MKE ATELEKEZWA UKWENI| NYUMBA AWEKWA MWANAMKE MWINGINE |VISANGA VIZITO

  Рет қаралды 29,992

Maximum Tv Online

Maximum Tv Online

Күн бұрын

Пікірлер: 292
@mariamsanga1781
@mariamsanga1781 2 жыл бұрын
Pole Sana wanaume pasua kichwa ww mwachie Mungu
@salmaathuman9156
@salmaathuman9156 2 жыл бұрын
Wee mwanamke uliyekaa kwenye nyumba ya mwenzio ujue kwamba ukiona mwenzio ananyolewa wewe tia maji lako linakuja pole sana mungu atakufanyia wepesi
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 2 жыл бұрын
Kbs yy asijione kafika na yatamkuta wanaume wenyewe ndio hao wa kwenda nch za nje kitamkuta kitu
@lovvy854
@lovvy854 2 жыл бұрын
Amenn
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 2 жыл бұрын
Pole dd Mungu atakusaidia tutasaau tu na maisha yakaenda wacha mm nipambane na warabu alhamdullha nashukuru niko na jenga nyumba na nina viwanja vitatu sijajenga bado namshukuru allha ata nikirudi bongo ss basi nataka kukaa nyumba nina kwangu na mwanaume atonisumbua niko na bint yangu ss anamiaka kumi alhamdullha namshukuru allha kwa kira jambo
@olphamoraa6683
@olphamoraa6683 2 жыл бұрын
Pole sana dadangu hajana naye huyo mjinga sana cha msingi peleka mtoto nyumbani kwenu Kuja tungangane na maisha ya uarabuni na utakua sawa kanisaa
@mwajomaessa7513
@mwajomaessa7513 2 жыл бұрын
Pole sana my tafuta kazi falume zakiarabu maisha yako yatakuendea vizur tuu utajenga na utasemesha mwanao tuu na huye mwanaume atakutaman sana zayzi ya san hap sas itakuwa zamu yako nawew yakumuvimbia
@saidalhabsi9257
@saidalhabsi9257 2 жыл бұрын
Imeniuma pole sana dada
@faridaf3923
@faridaf3923 2 жыл бұрын
Imeniuma sana kwakweli 😭😭mm ndio mana kwenye nyumba yangu, sitaki hata mia mwanaume, ngoja niende mdogo mdo inshallah 🤲 hiv hiv Mungu atanisaidia
@happynesbaemuhappynes8813
@happynesbaemuhappynes8813 2 жыл бұрын
Wewe kama mimi my.baadhi yao hawana wema
@irenejosephkurimba8613
@irenejosephkurimba8613 2 жыл бұрын
Pole sana dada
@raybby9291
@raybby9291 2 жыл бұрын
Pole dada wanawake wa nje sikuhizi wanaloga sana
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx 2 жыл бұрын
Mh nicheke kwanza hajalogwa hakuna chochote wanaume wa kwetu tu tabia zao hzo wanapenda mambo ya wanawake kupindukia na yote sababu wanawake tunajishusha kwao mwanamke jipandishe cheo chako mwanaume ajue ww ni wasamani sio kujiachia akakuona wa hovyo.
@mwakaabdallah3185
@mwakaabdallah3185 2 жыл бұрын
Mbona dada mzury huyu mashallah usijali mungu atasaidia
@mwajumaissa2358
@mwajumaissa2358 2 жыл бұрын
🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🤭Acha nipite tu mie aiseee
@nasrahassan7346
@nasrahassan7346 2 жыл бұрын
pole dada wa kwetu ndg yangu mme mwache nahilo jumba lake usije uliw bule mtt peleka nyumbani kwa bibi yake upambane unawatumia matumizi na mtt ataeda shule mayu mlekekage shemeji hafai wanawake tunaweza mwache
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 2 жыл бұрын
Mungu atakulipia wako wanaume kama hao baadae wakafirisika Kwa hiyo mungu analipa hapa hapa
@salmasaid1521
@salmasaid1521 2 жыл бұрын
Pole dada muachie mungu atakulipia hapa hapa duniani na hawezi jua hivyo vitu kavipata kupitia nyota yako mwache aende zake pambana na maisha yako utashinda mtihani
@aishaamwalimu2887
@aishaamwalimu2887 2 жыл бұрын
Pole Sana.
@jamilajamila4572
@jamilajamila4572 2 жыл бұрын
Pole ndugu kwakweli inauma sana aisee my mungu atakulipa
@Noah-se3ni
@Noah-se3ni 2 жыл бұрын
Pole sana dada yangu,
@jescajulius8023
@jescajulius8023 2 жыл бұрын
Mh wanawake wa ndoa tunateseka San jmn,nilijua ni mm tu inaumiza sana unaanza masikin alaf mbafanikiwa anakufukuza anakula Malaya,wanaume mungu awakumbuke kwa mnayotufanyia
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 жыл бұрын
Pole Sana Allah akufanyie wepesi Upate Mume mwema mwingine lnshaallah
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 2 жыл бұрын
In shaa Allah
@josphenembunde5805
@josphenembunde5805 2 жыл бұрын
Dadangu njoo uarabuni uomoke waja kulilia mwanaume
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 жыл бұрын
@@josphenembunde5805 umeonaee ukiwa huku mbona heshima
@cherylcheryl7694
@cherylcheryl7694 2 жыл бұрын
Natamani hata kuria pole sana dada Mungu atakulipia hutataabika ila wao watakuja kukupigia magoti haki ya Mwenye haki huwa haipotei
@khadjaiddlis283
@khadjaiddlis283 2 жыл бұрын
Mwanaume hakutaki we endelea na maisha yako wanaume zetu hawa mungu anawaona,,mshukuru mungu t kipenzi
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 2 жыл бұрын
Si mume wa ndoa ila Kama ni Ndoa unaheshimika kwakwel ndoa ni Heshima
@mariammohammed8059
@mariammohammed8059 2 жыл бұрын
Apewe namba zaflola nitete ataata kaz
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 жыл бұрын
Utoke hapo usikae kwa wakwe kwa sababu huyo mwanaume Hana mapenzi na ww kwanini ww ukae hapo ukipata pesa toka hapo nendakapange Allah atakufanyia wepesi lnshaallah
@zainab8251
@zainab8251 2 жыл бұрын
Inaumiza sana lakini mhachie mwenyezi MUNGU atakulipa tu zidi kumuomba sana
@bridgetedominic52
@bridgetedominic52 Жыл бұрын
Polesana dada
@sabinashabani1165
@sabinashabani1165 2 жыл бұрын
Kumbe tukowegi tunaomuachia mungu pole sana mpenzi mungu atakulipa
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 жыл бұрын
Dada tafuta kazi, Mungu atakujaalia utajenga yk usikubali tn kushea na mtu
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 2 жыл бұрын
Kabisa
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 жыл бұрын
@@maloomaalmnsj5111 😁
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 2 жыл бұрын
@@khadijahali4837 we mie yalinikuta ayo sasaivi namie nimejenga
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 жыл бұрын
@@maloomaalmnsj5111 pole mwaya
@saudahassan6667
@saudahassan6667 2 жыл бұрын
Pole sana dada pambana utajenga tuu inshaallah
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 2 жыл бұрын
Pole sana mdogo angu 😢na huyo mwanamke ipo ck mungu atalipa ndg nenda kwa Joyce kiria fanya kz za ndn jpo kwa mwaka kisha tafuta passport wadau tutakusaidia uje nch za nje kufanya kaz ujenge nyumba yako mradi kiwanja unacho penz kwa huyo mzazi mwenzio lisha kwisha piga moyo konde utapata mwingine
@lovvy854
@lovvy854 2 жыл бұрын
Mashallah Mwenyezimngu akubariki Kwa moyo msafi ulionawo
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 2 жыл бұрын
@@lovvy854 amiin 🤲
@beatriceemanuel1098
@beatriceemanuel1098 2 жыл бұрын
Upo nchigani kipnz namimi unisaidie
@rithakuyala9951
@rithakuyala9951 2 жыл бұрын
Pole sana dada Mungu atakufanyia wepesi upate kazi
@ucjvvjcjjvih9934
@ucjvvjcjjvih9934 2 жыл бұрын
Am tz 🇹🇿💋mh pole my dada ndio safar jikaze allah atakufungulia shukur pia amekula kiwanja
@husnasalim9614
@husnasalim9614 2 жыл бұрын
Mtihani
@kisalaTV
@kisalaTV 2 жыл бұрын
Wewe kweli mpole sana angekutana na akina asha gedere angekima . Ila mungu atakuripia na wala hacherewi pole sana mwanamke mwenze2
@salmamkwenda2988
@salmamkwenda2988 2 жыл бұрын
Hawa ndiyo wanaume bwana pole sana my
@saay4273
@saay4273 2 жыл бұрын
Pole sana
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 2 жыл бұрын
Dai Haki yako dah ...Wanaume wanaume. .ivi mnafeli wapi kupambana kote uko kisha um'bwage mwenza wako...laana itamla dada zidisha Ibada kwa muumba wako jibu atalipata hapa hapa duniani☝️
@halimasul6018
@halimasul6018 2 жыл бұрын
Daaah aiseh inauma snah Allah atakulipa dada ang wwh tafta pesaa IPO siku atakutafta
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 2 жыл бұрын
Wanaume htr sn. Dada Dai hk yk akupe ht kiwanja
@ammartimayare
@ammartimayare 2 жыл бұрын
Mwenye kazi jamani ampe huyu dada .wanawake wa shunyanga wastaarabu saaaana sio waswahili kabisaaaa
@mariamgodfrey53
@mariamgodfrey53 2 жыл бұрын
Shukuru MUNGU umepewa hata kiwanja kimoja pambana peke yako ujenge na siku nyingine utakuwa umejifunza.
@mwajumahamisi2006
@mwajumahamisi2006 2 жыл бұрын
Ngoja nipambane uwarabun wanaume hapana namlea mtoto wangu mwenyewe na najenga mungu atakusaidia dada angu
@maimonamaimona1177
@maimonamaimona1177 2 жыл бұрын
tupowengi mwaya🤣🤣🤣
@FatimaFatima-wk1jk
@FatimaFatima-wk1jk 2 жыл бұрын
Yaani akija kwangu anikute Nisha jipanga
@tegemeakyangenyenka6111
@tegemeakyangenyenka6111 2 жыл бұрын
Pole dada,fata wanasheria utapata hakizako zote unazostahili
@Godneverfailed
@Godneverfailed 2 жыл бұрын
Haina haja Mungu atampigania
@maswamills3161
@maswamills3161 2 жыл бұрын
Aachane naye asijepoteza maisha bure,siku hizi watu hawana huruma
@zw.d7929
@zw.d7929 2 жыл бұрын
Pore sana dada mungu atakuripia
@monadinadi5295
@monadinadi5295 2 жыл бұрын
Mwanaume ukizaa nae tu basi wao Wa naona huna thaman Tena kumbe hajui km ww jeshi. Dada mshukru mungu tu Dunia tunapita tu
@clementiddi5708
@clementiddi5708 2 жыл бұрын
Unamuuliza swali/ unampa ushauri wa mbaya sana. Huyu siyo mwanaume halisi aliyekimbia mtoto!
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 2 жыл бұрын
Kimbia dada tena ruka kama digidigi rudi nyumbani kwenu achana nao kabisa usije ukauliwa bure, kam kiwanja una hati zake uza kà mbali na hizo changamoto🙌🙌😭😭
@demicratia4071
@demicratia4071 2 жыл бұрын
kabisaaa kwani visa havisikiiii aruke kama swala
@rhodamwakaje778
@rhodamwakaje778 2 жыл бұрын
Nenda dawati la watoto na jinsia polisi
@shufaaattass1920
@shufaaattass1920 2 жыл бұрын
Kaiwashe moto hiyo nyumba shenzii
@reynaaalrawahi4137
@reynaaalrawahi4137 2 жыл бұрын
Pole sana malipo duniani mungu atakulipia hapa hapa duniani
@yusrasalum
@yusrasalum 2 жыл бұрын
Dada pole ulitakiwa ukae hapohapo angeondoka yeye alovamia dadeq zake dada nenda kakae kwenye nyumba yako uyo mbona atatoka hapo
@mwazanimnyamani8493
@mwazanimnyamani8493 2 жыл бұрын
Wanawake tuwe makini sana tukiwa na wanaume hii habari ya kuchangia maendeleo tuwe makini
@faridaf3923
@faridaf3923 2 жыл бұрын
Sana kabisa
@mammam4701
@mammam4701 2 жыл бұрын
Kbs
@tatotato506
@tatotato506 2 жыл бұрын
Mungu atakusaidia dada uyo shetani achananae mungu atakulipia
@victoriasanga4910
@victoriasanga4910 2 жыл бұрын
Mpendwa wangu , usipeleke mtoto, Ikiwa unamtegemea Mungu hata kuacha
@mwanatz5980
@mwanatz5980 2 жыл бұрын
Pole sana mwanamme ukiishi nae miaka mingi bilandoa atakua anakutumia tu halafu atachukua mwanamke mwengine.
@zahrababygarl1568
@zahrababygarl1568 2 жыл бұрын
Kweli dada mie niko kwenye hii hali mwanaume anataka tuishi pamoja bila ndoa
@nasrahassan7346
@nasrahassan7346 2 жыл бұрын
usimpe watazaa nawao mtt wao
@hanifaomar7438
@hanifaomar7438 2 жыл бұрын
Lakini kama amekupa kiwanja inatosha Sana hapo pambana ujenge dada sikuizi wanawake tunaweza
@asmarajabu5786
@asmarajabu5786 2 жыл бұрын
sana kabisa
@ziyadanyandwi2908
@ziyadanyandwi2908 2 жыл бұрын
Pole sana hao ndo wanaume tunatakiwa tuishi nao kwa akili
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 2 жыл бұрын
WE RUDI NYUMBANI MUNGU NI MWEMA UTAKUWA NA MAISHA MAZURI.MTOE KABISA MOYONI UKIENDELEA KUWAZA MOYO UTAPANUKA UTAKUFA UTAMWACHA MTOTO. MWOMBE SANA MUNGU ATAKUJALIA. NA NYIE NDUGU WA MWANAUME WACHONGANISHI MNABOMOA NYUMBA BADALA YA KUJENGA
@deborahassan1774
@deborahassan1774 2 жыл бұрын
Nakushauri tatta Kaz Hama hapo panga Fanya kaz
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 2 жыл бұрын
Yaani nimeumia Sana😭😭
@westmanmoses541
@westmanmoses541 2 жыл бұрын
Usiumie ni waongo sana hawa viumbe
@happylynguya3464
@happylynguya3464 2 жыл бұрын
Kitendo cha kukataa kurudi nyumbani kwenu, na kusema umeshakuwa mkubwa inaonyesha jinsi gani unajitambua.
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 2 жыл бұрын
Zahir tumekumiss uko wapi kaka?
@batulimabewa6953
@batulimabewa6953 2 жыл бұрын
Pengine kazidiwa na mke mwenzie
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 2 жыл бұрын
Magdalena Mungu yupo omba mlilie sana Mungu.Yesu Kristo ni jibu
@aksharacosta4431
@aksharacosta4431 2 жыл бұрын
Kabisaaa munguuu atamlipa
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 2 жыл бұрын
@@aksharacosta4431 kabisa
@HanipherHassan-i4d
@HanipherHassan-i4d Жыл бұрын
Njoo oman dada
@fathmaoman1186
@fathmaoman1186 2 жыл бұрын
Mwanamke mwenzangu unajisikiaje kuishi sehemu ambayo mwanamke mwenzako amehenyeka . Ila ujue na yy alipendwa kama ww mwanzó. Kama tudin tudan. ACHA NIPAMBANE UARABUNI NIPATE CHANGU
@asiamohd5516
@asiamohd5516 2 жыл бұрын
Ng'ang'ania sk ya sk uje kupigiwa bastola tafuta maisha
@aminakasim1198
@aminakasim1198 2 жыл бұрын
Ndomaana wanawake wa kenya nyeri wanawakata mayai wanaume wanakeraa sanaa Astaghafirullah
@modestafelician6751
@modestafelician6751 2 жыл бұрын
Njoo,kwa,mwamposa,kawe,dada,mumewe,atakutafuta
@aishajuma7813
@aishajuma7813 2 жыл бұрын
Jamani bora tufe Omani tuu maana wanaume siyo watu kabisa
@christinachazy8644
@christinachazy8644 2 жыл бұрын
Jamani pole dad wanaume wa Sasa ivi nishida Yani dada achana nae Fanya kazi atakutafuta tu mshezi sana
@hanifaomar7438
@hanifaomar7438 2 жыл бұрын
Mm ningeenda sumbawanga tu kwakweli Nile dagaa tujenge halafu akae mwanamke mwingine hapana jamani
@mammam4701
@mammam4701 2 жыл бұрын
Mungu mwema sana
@nasrahassan5435
@nasrahassan5435 2 жыл бұрын
Kuwa nasubra allah atakufanyia wepesi ,
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 2 жыл бұрын
Hii mwanamke hatari
@maimonamaimona1177
@maimonamaimona1177 2 жыл бұрын
Pole mwaya😭😭
@husnamadai7052
@husnamadai7052 2 жыл бұрын
Nimefurahi ulivyosema umemwachia mungu
@shanishani7690
@shanishani7690 2 жыл бұрын
Wale wanawake tunao jenga kwa nguvu zetu tujuane jaman Khaaa wanaume shikamoo
@mwanaherhussani7425
@mwanaherhussani7425 Жыл бұрын
😂😂😂
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 2 жыл бұрын
Mmmmm!!! Leo Fabe?
@rahemahassan3015
@rahemahassan3015 2 жыл бұрын
Njoo arabun tupambane shoga angu
@daudpaulo2867
@daudpaulo2867 2 жыл бұрын
Anipe namba natafuta mke
@mariahwayesu7312
@mariahwayesu7312 2 жыл бұрын
SEMA MDADA MSTAARABU SANA, MUNGU ATAKUSAIDIA MY
@salmamohammedyahaya6098
@salmamohammedyahaya6098 2 жыл бұрын
Dawayake ,kumuachakabisaa
@carolinenjoroge9092
@carolinenjoroge9092 2 жыл бұрын
Wenzangu wanawake wenye bidii! Chungeni kufanya miradi na mwanaume wasio waume zenu! Mwanaume akuoe kwanza alipie na mahari, aketi na wazazi wako wajuane. Nenda kwao ujue ni mtu wapi? Olewa kwanza! Usi fungulie bidii yako yote kwa mtu asiye wako!
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 жыл бұрын
Kabisaa hkn kuamini mtu
@asmarajabu5786
@asmarajabu5786 2 жыл бұрын
hilo nalo neno
@husnamadai7052
@husnamadai7052 2 жыл бұрын
Mi hata wa ndoa shoga angu changuchangu, wanaume wenyewe wanaua
@BINTIwaKITANGA
@BINTIwaKITANGA 2 жыл бұрын
@@husnamadai7052 umeona eeh weeh changu changu hawaelewi hawa
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 2 жыл бұрын
@@BINTIwaKITANGA kabisa
@hanifaomar7438
@hanifaomar7438 2 жыл бұрын
Njoo Oman dada mwaka mmoja tu unakutosha
@alimwangabula5060
@alimwangabula5060 2 жыл бұрын
Dada naomba namimi nifanyie mpango nije nimwanamkee mimi
@Bintmwafurani
@Bintmwafurani 2 жыл бұрын
We ulijenga kwa mwaka mmoja tangu uende Oman tupe michango basi
@hanifaomar7438
@hanifaomar7438 2 жыл бұрын
@@Bintmwafurani unataka nikutumie vielelezo
@huyrathayrathayrathayrat177
@huyrathayrathayrathayrat177 2 жыл бұрын
Jamani namm nahitaji kazi
@hanifaomar7438
@hanifaomar7438 2 жыл бұрын
@@alimwangabula5060 kwasasa nasikia wamefunga my mm namiaka Huku niliolewa nikazalishwa nikaachwa hasira nikakimbilia omn
@alicedavido1330
@alicedavido1330 2 жыл бұрын
Dada pambana hata ustawi wa jamii,hata kwa mkuu wamkoa nenda
@edinakyaruzi9226
@edinakyaruzi9226 2 жыл бұрын
Mungu atakuongoza tu na kama kuna mwanamme anaangaika na mausiano tafuta mke uyo kaka yangu ndio waovyoovyo ila mke ndio uyo
@salmamkwenda2988
@salmamkwenda2988 2 жыл бұрын
Hawa ndiyo mwanaume Wa mjin Kusema kwei watu tunaoga Sana Kusema kwel
@azizaal-amri3577
@azizaal-amri3577 2 жыл бұрын
Kweli kabisa nyuta ya mwanamke utafilisika wee kaka rudisha moyo wako rudi kwa mkeo na mto
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 2 жыл бұрын
We dada bado mdogo pambana utafute vyako usipoteze muda na wanaume
@crocodilemasala7956
@crocodilemasala7956 2 жыл бұрын
Also show video of your relatives with marriage issues.
@Maryam-vj1rb
@Maryam-vj1rb 2 жыл бұрын
Njoo huku uarabuni dada utajenga hata nyumba 3😥
@alfarsialfarsi2754
@alfarsialfarsi2754 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@Maryam-vj1rb
@Maryam-vj1rb 2 жыл бұрын
@@alfarsialfarsi2754 kwani naonhopa shoga😃😃
@BINTIwaKITANGA
@BINTIwaKITANGA 2 жыл бұрын
@@Maryam-vj1rb pambee tyuu sasaa Nina mjengo wangu nguvu za hamam💃
@aishajuma7813
@aishajuma7813 2 жыл бұрын
Wanawake tujitambue wanaume siyo watu
@rukiauwonde7062
@rukiauwonde7062 2 жыл бұрын
Pole sana aise ila huyo mwanamke awe makin na yeye
@imeldangoda554
@imeldangoda554 2 жыл бұрын
Sametimes wanaume wanatulia na mke mmoja wakiwa hawana kitu.. Punde wanapokuwa na vijisenti Zarau kejeli wananza kutafuta wanawake wengine. Na kumsahau ni jinsi gani walivyohangaika na mke wa kwanza
@nasrahassan7346
@nasrahassan7346 2 жыл бұрын
chagamoto unapitia harafu upo tu mmh akili kumkichwa sasa😀
@charlesmugisha6529
@charlesmugisha6529 2 жыл бұрын
Naomba faby tusikie na upande wa pili anasemaje.
@maximumtvonline
@maximumtvonline 2 жыл бұрын
Sawa
@charlesmugisha6529
@charlesmugisha6529 2 жыл бұрын
Usije ukakuta Kuna kitu kingine nyuma ya pazia ata wale wanawake wanao tembea na mashemeji zao uwa wanajiteteaga Sana Kama ujaoji upande wa pili uwezi kujua Kama mwenye makosa ni uyo ulie muoji kwanza.
@leiratykisura6718
@leiratykisura6718 2 жыл бұрын
Kweri tz unaetafuta nae kula anakula mwengine warai mie skubar nawatia uchizi siwezi kuka kinyonge
@mwenieliasa6517
@mwenieliasa6517 2 жыл бұрын
Hunishindi mm haki ningewaroga mbwa wote hao dada piga moyo konde njoo huku dubai tupambane mm ndio maana hii mijanamme hapana siipendi wala haiko moyoni mwangu
@rosehansen4548
@rosehansen4548 2 жыл бұрын
Jeg anaifaham kazu gani?
@evalenad6256
@evalenad6256 2 жыл бұрын
Dada umefanya misstake kubwa kuleta haya mambo mitandaoni. Ungepiga kimya tu ukajenga nyumba yako ukakaa
@AshleyOfficial-g2f
@AshleyOfficial-g2f Жыл бұрын
Karooge shoga angu wazani huyo kaabure kwenyenyumba yako wee pambaniandugu yangu
Чистка воды совком от денег
00:32
FD Vasya
Рет қаралды 4,5 МЛН
How many people are in the changing room? #devil #lilith #funny #shorts
00:39
А я думаю что за звук такой знакомый? 😂😂😂
00:15
Денис Кукояка
Рет қаралды 5 МЛН
JUMBA LA KIFAHARI LINAUZWA KIGAMBONI 0762505211
4:49
DALALI WA TAIFA KIGAMBONI
Рет қаралды 9 М.
Mama Nipe Radhi
19:32
Isha Mashauzi
Рет қаралды 36 М.
WANANISEMA SINA KIZAZI | NALAZIMISHA MAPENZI | MAMA YANGU APENDI NIWE HIVI
12:53
Чистка воды совком от денег
00:32
FD Vasya
Рет қаралды 4,5 МЛН