosmas3322 Жыл бұрын
Funika kombe mwendawazimu apite
@rajabusaimon7662 Жыл бұрын
Selekali walipeni mishahala mizuli askali wetu muone kama hayo mnayo sumbuka nayo kila siku kama yataendelea
@lunjeramadhani1295 Жыл бұрын
Mulikosea wenyewe tokea mwanzo
@davidsibale2441 Жыл бұрын
TRA shilikianeni na polisi munapotoa leseni imbatanishwe na cheti
@alphoncejuma9652 Жыл бұрын
Acha siasa wachina wanapewa leseni bila kwenda chuo
@mirajiramadhani9320 Жыл бұрын
Umeona sasa broo mpaka wachina wame pewa
@petersynto2043 Жыл бұрын
Changamoto yetu watanzania tunaangalia tulipoangukia sio tulipojikwalia tatizo hapo liko wapi?Kwa madreva au mamlaka ya utoaji wa leseni kama hana sifa hiyo leseni kaipataje??Hili haliingii akilini hata kidogo hata kwa hakili ya kawaida utaratibu huo haujakaa sawa kuna haja yakuliangalia upya?
@AlhajiBayakas-pl4cx Жыл бұрын
Kwaiyo ao wenye lecen wameiba au mmewapa
@elifansiakwesso61046 жыл бұрын
C waajiriwa tu waende shule, yeyote anaeitwa dereva aende shule, kumbukeni kuna ajali na kunakusababishiwa ajali na huyo ambae hajaenda shule.
@saidiathuman-og6bc Жыл бұрын
Pia ajali sio vyeti Bali ajali ni uzembe wa deleva au chombo chenyewe ilitakiwa ajali ikitokea chunguza ajali alafu deleva ndio umchukulie hatua lekini apo mmefeli kwani ajali nyingi hutokea kwa ulev,usingixi na ova tek mbaya
@mbwanamungia9921 Жыл бұрын
Tuondoleeni upuuzi wenu kama kazi zimekwisha za kufanya huko ofisini kwenu katafuteni shamba mlime. Hazo ni shida zenu mlitoa vipi leseni, mimi makaratasi hayo wala sijui yalipo,
@emmanuelmlowe-ew7gx Жыл бұрын
Huna cheti wewe
@emmanuelmlowe-ew7gx Жыл бұрын
Ukaguzi wa vyeti uendelee maana wasiosoma wanatusumbua sana huku rod
@habibrwegoshora6624 Жыл бұрын
SIO VYETI AVIKUWEPO SS 1987 TUMEFUNDISHWA HAPOHAPO MAKAO MAKUU YA TRAFIC DAR KULIKUWA NA SHURE NA VYETI VILIKUWA VINATOLEWA HAPOHAPO ..HAO NI WAGENI ?
@staryeshenyange3575 Жыл бұрын
kwahapo ajari zitakuwa bado kwaudereva washure
@Waziri-zm2rw Жыл бұрын
Watupe mda reseni zikiisha tukienda kulinyuu tuwe tumekwenda shule tupate elimu nasivii
@FestoMajiyakunde Жыл бұрын
Miundo mbinu mbovu
@saidiathuman-og6bc Жыл бұрын
Maisha magumu unawarudisha watu shulen alafu je wanasifa ninani waliotoa leseni
@boazpeter6524 Жыл бұрын
Fikilieni kabla ya kutenda chet hakizuii ajali mzee mnstaka watu wafanye kazi gani ilio hali maana leseni mnatoa wenyewe mnataka cheti kipunguze ajali au ikoje acheni drama tumieni uongozi wenu vizur
@HassanHamad-kw9up Жыл бұрын
Kira siku wimbo huo huo tu tumechoka
@DoglasiYohana Жыл бұрын
Haka kamwanya kafuatlie utakafumania tu
@masrergaudens39676 жыл бұрын
Kamanda tuhakikishie kuwa madereva wakipata vyeti hakutakuwa ajali na zikitokea nani awajibike
@AlhajiBayakas-pl4cx Жыл бұрын
Ujina2 yy mwenyew Hana lesen
@mdemualphonce1559 Жыл бұрын
Watoe elimu bure kwakuwa selikari ilishalipwa kwa kulipia leseni pia ulipiaji wa stika za usalama barabarani zisomeshe hao wenye vyeti
@temuramadhani5134 Жыл бұрын
Kwa mshahara gani mbona Kira siku ni madereva tu
@fredypaul41546 жыл бұрын
Vp Hawa watu wenye magari yao binafsi?
@yousufharthy68766 жыл бұрын
Freddy. Masuala ni kuwa na leseni halali inaruhusu kuendesha gari maalumu. Umiliki wa magari haumaanishi kuwa una ruhusa kuendesha bila leseni.