MKE ADAIWA KUMUUA MUME, AMPASUA KICHWA, UBONGO WAMWAGIKA, ATOWEKA, MAMAMKWE AFARIKI SIKU HIYO ARUSHA

  Рет қаралды 21,747

Global TV  Online

Global TV Online

Жыл бұрын

MKE ADAIWA KUMUUA MUME, AMPASUA KICHWA, UBONGO WAMWAGIKA, ATOWEKA, MAMAMKWE AFARIKI SIKU HIYOHIYO ARUSHA
Kijana Adrea wa jijini Arusha Mtaa wa Lemara amekutwa amekufa chumbani kwake kwa kupasuliwa kichwa huku mke wake akihisiwa ndie muuaji
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 83
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
@aash4145
@aash4145 Жыл бұрын
Kafanya mazito,,,, ee,, mungu,,, naomba niepushie hasira,,, naomba niepushie sheitwan, yarabbi😢😢😢😢😢😭😭😭😭
@theresiamichael5817
@theresiamichael5817 Жыл бұрын
poleniiiii family members.....ila jamani ww mtangazaji nakupendaaaa aniiii hiyo ni kipaji kutoka damuni...unaweza unawezaa tenaaaaaaaaaa
@zuhuraally4146
@zuhuraally4146 Жыл бұрын
Mapenz ni fumbo Sana mungu atuepushe na hasira
@ummycheedy2809
@ummycheedy2809 Жыл бұрын
Kwanza hiyo sura yahuyo mwanamke mh Hatare sana
@zawadijumaa1867
@zawadijumaa1867 Жыл бұрын
Arusha kuna matukio mengi sana yakutisha si mwanaume wala mwanamke mungu ashushe uhuruma you yao
@mishikikoti2948
@mishikikoti2948 Жыл бұрын
Ni kwasbb ya migodi, ina mjini sana.
@christaoman8890
@christaoman8890 Жыл бұрын
Duuuh kwakweli ni mbaya ssna kwakuwa huwezi kuishi na mtoto wa mtu bila kujua kwao pole sana kwa familia
@mkaiteafetu6782
@mkaiteafetu6782 Жыл бұрын
Duuuuh jamani Arusha mnahitaji huruma ya Mungu
@hejopantumsifusimon21
@hejopantumsifusimon21 Жыл бұрын
shid atapat mtoto baba kafa mama jela mh mungu niepuxhie ugomvi
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 Жыл бұрын
Amiin😭😭😭😭🤝🤝
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si Жыл бұрын
Yaan we kaka wafaya kazi sana aisee
@petersulle1937
@petersulle1937 Жыл бұрын
Poleni sana, Mungu mwema awafariji.
@adelinaomani9012
@adelinaomani9012 Жыл бұрын
Kamasim inaita watamkamatatu polisi wananjia nyingi za kumpata kupitia sim
@aash4145
@aash4145 Жыл бұрын
Polen sana,,,, eeee mungu wangu,,,, inauma mno, kijana mdogo,
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 Жыл бұрын
Mmmh! Hilo jike mbwa litakamatwa tu.Mungu alikamatishe likamatwe.
@aash4145
@aash4145 Жыл бұрын
Jaman eeeeee,, mpenz unaempenda umuuueeeee😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@danielmwamahonje9852
@danielmwamahonje9852 Жыл бұрын
Mungu ni mungu
@fatumajumanne5961
@fatumajumanne5961 Жыл бұрын
2ish kwa Upendo wa2 hawachelew kubadrka ukiona humuelew m2 muache na taarfa ztolewe kwa wakubwa wenu Inauma 😭
@cutedon6804
@cutedon6804 Жыл бұрын
Poleni sana
@aash4145
@aash4145 Жыл бұрын
Kijana mdogo,,,, eeee mungu wangu,, jaman, polen wafiwa,,, mtihan walah
@yonanassary6872
@yonanassary6872 Жыл бұрын
Mungu amlaze pema peponi ameeni,,
@winnerlucas5924
@winnerlucas5924 Жыл бұрын
Mwandishi msomi uko vizuri
@taturajabukhalfani7953
@taturajabukhalfani7953 Жыл бұрын
Hivi jamani wapi tunapoelekea jamani!!!EeeMwenyezi Mungu tupe mwisho mwema jamani
@tinaminja5500
@tinaminja5500 Жыл бұрын
Arusha Mungu atusaidie
@gililwise
@gililwise Жыл бұрын
Atakamatwa tu damu ya mtu ina thamani kubwa saa mbele za Mungu
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Subuhanallah huyo mwanamke anarohombaya au katumwahuyo nawatu mpaka kamkata kolomeo daaaa!!! Anarohogani huyo mwanamke kazihiyo kaifanya pekeyake kweri aukunawasaidizi. Naiyazubillah
@skilindaissa5441
@skilindaissa5441 Жыл бұрын
Mungu wngu simama nasi.😭😭😭🙏🙏
@hajramcha6016
@hajramcha6016 Жыл бұрын
Arusha kwa wiki matukiooo miaaa
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Inalillah wainailahi rajuun
@happinessmosala2217
@happinessmosala2217 Жыл бұрын
Arusha Arusha duuh si matukio ya mauaji ni movie
@obadiajumamkaria2568
@obadiajumamkaria2568 Жыл бұрын
Jamani wambulu hawafai Mimi mke kaniulia mtoto kwakumpiga nakumasumu nakumnyonga wambuluhawafai
@alfarsialfarsi2754
@alfarsialfarsi2754 Жыл бұрын
Pole Sana ndugu
@wettykznznhuioploko1571
@wettykznznhuioploko1571 Жыл бұрын
Atali kweli
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Amma bongo kuna wanawake mastering hee
@zuwenaalamin8985
@zuwenaalamin8985 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣sabiha unanini lkn kituchekesha wenzio tunamajonzi
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
@@zuwenaalamin8985 aa hee inataka moyo hee kakaangu nitamtisha kuowa bongo kuna masharukani Wa kike wiki hii tu zaidi ya wawili nimeona
@zuwenaalamin8985
@zuwenaalamin8985 Жыл бұрын
@@sabihaibrahim143 jmn mbona mm nipo zenji nimeolewa na mpemba
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
@@zuwenaalamin8985 afazali ukiwepo huku wifi yangu lakini kulee aaku kuna nguvu nyengine naona
@jazirajazira8116
@jazirajazira8116 Жыл бұрын
Nihatar sana
@ttss7716
@ttss7716 Жыл бұрын
Kwani huko arusha watu ni mamafia🥲🥲🥲
@BONGOKUMENOGATV
@BONGOKUMENOGATV Жыл бұрын
jamani haya mauaji kila kukicha jamani 😰 Dah kihama kimekalibia
@alexlingwendu6780
@alexlingwendu6780 Жыл бұрын
Manyara hukooo!!!!!Daa asee
@neema_mollel
@neema_mollel Жыл бұрын
Balaa zito. Mnasogea tuish Hadi na mapepo .
@barakakings
@barakakings Жыл бұрын
mazito haya
@tatundayikengurukiye683
@tatundayikengurukiye683 Жыл бұрын
Huy nigaidi kbs sio mke
@babayetukikoree6862
@babayetukikoree6862 Жыл бұрын
Ni jirani yetu kabisa yaani tukio lilikua la kutisha alichakazwa sana
@aishatarimotarimo2689
@aishatarimotarimo2689 Жыл бұрын
Hawa wairaq ni watu wenye hasira kali sana na ndo maana mie nikakimbia nilinusulika kifo kwao huko Karatu
@ngejejemashubi4213
@ngejejemashubi4213 Жыл бұрын
Huyu jamaa ni Askari jinsi TU anavyoelezea aina ya silaha
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 Жыл бұрын
Pengene wauwaji wamemteka mmejua vipi mkewe ndio muaji???
@ranayuhase1405
@ranayuhase1405 Жыл бұрын
Aiseee hiiiiii ukisikia nyuma geuka ndo hiii khaaa
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Жыл бұрын
Habr ya majonzi ila unafany nicheke
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 Жыл бұрын
Subhanna Allah....wanawake tumekuwaje Yarabb😰😰😰
@barakakusa7606
@barakakusa7606 Жыл бұрын
Arusha kwa matukio ya mauaji ni kqma wamezoea
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si Жыл бұрын
Ila huyo bit ana moyo wa sijui wa mnyama gani daah
@neemaruben5427
@neemaruben5427 Жыл бұрын
Kwani Arusha kumepatwa na nn aisee
@ireneshao5889
@ireneshao5889 Жыл бұрын
Hata mim najiuliza jmn
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 Жыл бұрын
Magonjwa ya akili yameenea
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 Жыл бұрын
Huyo mwanamke akikamatwa akapelekwe jeshini akaongeze ujuzi pale monduli aajiriwe kawakilisha vizuri wanawake wenzake
@Awatee
@Awatee Жыл бұрын
Hahah Astaghfurullah mtihan kweli kweli
@aminaabdalla9949
@aminaabdalla9949 Жыл бұрын
Hii Arusha vipi mbona matukio mengi nihuko
@senseiamani4684
@senseiamani4684 Жыл бұрын
Majanga yamauwaji yamekua mengi saana kwakweli Yani sijui Kuna shetani gani kaingia Tanzania
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si Жыл бұрын
Yaan hili tukio ukiambiwa ni mwaamke pozi laisha aki
@rwechungurajohn3592
@rwechungurajohn3592 Жыл бұрын
Aise huyo ni mwanajeshi si kawaida au komando
@edinakyaruzi9226
@edinakyaruzi9226 Жыл бұрын
Wewe achakunichekesh kwenye uzuni
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Mtungi wa gesi mdogo hawana humo ndani?.R.I.P poleni sana wafiwa
@tundaniarwantoye4584
@tundaniarwantoye4584 Жыл бұрын
Kwel itakua ni mafiga ya mtungi ges
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
@@tundaniarwantoye4584 au mtungi wenyewe dah hatari sana
@tundaniarwantoye4584
@tundaniarwantoye4584 Жыл бұрын
@@leokamil6284 inauma sana kama tumechokana tuachanne salama
@cecygeorge4443
@cecygeorge4443 Жыл бұрын
Kutesa kwa zamu angemuwahi angeua yeye ila kawahiwa huyo hizi hasira sio poa kabisa poleni watu wa chuga
@marthamorris7297
@marthamorris7297 Жыл бұрын
Aisee binadam hatuna huluma kusesa kwazam mwenzio kafa kweli jamani solazima kukomenti kama Hauna chakuongea fikilia angekua ndguyako ungeongea hivi sivizuli
@cecygeorge4443
@cecygeorge4443 Жыл бұрын
@@marthamorris7297 hata angekuwa ndugu fresh tuu maisha ndio haya haya ndugu yangu wanaume wanakera sana babu
@rosekaiza2716
@rosekaiza2716 Жыл бұрын
Wastan kama amekimbia wastani atakamatwa tu damu ni mzito kuliko maji
@edwinnyabikwi560
@edwinnyabikwi560 Жыл бұрын
Lol lol pppplp9p0p ppl pop
@bethjohn928
@bethjohn928 Жыл бұрын
Wastani mungu atamuumbua atakamatwa wastani atajibu alichokifanya wastani damu ya mtu aiendi bure wastani mungu ampumzishe salama marehemu
@zabubamudy126
@zabubamudy126 Жыл бұрын
wacheni upuuzi
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Жыл бұрын
Kuna wanawake wana roho ngumu jamn, Pumzk kwa aman Edward 😭
@edinabenedictorlukonjebene9335
@edinabenedictorlukonjebene9335 Жыл бұрын
dunia inaenda kasi eee Mungu utukumbuke
@elizabethmichael3528
@elizabethmichael3528 Жыл бұрын
Damu nzito kuliko maji atakamatwa tuu kama ndoa ilimshinda bc angejiondokea au angechukua hatua zngne za sheria
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Hakuolewa
@adelinaomani9012
@adelinaomani9012 Жыл бұрын
Shelia gana hata kwawazaziwake hawajulikani waliokotana tu hizi biashara zakukokotanatu nakuishi bila family kujuana nimbaya sana kama hivtujifunze wallah wasichana kwa wanavulana sikuhizi dunia imebadilika sio kamaenzi zawazeee wetu mungu atunusul munguawasimamie ndugu jamaa namarafiki kiujumla mtuhumiwa apatikane
@nancyg8664
@nancyg8664 Жыл бұрын
Mbona uyo mwanamke amekaa kama mwanaume, anyway wapumzike kwa aman marehemu wote
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 Жыл бұрын
Ndio wadada wengi wa arusha wanapendelea
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 12 МЛН