MKE MWENZA

  Рет қаралды 145,704

MPAYU FILM

MPAYU FILM

Күн бұрын

Пікірлер: 110
@اروى2
@اروى2 2 жыл бұрын
Mke mdogo anampenda sana mumewe na kumueshimu na ndo ivyo akawa amemteka sana halooooo, mume hapendi vurugu wala makasiriko, mume anapenda amani ktk moyo wake na utulivu
@saumbliz8983
@saumbliz8983 Жыл бұрын
Wake wa kubwa maumbwa kweli hawaji amini
@igiranezafatty4823
@igiranezafatty4823 2 жыл бұрын
😀😀😀😀 nyumba ndogo tujuwane aki mke mdogo umenipa raha 😀😀😀😀
@zulfajamal3166
@zulfajamal3166 2 жыл бұрын
Tupo tumejaaa tele tunajua kuwaenzi waume za watu
@nashmirihamisi2417
@nashmirihamisi2417 2 жыл бұрын
🙌 tupo uku tumejaa hadi raha😀😀😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄
@ShamimKabibi-my6qw
@ShamimKabibi-my6qw Жыл бұрын
Mm ndonaianza
@okellozahara6340
@okellozahara6340 4 ай бұрын
Tupo tele Raha kuende mbele🎉
@nyamaijunior4496
@nyamaijunior4496 Жыл бұрын
From Kenya .make mkubwa ni mtoto bado utoto ujamwisha
@sarahnafulanafula5537
@sarahnafulanafula5537 Жыл бұрын
Waah,huyo mke mtogo kanifurahisha kweli kabiza 😂😂😂,ila mko warembo zaidi
@zulachama1067
@zulachama1067 2 жыл бұрын
Kabla sijahimalizia nafuri sana iko vizuri, mke mwenza raha kupendukia.
@justblackcode
@justblackcode 2 жыл бұрын
Mke mdogo mzuri mashallah, sura, urembo na tabia zimeambatana
@bintyhamisi8311
@bintyhamisi8311 2 жыл бұрын
Mke mdogo nimekupendaa ❤
@nashmirihamisi2417
@nashmirihamisi2417 2 жыл бұрын
Nyumba ndogo oyeee😀😄😄😄😄😄
@TatuSudi-k9w
@TatuSudi-k9w 2 ай бұрын
Wake wenza hawafai kukaa nyumba moja,mana ni ushindani thu kilakitu
@CuttyHalima
@CuttyHalima Жыл бұрын
Ongera mke mdogo 😂
@aminahhuawei1133
@aminahhuawei1133 2 жыл бұрын
Kazi mzr sana🤣🤣🤣🤣 mungu awabariki
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 2 жыл бұрын
🤣 🤣 🤣 Nicheke kwanza lkn bas🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️🙃
@hawaashaban8567
@hawaashaban8567 2 жыл бұрын
Mke mdogo noma yaani nime jikuta nacheka wallah 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 Жыл бұрын
Mke mdogo busy na sm
@asmatabdallah1368
@asmatabdallah1368 2 жыл бұрын
Mke mdogo congratulations ❤️❤️❤️
@jamillahassan3405
@jamillahassan3405 2 жыл бұрын
Move nzuri kweli....mke mudogo chombo ..mamayeee.....😋😋
@zulfahussein6784
@zulfahussein6784 2 жыл бұрын
Umeona hataki kuonewa
@ruthkavai3453
@ruthkavai3453 2 жыл бұрын
Nzurii mambo ni moto 🙆🙆🇰🇪
@totooboki8072
@totooboki8072 2 жыл бұрын
Weweeeeeeeeeeeee👌mke mdog mashaallah Allah
@rachelpaul460
@rachelpaul460 Жыл бұрын
Kaz nzur sana
@fatmahaji7661
@fatmahaji7661 10 ай бұрын
Huyu mume kishaleft group kaaaaa😂😂😂😂
@estermpare4078
@estermpare4078 6 ай бұрын
Kama babaako alivyoleft grop 😅😅😅😅
@annamwinuka5898
@annamwinuka5898 2 жыл бұрын
😄😄😄😄😄 eti kijanga nitakula manyanyachungu hadi matembele😁😁😁😁😁😁😄😄😄😄😄🤣😄🤣😄😄 oky nice movie
@gracekretus1851
@gracekretus1851 Жыл бұрын
Mke mdg cheusi mwenzangu unacheka vizuli mambo shoga 😅
@risperomulo2894
@risperomulo2894 2 жыл бұрын
Mumu ya wenyewe sumu akaaaa! Sitopenda mie 🇰🇪
@LilianJuma-q6y
@LilianJuma-q6y Ай бұрын
Mtoto kautaka,
@imansaid8020
@imansaid8020 2 жыл бұрын
Bi mdogo!! mashaallah mzuri
@aliabdullah2161
@aliabdullah2161 2 жыл бұрын
Mume jicho loote lipo kwa bimdogo MshaaAllah 😋
@saramwampamba8084
@saramwampamba8084 2 жыл бұрын
mke mdg ❤️❤️❤️❤️❤️
@sezariamabamba4844
@sezariamabamba4844 2 жыл бұрын
Bi mdogo asante kwa kutufundisha hilo somo nasisi ambao ni bi wadogo😍😍😍😍
@SaudaUwimana-tv4yr
@SaudaUwimana-tv4yr Жыл бұрын
Umeona eee
@MagdalenaVenance-o4h
@MagdalenaVenance-o4h Жыл бұрын
Nimempenda bure bi mdogo
@AngelBiria-eu5uv
@AngelBiria-eu5uv Жыл бұрын
Aiseee mko vizur
@Raz254ka
@Raz254ka 2 жыл бұрын
Mke mdogo nimkupenda xna 😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤
@jumakandy2075
@jumakandy2075 2 жыл бұрын
Congratulation. Good movie
@mwanajumakomar3831
@mwanajumakomar3831 2 жыл бұрын
Mke mdogo hapo sw😂😂
@joharijj2164
@joharijj2164 2 жыл бұрын
Mke mdogo anajua kudhibiti kweli 🤣🤣 Yaani kacheza kike.wanasema muumgwana lake rohoni alijua kipi anafanya
@mcdugange4551
@mcdugange4551 Жыл бұрын
Hajimina kama nakuona mis sana
@jonhstefano848
@jonhstefano848 Жыл бұрын
Uliiataka mwenyewe
@jonhstefano848
@jonhstefano848 Жыл бұрын
Hamna Cha kijanga Wala nini umeshalikoroga mwenyewe
@LilianJuma-q6y
@LilianJuma-q6y Ай бұрын
Ila hela ulifaa kumpatia mke mkubwa si mke mdogo hapo umekosea
@adamkabimba3513
@adamkabimba3513 2 жыл бұрын
Ati mate mbelle am watching from uganda
@AdolfuChibwete
@AdolfuChibwete 6 ай бұрын
Nenda tyu kwenu kwan ulifukuzwa
@salomemakene4446
@salomemakene4446 7 ай бұрын
Kwaio unanihudumia hunihudumii!!
@ReginadaDotto
@ReginadaDotto Жыл бұрын
Mmh jamn haya
@donseifbashraf5559
@donseifbashraf5559 Жыл бұрын
Ajmina bhnaaa
@mariamkibindo1741
@mariamkibindo1741 2 жыл бұрын
Jaman mbona mumemnyima chai bi mkubwaa 🤣🤣🔥bi mdogo pambe
@sweetkeed2898
@sweetkeed2898 2 жыл бұрын
Jamaan mke mdogo mbona pambeee😁😁😁🤗
@sadabkari5532
@sadabkari5532 2 жыл бұрын
😄😄😄😄😄😄pambeee ❤️
@abubakariahmadinassoro1490
@abubakariahmadinassoro1490 2 жыл бұрын
Daaah yaan mpaka rahaa
@SabrinaAliy-x9w
@SabrinaAliy-x9w Жыл бұрын
Na tujuane haswa jamany
@saumbliz8983
@saumbliz8983 Жыл бұрын
Nyelee hazina ushirokiano
@Salama-vm7wz
@Salama-vm7wz 8 күн бұрын
😮😮🎉😂😂😂😂❤
@marcelinemwaro266
@marcelinemwaro266 Жыл бұрын
Mke mdogo kiboko kbsa
@LukiaYusupf
@LukiaYusupf Ай бұрын
Ukitaka kujua ukorofi wa b mdogo mme arete mke mwingine ndy utajua ukorofi wake hakuna anaye penda uke wenza bas
@aminnyanjil1470
@aminnyanjil1470 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mke mdogo umeeza
@habbykhaleed3390
@habbykhaleed3390 2 жыл бұрын
Nimekupenda bure mke mdg ❤❤❤❤
@ngumbatv6974
@ngumbatv6974 2 жыл бұрын
sio mbaya quality nzuri sauti inasikika japo kuna waigizaji wanakoseakosea maneno kama waoga
@mpayufilm
@mpayufilm 2 жыл бұрын
Kama yup anakosea
@ngumbatv6974
@ngumbatv6974 2 жыл бұрын
Mume wa wake wawili mwanzo kabisa, Lakin kazi nzurii ❤️
@falidamwasenga6398
@falidamwasenga6398 2 жыл бұрын
Bimdogo nomaa
@bintysaid1964
@bintysaid1964 2 жыл бұрын
Alivyokuja mke mdogo utadhani mfanyakazi🤣🤣🤣 ila mke mdogo ndo mke material mchesh kwa mumewe mwaya hahaha
@jamilabarisahalola3560
@jamilabarisahalola3560 2 жыл бұрын
Safi
@imansaid8020
@imansaid8020 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂nimecheka na bi mdogo
@barkyabdallah170
@barkyabdallah170 Жыл бұрын
Utawekaje wanawake 2mahali moja kila mtu akae kwake jamani
@fathimabh5615
@fathimabh5615 2 жыл бұрын
mke mdogo love you 😍 ❤ 😘
@kandawalasash6243
@kandawalasash6243 2 жыл бұрын
If only men could listen
@AllyNgatima
@AllyNgatima Жыл бұрын
Mmejitahidi hii filamu
@zulachama1067
@zulachama1067 2 жыл бұрын
Nyumba ndogo poa.
@AgnesPaul-op4mc
@AgnesPaul-op4mc 6 ай бұрын
nawe upo
@mariamkibindo1741
@mariamkibindo1741 2 жыл бұрын
WOW nice 👍
@asmatabdallah1368
@asmatabdallah1368 2 жыл бұрын
Mume sija muelewa kabisa mbona Kama ame left group 😂😂😂😂
@fatmahaji7661
@fatmahaji7661 10 ай бұрын
Umeona eeeee nlitk kusemaaaa😂😂😂
@ChanceMarie-Claire
@ChanceMarie-Claire 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@reynaaalrawahi4137
@reynaaalrawahi4137 2 жыл бұрын
Nzuri sana Asante sana ❤️❤️❤️
@aishaomar9621
@aishaomar9621 2 жыл бұрын
Movie Tamu Sana mke mdogo uwenipa ujasili na funzo kwakweli
@zainabuali9915
@zainabuali9915 6 ай бұрын
Picha linaanza
@levinaleonard7652
@levinaleonard7652 2 жыл бұрын
Movie nzur
@safiaothman5175
@safiaothman5175 2 жыл бұрын
Mwendelezo jamani
@ramadhanimpaika1056
@ramadhanimpaika1056 2 жыл бұрын
Imekaa poa
@okellozahara6340
@okellozahara6340 4 ай бұрын
Njamani wa watu TZ mate mbele do nini
@TatuSudi-k9w
@TatuSudi-k9w 2 ай бұрын
Matembere ni mboga tamu xana ya wa bongo
@anitanahimana2115
@anitanahimana2115 2 жыл бұрын
Honger
@bhokewarioba3224
@bhokewarioba3224 Жыл бұрын
Yan bi mdogo angekuwa ndo bi mkubwa
@rahelihaule1621
@rahelihaule1621 Жыл бұрын
Ugali matembele
@EdwardDismass
@EdwardDismass 7 ай бұрын
Muke mudogo unavituko
@wahidadaudi4945
@wahidadaudi4945 2 жыл бұрын
Muendelezo
@nayplatform6356
@nayplatform6356 2 жыл бұрын
We need to grow
@falidamwasenga6398
@falidamwasenga6398 2 жыл бұрын
Nzuli
@agnesnyamokami6963
@agnesnyamokami6963 2 жыл бұрын
Nam ni moja wao lakin nimekupenda xana
@habiba3039
@habiba3039 2 жыл бұрын
Mke mdg ana mbambambaa
@johariamalok4100
@johariamalok4100 2 жыл бұрын
Hema ukichoka pumua
@kanenokitsao7916
@kanenokitsao7916 2 жыл бұрын
Bi wakubwa twapaswa kufurahia tunapoletewa Bi wadogo na maume wetu
@aureliadidas1531
@aureliadidas1531 2 жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁
@mariambakari7796
@mariambakari7796 2 жыл бұрын
bi mdogo ananichekesha amedabuka
@warda6329
@warda6329 2 жыл бұрын
Nzuri
@kalssambaboo9932
@kalssambaboo9932 2 жыл бұрын
😃😃😃😃😃😃
@farhanialfarsi1983
@farhanialfarsi1983 2 жыл бұрын
🥰🥰
@greenteam2290
@greenteam2290 2 жыл бұрын
Bi mkubwa wewe umetutia aibu wake wakubwa mana mke mkubwa akiletewa mwenzie nae cheo kinapanda anakua queen ela wewe umetushusha thamani 🥺🥺🥺
@zulfahussein6784
@zulfahussein6784 2 жыл бұрын
Umeona yaani wataka madaraka kila siku 😂😂😂
@aishamamii2942
@aishamamii2942 2 жыл бұрын
Hahaha haswaaa
@habbykhaleed3390
@habbykhaleed3390 2 жыл бұрын
😂😂😂
MKE MWENZA 1
19:30
ZACKPUNGASESE
Рет қаралды 27 М.
MKE MWENZA FULL SERIES
1:18:14
ZACKPUNGASESE
Рет қаралды 16 М.
Wednesday VS Enid: Who is The Best Mommy? #shorts
0:14
Troom Oki Toki
Рет қаралды 50 МЛН
Air Sigma Girl #sigma
0:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 45 МЛН
SIITAKI NDOA
22:28
VEROYVERA TV
Рет қаралды 88 М.
PENZI LA MWANAMKE MALAYA 😢💔
20:32
MrMwanya TV
Рет қаралды 404 М.
WAKE WENZA S01 EP 02
18:45
Juma Zomboko
Рет қаралды 11 М.
#60 - #UKE WENZA - #MAU MPEMBA - #FUMBUA MACHO
12:22
Mau Mpemba
Рет қаралды 14 М.
NYAMA YA ULIMI  - Bongo movie ""Hawa ramadhan & issa kombo
1:36:56
ADILI IDDI
Рет қаралды 392 М.
MKE WA PILI ❤️ FULL MOVIE
42:45
MATUTU MEDIA
Рет қаралды 14 М.
WAKE WENZA FULL MOVIE (SEASON 1) EPISODE 1-6
1:07:25
Comedy Plus
Рет қаралды 683 М.
#14 - MKE WA NGOMANI - MAU MPEMBA - FUMBUA MACHO
14:07
Mau Mpemba
Рет қаралды 94 М.
WAKE WENZA 4
16:09
ZACKPUNGASESE
Рет қаралды 9 М.
Wednesday VS Enid: Who is The Best Mommy? #shorts
0:14
Troom Oki Toki
Рет қаралды 50 МЛН