SALLAM SK AFUNGUKA KILA KITU - MAISHA/HARMONIZE/DIAMOND/WASAFI

  Рет қаралды 75,414

Mjini FM

Mjini FM

Күн бұрын

Пікірлер
@momussa7648
@momussa7648 Жыл бұрын
Nakubali meneja
@josephsimba3007
@josephsimba3007 2 жыл бұрын
Jamani atimae leo roho yangu imetuliamana sikuwa tena Na amu yaku ona interview ya wa bongo Bana eti salaam sk umwatche daimond platnamz kwa Nini wewe nakukubali sana 🤝👏👏👏👏👏🔥💪💪💪
@tumainiinnocent8335
@tumainiinnocent8335 Жыл бұрын
Boss wangu kweli unajibu vizuri sana nimependa sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥.
@jumaradhomary8591
@jumaradhomary8591 2 жыл бұрын
Sound good 👍 sound excellent 👌 sound booth 👍 sound QUALITY. Hii sound imeptlza REDIO nyingi sana kwakweli.
@ndolimwakijuja7948
@ndolimwakijuja7948 2 жыл бұрын
Hii redio itakuja kua atali sana 🔥🔥
@shakirajafali2276
@shakirajafali2276 2 жыл бұрын
Mendeziii🔥🔥🔥🔥🇲🇼🇲🇼🇲🇼
@saudahassan6667
@saudahassan6667 2 жыл бұрын
Dah nimepumua sasa maana yustar alituumiza ss mashabiki wa diamond 💎♥tunashuku kwa kutuweka sawa bado upo na diamond wetu tunakupenda sana
@saidirashidi6232
@saidirashidi6232 2 жыл бұрын
The best manager in Africa🌍
@nancyandrew9273
@nancyandrew9273 2 жыл бұрын
Yaani hiyo ya kuweka English imeniaminisha this guy his genius,in 2 yrs na radio nyingine zitaiga hii.bravo brother
@audiphastangale1893
@audiphastangale1893 2 жыл бұрын
Sina uhakika kama wata fanikisha hili kwa muda mrefu kuna redio nyingi zilijaribu hivi hapa Bongo lakini TBC internation tu ndio wamebaki na sera hiyo tulikuwa na Times FM, Choice FM na Kiss FM zote zilikuwa na utaratibu huu in the end zililudi kwenye full Swahili
@michaelomondi7912
@michaelomondi7912 2 жыл бұрын
i love how mendes looks at everything in a business perspective ,,for its just money , money and money alone
@issamohd222
@issamohd222 2 жыл бұрын
Nimekuelewa vzr una viwango vya kuitwa manager
@mwikamwika4851
@mwikamwika4851 2 жыл бұрын
The real man sallam sk. Hongera sana kwa kuwa mmoja kati ya mameneja Bora kabisa hapa nchini
@sistersade9039
@sistersade9039 2 жыл бұрын
Akili kwa wingi Salaam SK 👏👏👏
@josephsimba3007
@josephsimba3007 2 жыл бұрын
Uyu ni meneja mukweli 👍🏿👏🔥🔥🔥 unaongea point muimu sana
@malikzafarani172
@malikzafarani172 2 жыл бұрын
Sema Sk Yuko real sana uwa ananipunga hapo tuh.
@marshialmarshah9032
@marshialmarshah9032 2 жыл бұрын
The Best Manager in Africa
@lukandamizasimbi44
@lukandamizasimbi44 2 жыл бұрын
Ni hatari fire hahahah 🔥🔥🔥🔥🔥salama 💪💪💪💪💪👌👌👌👌🙌🙌🙌
@edwardkongo410
@edwardkongo410 2 жыл бұрын
Tatizo la huyu jamaa nimzungu sanaaa ,yuko so real
@emazjassam2452
@emazjassam2452 2 жыл бұрын
Ila li sallam lipo vizuri kibiashara.. Diamond kapata team nzuri Sana the guy he is so serous and visionary
@jessendegwahmusic488
@jessendegwahmusic488 2 жыл бұрын
Classic man Medez
@lukiyakimolo7153
@lukiyakimolo7153 2 жыл бұрын
Umewakata shombo salamu 💪💪💪💪💪💪💪
@kalamustudio
@kalamustudio 2 жыл бұрын
The sound quality is top notch aiseee.
@JP-lx1le
@JP-lx1le 2 жыл бұрын
Huyu mwamba Yuko real sana
@annabadru2352
@annabadru2352 2 жыл бұрын
Sallam SK kubwa la maaduwi ❤ U SK WCB 4 LIFE💪🏽💪🏽
@aaa64sa13
@aaa64sa13 2 жыл бұрын
Safi sana Boss Kubwa Nimekuelewa. Wasafi Mjini 4life #Wcb 4life#Boss Sk❤🇹🇿✊
@amaniewaar513
@amaniewaar513 2 жыл бұрын
Kindest gang for everyone
@davidmbilinyi4715
@davidmbilinyi4715 2 жыл бұрын
Sound nimeikubali sn ila hiyo spika hapo kwa dj itafutieni sehem isioonekana inaharibu muonekano was studio mendez
@emanuelmichael2369
@emanuelmichael2369 2 жыл бұрын
Kabisa kaka salamu
@sulleymernmannarah7930
@sulleymernmannarah7930 2 жыл бұрын
hyu dem anaulz maswl ya kisenge xna
@mwaulambo
@mwaulambo 2 жыл бұрын
56:37 Watangazaji wako hawa kufanya background check vzr. Most of the questions ulishajibu kwenye interview zako before ni ajabu leo mtu anauliza kuhusu wazazi wako. Please train them
@makavelihassani9694
@makavelihassani9694 2 жыл бұрын
Kbs kbs ndugu.......presenter wake wanatakiwa wawe makini sn coz kuna huo ushindani mkubwa
@deusntobi1450
@deusntobi1450 2 жыл бұрын
Binti katisha sana ktk kuuliza maswali . Dada ana kitu ndani yake namtabilia makubwa mbele
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 2 жыл бұрын
Background music is too loud
@mathiasloreu8985
@mathiasloreu8985 2 жыл бұрын
International manager
@ramadhanhamisi7405
@ramadhanhamisi7405 2 жыл бұрын
Sallam sk nipo pamoja
@dikodikson559
@dikodikson559 2 жыл бұрын
Background sound inabhoo
@channyanjen9047
@channyanjen9047 2 жыл бұрын
Nasikiya raha Sana kusikiya bado uko na diamond
@ashuraomar4935
@ashuraomar4935 2 жыл бұрын
DINA UNA KIHEREHERE SANA KATIKA KUULIZA MASWALI, SLOW DOWN UNAONEKANA UNATAKA UONEKANE WEWE TU HAPO SANA. UMEULIZA SWALI LA KIMBEA UMEMUULIZA SALLAM SWALI LA KINAFIKI NAE KAKUPASHA KWEUPEEE .ETI ULIKUWA INAKOOTA DINA MENDES UKAKOMESHWA NA BOSS WALO HAPO HAPO UKOMEEE KUJIPAKAZIA.
@saidirashidi6232
@saidirashidi6232 2 жыл бұрын
Mjini ya watoto wa mjini
@Johnjoo196
@Johnjoo196 2 жыл бұрын
The one
@kassimussimachanoh6971
@kassimussimachanoh6971 2 жыл бұрын
Nawapata vizuri toka Bulgaria....
@twayzo12
@twayzo12 2 жыл бұрын
Akili nyingi
@wcb4life875
@wcb4life875 2 жыл бұрын
Don kama don 😂😂😂😂😂😂😂 wanyooshe baba
@Paplick9
@Paplick9 2 жыл бұрын
Don mendez
@lelarubea6405
@lelarubea6405 2 жыл бұрын
Umesema ukweli Salaam ,daimond anajaza sana nchi za kiafrika lakini David hajazi hio ni kweli
@user-sp3gg7id8q
@user-sp3gg7id8q 2 жыл бұрын
Nchi ipi aliokuwa diamond ajaza davido hajazi? 😆 huyu Sallam Sk anam market tu msanii wake but sehemu yoyote diamond anayojaza basi harmonize nae anajaza achia mbali davido.
@dictarchelsea
@dictarchelsea 2 жыл бұрын
Uongo sana
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 2 жыл бұрын
Harmonize ziara zake nyingi ni katika nchi za Jirani za waswahili wenzetu Diamond kavuka hadi nchi za Afrika Magharibi na Davido kuna nchi hapendi kuzitembelea .Kwa hivi hawako sawa
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 2 жыл бұрын
@@user-sp3gg7id8q Harmonize ziara zake nyingi ni nchi Jirani Kwa waswahili wenzetu huko ndio anga zake. Diamond ameenda zaidi hadi Afrika Magharibi na Davido ana nchi chavhe anazotembelea na viingilio navyo vinavhangia kujaza na mwenyewe unavyotaka. Kufanya shoo ya viwanjani au kwenye maholi na ma VIp
@dontsto3865
@dontsto3865 2 жыл бұрын
@@user-sp3gg7id8q umeanza kutumia youtube 2021😂😂😂 hujui kitu alafu sai umeacha kutype ule upuzi wa kununua views kwa youtube
@mirroyjunior8348
@mirroyjunior8348 2 жыл бұрын
Mwamba huyuwapa sallam sk
@adamsengo1869
@adamsengo1869 2 жыл бұрын
Hao watangazaji hawajui kuhoji vizur
@josephbegi
@josephbegi 2 жыл бұрын
I feel for that lady... Silly question!
@KENYANSINDUBAI
@KENYANSINDUBAI 2 жыл бұрын
The interviewers hawajatulia kila mtu anarupuka na maswali na flow of interview and questions kutoka huku kuruka huko kurudi huku. Guys take your time have a plan on how you going to do a interview wacha kurupuka na maswali
@emmajuma896
@emmajuma896 Жыл бұрын
No chemistry amongst the interviewers
@somanda8140
@somanda8140 2 жыл бұрын
Uko vizur sana
@malikzafarani172
@malikzafarani172 2 жыл бұрын
Watangazaji mnakera sana tulieni anae ojiwa aongee
@cosmaskabila3058
@cosmaskabila3058 2 жыл бұрын
Konde boy on 🔥🔥🔥
@jacobsimkoko3096
@jacobsimkoko3096 2 жыл бұрын
Nimewaelewa
@naamanbenzema9227
@naamanbenzema9227 2 жыл бұрын
Mendez cjavutiwa jins ulivo mjibu uyo dem kuhs kutumia jna na mahusiano dah umezngua.
@delphiniusdeocress9798
@delphiniusdeocress9798 2 жыл бұрын
😂😂😂😂
@zedekiasamara1783
@zedekiasamara1783 2 жыл бұрын
AY amekaa kwa muda mchache kuliko wote Studio ila ndo ameuliza maswali ya muhimu kuliko wote
@mariamhemed5115
@mariamhemed5115 2 жыл бұрын
mziki upo juu kuliko sauti ya wazungumzaji maneno hayasikiki vizuri sababu mziki upo juu
@basesabasesa8660
@basesabasesa8660 2 жыл бұрын
Why you didn’t put harmonize his picture in the studio?
@officialjaygravity1915
@officialjaygravity1915 2 жыл бұрын
Coz it's not necessary
@basesabasesa8660
@basesabasesa8660 2 жыл бұрын
@@officialjaygravity1915 it is necessary, causes the greatest of all time is and the icon of Tanzania music
@josephevaristi8923
@josephevaristi8923 2 жыл бұрын
@@basesabasesa8660 you are not serious🏃🏃🏃
@drmdee
@drmdee 2 жыл бұрын
Huyu jamaa tunataman kujua historia yake kuanzia original yake shule alizosoma ulaya aliendaje harakat alizofanya xx mnamuliza kfup
@abelbest4984
@abelbest4984 2 жыл бұрын
Watangazi walikua hawajajipanga kabsa kuweka maswal ktk makundi ya mziki,siasa ,biashara
@abdullyathuman1425
@abdullyathuman1425 2 жыл бұрын
The presenters are fine, but ask the questions in order, not all of you are talking together. 👣👣👣
@charssamwel1015
@charssamwel1015 2 жыл бұрын
Aaaah...hii interview haiwez kuwa nzur kabisaa...kumbe chanel yenyewe niyake...yan hapo ni pipa namfuniko...
@vitusemanuel7776
@vitusemanuel7776 2 жыл бұрын
Yan harmo nikama maji usipoyanya utayaoga au utafulia mponde Ila aliyebalikiwa kabalikiwa tu
@meshackgerald4032
@meshackgerald4032 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣 wew kwel una shida sio bure sas hy mmakonde ana nn lbd cha ajabu ase zaid san ya kuvut moshi
@amanimapenzi571
@amanimapenzi571 2 жыл бұрын
Aaaaah wewe wacha uchizi wewe!!!! Kunywa dawa unaanza malazia
@jcrackcrack1669
@jcrackcrack1669 2 жыл бұрын
Sasa n maji ma n mavi,
@tembarooney7899
@tembarooney7899 2 жыл бұрын
Wewe unatombwa kweli harmonize nikama kinyes
@pilimwanza8117
@pilimwanza8117 2 жыл бұрын
Kwa kweli wanaomponda Harmonize ni vile wanampenda Dai. huna lazima ya kumpenda Harmonize lkn mziki mzuri uko kwake. watake wasitake
@husnasena6055
@husnasena6055 2 жыл бұрын
Mwamba yupo vzur
@Iamshombe
@Iamshombe 2 жыл бұрын
Hiki ni kichwa
@geofreybarama4000
@geofreybarama4000 2 жыл бұрын
Uyo dada anauliza sana personal issues kuliko maswali ya public..
@delphiniusdeocress9798
@delphiniusdeocress9798 2 жыл бұрын
😅😅😅😅alafu vtu vya ndan sana bila kupunguza ukali wa maneno
@dontsto3865
@dontsto3865 2 жыл бұрын
Dear God please surround me with people like Sallam sk...alafu yule MMAKONDE ata ikitokea ameshusha mapanga musiwe karibu nae kwa sana that nigga is too selfish and jealousy
@husainsmith3103
@husainsmith3103 2 жыл бұрын
Naomba diamond anunue jumba la wasafi entertainment tu maana ligi itakua kubwa
@simplebuttoughinaction8022
@simplebuttoughinaction8022 2 жыл бұрын
Unavimba Salam kondomu,kam demu mwenye wanaume 3 wanaojuan ile hawataki kukuach😸
@jamessamu7814
@jamessamu7814 2 жыл бұрын
Ila huyu big kma unamzingatia kuna vitu vyakujifunza
@sadikkhamis2547
@sadikkhamis2547 2 жыл бұрын
Tatizo lilianzia wazo la salam kufungua radio station yake. Hapo vita ya kibiashara ndio ilipo anzia
@adsonchisongela3768
@adsonchisongela3768 2 жыл бұрын
💰💰💰💥
@malkavoice2570
@malkavoice2570 2 жыл бұрын
Inakuwaje habari zinatufikia kabla ya host kuiachia. Hii media mpya kwetu ila interview pia ni mpya cha ajabu nimeunga unga sana hii interview mpaka nikaielewa nakuja kuipata hapa nshaichoka ila acha niishi nayo mimi mendez role model wangu!
@mohamediamanzi4540
@mohamediamanzi4540 2 жыл бұрын
Mendez kama mendez
@jumaamohamed2815
@jumaamohamed2815 2 жыл бұрын
Iko kidem ni kishamba sana kinajifanya kinyamwezi af Hakina unyamwez wowote af cha Ajabu hata Question anazouliza anakatwa tu nishai, inshort iko kipresenter cha kike akijui kuuliza maswali"
@delphiniusdeocress9798
@delphiniusdeocress9798 2 жыл бұрын
Anauliza personal issues sana
@lukiyakimolo7153
@lukiyakimolo7153 2 жыл бұрын
Mwamba huyuhapa
@mohamedihassani2390
@mohamedihassani2390 2 жыл бұрын
hapa ni dhahili kua Salam hamfikii harmonize angetunza heshima sana kama ange kataa ilo swali la kuusu harmonize alipo lijibia amempaisha harmonize na ssi wenye akili time gundua kua salam ana ufinyu wa kufikili heshima kwa babu tare nime fuatilia sana maojiano yake babu tare yuko vizr ubalikiwe babu tare
@emazjassam2452
@emazjassam2452 2 жыл бұрын
Mbona hamna kibaya alichoongea hapo, si ameeleza jinsi ilivo kuwa au skuiz mtu akisimulia jambo lilivo kuwa ni ufinyu wa akili😂
@haragitabrytoin6411
@haragitabrytoin6411 2 жыл бұрын
Ata kicha huw anatuona , wazma cc ndo vchaaa , you know ? The final thing after understand is judging
@salamaabuu7734
@salamaabuu7734 2 жыл бұрын
Kitu ambacho hukijui Salam sk sio levo za hamo. Hamo Ni mtoto mdgo sn kwa sk ww imekuuma kusikia sk anaongea bila kumuogopa hamo na sk anajiamin yn hatetelek kuhusu hamo kwhy ww umeona ivyo bc imekuuma sn dogo tulia home ndo anatafuta ujiko kwa sk
@richlymo
@richlymo 2 жыл бұрын
KONDE BOY 🇹🇿
@malikzafarani172
@malikzafarani172 2 жыл бұрын
+974 🇶🇦✌
@lenoxbuhanza4926
@lenoxbuhanza4926 2 жыл бұрын
Nani cake ya Taifa?acheni Taifa na mambo ya kipuuzi
@munganofilmsgroup8168
@munganofilmsgroup8168 2 жыл бұрын
Hapo kwa show amedanganya sana hapa USA wanakuja kwa pesa ndogo sana.ahache uongo.tena wanao waitahapa USA, ni sisi wa congo.
@mussamosesmwisrael5962
@mussamosesmwisrael5962 2 жыл бұрын
😜 uboya uwoo
@munganofilmsgroup8168
@munganofilmsgroup8168 2 жыл бұрын
?
@mohamedihassani2390
@mohamedihassani2390 2 жыл бұрын
harmonize yuko juu salamu hamfikii harmonize majibi yake yakujikakamua ila ukweli harmonize kwa salam harmonize ni mkubwa Kama angekua mkubwa asinge jibia chochote ila leo naamini Salam ni kolo
@shannykarisa8563
@shannykarisa8563 2 жыл бұрын
💉
@zeinababdi4757
@zeinababdi4757 2 жыл бұрын
We wanted to support his radio, but the way he spoke about Harmonize...we are done with him. We thought he was a smart business man but he is just arrogant, no body.
@officialjaygravity1915
@officialjaygravity1915 2 жыл бұрын
We or you??
@aaa64sa13
@aaa64sa13 2 жыл бұрын
Sema ww Bi zeinab Sio we,,,,😁😁❤🇹🇿
@wcb4life875
@wcb4life875 2 жыл бұрын
Who r U 😂😂😂😂 umeitwa hapa
@vincentmushi1247
@vincentmushi1247 2 жыл бұрын
Labda kama mvuta bangi kakutuma Hatutaki washamba wa mapenzi mpaka wanafilisika...aende Efm Mawingu kwenye hawamtaki
@reenyaysher7639
@reenyaysher7639 2 жыл бұрын
Who are you by the way???
@cedrikianoofficiel6718
@cedrikianoofficiel6718 2 жыл бұрын
Fata iyi mziki👇👇kzbin.info/www/bejne/f5jOf4ljZch_adk
MAHOJIANO YA Mwl. Elton akiwa Mjini Fm Radio 92.5
1:04
MADHABAHU YA FAMILIA TV
Рет қаралды 148
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 148 МЛН
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН
Syafie Naswip Makan Mihun Sup Bunian? - Sembang Seram
1:41:48
Safwan Nazri Podcast
Рет қаралды 27 М.
#LIVE : BLOCK 89 EXCLUSIVE INTERVIEW WITH SALAM SK  (AUG 21, 2019)
1:20:44
Studio Session KOMANDO,G nako ft Diamond Platnumz
25:35
Diamond Platnumz
Рет қаралды 489 М.
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН