Oh yes.. kweli ulichozungumza. Very wise man. Umenisaidiaa saana na maneno yako
@fatumambeyu10163 жыл бұрын
masha allah mwenyezi mungu akuzdishie natokea kenya napenda mawaidha yako
@waheedahtanzania49123 жыл бұрын
Mashallah swadakta kila la kheri kwenye ndoa yenu wapendwa na Mola aidumishe ndoa yenu daima inshaallah 👏 wajazzakum llahu kheri 👏
@emmy85sweetie992 жыл бұрын
Maa shaa Allah jazakhallah kheri shekhe umenifurahisha sana wallah
@mishimwakoi4953 жыл бұрын
Mungu akuzidishie umri sheik uzidi kutupa elmu
@HalimaSaidi-jo9ng9 ай бұрын
Mashaallah Allah akulipe kheri kakaangu unatupaelemu kubwa kiasi kwamba unapata faraja u
@فاطمةسعيد-ث2ق3 жыл бұрын
Masha Allah sheikhe umeongea ukweli yn mm mwepes kusamhe rakin sisaau mabaya alionifanyia mmewangu
@bintshariffmuhammad6202 жыл бұрын
Ni kweli mimi nasamehe sana lkn kusahau ndio ngumu Allah atupe ya furaha tusiyasahau
@martodedan9 ай бұрын
Kama MKE WANGU TU... Ila mapenzi ninayompa kila siku mazito mno,nahakikisha natafuta muda kila wakati tuwe connected..Hadi husahau yoote niliyomfanyia
@al3yunhadil4543 жыл бұрын
MashaAllah I loved ur words thanks.
@AshaSalah-my4ky Жыл бұрын
Mashaallah Allah akuweke uzidi kutufunza
@rahmaally87643 жыл бұрын
Allah akbar allah amhifadhi hakika ya uwepo wa wake unamanufaa kwetu na jamii nzima allah akuhfadhi
@evelynefuraha40539 ай бұрын
Masha'Allah sheikh wetu
@zayshaban90393 жыл бұрын
Mimi mkristo ila somo nimekuelewa sanaaaaa ,, nataman shehe asimalize ubarikiwe sana
@munaahmed84993 жыл бұрын
Masha allah sijaolewa lkn nimepata somo kubwa mno kutoka kwako sheikh Insha allah naomba mungu nipate mume mwema na mwenye hofu ya Allah nitamhendo kadri ya uwezo wng na nitafata sheria zote na yote atayonikataza yeye kam mume wang insha allah
@Farroq-v2j4 ай бұрын
Allah akuwezeshe
@rukiasalimmakamerukiasalim45582 жыл бұрын
Mashekh mufike na vijijini Hali mbaya vijana wapewe dawa huko kwetu kisakasa shehiya ya kombeni tuungeni mkon😭😭😭
@twalaataib73373 жыл бұрын
Mashallah Sheik wetu Jazakallah kheri inshallah umri mrefu
@jumaassumane79933 жыл бұрын
Jumakani
@jumaassumane79933 жыл бұрын
Juma kani
@nasibmohamed51563 жыл бұрын
Masha Allah! This is Awesome
@mwachipangahalima25043 жыл бұрын
Masha Allah sheikh Othman nakupenda sana Allah Akujalie kher Leo na kesho akhera 🤲
@asmamohamed37733 жыл бұрын
Amiina twkuombea sote mwenyezimung akubariki maisha yako yote
@mpawenimanafirdaous71813 жыл бұрын
Mi pia namuombea Allah ampe mwisho mwema
@mpawenimanafirdaous71813 жыл бұрын
Na amjalie Pepo la firdaous
@zainazaina87113 жыл бұрын
Sheikh swadakta nakupenda Kwa ajili ya Allah na Kila kitu ulichokisema ni kweli yananifika mm na kuniacha hacha hataki na mchipuko Kila siku
@babyhamisi14373 жыл бұрын
Pole Sana Allah akufanyie wepesi
@omarythedon54322 жыл бұрын
Mashallah Nimeenda Sana natamani kuwa Kama wewe Shekh Othuman
@swaumupaji36233 жыл бұрын
Maa shaa Allaah Tabarakallaah Mwenyezi Mungu akadumishe ndoa zao yaa Rabbyii na sisi atupe wenza wema Aamiiyn
Kweli wanawake tunaitaji upendo na maneno mazuli rakin mtu maneno machafu maneno ya kukuliza kila kukicha adi moyo unachoka na mtu adi unamkufulu mungu kwann niliolewa na mwanaume uyu Yarab nisamehe😩😩😩😩🤲🤲🤲
@lkshmykomar54723 жыл бұрын
Mashallahu mungu akubark shehe Othman nakupenda kwaajili ya Allah
Waalaykm msalaam warhmatullah wabarakatuh Maa shaa Allah Maa shaa Allah, jazzakallah khayran sheikh othuman Michael, Allah akuzidishie umri wako
@aishaaisha14953 жыл бұрын
Amiin
@kadijahajali39183 жыл бұрын
Mm sijaingiya kwenye ndowa nilikuwa sijuwi lazima nipate mtu anifunze bass
@rahmamussaa37083 жыл бұрын
Maa shaa allah maneno yna mazingatio
@azizazzzz80433 жыл бұрын
Mashallh love this walai 💖💖
@hawaally54583 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akuondoshee husda.,
@hajiramohamed19283 жыл бұрын
U real saved my marriage JAZAKALLAH KHAIR
@aishaabdalla76243 жыл бұрын
Masha -Allah sheikh ni maneno sahihi kabisa uloyaongea, laitami km wanaume watayaskiliza haya bs NDOA nyingi zitanusurika kuvunjika kwa mapungufu madogo madogo
@adag61973 жыл бұрын
Ameen
@yusufseifu49672 жыл бұрын
Jazaaka lahu haira sheikh
@rayasaid37343 жыл бұрын
Waaambie kweli hawa wanaume baba, sheikh wetu Allah akuhifadhi
@zayyatiyussuf95663 жыл бұрын
Mashaallah jazzakallahu kheri ya sheikh
@omarsalminsalmin79343 жыл бұрын
💕💓Allah akulipe Jannah shekh we2 inshallah 💔💖🤲🤲
@radhiaomary55913 жыл бұрын
Aamiyn yaa rabby
@lkshmykomar54723 жыл бұрын
Amina Yarab alamin
@aminakondo70893 жыл бұрын
Nimekuerewa shedhe
@kautharshauri67363 жыл бұрын
MashaAllah shekh umesema Sana nimekupata vzuri mnooooo,,
@rachelsanjo51013 жыл бұрын
Me mkristo ila nimependa Sana ulichoongea mungu akubaliki
@hassanharuna15193 жыл бұрын
Wa kristo munani furahisha siyo kama wahapa kwetu rwanda hata ukiongea ukweli utatukanwa tu kwenye comment wagum sana washamba pia
@bakeandcookwithhabibaj53173 жыл бұрын
Allah AKULIPE sheikh
@maynunahussein23902 жыл бұрын
Takbir allahu Akbar 👌
@fatumamwinyimvua66213 жыл бұрын
Mashaallah tabaarakallah, nimepata somo kubwa sana
@afric013 жыл бұрын
Aslm alkm ww...... Shukran sanaaa Sheikh Othman..umeongea masha Allah.ela niongezee kijana moja alioa mwanamwali waliishi mwezi mmoja, akaacha na akaoa mzee Mika 40 na wakazaa na wako pamoja hadi leo. Watu wanamtusi anawaambia mbona sikukaa na bikira????? Najua mwenyewe. Pole Sheikh wetu kipenzi. Kuna bahati mbaya mara nyingine hua umepata the wrong choice. Jazakallahu kheir Sheikh Othman. Allah akulinde akukinge na akuhifadhi. Shukran sanaaa kwa darsa. Allah akulipe Jannah firdaus.
@amaryghalib74253 жыл бұрын
Mashaaallah
@aminamichaelkupaza11863 жыл бұрын
mashaallah
@heyumi23403 жыл бұрын
siku hizi wajane wanaolewa kuliko wasichana
@anithamsoke23293 жыл бұрын
Sheikh mm ni mkristo ila mafundisho yako yananibariki sn.
@gallousgosbert49933 жыл бұрын
napenda macho yako
@rubyhamisi20353 жыл бұрын
mashaallah 😍😍nmependa somo
@princeley1956 Жыл бұрын
❤❤❤❤ jazakllahu
@روعةسماويلآتصالات3 жыл бұрын
Mashallah shukran jazakallahu kheir
@zainabmaulidi98463 жыл бұрын
Masha Allah tabarakaAllah
@fatumamustafa91383 жыл бұрын
Asante shekhe Allah kuongezee elemu
@barakajumanne41502 жыл бұрын
Jazaakallahu khayraa
@malkiamariamvuga33423 жыл бұрын
MUNGU akubariki sana shekh Othman nimefurahi sana
@aminaabdiazi34473 жыл бұрын
Mashaalah I loved or words
@aminaabdallah36893 жыл бұрын
Mashallah nasaha nzuri sana allah akulipe shekhe
@enterenter19213 жыл бұрын
Hahahahaaaa hahahahaaaa hapo kwenye porojo umbea alaa
@kadijahajali39183 жыл бұрын
Mashaalah shekhe
@HidayaRamadhani-n7r Жыл бұрын
Shekhe ukovizur sana
@charleschigwala40793 жыл бұрын
Mimi mkristo lakini nimependa mafundiso yako ubarikiwe sheh
@hadiadaoman19813 жыл бұрын
Maashallah shekhe Allah akuweke inshallah
@salummzee97393 жыл бұрын
Shekheir ndoa zimekuwa na migongano kwa hii dalili 1 wapo wa kwamba kiama kipo karibu ,maaana hii Mtume Muhammad s.a.w amesema mwisho wa dunia watu wataipenda dunia kuliko Akheira wataacha Qur-an na kutawaliwa maasi kwaio shekheir Ndoa kwa sasa lazima zitakuwa hazipo maana tayar tume Acha dini yetu hakuna chengine chochote Na utabiri umesha toka ila tumche Allah ili tupate radhi zake
@ukhtyhumairah733 жыл бұрын
Maa shaa Allah tabaraka Allah rahmani ya sheikh Othman
@kadijahajali39183 жыл бұрын
Mm siwezi kusahau mtu akinifanyia ubaya au wema siwezi kusahau
@mwanaheriwande26823 жыл бұрын
Takbiriiii Allah akuifadhi
@halimamasoud3573 жыл бұрын
Mashallah Allah akuzidixhie
@nurudinamchome68523 жыл бұрын
Maharus wa kiislamu jitahidini kujistiri
@ashaabdulkarim18023 жыл бұрын
Maashaallah baarakallah 🤲
@amenaallahawazidishieumrin62353 жыл бұрын
Walikumssalam shuku ran jazaka ALLAH khery Mola akulipe mema dunian na akhera
@maynunahussein23902 жыл бұрын
Mashacllah 🙏🌹
@Teacher_Mo3 жыл бұрын
Allah akuongezee zaidi insha Allah
@saumuseif91893 жыл бұрын
Shukran saana Allah akulipekher
@kizamaulidi60043 жыл бұрын
Mashaallah allah akuzidishie elm
@jacobmunoru81863 жыл бұрын
Agano kati ya mume na mke...wakiongozwa na mwenyenzi Mungu
@yohanaalocye42913 жыл бұрын
Kwli shehe mm lanzima kulinza kama kuna mwingine
@ndayushimiyerungarunga84383 жыл бұрын
Umewongeya kweli
@Issa-bn9rg Жыл бұрын
SHEKWAVI
@zinabzinabo89163 жыл бұрын
Masha Allah sheikh Allah 🙏🙏🙏
@agiasaidi52943 жыл бұрын
MASHAALLAH, MASHAALLAH, MASHAALLAH
@kinanajuma76923 жыл бұрын
Maa sha Allah
@fatumambeyu10163 жыл бұрын
Okey well come
@jasminjuma63903 жыл бұрын
Mashaa Allah tabarakallah
@heyumi23403 жыл бұрын
maashaallah maashaallah 🥰♥
@manishhassan053 жыл бұрын
Salaam🙏more ❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@omanlover54703 жыл бұрын
Mashallah mashallah
@shinayzashiraaz45883 жыл бұрын
MashaaAllah
@aliidrisahmad13353 жыл бұрын
http
@sefubin42703 жыл бұрын
Mansha Allah
@twix14043 жыл бұрын
Ma ash Allah
@rachelsanjo51013 жыл бұрын
Amen ubalikwe sana
@alhamdulillah57963 жыл бұрын
Maa shaa Allah lkn sheikh nna wasi na hilo tumbo lako pamoja na mwili wako. Kila siku nataka kusema lkn leo Allah amenipa kauli. Unajua tumbo lako ninakua kubwa kuliko mwili wako. Pia wana afya wanasema uhakikishe mzunguko wa tumbo usiwe mkubwa kuliko mzunguko wa tumbo kwa sabbu unaeza kupata matatizo ya moyo/pressure. Allah akuepushe na maradhi, amiin.