You are the best artist in East Africa and you still keep it real and down to earth. God bless you, all the best. Go conquer the entertainment world.
@bidiiyako68038 жыл бұрын
Diamond, welcome to kenya! we all love you i appriciate you the way you talk, and humble yourself and i also Love you so much for the love of your Mum, God bless you Nasib!!
@alicewanjiku12938 жыл бұрын
wow diamond I JUST love you!! yani u are humbled n truly inspired by your story...I got encouraged too iyo part umesema u never used kuchagua kazi u did anything n everything! God bless you n may He also taking you to heights that you have never been! congratulations on your 2nd baby
@onlinebusiness80084 жыл бұрын
Ooh my Lord, if you blessed this man and many more bless me as well, in Jesus name
@joycenailantoi13758 жыл бұрын
Wow. I really love your humble soul Diamond. You have so much yet down to earth. May the Lord continue widening your doors.
@kingbenedict37223 жыл бұрын
Instablaster
@rosalynkaimuri11468 жыл бұрын
Hahahaha baby mama! #Idie#....Twakupenda sana Diamond sisi wakenya
@hakikabande79068 жыл бұрын
mashahalla uko sawa kwer kla mwenyewe mafanikio ana history ya maumivu napenda unavomjali mama mungu atazidi kukubalink
@DaveScamper8 жыл бұрын
As a person, it's surprising to see Diamond to be humble and deep in thought. Some people would be hot-headed at his level.
@daviskosgei53549 ай бұрын
These Tz stars are very humble during the interviews men. I like them for this
@ahmedalminshad12118 жыл бұрын
Mashaallah, lulu & mondi nawapa hongera sana
@emmahtumaini73608 жыл бұрын
woooow congratulations diamond mungu azidi kukulinda na kukufungulia njia zako
@strongnana22268 жыл бұрын
Napenda sana vile diamond utunza mamake..iyo ni heshima kubwa sana..pia ile nyimbo nitarejea dio the best kulingana na Mimi..
@anndavid4anndavid4708 жыл бұрын
😙😙😙😙
@mayag10487 жыл бұрын
Betty Kanana dj afro
@margaret3mg7 жыл бұрын
Ila alishamsahau #Hawa....yule dada aliyeimba nayeye #nitarejea..hiyo nyimbo ilimfanya avume sana
@rehemaramadhani2008 жыл бұрын
Napenda sana unavyo mjali mzazi mashallah mungu akuzidishie ......ilaaa baba je mond
@fisher_mane9 ай бұрын
as we are waiting for diamond in eld .we know it will be very funn
@johnnyabuto51386 жыл бұрын
diamond ni msanii maarufu sana aendelee kukuza talents
@benadam64118 жыл бұрын
Congrat lulu good interview... Diamond umejibu kila swali vizur
@yulestevo3 жыл бұрын
This interview inspires me to date,,I'm here in 2021..
@kukungombe298 жыл бұрын
Diamond has so much positive energy... What!!! no wonder the success..
@patiencenimmoh39565 жыл бұрын
Salute sana Chibu napenda kazi zako 😍😍😍
@warrensantana15703 жыл бұрын
Diamond amebarikiwa na Mungu,,Kama Kuna kitu aliongeza Basi alikosea Sana
@reginabwija12048 жыл бұрын
poa sawa baba tee,,usijali mungu atakubariki sana
@hamadihamadi29668 жыл бұрын
najivunia kuwa mtanzania brother diamond
@rozyalubale87976 жыл бұрын
Duh! Unazungumza kwa upole,,,nahisi ndivyo ulivyo kule kwenu😇😇😇😇😇😇
@sallykanze8 жыл бұрын
Simbaaa welcome hme sweet hme,,proud of you baba Tee,mm ningekwambia tuu subiri miss Zee ajifungue mwanaetu then mfanye bongeee la harusi hapo nitafurahi sana juu visura ni wengi mno chibu bwana,,hebu utawafunga midomo si haba.
+cheupe gmail.com. Hh112233cheupe mawazo yako hayo shosti ila itabaki story ya wema na Chibu
@samsonchuma58797 жыл бұрын
big up diamond mama ndo Mungu wa pili
@Itemelodies Жыл бұрын
2023 let's gather here
@ruthmwangi63538 жыл бұрын
humbled diamond. bravo!!! at least u didn't give lulu hard time. ...your cooperation highly appreciated
@shantombaga60687 жыл бұрын
nakukubal xan
@nadianadia-ts8hu8 жыл бұрын
best interviewer @lulu ....you never dissapoint😚😚
@pitiegrace65058 жыл бұрын
I love this lady, she knows how to interview
@princeadaah83938 жыл бұрын
wow tht was an awesome interview welcm kenya simbaa
@sharlinanyanje5238 жыл бұрын
woow mungu akubariki sana baba tifa..naipenda sana hyo nyimbo yko y kwanza nenda kamwambie..
@trizahlisapaulz29478 жыл бұрын
congratulation lulu hassan loved how uved interviewed diamond..
@yvonnekambua85398 жыл бұрын
Always Dad tiffah congrats
@thomasphilimonmolel88553 жыл бұрын
Simba 🦁🇹🇿👏👏👏👏👏👏👏👏👏
@shemmyveer498 жыл бұрын
He is talking on his side ,all in all the truth stands out
@adielmunyiakakamwana32588 жыл бұрын
😂😂😂😂baby mama...isokey...i love ur humbleness Diamond
@carolmaweu95487 жыл бұрын
Love ur songs mondi
@ramkombo35778 жыл бұрын
nakukubali sna mnyamwez wang @@@simbaaa
@benwekesa61393 жыл бұрын
hope for the best whatever you do be strong and courage self deffence for perfomance
@TheOne-fi6cs7 жыл бұрын
Much appreciated
@victormbekomize81542 жыл бұрын
2022 maisha ni safari ndefu sana da!
@stephengenerally45578 жыл бұрын
i love him
@princessima60018 жыл бұрын
Nakubali kaka una Point Poa sana
@beckienash97998 жыл бұрын
Much luv
@bobushivo61828 жыл бұрын
big artist bigger brain biggest hits.....your da best
@sophiamwambi53958 жыл бұрын
wow I like the way he answers his questions
@abuuiddi91107 жыл бұрын
Sophia Mwambi +97477053859 nicheki kwa hiyo pliz
@ifgodsayyes.nobodycansayno17968 жыл бұрын
we love your music diamond kwani nini
@marilynkinyanjui93888 жыл бұрын
congratulation@lulu Hassan yu represented Kenyan ladies well behaved
@bankiiz_9952 жыл бұрын
Great
@afrankayamba51938 жыл бұрын
simbaaaaaa nakukubali sanaaa
@kilionokwiri44578 жыл бұрын
hongera
@anjunurdin27637 жыл бұрын
Kilion Okwiri Nimependa sana diamnd unavyoongea.maneno yako yabusara sana .wanavyokupakazia watu diamnd anajidai. na mengine meengi hawakujui vizuri nadhani.ni maanii uliejaa na busara hekima sana. na unajituma sana ndio maana umefanikiwa. ila tu ushauri wangu mm kwa Baba yako.maamehe na yeyd uwe nae karibu saana apate kukunjua moyo wake.mpelekee wajukuu zake awaone.kabla hajafa. nyimbo yako ya Je utanipenda sijui uliwaza nn.lkn sioni ajabu ni kawaida yako.nikuondoshee huada kwa kusema MAASHAALAH.
@valeriejad69468 жыл бұрын
Thats gud Nasibu keep it up
@jercostelly78828 жыл бұрын
my boy
@zuhrahalima59878 жыл бұрын
wee diamond usijifanye umesahau zari ako na watoto wengine watatu.
@flomrembowakenya55248 жыл бұрын
welcome kenya diamond
@rashidinassoro94938 жыл бұрын
Nice Simba bigup sana Chibu
@abdulhamidu44748 жыл бұрын
napenda Sana nyimbo ya chayachege na daymond waache waowane inanikumbusha mbali sana
@lucascharles1077 жыл бұрын
salute simba
@speciozaslyvester55507 жыл бұрын
amina xana ndugu yang tunakupenda xna mwanamzki Wetu wa dunia nzima ww ndo the bext dunia nzima
@braisonmadoya71348 жыл бұрын
wow! simba mwenyewe
@janengota86867 жыл бұрын
mungu akuzidishie kheri
@doreenmalesi60398 жыл бұрын
Diamond mtoto wamama ✌✌✌✌
@Loudlovealways Жыл бұрын
An icon of AFRICA 🙌🏽🤍🤍🤍🤍🤍
@Alan-ys9vi Жыл бұрын
Well
@jahkeythomas60438 жыл бұрын
wow congrats..stayblessed
@hajjkenya60477 жыл бұрын
Jahkey thomas
@obedygwasa13193 жыл бұрын
platinum
@jacobfredy56777 жыл бұрын
no one like cmba alwayz cmba remainz as cmbaaaa
@73chengosaro48 жыл бұрын
OK MAY GOD Bless HIM -but why so unforgiving to his Father.
@manziwamukurweini97958 жыл бұрын
big up saana baba tiffa
@kamkamkamkam96188 жыл бұрын
brother we love you .
@renatusyuda42304 жыл бұрын
Diamond baba lao
@DirectortristanKevin_POKOTTV Жыл бұрын
Ogopa simbaa
@jackie.kilola95588 жыл бұрын
God bless u
@stvonlineke8 жыл бұрын
Nice interview love you both
@amosmbugua80797 жыл бұрын
Diamond....... my no 1 artst
@jadjawhary86528 жыл бұрын
I don't want to comment negative or positive my feelings are neutral any always love kenyans
@stevenmaasai23847 жыл бұрын
braza kaza sana
@wycliffemurunga91818 жыл бұрын
good
@jennyjohrida64538 жыл бұрын
nampenda Sana huyuuu daimond
@halimambwego82878 жыл бұрын
Nice work 🎺🎸🎷🎵🎤🙌🙌😘😘🔥🙇🙇🙇🎻🎼🎶
@ashmitepromite16308 жыл бұрын
nyc
@samweelmagaga40328 жыл бұрын
Hakuna kama mama
@maureenkakai12818 жыл бұрын
Big up Diamond
@bobmorse20847 жыл бұрын
Haiii
@bonnynyawade97468 жыл бұрын
nice
@samwelmahanyu33638 жыл бұрын
kaka Mond ww ni simba kwelikwel Mungu atakufikisha mbali kwa kuwa huna hiana
@bettyot46958 жыл бұрын
nichinjeni tu nchojua diamond amejaliwa na ana heshima.Kwake sibanduki Mimi
@boboshantie88718 жыл бұрын
I like u lulu unlike mwende wa radio maisha
@tafari9888 жыл бұрын
Why loud music on the background it undermines the entirety of the interview per se.!!! 😊
@reemajeereemajee21058 жыл бұрын
Amazing inspiring indeed... lol
@shannimajanga18478 жыл бұрын
I was coming to south Africa lmfaooo
@yasminkituku38758 жыл бұрын
enyewe watu utoka mbali
@blacksoldierMan3224 жыл бұрын
...%niite sojamanmiusic brother heshimakwako
@darlingg41928 жыл бұрын
simba mwenyewe..diamond
@marymonthe45998 жыл бұрын
simba karibu Kenya uongea ni kwa star tu.
@bone1028 жыл бұрын
huyu dada ni Mkenya kweli mbona anaongea kiswahili cha Tanzania kabisa
@anndavid4anndavid4708 жыл бұрын
Lulu ni wetu twajivunia sisi wakenya
@bone1028 жыл бұрын
nimemkubali anaongea vizuri sana
@souzanengambi96038 жыл бұрын
ni mkenya wa mombasa
@eriqueyoungin50188 жыл бұрын
She can speak good English too
@giocheca3998 жыл бұрын
Kaka kutana na Wakenya wanaoongea Kiswahili fasaha. Usidanganywe na akini Juacali na Nonini. Hao huzungumza Sheng', sio Kiswahili. Tupo, tena kwa wingi, sehemu zote za Kenya, sio Mombasa tu. Utashangaa na upendezwe.
@luanamwambigija43608 жыл бұрын
Hua na Apriciate Unacho kifanya bro na Najifunza mengi kupitia Interview zako
@berylfaith40018 жыл бұрын
my baby mama...my girlfriend zari.... hehehe
@josephmtemele85976 жыл бұрын
nakuelewa Mkubwa umetoka mbali hakia
@azizayassin36238 жыл бұрын
okay
@halimambwego82878 жыл бұрын
🎹🎼🎶♥♥♥
@akumabrian27238 жыл бұрын
Hi . May be one should stop being a Diamond fan because all about him is always not in English.
@BigZhumbe7 жыл бұрын
Akuma Brian ....Hehe he is asked in swahili do you expect him to answer in English????