midabangulo nilivyo kuona tu nikajuwa kabisa hii movie lazima iwe kali......sikupingi broo
@LifeJumanne20 күн бұрын
Kaka huyu dada hakuwa na makosa kiasi kwamba haya yote ya mpate alafu wenye makosa wao wamemaliza vzl sijapenda ulivyomaliza hii kazi bt hongera sana kwa kazi
@emmanuelOmolo-b6s3 ай бұрын
Kazi njema gozi 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@SteveTom-nd3us2 ай бұрын
Kazi mzuri brother
@sammyMunga-l8n4 ай бұрын
Kazi safi broo
@YehuKashindi3 ай бұрын
Mnijibu tafadhali,,wananguuu wa bongooo movie
@AminKanefu5 ай бұрын
Jaaaamaaaaaniiii tunataka nyingiiineeee
@elinakithi69782 ай бұрын
Hongereni 🎉🎉🎉sana
@Aishabby-p5q4 ай бұрын
Mashaallah imeweza aki congratulations Gozi
@SalamaSudi4 ай бұрын
Mwanamke usipo jieshimu bc waweza chezewa sana na wanaume kwa sababu za tamaa potofu
@josephmacharia5303 ай бұрын
Gozi I like your movies 🎉frm🇰🇪
@kilalomaerlymauya66324 ай бұрын
bonge moja la move
@furahandalu47654 ай бұрын
Nakukubal sana kiongoz big up gozi
@MimnajumaMsile14 күн бұрын
From Niger Africa I like it 😮❤
@suleimanchinyimu537925 күн бұрын
awesome 💯
@SubilaHassan3 ай бұрын
Malawi 🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼tunakukubali
@EmmanuelTsuma-p4x4 ай бұрын
Nakubal gozi...,pamoja sn
@hodamzungu41074 ай бұрын
nice
@Official_poulmaker5 ай бұрын
Unyama
@AhmadiWessoMohamedi4 ай бұрын
Nice
@RashidMuramba12 күн бұрын
...safi
@WilsonShiraku2 ай бұрын
Kalistiii,kudabangura tu 😂😂😂😂😂
@EricMatara-c9j2 ай бұрын
Take heart goxi
@CarlsonKipyego3 ай бұрын
nice movie having alesson
@simonmollelmollel-j9g3 ай бұрын
Tamuu kinoma
@YunusHassan-s2w20 күн бұрын
Karist karist unataka kudabsngura tuuuu😂😂😂
@SalminiMaulidi-o1r3 ай бұрын
Yaliyo mkuta uyodada lazima uwe chizi
@NimrathshirimaАй бұрын
🎉🎉🎉
@KarisaMwaringa-g8jАй бұрын
Iko poa broo
@simonmollelmollel-j9g3 ай бұрын
Aante kwa txt yako ya maana na ww uwe hvyo hvyo❤❤❤❤❤
@shantelnicholas5414 ай бұрын
If you can give me this chance I can travel to Tanzania
@mugarurafred4487Ай бұрын
Huyo mwenye nyumba vile😂 Anaonekana kama jambazi au mvuta bangi.
@BibiClassic-rl2jo15 күн бұрын
Mwanamke ana kilanga huyu Baada angojee atongozwe anajitongozeshe
@lamecholoo75704 ай бұрын
Keep rolling🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@EricMatara-c9j2 ай бұрын
Tiz man🎉 is wise
@valentinoraymond76593 ай бұрын
Dahhh hii movie ni hatari haina ma kando kando 🔥🔥🔥
Leo mnipee likes juu n mm wa kwanza kucomment❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@EdwardFilbert-y8q22 күн бұрын
Eti dololima🤣🤣🤣
@MamakeDetective2 ай бұрын
Kweli mtaka yote ukosa yote 😢😢😢
@simonmollelmollel-j9g3 ай бұрын
Hi yenyewe jaman😮😮😮
@rectertaliye83773 ай бұрын
Mambo gudigudiiiiiii
@ShabaniKazz4 ай бұрын
Iyo kudabangula ninomasana
@OscarKiptoo-k4l25 күн бұрын
Nadhani utanielewa
@gitarindwiga27934 ай бұрын
😂😂😂leo movie tamu
@YehuKashindi3 ай бұрын
Hivi wananguuuu wa movie za kibongo nilikuwa naswali tafadhali 🤔🤔🤔🤔🤔,,,, brother yetu KURYABOY hivi anaulemavu wa kimaagizo au niulemavu wa kuzaliwa nao ooohhh.....??????huo wa kupindisha mguu kama mtu anayecheza azonto vileee 😊
@dada796927 күн бұрын
Hii film balaa ila gozi nimekuelewa sana ba mtu😅
@morrisk84244 ай бұрын
Great job bwana Gozi.... watching from busia kenya......💪
@EshaMasood-f3t5 ай бұрын
Love from kenya❤❤❤❤❤❤ top Masha Allah ❤🎉
@Hamisiayuni4 ай бұрын
Jam kafayaj
@ElishaMusa-r6b3 ай бұрын
Huyu mzee amefanana na Muhogo Mchungu.
@GracependoDisii4 ай бұрын
Unyama ukali😅🎉😮😮😅
@simonmollelmollel-j9g3 ай бұрын
❤❤❤
@minabuelysee84 ай бұрын
😂😂❤❤❤
@MaxwelImbayi5 ай бұрын
Good job brother
@alwiahmad59195 ай бұрын
Nice ❤
@NickrousMbeshi5 ай бұрын
Kazi zuli🎉😢🎉🎉🎉 1:44:32 ,
@JacksonMwagandi3 ай бұрын
Fresh 2
@ThomsonAldrich-t5v3 ай бұрын
Pink Street
@Mubag19974 ай бұрын
Nx
@lilitm54693 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂❤
@JosephLianda-b2qКүн бұрын
😊
@simonmollelmollel-j9g3 ай бұрын
Tamuu kinoma 23:53
@BeatriceMkoba3 ай бұрын
😅😅😅
@FidelixErnestoErnesto10 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@shantelnicholas5414 ай бұрын
Gozi I love your movies so much I request to play one series with you from Nairobi kindly waiting for your respond... thanks 🙏
@directorgozi55094 ай бұрын
Comment your number
@jamillahassan34053 ай бұрын
nimejifunza kitu kupitia movie zako kaka Gozi
@RamadhaniKitala-gx6wc3 ай бұрын
Kumbe unamdabangula mke wake 😂😂 kudabangulaa
@BanadirGeneral4 ай бұрын
😂😂😂
@RamadhaniKitala-gx6wc3 ай бұрын
Assalam aleykum, bwan asifiwe wale wote wanaosoma comment hii muwe na umri mrefu