MIZENGWE- SHULE KWANZA

  Рет қаралды 220,182

ITV Tanzania

ITV Tanzania

Күн бұрын

Пікірлер: 159
@hadija846
@hadija846 4 жыл бұрын
Haahaaaahaaaaa huyu baba na hawa jamaa wote ni kiboko elimu ya bure mafunzo tosha nawapenda wote🙏🏼😍💞💖
@dastonamichaels1854
@dastonamichaels1854 3 жыл бұрын
Natokea 🇰🇪 walai nmekijua kuchelewa kipindi chenu😆 Episode hii ni kali san, Buriani mzee matata
@ibnmoses979
@ibnmoses979 8 жыл бұрын
Mizengwe ndio comedi pekee inayoelimisha Nchini Tanzania ambayo mnaweza kukaa chini familia nzima mkaangalia
@ezekiabrown1350
@ezekiabrown1350 6 жыл бұрын
Aisee mizengwe ni zaidi ya comedy
@amalzahor5865
@amalzahor5865 6 жыл бұрын
ibn Moses .kabisaaaaa.
@annyrutty657
@annyrutty657 6 жыл бұрын
Yeah n kwel
@glorynaphtari3932
@glorynaphtari3932 5 жыл бұрын
Hata joti yupo vzr
@benardjotham7033
@benardjotham7033 5 жыл бұрын
ibn Moses hakika
@mathayowilson1525
@mathayowilson1525 3 жыл бұрын
KICHWA chako KIDOGO KIELIMU...ananenepa NDANI kwa NDANI..
@annyrutty657
@annyrutty657 6 жыл бұрын
Najifunza mengi kupitia mizengwe, Mungu awape maisha marefu mzid kudumisha kpnd hiki.
@aluphanrashidi8996
@aluphanrashidi8996 3 жыл бұрын
Hai
@stn4873
@stn4873 2 жыл бұрын
Daaah Mkwere maneno ulikua unayatupa hayoo juu ya Mzee Matata
@mathayowilson1525
@mathayowilson1525 3 жыл бұрын
Na WEWE hutaki kuzeeka...Nkwereeeeee
@greysonsimba6979
@greysonsimba6979 2 жыл бұрын
Aanze la tano mzee matata?😂😂😂
@mawazomgassa6400
@mawazomgassa6400 7 жыл бұрын
😁😁😁😁 yahaani mi mbavu zinauma sana,najuta kuwajua mizengwe si kwa kunichekesha hivi
@albinusnyaiyo2614
@albinusnyaiyo2614 Жыл бұрын
We utaki kuzeeka😂😂😂
@petermagoye8324
@petermagoye8324 4 жыл бұрын
Aiseh mko juu sana tena sana sana l really like you guyssss
@fahamimohamed9015
@fahamimohamed9015 6 жыл бұрын
Mizengwe nawakubali sana pia mwanangu kila muda ananiuliza dady nataka Mizengwe
@jimmymusti165
@jimmymusti165 6 жыл бұрын
Eti kama utaona aibu kuvaa kaptura ntakuombea uwe unavaa suruali, Sumaku we sio mzima kabisa😁😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@yusrabebe643
@yusrabebe643 4 жыл бұрын
nyoa ndevu kuwa smart shuleee
@mathayowilson1525
@mathayowilson1525 3 жыл бұрын
MWILI kama wako ndo utakumbuka mateso..😀😁😂🤣😃😄😅😆
@binesiharuni2609
@binesiharuni2609 8 жыл бұрын
webwana eeeeeh hapa balaaaa tupu😀😀😀😀😀😀
@barakafaustinemwenzegule8595
@barakafaustinemwenzegule8595 7 жыл бұрын
Binesi Haruni vp
@juliusdaniel8095
@juliusdaniel8095 6 жыл бұрын
Jamani tengenezeni CD mzigawe katika vipengere tutanunua sanaaaa
@lizzyshayo209
@lizzyshayo209 5 жыл бұрын
Kasha kupa huo msingi....aaaaah uko wapi😁😁😁
@ernestialexander2640
@ernestialexander2640 7 жыл бұрын
muda uongezwe jaman kipindi kiwe angalu na saa moja mko vizuri
@neziali6992
@neziali6992 6 жыл бұрын
Mujue munanifurahisha sna mizengwe nainjoy sna nikiingalia hyo 🤗
@yohanamohere7523
@yohanamohere7523 6 жыл бұрын
Kazi nzuri sana mizengwe
@kevin25bushirimrkevoo33
@kevin25bushirimrkevoo33 5 жыл бұрын
Sumaku uko vzr eti umeona pale kuna kengere
@e-production8655
@e-production8655 8 жыл бұрын
safi sana, inafurahisha na kufundisha,
@charlesbaba6308
@charlesbaba6308 7 жыл бұрын
tuko pamoja sana mizengwe
@michaeljuma7097
@michaeljuma7097 7 жыл бұрын
Charles Baba
@muyefarahani3704
@muyefarahani3704 5 жыл бұрын
Nawakubali!
@rapafata1108
@rapafata1108 7 жыл бұрын
Ni kweli. Alafu ni halisi lugha ya kisasa inaeleweka kiheshima. Vipaji halisi wote hamna anae jipandikiza. Ni nzuri sana naipenda
@mwaserarashid5451
@mwaserarashid5451 2 жыл бұрын
Aunt amependeza sana kuwa mwanafunzi
@christinaagostino4257
@christinaagostino4257 3 жыл бұрын
Hatalipua nchi😁😁😁🤷
@khalifasultan2677
@khalifasultan2677 4 жыл бұрын
Babu Kichwa Chako Kidogo,Kichwa Cha Elimu 😂😂😂😂😂😁
@mudizzomneka3186
@mudizzomneka3186 8 жыл бұрын
sijaona ata mbaya kwenye kundi lenu, wote ni nomaaaaaaaa mnatishaaaa
@zabinalucious7745
@zabinalucious7745 8 жыл бұрын
ha ha ha ha h
@devidkingu2439
@devidkingu2439 7 жыл бұрын
dah! uncle ana akili sana hasa somo la miti limengusa sana,.
@kayambavitalis6426
@kayambavitalis6426 3 жыл бұрын
R I P mzee Matata 😥😥😭😭
@lasteckmmary9741
@lasteckmmary9741 4 жыл бұрын
Hahahahaaaa. Unawezaaje kukata mti ambao hujaupanda
@lufingomwasegedahpolesana.7213
@lufingomwasegedahpolesana.7213 7 жыл бұрын
Dah mmenishika sana, ni sahihi Elim ni namba moja unaongezeka upeo wa kufikili.
@khalifasultan2677
@khalifasultan2677 4 жыл бұрын
Mwili Wa Microsoft,Ananenepa Ndani Kwa Ndanii😂😂😂😂😂😁😁😁😁
@nassrapatrickpatrick5545
@nassrapatrickpatrick5545 5 жыл бұрын
kapendeza na hizo sare za shule hadi rahaaaaa
@mudymchebe536
@mudymchebe536 4 жыл бұрын
Noma
@barakalayzer6846
@barakalayzer6846 5 жыл бұрын
Hahahahahahaaaaa. Hii nimeipenda wote shule
@mathayowilson1525
@mathayowilson1525 3 жыл бұрын
Somo la mapumziko....utakuwa ulilipenda...
@lisaemmanuel8673
@lisaemmanuel8673 4 жыл бұрын
Daaah, huyu Sumaku anavoongeaga daaah 😂😂😂
@stn4873
@stn4873 2 жыл бұрын
Huyu Uncle ni kama Mzee wangu tu..
@sadamsteven8771
@sadamsteven8771 6 жыл бұрын
Huyu jamaa nakubali Sana eti hela zote zile akumbuke jela
@kondosaid216
@kondosaid216 2 жыл бұрын
Mapunziko 🤣🤣🤣
@khalifasultan2677
@khalifasultan2677 4 жыл бұрын
Faida Ya Mti Ni Mbao Then Unapata Hela😂😂😂😁
@giftelia5535
@giftelia5535 7 жыл бұрын
Mjomba nimekukubali kweli!
@mashakaharuna405
@mashakaharuna405 4 жыл бұрын
Hapo kwenye saini ya kufungwa panaumiza
@heldaoman3070
@heldaoman3070 7 жыл бұрын
Ipo pow napenda sana mizegwe
@wakwetumzawa9477
@wakwetumzawa9477 7 жыл бұрын
kaza buti mizegwe safisana
@ishaq9925
@ishaq9925 5 жыл бұрын
mjombaaaa kaaa. kazi kwelikweli
@hamidukauzeni5072
@hamidukauzeni5072 5 жыл бұрын
mizengwe unaipenda sana
@hawamashallahmkubwa5416
@hawamashallahmkubwa5416 7 жыл бұрын
yani muko juu sana nawa penda sana mungu awazidishie kipaji
@annacarlos7925
@annacarlos7925 7 жыл бұрын
hongereni nimecheka sana
@florahmisango4718
@florahmisango4718 4 жыл бұрын
Haha,shule,
@gerkombo6512
@gerkombo6512 7 жыл бұрын
Matata ananenepa ndani kwa ndani, hahaaa
@maryamdigelo6288
@maryamdigelo6288 10 ай бұрын
Hii ndo dawa ya watu wanaopenda mtelemko😅😅😅😅sasa adi umalize shule adi uje ufanikiwe kptia shule😅😅😅😅😅😅😅 Namda unakungoja wewe
@queencashmadam8340
@queencashmadam8340 7 жыл бұрын
Jamani sijui ataniandikaje nawapenda xn
@shaybrashid1803
@shaybrashid1803 7 жыл бұрын
Unawapenda haya bana
@you..5564
@you..5564 5 жыл бұрын
Sumakuuu😂🤣🤣😂😂🤣🤣
@rukiaselemani9363
@rukiaselemani9363 4 жыл бұрын
😂😂😂miili ya micro soft
@safiaothman1098
@safiaothman1098 4 жыл бұрын
Filam zenu zina Mafundisho Katika Maisha
@dizzyd4966
@dizzyd4966 Жыл бұрын
Mjomba kwani mko mapacha
@mathayowilson1525
@mathayowilson1525 3 жыл бұрын
Atalipua nchi kwa petroli
@mwaserarashid5451
@mwaserarashid5451 2 жыл бұрын
Matata anasema elimu ikamsaidie kaburinie
@pepchallanga3626
@pepchallanga3626 5 жыл бұрын
Wako wanaitendea haki fasihi
@aureliadidas1531
@aureliadidas1531 2 жыл бұрын
😁😀😀😀😀😀😀😀
@raphaelmwamakimbula9642
@raphaelmwamakimbula9642 2 жыл бұрын
♥️
@nanuelmotivation5401
@nanuelmotivation5401 7 жыл бұрын
big up sana mizengwe
@nanuelmotivation5401
@nanuelmotivation5401 7 жыл бұрын
ITV TANZANIA muendelee kutupa mafundisho na kutuelimisha Mungu awatangulie
@jacksonndutu4024
@jacksonndutu4024 6 жыл бұрын
Mizengwe juu👆
@rahmaiddi7247
@rahmaiddi7247 5 жыл бұрын
Haaa jamani mtatuuua
@khadijaamour7654
@khadijaamour7654 5 жыл бұрын
Mjomba kiboko hadi 2019 uko juu
@valenmicha7943
@valenmicha7943 5 жыл бұрын
sumaku sumaku mungu anakuona
@humphreynduye6239
@humphreynduye6239 5 жыл бұрын
Mizngwe,,,noumaaa,,,
@kevin25bushirimrkevoo33
@kevin25bushirimrkevoo33 5 жыл бұрын
Mkwere bwana eti alikua anapenda mapumziko
@giftelia5535
@giftelia5535 7 жыл бұрын
Barikiwa sana
@mikidadinassoro3959
@mikidadinassoro3959 7 жыл бұрын
Mizengwe ni kipindi kinacho wasilisha maudhui kwa njia ya kukejeli na matani
@sengofuraha5225
@sengofuraha5225 7 жыл бұрын
mko juu mizengwe
@innocentkimata7274
@innocentkimata7274 6 жыл бұрын
Mzee matata na akili yake ya darasa la 4 afanye biashara ya petrol atalipua nchi
@selemanimsofe7321
@selemanimsofe7321 4 жыл бұрын
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
@partonmosha8433
@partonmosha8433 5 жыл бұрын
ha ha haa, eti we umeona kuna Kengele pale!!!
@musayahaya4281
@musayahaya4281 5 жыл бұрын
Good
@benardrockmligwa5016
@benardrockmligwa5016 6 жыл бұрын
Ha ha ha ha!!! Ancle wala han papala anaelimisha
@richardaron8797
@richardaron8797 5 жыл бұрын
Eneo kubwa ufungue madarasa hapa
@marysmffff2629
@marysmffff2629 8 жыл бұрын
hahahaaa shule haina mwisho kwer
@chrisantusmaila3427
@chrisantusmaila3427 8 жыл бұрын
bonge moja LA comedy.....
@josephogutu978
@josephogutu978 6 жыл бұрын
Hamna wengine zidiyenu labdafutuhi
@emmyshaban126
@emmyshaban126 7 жыл бұрын
kwa tulip nje ya nchi tufqnyeje mpaka tuwapate kila juma pili mana ratiba hatuijui kukipata kipindi kilakinapotoka kipya
@lelaallububa5739
@lelaallububa5739 5 жыл бұрын
Safina nakupenda bureee
@SaidijamalSaidijamal
@SaidijamalSaidijamal 7 жыл бұрын
Eti anapenda mapumziko
@rajabsalim8920
@rajabsalim8920 5 жыл бұрын
Rudi shule 🤣🤣🤣
@dianajepkorir3821
@dianajepkorir3821 6 жыл бұрын
Mzee ya Ata zeekea uko
@rashidabasi7940
@rashidabasi7940 5 жыл бұрын
HAHAH.... SOMOGANI ULIPENDA "MAPUMZIKO" hahaha
@roidatadey8656
@roidatadey8656 6 жыл бұрын
Safi sana
@majeshingoleka1481
@majeshingoleka1481 6 жыл бұрын
Wapo poa
@OmanOman-gc1zu
@OmanOman-gc1zu 6 жыл бұрын
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Shul
@fredrickitala3903
@fredrickitala3903 8 жыл бұрын
hakuna wanao nichekeshaga tz zd yn
@fredrickitala3903
@fredrickitala3903 7 жыл бұрын
Hivi kweli tabia hizo hamna kabisaa ? Karibuni kwangu
@freddyniyo292
@freddyniyo292 6 жыл бұрын
Fredrick Itala .
@revocatusgervas3040
@revocatusgervas3040 7 жыл бұрын
hahaaa!!! safina nampenda kwa swagg haaa
@josephshalaly3394
@josephshalaly3394 6 жыл бұрын
mko saf sana
@filbetsamson192
@filbetsamson192 7 жыл бұрын
iko poa xana
@zabronmligo9629
@zabronmligo9629 4 жыл бұрын
nikisema babu ndo huyu ujue
@peterkimbe8601
@peterkimbe8601 7 жыл бұрын
nimeipenda sana
@nasibshaban5340
@nasibshaban5340 7 жыл бұрын
Peter Kimbe nimekubaliu iyoo
@renaldakamugishazeramulake940
@renaldakamugishazeramulake940 8 жыл бұрын
hahahahaaa yaani Mizengwe sina mbavu hapana
@fadhiliadam399
@fadhiliadam399 4 жыл бұрын
2020 bado inabamba
@maadamray9282
@maadamray9282 4 жыл бұрын
😀😀😀😂😂😂
@alisenipeter4307
@alisenipeter4307 4 жыл бұрын
Somo gani labda ulikua unalipenda wewe mapumziko
@kafwimbitv4541
@kafwimbitv4541 6 жыл бұрын
tehteheeee mizengwe
@allyjamshidi1514
@allyjamshidi1514 5 жыл бұрын
Elimu ndogo utasahu utainywa hiyo Petrol
@imanomar5256
@imanomar5256 5 жыл бұрын
shule jmn
@fahadfahmy
@fahadfahmy 6 жыл бұрын
Sumaku anajua sana
@habibumrisho5225
@habibumrisho5225 Жыл бұрын
Pamoja ndugu naitwa sumaku kutoka mizengww
@habibumrisho5225
@habibumrisho5225 Жыл бұрын
Pamoja ndugu naitwa sumaku kutoka mizengww
@richardsixbert4311
@richardsixbert4311 6 жыл бұрын
Kwel Kutoa n Moyo sio utajiri..we Mvi hizo arudi tena school..we Sumaku mpe msada huyo mzee akalipuke na mafuta hhahahahaha
@reveliangodwin3426
@reveliangodwin3426 4 жыл бұрын
Richard Sixbert fuluuuuu
@samumushi5025
@samumushi5025 5 жыл бұрын
Hhahaha 😂😂😂
@markrichardfreemasonry2602
@markrichardfreemasonry2602 5 жыл бұрын
Ma pumziko
ITV-MIZENGWE UKIONA CHA NINI
21:56
ITV Tanzania
Рет қаралды 485 М.
MIZENGWE- FUNDI
18:35
ITV Tanzania
Рет қаралды 300 М.
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 35 МЛН
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 39 МЛН
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
37:51
bayGUYS
Рет қаралды 1,6 МЛН
TWENDE SHULE
5:07
Joti TV
Рет қаралды 562 М.
ITV MIZENGWE- MWENYEKITI
19:15
ITV Tanzania
Рет қаралды 140 М.
KINGWENDU UMALAYA UMEMPONZA UTACHEKA SANA HII
12:34
KINGWENDU OG TV
Рет қаралды 81 М.
Vioja Mahakamani | Kamageras 'Makanga wa stage' Kuibia Wateja
24:59
KBC Channel 1 TV Shows
Рет қаралды 1,3 МЛН
MCHUMBA
5:53
Joti TV
Рет қаралды 527 М.
#MIZENGWE  Wajumbe
17:24
ITV Tanzania
Рет қаралды 55 М.
ITV-MIZENGWE     DENI KULIPA
18:57
ITV Tanzania
Рет қаралды 123 М.
ITV MIZENGWE-FAKE(BATILI)
18:13
ITV Tanzania
Рет қаралды 204 М.