MKALABOKO AWEKA WAZI MATAMANIO YAKE KWA YANGA KUSHINDA,BOKA NDIO UCHOCHORO YANGA,WAKIZUBA WANAFUNGWA

  Рет қаралды 2,684

BENTV MEDIA

BENTV MEDIA

Күн бұрын

Пікірлер: 11
@fedinandsilayo736
@fedinandsilayo736 Сағат бұрын
Acceleration speed 😂😂😂😂😂😂
@Zaburi-
@Zaburi- 3 сағат бұрын
Mahojiano yanazungumzia mapungufu ya Yanga tuu,kwanini hamsemi mapungufu ya MC instead mnazungumzia strength yao😂😂😂bongo
@mansooralaisri5200
@mansooralaisri5200 3 сағат бұрын
Yanga iliocheza na MC Alger kule Algeria, Sio Yanga hii. Watapigwa tuu.
@MohammadHashimu
@MohammadHashimu 7 сағат бұрын
Kala boko unajua
@allysaid5204
@allysaid5204 5 сағат бұрын
Yanga wanashida kiulani tu Tena goli nyingi walitufunga hawakutuzidi sana Kuna baadhi ya wachezaji hawakucheza subir uone
@allysaid5204
@allysaid5204 5 сағат бұрын
Wewe nawe kama kolo vile maana hueleweki akishinda Yanga utasema Yanga anakutapisha sumu
@maliadii4829
@maliadii4829 9 сағат бұрын
Mpanzu hajawahi itwa kwa timu yao ya taifa kk ila Lombo yumo timu ya taifa ya kwao bro na Maxi yupo sana YANGA 😂😂💚💛
@YayayaJimmy-x8j
@YayayaJimmy-x8j 6 сағат бұрын
Jitaidi kufatilia max,lombo na mpamzu wamecheza wte tim ya taifa.
@KarokiaNdirango-lj3wf
@KarokiaNdirango-lj3wf 8 сағат бұрын
Tatizo la Yanga kocha hajui kupanga kikosi
@chemstry409
@chemstry409 5 сағат бұрын
Mama yako atapanga vizuri....
@mansooralaisri5200
@mansooralaisri5200 3 сағат бұрын
Mtu ajibiwe kihekima, sio kwa kumdhalilisha. Busara itawale.
MSHIKEMSHIKE - AZAM TV 17/01/2025
47:34
Azam TV
Рет қаралды 3 М.
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН
Lissu azungumzia uongozi ndani ya CHADEMA
11:38
DW Kiswahili
Рет қаралды 69 М.
UCHAMBUZI AMBOKILE | KWA SABABU HIZI |YANGA LAZIMA WAENDE ROBO
10:17