Mume muungwana sana,anambekeza mke wake,anamuelewesha maisha yalivyo.Hongera sana Mr Mkwere
@judiehance17362 жыл бұрын
Huyo mwana dada kanenepa ❤️Safina kamepenfeza
@AngelReims6 күн бұрын
🎉🎉🎉 good job
@mtaniphinias2 жыл бұрын
Hili ni fundisho kubwa sana, wapo wanawake wengi wa aina hii katika familia zilizo nyingi. Huwezi kutatua tatizo la njaa katika familia yako, au kupata maendeleo yoyote kama upo na mwanamke kama huyu. Ukosefu wa shukurani, wanawake kutothamini jitihada za waume zao, ndiyo visababishi vikubwa vya matatizo katika familia nyingi.
@lusese12 жыл бұрын
Ahsante kwa ktunguunga mkono.
@nurudaud39932 жыл бұрын
asante auseee😊😊😊😊nimejifunza kitu
@aminaomary55672 жыл бұрын
Nawapenda nyie hatari kila jumapili saa 3 lazima niwaangalie yaani.❤❤❤❤👍👍👍👍👍👍👍👍😁😁🙏🙏🙏
@lusese12 жыл бұрын
Asante kwa kutuunga mkono.
@kassimchuo52902 жыл бұрын
MIZENGWE long time sanaaaaa enzi hzo za TV za kishogooooooooooooo.
@lusese12 жыл бұрын
Tupooooo bado mzee babaaaaa!! vipi umetuchoka? tuvumilie bado tuna vichekesho 32,000 hatujavicheza.
@marliusmajani37822 жыл бұрын
Tunafuatilia toka Zambia
@rajeshrajesh-lp2oy2 жыл бұрын
Shukrani saner 🙏
@mauricemaungu83902 жыл бұрын
Mbarikiwe sana kwa mafundisho yenu mazuri kupitia sanaa ya maigizo. Namkumbuka sana hayati Matata jamani 🤔.
@shabanhamza68142 жыл бұрын
Dah!! Ipo sahihi kabisa ktk hiloo
@yassinm692 жыл бұрын
Tunammiss mzee matata mu mungu ablaze roho yake mahala pema peponi
@hidodomagarasha58042 жыл бұрын
Mko vizur hongereni❤️❤️❤️
@Muna_mamoyo Жыл бұрын
❤
@kassimchuo52902 жыл бұрын
I like it for sure nawatch nikiwa huku Qatar I feel at home waaaaaaah.......
@theclasinu96422 жыл бұрын
Hiyo nchi ya Qatar kutoka dar mpk huko nauli bei gani na kunapatikana nini zaidi
@maphitamaphita30912 жыл бұрын
Tuko wote goha ndug
@atepamashavu61222 жыл бұрын
aisee uyu mdada mstaarabu sana
@albinusnyaiyo2614 Жыл бұрын
Et mbona unanifagia mimi😂😂
@abuumkamba17602 жыл бұрын
Kiukweri mnatufundisha asanteni
@yusuphmjengo9242 жыл бұрын
Safinna una miguu mizuri mhhh
@saudahassan66672 жыл бұрын
Waaaaaoooooo niliwamiss
@tranchescoanthony25092 жыл бұрын
Umetisha sana mkwere
@Swahili142 жыл бұрын
English translation for me 🤣🚮
@tranchescoanthony25092 жыл бұрын
Yanatukuta sana sana Tena sana
@imansaid80202 жыл бұрын
Ushaur wangu angemwambia mume wake kwanza
@mdta81612 жыл бұрын
Hapana kwa kweli angetoa kidogo
@musaamini401 Жыл бұрын
Safina endelea na moyo wako mzuri mkwere unatbia mbaya
@cheiknamouna20582 жыл бұрын
Tatizo mzee umekosea kuuliza mchele wa wapi huu ungevunga tu wala usingeulizwa umetoka wapi wala umebeba nini 🤣😃
@wowo15462 жыл бұрын
mzee MATATA 😭😭 🇹🇿
@nashwaabubakar93822 жыл бұрын
Jamani muna madili hamtumii matusi japonica mnafanya comedy lakini mnaweka mamdili ya kuongea na hishima na ni vizuri kila mtu kujua mipakaa yake na madili sio watu wenginewe wakifanya komedy wanatumia lugha MBAYA na matusi mpakaa mtu unaona haya kusikiliza matusi makubwa ya ilahi mungu atusiri tusi ya hifadhi
@omarbosiomar86082 жыл бұрын
Shukran
@enjobw56822 жыл бұрын
Mume Wa safina noma😂😂😂😂😄😄😁😁😁😁
@TALLUBOY2 жыл бұрын
Safi sana
@gradnessshitindi36942 жыл бұрын
Nmekumbuka mzee Matata jaman😭
@gradnessshitindi36942 жыл бұрын
Huyo nmemsahau jina anaeomba msaada wa Kodi, mbona amekonda sana jaman🙆
@nyamogafamily42622 жыл бұрын
Maringo😂😂😂
@TALLUBOY2 жыл бұрын
AisEEEEE munajua sana dah na Munatoa sababu watu amuwawek nyia panda
@tato89792 жыл бұрын
Safina muonee huruma mmeo maisha magum
@fatumahengo68492 жыл бұрын
😃
@edwardandrew67262 жыл бұрын
Fundisho tosha kabisa kwa akinamama wenyetabia kama hizo.
@albinusnyaiyo2614 Жыл бұрын
Kaz ya kulala na viatu😂😂
@mwanalau24572 жыл бұрын
Mzee matata😭😭😭😭
@deathrow80042 жыл бұрын
Yanatukuta wengi tulio kwenye ndoa
@lusese12 жыл бұрын
Asante kwa kutuunga mkono
@aminaomary55672 жыл бұрын
Sio sahihi kugawa vitu namna hiyo.
@agripinamgema36562 жыл бұрын
Saingine mtu unaweza ukawa unauwezo, wa kujikimu kimaisha angalau kidogo usihangaike. Ila ukiendekeza ndugu umakwama 😀
@josephmanyama90122 жыл бұрын
Yani wacha tuuuuu mrembo ukiwa na huruma kupitiliza ni tatizo sana
@jamesobedy36872 жыл бұрын
sio sahihi bora angempa kidogo tu
@aminaomary55672 жыл бұрын
Safina mtani wangu umenenepa sana kupendeza sana ongera sana.
@aishamsimbazmsimbazi84922 жыл бұрын
Poleni wana kashikashi mungu amuweke mahala pema peppni
@coastermahenge89102 жыл бұрын
Mke boyaaa
@lubuvahussein55562 жыл бұрын
Xo sahh...Ilipaswa akushirikishe ww ndo utoe rukxa
@bugybuster57882 жыл бұрын
Hayo ndy maisha ya wanawake hata uwapende vp huwa Hawana uruma na pesa ya mume
@EK-kp2np2 жыл бұрын
We, acha kabisa; huo mfumo wako dume achana nao kabisa, sio wanaume tu wanaonynua chakula, ndugu wa mume ndiyo wabaya zaidi, bila kujali nani kanunua wao wanachota bila kuomba, acha hizo kabisaaa🤚🏼
@abdurahmnsobo48102 жыл бұрын
Sio sahihi
@montteyfloki39532 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@edwardongori77342 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@beautyibrahim84282 жыл бұрын
Mkongo anashida gan anakonda kila siku
@mmn74802 жыл бұрын
uyo dada kanenepa
@ashminaabdulla89462 жыл бұрын
Michele mwenziwe maharage 😳🤪
@japhetlameck5472 жыл бұрын
Amakweli kumbe Safina alikua bado mtoto? Kwa sasa ndo kwakua.
@vumiliakashindi86512 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@williamgumbo85252 жыл бұрын
Duuuh
@mashramadhani19892 жыл бұрын
Baadhi ya Wanawake sifa zinawaponza nia aonekane hana shida kumbe mumeo anaumia
@mauricemaungu83902 жыл бұрын
Mbarikiwe sana! Namkumbuka sana hayati Matata jamani🤔
@mashramadhani19892 жыл бұрын
@@mauricemaungu8390 kwakweli alale pema peponi Mzee Matata