Follow MkasiTV on Facebook : / mkasitv Twitter : @MkasiTV
Пікірлер: 8
@kazamoyo76317 жыл бұрын
Jamani fanyeni mpango mturudishie mziki wa dancy. Hakyamungu naichukia bongo fleva. Yaani ninaijua miziki ya dans tena ya zamani utafikiri nimezaliwa zamani. Nashinda youtube
@mgeni200811 жыл бұрын
Moja kati ya interview nzuri sana za Mkasi.
@husseinkibwana40098 жыл бұрын
kwa sauti na utunzi muumini kaka yupo vizuri sana mungu amuweke
@olivogm145211 жыл бұрын
Muumin kumbe bado yupo vizuri sana! Response nzuri. Kilio cha yatima naikumbuka ssana, it was nice! moja kati ya wasanii wachache sana kwa TZ wenye uelewa kama wake
@dollykemmy726511 жыл бұрын
yn uyu mkaka inaonekna anajitambua na kujielewa yy ni nani,ilikuwa gud sana
@video901811 жыл бұрын
Mahojiano mazuri Salama ulikuwa umeuliza maswali mazuri na yalipata majibu fasaha yaliyoonyesha ufahamu wa hali juu wa mwanamuziki Mummin Mwinjuma.
@demsymasengowajaenine17605 жыл бұрын
Zile nyimbo baba kiliyo chayatima tunda mgumba ndugu lawama balah ata leo nazisikiya USA las Vegas balah