SALAMA WAAMBIE WAGENI WAKO WAONGEE KISWAHILI...... herufi kubwa kuonyesha msisitizo.
@mpulitv80112 жыл бұрын
Your so smart lady
@mbarouksaid90268 жыл бұрын
I like so much this program's
@miriamkittah53589 жыл бұрын
once again i love you briggie
@abdallahsalum94948 жыл бұрын
Kipindi ni kizuri. Napenda sana kipindi chako salama na pia nampenda salama. Ila Kitu kimoja kinanikera. Hayo mawazo yanayoandikwa apo Kwa ubao sisi watazamaji hatuyaoni. Sasa sijui ni Kwa sababu gani mshika kamera hatuonyeshi. Ningeomba baada ya kuandika mwandikaji ayasome halafu salama uyarudie au ayapitie Kwa kuyasoma. Mshika kamera ayaonyeshe Kwa ukaribu.zaidi . Kama inakua ngumu ni bora uo ubao usiwepo Kama awali. Kwa sababu itakua hauna maana kuweopo hapo. Ahsante.
@salhajovin82694 жыл бұрын
Smart girl❤❤
@saumusalimuhassan7728 жыл бұрын
uko vizur sana mrembo, kwa maelezo yako ya maendeleo ya nchi.
@dianaketegwe81479 жыл бұрын
amaizin good girl
@miriamkittah53589 жыл бұрын
I Love Brigitee
@minnaomar92509 жыл бұрын
napenda kumuona dada salama kila wakati ur my idol
@arnoldcarist23808 жыл бұрын
Nice xo qute
@mariamphilip31848 жыл бұрын
My baby sis Bri ♥
@dhuraykhapazi55069 жыл бұрын
whaooo
@darmillionaire7 жыл бұрын
Ana mapozi sana huyu demu.
@ahmedalminshad12117 жыл бұрын
😂😂😂😂 Salama eti kisex
@ezramnyaki8 жыл бұрын
Wanazingua na Lugha za Wema Sepetu Kiswanglish kinachosha kwanini wasinyooshe maelezo kwa lugha mojaaa jamaaniiiiiiiiiiiiiiiiii
@walenlugembe61758 жыл бұрын
show ilikuwa poa xn
@kipkorirsegut48799 жыл бұрын
@ 21 i wasn't that well put together.
@mbehopaul79897 жыл бұрын
KISWAHILI KITUMIKE kwani tunashindwa kuelewa baadhi ya mambo ya msingi ,sio wote tunajua kiingereza
@yunus.62678 жыл бұрын
hefemi
@paulothomas72708 жыл бұрын
jamani plz ongeeniii kiswahiliiii kwani nyie wazungu au mnajishauaa
@claudiusmaximus3196 жыл бұрын
kiswahili sio lugha ya waswahili.. ilianza kutumika mwaka 1790 na wakulima zanzibar wenye asili ya kiarabu na kiburushi. Mababu zako waliongea kilugha.. sio kiswahili.. ambacho kilifanywa lugha ya taifa mwaka 61
@peterjohn87455 жыл бұрын
unakera nyoko ww kuongea hayo makingereza uliposomeshwa ww wafikiri wote tumeenda shule