Napenda sana Sanaa mnayoifanya! Haijachakachuka,ni halisi kwa jamii na hata ninyi mna mwonekano wenye staha na mnajitambua vizuri sana.Hongera♥️👏
@ummySheikh72 Жыл бұрын
Nawapenda sana hawa watu 4! Wanafundisha saana. Michezo mifupi inafundisha saana na wangaliaa msaana sanaa
@KnerySuleiman Жыл бұрын
Hii imeenda katika uhalisia na mazingira ya maisha yetu na jamii funzo kubwa sana
@anthonygikuri Жыл бұрын
Hongereni sana kwa kuelimisha jamii. Nimejifunza mambo mazuri kwenu. Tofauti na wasanii wengine, nyie hamwingizi upumbavu wa mapenzi kwenye kazi yenu. Mnaelimisha jamii vizuri wazazi na watoto wanaweza kuangalia show zenu.
@rasheedmganga4798 Жыл бұрын
Raha ni kubwa sanaa but mnachelewa sana kutupa burudani bravo 👏🏽 mizengwe
@cyriluskaijage4227 Жыл бұрын
mnafanya kazi nzuri sana, na zenye mafunzo makubwa sana. Hongereni sana Mizengwe
@albinusnyaiyo2614 Жыл бұрын
Umekuwa kma mjusi kila Kona unaonekan😂😂😂
@HassanHalfan-j3g11 ай бұрын
Nakukbal xan ndg zang
@faudhi7426 Жыл бұрын
Wapo wengi tunanyumba kariakoo kazi awafanyi
@andrewkaswagula3367 Жыл бұрын
Muda wenyewe huu wa penati, penati yenyewe napiga dochi 🙌🙌😄😄😄