Sikulaumu! isipo kuwa mnaigiza kwamba mna maisha mazuri, lakini na sisi wazazi tujifunze! Kupandikizwa maneno sio vizuri, Tunawaumiza watoto wetu. Kama utajiri mbona sisi hatukuupata tulivokuwa vijana? Watoto wetu nao wanaishi kwa kuungaunga tu huvumiliane!!
@ameirzapy13182 жыл бұрын
Mazingira jamani, love ya familia iachieni familia, Mungu ndio anajua zaidi magumu ya familia zetu,
@samwelipaul14622 жыл бұрын
Mtu wa kwanza hapa duniani Ni mama
@safiyatheonlything78482 жыл бұрын
Kula ugari na sukari siyo shida mm nakumbuka nimewai kula ubwabwa na sukari miaka hiyo na tupo dar pia inategemea na mazingira mnayo ishi sanya msishangae kula ugari na sukali kuna watu wanapitia maisha magumu hapa labda mkali ajitaidi akipata ata pesa amfungulie mama biashara ata ya genge
@rosemaryikamba52882 жыл бұрын
Wanataka wakupunguzie mwendo piga kazi' Bro. Najua wewe ni mtii utatengeneza Kwa Mama Yaani ukishakuwa Kwa yale madhabau lazma upigwe Vita au upitie changamoto Vikwazo Ndo utoke maana pale mafanikio ni lazima Gold Ina pita Kwa Moto kwanza ndo ionekane vizuri so don't give up na vijimaneno
@OfficialA836402 жыл бұрын
Mm mama yng mkubwa kila Eid lazima apate dela au kitenge na kila mwezi sikosi mazaga zaga ya kula na ni mama yng mkubwa sio mama mzazi Lkn hd leo anisahau kutwa nipo mdomoni mzazi sio hd umpe mamilioni ndy aridhike ni kidogo tu unachotoa anaridhika lkn huyu kamtupa na ndy maana amelia yule mama
@lovvy8542 жыл бұрын
Kweli Yule mamaake akulia kwa kumchukia ilaamelia kwajilia ya maishaake dhofu na anao watoto wakubwa mjini wanaoeza kumdhibiti kama mama
@nishaabdula50152 жыл бұрын
Sn yn elf 10 mwez mzima jmn kaa yy anatumia kias hk kwa kwa mwezi
@ruqaiamohammed3452 жыл бұрын
Mashaallah Allah atazid kukufungulia rizki inshallah 🤲
@OfficialA836402 жыл бұрын
@@ruqaiamohammed345 Amiin🤲
@ruqaiamohammed3452 жыл бұрын
@@OfficialA83640 🤲🤲
@mamafaiza17202 жыл бұрын
Bimkubwa nampenda kinyama nyama akikohoa tu wanangu nawalaza njaa mama afulahii
@kilogreek40502 жыл бұрын
AMNA KACHA TANZANIA WATU WANAKULA UGALI NA SUKALI NA NDIMU YES
@tamimakhalfanikhani84032 жыл бұрын
mkali ajishushe tuu uwo ndo uahisia wa maisha ya mamake sio kama imepangwa japo mama hakutaka kufunguka kama alilazimishwa ivi lkn ule ndo uhalisia
@sharifanyumayo63142 жыл бұрын
Jaman msipende kuhukum kila mtu anajikuna vile mkono ufikapo! Nyie wote mnaokoment au watangzaj je wazazi wenu mmewatengenezea maisha mazur? Acheni hzo mi simtetei bali toen kwanza kibanzi machon mwenu kisha muhukum mtu. Maisha ya mtandaon syo kabisa.
@naalyhussen32532 жыл бұрын
Kikubwa kujifunza . Vip mama yupo hai humjali na mungu kampa nafasi 3 baba kapewa 1
@ziadaarthasan65752 жыл бұрын
Nikwer watanzania niwanafiki sana Mimi Sina Imani kama hawasaidii
@nadrahassan52412 жыл бұрын
Kuna kitu ni vile mkali hataki kumsema mama nikweli mtoto kumtelekeza mama ni makosa ila sasa kuna wazazi wana sababisha watoto wao wasi wajali wanawalea kimakosa hawawajali watoto na kuwatelekeza. Hivi kwanini msijiulize kwanini mama yake kawa na bwana m wengine na baba yake yuko kijijini wazazi wawe wanakumbuka kuwa kuna kesho watoto wana kuwa
@mercypeter1622 жыл бұрын
Yulu mama Mm naamini hatanganyi. Ila naamini wasanii maisha Yao Ni usaniii wanapotosha jamii hawana mafanikio ya kweli wasanii nao wananjaa sana tu ni maigizo tu
@baimarrajahbuayan62372 жыл бұрын
Sio. Lzm umpe kikubwa mama Hicho.hicho kidogo gawana nae Ukisubil kikubwa anaweza asikifikie ukakosa na Baraka kabisaaa
@ziadaarthasan65752 жыл бұрын
Yule Mama atakuwa amepagwa na wanafamilia ambao hawampendi mkali kwwnye familia asilimia kubwa hawapendani japo mmetoka tumbo moja. Yule Mama ake mbona anaswiha nzuri sana halafu yule mdada kapata wapi pesa ya kusuka lasta kama kwer wanashida halafu . Mimi nachoona familia yake ndo inmwekea hasadi mkali wenu
@rosemaryikamba52882 жыл бұрын
Huo ni wivu wa B. M W. Litawachoma Sana Ndo imetoka Hiyo NABII MKUU GEORDAVIE akishatamka mafanikio Hakuna wa kutengua mkali atazidi kupaa zaidi coz ana Imani na ni mtii
@patriciamkufya19922 жыл бұрын
Uyu mkaliwenu nimchaw sana kwaiyo mamayake aongee uongo
@tungaraza77942 жыл бұрын
huyu dogo mwenye miwani ukute nae familia yake ipo kwenye maisha hayo
@peterdavid42302 жыл бұрын
tatizo mkome kujimwambafai wewe unadiliki kusema BMW X5 eti million 200 ata zwazwa huwezi mdanganya ivo afu gari yenyewe ya mwaka 2008 unahic mamako akisikia ivo c atahic una hela nyingi iyo gari issue ni kuweza kuihudumia ndo muache kuongeza zero ili kuonekana mna pesa wakati mnashindwa ata kuwasaidia wazazi wenu uko na mnaishia kuaibika acha Mungu awaumbue
@bibiabdallah17642 жыл бұрын
Kulingana na vile niliona katika kipindi Cha ICU mama haishi maisha poa, sioni kama inatakikana ikuwe discussion ndefu, ila iwapo Kuna jinsi mama anaweza saidiwa na WA Tanzania itakuwa bora.
@titomeleki80772 жыл бұрын
Kama Hadi sasa hivi ili umasaidie mzazi wako hadi aseme leo sina naomba hela ujue bado sana hizo si Baraka , mkali wenu na wasanii wengine walio kama yeye jitahidini sana mzazi apate chochote kitu hata kutengeneza utaratibu mzuri wa hata baada ya siku kadhaa kama mbili tatu umtumie hela , wazaz wanafurah na ndiko baraka zinakotoka
@dorjay88982 жыл бұрын
Uza gari mpatie mama yako pesa ya kuanzisha kagenge na kutengeneza choo huwez kukosa hata laki 1 jmn ya kumsaidia mama
@munajomar32182 жыл бұрын
Lkn kiislam hawa kina juma wanakosea .sana,ule ni uzalilishaji kama wanahitaji kumsaidia bs iwe siri yao sio dunia nzima .na huyo mkali ndo kwaza hana ustaa wowote kelele tuu s mmeona harus yake yakimaskin .halafu akome nae kumwita kapewa gari na nabii manabii waliiondoka zamani sasa kuna mashekh kama kaingia ukirsto mungu amlipe tuu
@jumaamartin79292 жыл бұрын
Mkaliwenu mungu anakuona muogope mungu mkali wenu innalilah wainnailayh rajuuni.
@barakatabdul32122 жыл бұрын
Huyu jamaa Alovaa blue" imani yake yaonesha wazi ndogo pia, Mzazi haezi kula chakula Dunii" ispokua kukosa budii Binaadamu hamna asopenda kizuri niuwezo tu! Kuna walojaaliwa na Ambao hawana haya ndo maisha ya Kidunia yalivyo.
Mm wala hajasema kama asaidii ila anasema anampa ila awezi kujuwa kama ana para pesa au laa nawala hawajpanga ila mkali amtumnze tu mm asiangalie kama wamezaliwa wengi
@smsumalii61382 жыл бұрын
Acheni kumtetea Mkali Wenu kwa mazingira ya yule mama kikiumweli hamsaidii mama yake inafika mpaka anauza karanga ili apate chochote then anamtumia elfu 10 kwa mwezi papo hapo hata choo chake si mmekiona kiukweli Mkali Wenu hafai kua kio ktk jamii ni mshenzi sana tuwaoneleeni huruma wazazi wetu
@barakakusa76062 жыл бұрын
Mkali anazingua sana Kwani akimpa hata lqki 5 ya mtaji aanzishe biashara nyingine.
@nishaabdula50152 жыл бұрын
Si ndo hp jmn Ana tembea karanga kichwani kaa
@jumapiliissa48352 жыл бұрын
Yule mama hajapangwa tumeona wenyewe mama anasema mazingira ya mama tumeyaona yani kubali umekosea baraka zinatoka kwa wazazi anapikia kuni aisee wesiyo poa
@salim02tv242 жыл бұрын
Akunaaaaa mazingilaaa ya kupangwaaa mama mwenyewe alikuwaa atak aojiweee.. mkali anadanganyaa
@Johanah77212 жыл бұрын
Kwa maisha aliyo nayo mkali na ustaa wake mama aake sio wakula ugali na sukali jamani bola ale ivo ukiwa hujulikani kila jpil tunaona unapewa pesa kanisani unashindwa ata 10 akaninua ata dagaa
@naalyhussen32532 жыл бұрын
Anamsamini nabii kuliko mama
@shangazshangaz42222 жыл бұрын
Mbona sisi nyumbani kwetu tulikua tuna kula ugar na sukari nailikua kawaidatu🙄🙄
@reginamanyangu72582 жыл бұрын
Mkali hanaadabu mpuuzi mkubwa mama yake hata kitanda hana hata choo jiko la mchina la la mwaka70 yaan mama ana lala njaaa kwer
@godfreykovaga34542 жыл бұрын
Uzalilishaji ivyo vipindi vya kishenz kwenda kwenye fqmilia ya mtu watanzania wa ngapi wanaishi maisha mabovu zaidi ya hayo
@donlinechanell47602 жыл бұрын
Oya sikia mwanangu watu wanaumia sana kwa sababu wale ICU waliitwa na watu baada ya kuona mama yake na mkali anaishi maisha magumu sana angalia ile vedio huto sema hlo unalosema lazima mkali asemwe ili ajirekebishee mzaz wa mkali wenu sio wa kukosa hata chooo sio wa kuuza karanga hv mkal miaka yote anashindwa kumpa mama yake hata lak 5 afanye biashara??? Mkali usimtetee ni muongo sana sana sana
@OmanOman-bx5du2 жыл бұрын
MMA yako anatembeza karanga unashindwa kumfungulia Ata stoo ya mkaa au duka genge. Utaraaniwa wwe
@samwelsengati13692 жыл бұрын
Mkali wenu endelea na maisha yako wasikupangie maisha. Mnamshambulia mnajua chanzo cha haya yote. Maswala ya kifamilia waachien wenyew unaweza kuta mama ndio ambae hasaidiki mnakaa mnamlaumu mkali wenu
@mbanga67592 жыл бұрын
Wewe hujielewi hujui hakuna Kama mzazi
@samwelsengati13692 жыл бұрын
@@mbanga6759 mi nilipoona umecomment nikajua umecomment cha maana soma mstari kwa mstari elewa nini namaanisha. Mnaaminije yaliyoko mtandaoni km ni kweli je km mama kapangwa? Huku nyie mnajadili matokeo badala ya kujadili chanzo.
@sanaiyyaabdallah28742 жыл бұрын
Ww kwel ujielewi Kuna mama gan kwenye hii Dunia asie saidika
@abdallahally8422 жыл бұрын
Huyu alievaa tishet 🔵 nimpuuziii tu anaogea upuuziii achakutetea upuuziii mbwa na ww sawa na mkaliwenu hujui thamani ya mama unatetea upuuzi fala Kwanza mshamba tu eti studio unavaa miwani yakipofu
@alexsogolela77772 жыл бұрын
usiseme na mume wake sema na baba hata kama sio baba mzazi
@lilybarongo81192 жыл бұрын
Mkaliwenu huna akili,mke ndo Nini Hilo takataka.....mama Ni mama uza gari mtunze mama
@maryamtanzania97432 жыл бұрын
Mama mkali hajaongea vibaya pia kasema anampqga elfu na hajui kama anapataga hela kiasi
@rukkysayid66132 жыл бұрын
Hamna lolote tuachie katika kula je mazingira pia wamempanga kuweka vile na ile ndiyo hali halisi anoishi mzazi wake, huko ni kuona tu aibu inabidi ajitetee cha msingi amsaidie mama yake haijalishi wamezaliwa wangapi lkn yy ndani ya family ndiyo amepenya kimaisha japo kidogo hajaambiwa tajiri lkn uwezo wa kurekebisha japo kile choo pia hawezi hasituchoshe 😏
@nishaabdula50152 жыл бұрын
Kbs I ni haibu yule ni Mama awez kuogopa na wla yule mama ajaongea vibaya mbona kaongea vizur tu na kasema kbs anasaidiwa na mwnawe ila si kivile
@ziadasalimu17302 жыл бұрын
Mbona mama yako amesema una mpa elf kumi, ila mbona wako wengi sana watu wa hivyo, sishangai, harafu pia hutakiwi kumsaidia mzazi mpaka uwe na kikubwa Mimi nipo Lai nisile Mimi jamani wazazi wangu waishi vizuri mungu ndio shahidi wangu, muda mwingine tunafanya hata mambo ya hovyo Ili usaidie familia,
@Mpakauseme2 жыл бұрын
Sasa wewe pengine unauwezo, sasa unafikiri watu wote wapo kama wewe
@jasmineedamu60892 жыл бұрын
Me mwenyewe mama angu nampaga elfu kumi Halafu shega tu😂
@oscarmario4662 жыл бұрын
Huyo mama anabahati kweli anapewa elfu 10 wengine hawawezi hupewa hiyo
@fathimamct2322 жыл бұрын
Mkali wenu amekosea amuombe mama Ake msamaha sababu yy anaangalia wenzake unapotaka kumuhidumia mzazi usiangalie wenzio muhudumie ww kama ww
@nyulaseptember55732 жыл бұрын
Uyu mkali wenu. Amekosea tena amekosea. Aiwekani kwa ustaa alokua nao. Eti maisha ya mamake aishi vile.. mkali wenu acha tabia izi. Usijifanye huna pesa bhana..
@lewismpangala9272 жыл бұрын
Staa analipwa shilingi ngapi?
@neemamushi44762 жыл бұрын
Yule mama kweli anamaisha magumu,ila kitendo cha kula ugali na sukari ile ni kama ilitengenezwa maana kama anaaford kununua sukari ambayo ni 3000 @kg vp ashindwe tembele fungu 500
@highthemetv78572 жыл бұрын
Matembere kila siku ? Yakiota tumboni je ?? 😒😒
@ElizabethKiluvia2 жыл бұрын
Iyo.ela.ya.sukari.siwangekula.ata.nynya.chungu
@leiratykisura67182 жыл бұрын
Iri senge sana yan hunafuraiya kupata gari hariyakuwa hariekuzah na kukulea humemtelekeza unamjari mke kuriko mama kweri heti tatizo mama kachukia kupata gari kweri hakuna mama wa ivyo msenge sana mkari hauna hakiri mama anakura ugari na sukari wara haujari
@georgesitta2952 жыл бұрын
Mnakosea sana watu was media
@salim02tv242 жыл бұрын
Kipii wanachosekeaaa
@nelsonjonathan76602 жыл бұрын
Media zinakosea nini...kama huelewi kaa kimya hizo media ndo zinafanya watu wapate misaada
@wahapahapa32792 жыл бұрын
Mkali nae aache ujinga sasa hata kile choo anashindwa kurekebishisha? Mimi siamini mkali kwenye maisha yake kashawai kosa hata laki saba au milion, toa laki 3 or laki nne jenga choo Mpe laki ela Nyingine afungue hata Gange sio kwa umri ule azunguke na karanga ni uongo, tatizo la wasanii wengi ni watu wa starehe sana na sio mama ake mkali tu wasanii karibia wote wazazi wao wanamaisha magumu ,na wazazi hawajazwi ni wasanii wenyewe wanaionesha kwa jamii kama wanaela, sasa kama mtu kasema ana gari ya milion 20 sijui 30 kama mzazi unaangaika na karanga barabarani ukiskia. Hivyo utajiskiaje ?
@barakatabdul32122 жыл бұрын
Maneno yako Sadaktaa" hayuko serious mkosefu wa imani"
@vivianmweyunge29972 жыл бұрын
Na alipewa pesa na nabii
@nadrahassan52412 жыл бұрын
Mama yake sana bwana ambae si baba mzazi wa mkali si amengenezee😂 baba yake mkali yuko kijijini 😝
@lailaoman38562 жыл бұрын
Atamie nashangaa siwewe pekeyako,akiulizwa eti sipo pekayangu,mtihani mwenyezimungu atupe m wisho mwemq na wqzazi wetu
@rukkysayid66132 жыл бұрын
Kabisaaa anaongea uongo mtupu yule mama anaonekana haswa anashida kama unampa.mama lki kweli ale ugali na sukari
@fatmaabdallah77092 жыл бұрын
Afadhali yeye anakula ugali na sukari bado ni gharama kuna wengine wanakula ugali na chumvi! Yote maisha tu. Hao wanaorekodi mama wa watu hebu watuletee mama zao nao tuwaone hata ndugu zao hatuwajui
@saidimalilo96402 жыл бұрын
broo siyo wonte broo kunamambo kwenye famillya broo we ACHA Dunia inamambo hiiinaweza kuwa comd
@Rehema-h6t2 жыл бұрын
Ugali chumvi ni kawaida shida ni kumjali mzazi bali hata choo jamani
@sarahgaula22202 жыл бұрын
Huyo Kaka aliyevas blue anajiona ana point's kweli kumbe anaongea utumbo kabisa atakuwa ndio wale wale. Kwanza alivyo Tu anaonekana ni irresponsible man.
@shedrackdamian28702 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@nadyasamson88102 жыл бұрын
Km ww
@sarahgaula22202 жыл бұрын
@@nadyasamson8810 mi ni mwanamke kama wewe. Nakuonea huruma Kwa comment yako mana mwenzio natunza wazazi hata mwanaume hawezi. Bima ya mzazi wangu mmoja 984,000 Kifurushi kikubwa cha Timiza Kwa mwaka na ninao wawili na hakuna mtoto WA kiume kwetu Ila tunapambana kutimiza mahitaji yao mana wamestaafu miaka 22 iliyopita
@nadyasamson88102 жыл бұрын
@@sarahgaula2220 jionee huruma ww na familia yako,wa kuhukumu ni mungu tu
@adredandorero29112 жыл бұрын
Hajaangalia kipindi huyo anaropoka tu
@emmanuelcharles56132 жыл бұрын
Maisha hayo yapo umaaru haimanishi kuwa una maisha mazuri umaarufu ni matukio mkali wenu yuko sahihi bado ana pambana wazazi wengine huwa hawajitambui
@hanifahkhamiss84852 жыл бұрын
Lakin mkali sio kwa mazingira yke ina sikitisha wallah....na kwa hali iyo bc hautofanikiwa mama kwnxa hlf mengine yaendelee
@devdmrema78592 жыл бұрын
Mtu hapangiwi namna ya kuishi na familia yake mkali apambane na maisha asiskilize ya watu kwani angekua hana umaarufu wange mfata ao ICU??
@emmiemmi38612 жыл бұрын
Alafu anamama mzuri anamtetea mwanae wangekua wanawake wengine angepata kichambo
@OmanOman-bx5du2 жыл бұрын
Niaibu kwakweri anajisifiaga kuaanapesa mzazi anampa arufukimi Kwa wiki mkari wenu sikupendi tenaa mpumbavu weee
@ngebafaila35812 жыл бұрын
Je kama watu walimpanga bimkubwa je choo nacho walimpanga ? au chumba cha watoto kilikuwa je kupikiya kuni nako je? Ukipata kidogo kula na wazazi wako ndo baraka
@vanessadahnilly85512 жыл бұрын
Hivi hawa watangazaji wanaongea nini special huyo mwenye nguo ya blue kama senge 😏
@selemaniselemani70142 жыл бұрын
Shida sio elf10, nilichokiona nimazingira chek nyumba anayoishi , choo, kupika Bado Kuni kweli (angalau mkaa, )kwa wakati huu ndani ya Jiji la DSM , hapo akubali makosa, na wakae kama familia na nduguze warekebishe,
@bobboris48592 жыл бұрын
Mkali anafeli sana
@leonardkapati31252 жыл бұрын
Wakina juma walimlazimisha Sana na huyo mama hakujua Kama anarekodiwa ifike kipindi watu waheshimu maisha ya watu wanarusha kipindi bila ridhaaa ya mtu mkali nenda mahakamani na bi mkubwa wako ukaulize kisheria imekaaje ili hzo media ziheshimu maisha ya watu
Sasa kwann upokee gari 200 million then uishi maisha magumu! Ungechagua ata pesa ili ujikomboe kulko gari 🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄
@reenyaysher76392 жыл бұрын
Zawadi unagua na wewe,
@rosemaryikamba52882 жыл бұрын
Na sio poa kuwadhalilisha wazazi namna Hiyo nyie waandishi muwe na mipaka Hiyo ni too much hata kama ni utandawazi mkali ndo anaaanza Maisha acheni kujaji maisha ya mtu mind your own business guys
@southernkid69322 жыл бұрын
sasa kaweza kununua sukari kashindwaje kununua fungu la mboga la jero na kanunua sukari ya kilo tatu
@MariamTausi-xo6bk Жыл бұрын
Mkari wenu ana roho ya kusaidia kakimbilia kuoa kutaka sifa mama aja mtunza wala kumwandalia mazngr mazur
@jumaamartin79292 жыл бұрын
mkali wenu wewe ni staa miubwa hata choo mkaliwenu kwa hadh ulionayo unashindwa!!!? unasemaje bi mkubwa kalishwa maneno.wakat hali halisi inaonekana jammaniiiii aaah mkaliwenu muogope mungu banawewee.
@bizkazlab26172 жыл бұрын
UGALI NA SUKARI MIMI NIMEKULA SANAAAAAAA
@solangekubota94872 жыл бұрын
Mazingira enyewe inaonesha kuwa bimkubwa haya jazwa hata neno moja
@christopherkanyalakc89412 жыл бұрын
Njee msiwe wapumbavu mwambien am saidiee Mama yake
@naalyhussen32532 жыл бұрын
Mama kapewa nafasi 3 baba nafasi 1 . Tujifunzee hapoo
@catherineamos70872 жыл бұрын
Mmmmh Ee MUNGU Tutetee hakuna kama Wazazi Dunia hii
@nasiraalmandhari91352 жыл бұрын
Mama anauza karanga ebu nyinyi vipi mama kajazwa maneno? Anasema toka saa tano a Atoka nakurudi usiku ebu mufaham uyo mama anashida Tena kubwa
@magarikiswili59342 жыл бұрын
Angekua anakula ugari na sukari asingekua na afya Ile mbona afya yake nzuri
@murattywamuratty97782 жыл бұрын
Sukari inauzwa je bei yake pia muijadili, angeweza kununua ata kipande cha dagaa akala kuliko kununua iyoo sukari, mana sukari ghali dagaa rahisi
@juniorwilliam63382 жыл бұрын
Kaka jina lako ni kubwa jitahidi kaka mjengee ata mama ndugu
@MaxnEngineer2 жыл бұрын
Nlicho kiona Hawa WAANDISHI Wana binashana wa KISHUA na WA KAWAIDA jamaa wa Supreme mm NAAMINI ametokea maisha yetu na nme elewa amejtahd tetea, Mimi nko upande wa MKALI wenu na nimeelewa vzr no Tatzo
@haikamchaga82512 жыл бұрын
Jibu la kwanza ndo jibu soooo icu walivyombana nimependa
@salim02tv242 жыл бұрын
Walimweza sanaa awakumpaa nafasiii ya kudanganya
@floramlowe70782 жыл бұрын
Shida ya watoto wakiume wakishaowa ni changamoto sana.
@krizofrancisco53102 жыл бұрын
Me Kila cku nawambiaga watu mtoto wa kike ana faida kubwa kuliko wa kiume watu wananibishia
@hawaamohammed66872 жыл бұрын
Watoto wakiime wengi wao ovyoo
@alhamdulillah57962 жыл бұрын
@@krizofrancisco5310, Wote ni wtto ila wtto wakiume hua na mengi vichwani mwao msiwasingizie wake wa ndoa tu.... mfano wanamawazo ya kuongeza wake, kuhonga nje uzinifu na baadhi ya wengine hua wabaghili na wabinafs. Na hlo ndio ttzo lao msiwasingizie wakishaoa tu. Kwani hakuna wke na wtto wanaonyimwa na bba zao??? Tabia zao w'me wanatabia za ubinafs
@fathimamct2322 жыл бұрын
Msimpe bichwa huyo mkali mwambie atume sh 10 000 Kila Asubuh kwenye sm basi
@sorwasoudy62562 жыл бұрын
HV nyinyi watangazaji ata hyo buku hamtoi.. lkn kw ya wenzenu nh mahabisi wakubwa nyiny... Istoshe wengn ata wazaz wenu ata salam ngumu kuwapa.
@sabihahamadi22872 жыл бұрын
Mtihani haya mambo yakuingiliya familiya yatangomba nisha watu
@mwanamvuaali23582 жыл бұрын
Kwani macho yenu hayaoni, mazingira yake tu yanaoneaha kama haipo vizuri
@prosperulungi29982 жыл бұрын
Shida ya familia ya kimasikini mzazi anakutegemea mtoto wakati hawajakuandalia mazingila yoyote
@wardadanda63222 жыл бұрын
Ilo ndo tatizo kubwa
@ChocllatteMedia2 жыл бұрын
@@wardadanda6322 ❤️❤️❤️
@hanifaomar74382 жыл бұрын
Nasisi wazazi wakati mwingine tunabweteka Sana kisa unamtoto mm naona sio vizur Maisha magumu Sana kama mwenyezi mungu amekupa afya mnasaidiana kupambana
@zehrahaji15662 жыл бұрын
Ujaona km anaangaika kuuza karanga au vp
@hanifatanzania72582 жыл бұрын
Mama yake maashallah anajituma anauzakalanga Tena anatembeza
@hanifaomar74382 жыл бұрын
@@hanifatanzania7258 Sawa wajina nimsemea wanaosubilia watoto walete
@@zehrahaji1566sijaona nionyeshe umesoma vizur ukaelewa au unakulupuka
@abdallahally8422 жыл бұрын
We bmw ndo nini mjenge choo laki2 inakushinda umekaa garigari ndo nn fala wwunaweza hata kumpa 5000 unawezaa maana choo tu laki2 imekushinda
@samakisamaki32262 жыл бұрын
Ugali kwa sukari ni quality feeding. Sukari ni ghali kuliko chumvi
@lazaroonyango15682 жыл бұрын
Jamani haiwezekani mtu ale ugali sufari, swali sukari na mchicha au kisamvu ipi ina bei si ange nunua mchicha, mama wemempanga
@badaral61672 жыл бұрын
Kumbe unapenda micifa Kwa mama kubovu
@karamakiumbe48662 жыл бұрын
Huyo mkali asijitetee maisha ni magumu mno kilakitu tumeona nayule mama kashtikizwa na tulicho kiyona ndio uhalisia. Sasa huyo mnaemwita nabii kwanini asijenge? Hao ni laaana ina watafuna
@khamismtaly38252 жыл бұрын
Sie tumekula sana ugali na sukari sana2 miaka
@abdallahally8422 жыл бұрын
We unalana nguruwe mmoja mamako umpe milioni kaitaka ww hata kujenga choo laki3 inakushinda fala ww nimekudharau sana
@fatemazanzibar8772 жыл бұрын
Uyoo kajitetea tu lakini amekosea na tumeona kabisaa maisha ya mama yk at mm namshinda sina kitu lakini najua mama yangu anataka mm
@fahmiwaummy42932 жыл бұрын
Hahah mbona mm mdogo wako unanisahau na ww uko nchi za nje 🤣🤣😂
@fathimamct2322 жыл бұрын
Na ww hamuna mzazi anaeweza kula ugali Sukari au ugali chumvi ukiona hivyo ujue mtu amekosa mboga
@janembalinga70742 жыл бұрын
siye tunakula ugali na ndizi kwahiyo ugali sukari anaweza kula lakn wasijaji watu
@albetomfuse4442 жыл бұрын
😁 Umenikumbusha mbali
@frankngoloka25892 жыл бұрын
Watu tumekula ugar na chumvi
@naa80652 жыл бұрын
Tunachojaji ni kwamba uyumkali kamterekeza mamaake
@officialtino36812 жыл бұрын
Kula ugali na sukari inawezekana...mbona hamsemi kuhusu kunywa uji wenye chumvi
@eliasmlay86252 жыл бұрын
Uza hiyo brevis hata kwa milion 3 zote mpe bi mkubwa..
@highthemetv78572 жыл бұрын
👏👏👏 Kama tayari ana BMW auze hyo brevis amtengenezee mamaake mazingira akae kama binadamu
@aishamnamba10642 жыл бұрын
Furaha unamiliki gari wakati ma yako at choo ana cha kujisaidia jmn