Mke wangu ni Mwalimu lakini ananizidi mshahara | Sijui tuna laana hapa- Askari mbele ya Naibu Waziri

  Рет қаралды 54,555

EastAfricaRadio

EastAfricaRadio

Күн бұрын

Пікірлер: 57
@rashidsalehsalum6462
@rashidsalehsalum6462 2 жыл бұрын
Poleni sana massage sent
@romanamassawe814
@romanamassawe814 Жыл бұрын
Hilo liaskari magereza limeongea vitu vya ajabu Sana, Tena Lina onekana Lina roho mbaya Sana, nilikuwa sijui Kama Kuna majitu yasiyopenda wafungwa wapate msamahaa
@papaamashana3962
@papaamashana3962 2 жыл бұрын
Hongela afande umenena vyema
@josephlorri431
@josephlorri431 Жыл бұрын
Imekuwaje tena... mama anatupeleka wapi... malalamiko ya askari hadharani.. ilitakuwa kuwa kikao cha ndani..
@user-1kh1boy2the
@user-1kh1boy2the Жыл бұрын
Pole sana
@AllySalum-j9y
@AllySalum-j9y Жыл бұрын
Mumechagua kazi yaa zambi apoo bado kiamaa munasubiriwa na mungu
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ Жыл бұрын
kwa maelezo ya Afande nahisi Askari wengi wana msongo wa mawazo ndio maana baadhi hufanya mambo ya ajabu ili nae awasomeshe watoto wake english media, ila naamini kwa Serikali hii sikivu watawafanyia maboresho hivi karibuni
@DadialiDadi
@DadialiDadi Жыл бұрын
Alooo kwan tpdf yenyewee inasemaje watuu wanakwenda kongoo weee unakaa na tochi kichakan unakeraa watuuu😅😅😅😅😅
@frankp.alkado2938
@frankp.alkado2938 Жыл бұрын
Uko sawa kabisa afande
@bukheribukheri798
@bukheribukheri798 3 жыл бұрын
Wapinzani wakiwatetea mnawapiga virungu,mimi nilijua mambo saaafi mnakula kuku kwa mrija,daa poleni sana
@simonjustin5921
@simonjustin5921 3 жыл бұрын
Wacha wateseke tyubwapuuz hawa
@musasabuu2808
@musasabuu2808 2 жыл бұрын
Askar unapewa amri cyo kwamba wanaenda kwa kupenda wnyw
@AdrusHassan-c5m
@AdrusHassan-c5m 4 ай бұрын
Mkipewa mshahara wa juu je mtaacha ukuda?
@abasishabani1151
@abasishabani1151 3 жыл бұрын
Kumbe hata jeshi letu lina malalamiko lakini hawaongei nilijua ni walimu tuuuuh
@musasabuu2808
@musasabuu2808 2 жыл бұрын
Bora hata walimu wanaweza kukgoma wakasklizwa jeshi hata Kama unanyonywa kmya
@DadialiDadi
@DadialiDadi Жыл бұрын
Mtu anajifichaa kichakan anakujaa na tochi tunavizianaa road sasa ndo mjue kama tpdf kaz ya mwanaume hapewi mvualanaaaaa😅😅😅😅😅😅😅
@GreysonEdward
@GreysonEdward 5 ай бұрын
We ongea ila siku ukija kuingia kwenye mfumo wao ndo utajua
@benderarulenge2477
@benderarulenge2477 Жыл бұрын
Huyu Askari wa polisi depo yangu,hujastaff tuu,
@namandamzuma5478
@namandamzuma5478 3 жыл бұрын
Ahahaaaaaaaaaa......baba anawasikia popote alipo
@bobaiddi9599
@bobaiddi9599 Жыл бұрын
Utekelezaji ss ndio majanga 😢😢
@harunmanura7900
@harunmanura7900 Жыл бұрын
Hao police wanamalupu lupu mengi na kz zao zinaongoza kwa kupokea rushwa
@thegoodpilgrim6986
@thegoodpilgrim6986 9 ай бұрын
Mbumbumbu kweli huyu askari ... kwa nini usifikirie kuacha kusingizia watu kesi na kuacha kuwaweka watu ndani kkwa sababu zisizo za msingi?
@sadikidaudi460
@sadikidaudi460 Жыл бұрын
Saafi kwakuamua kujisemea
@kyangwesignermohamed7867
@kyangwesignermohamed7867 Жыл бұрын
Huju jamaa ana roho mbaya anafurahi watu kufungwa ili walime
@frankp.alkado2938
@frankp.alkado2938 Жыл бұрын
Kwani walimu ndo wanamshahara mdogo au????
@bwengoabdallah2556
@bwengoabdallah2556 2 жыл бұрын
Shule huna unataka mshahara mkubwa watu wamesota wanatafuta elimu
@eastafricaqualitychickenfa9916
@eastafricaqualitychickenfa9916 Жыл бұрын
Mimi nazani iyo ni Laana
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 Жыл бұрын
Hawa wanajeshi wanaposho katikati ya Mwezi. Wasidanganye
@zubeirHussein-lq9cd
@zubeirHussein-lq9cd Жыл бұрын
Kiukweli Serikali Inaumiza Sana Mimi Ni Mrithi Wa Marehemu Baba Tangu Ila Tokea Astafu Alipewa Pesa Zake Kidogo Lakini Mpaka Amefariki Hajapewa Tena Amana Yake Kwani Niserekali Waliangalie Sana Hilo
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 5 ай бұрын
Seeikali ya wabadhirifu
@addymsola4625
@addymsola4625 Жыл бұрын
Huoni aibu ikiwa we ni idara tu ya mambo ya ndani alafu unataka ulingane na tpdf basi hamia tpdf
@ramadhanimuya2162
@ramadhanimuya2162 Жыл бұрын
Unajua maana ya TPDF we jamaa?
@mohammednyemaga4793
@mohammednyemaga4793 Жыл бұрын
ACHA mambo yako sasa wewe hutaki kuzidiwa lazima akuzidi yeye ndoo mwalimu wako eti ulisha wahi kuona mtoto kumzidi baba au mama.mwalimu ni mwalimu tu
@rashidsalehsalum6462
@rashidsalehsalum6462 2 жыл бұрын
Wewe nani na yeye nani
@IssaMsalama-k6x
@IssaMsalama-k6x Жыл бұрын
Tatizo nyie mnapata dhamani wakati wa uchaguzi kuipiga cdm,tu basi uchaguzi hukuhisha na nyie kwisha,tutaona hiyo siku hapo Dar,
@masoudymichael
@masoudymichael Жыл бұрын
Ndiyo mjuwe msiwakandamize vyama vya upinzani
@raphaelzablon7721
@raphaelzablon7721 2 жыл бұрын
Tena ingekuwa kila sikukuu kungekuwa na msamaha kwa wafungwa
@deuswilson348
@deuswilson348 2 жыл бұрын
Unajilinganisha na mwanajshi .hahhahaahahh
@jumaigoti7541
@jumaigoti7541 Жыл бұрын
Mjinga wewe unapenda wafungwa warundikane magereza.wakipungua matumizi siyanapungua
@haflangoztz3605
@haflangoztz3605 3 жыл бұрын
Mitano tena
@bakarimashi848
@bakarimashi848 3 жыл бұрын
Ni laana kweli mlonayo na hayo mnayofanyia watu
@nestoryjosephphilipo5164
@nestoryjosephphilipo5164 2 жыл бұрын
watu wanapoandamana kidai stahiki mnawapga umieni sasa iwe fundisho
@marymajula5351
@marymajula5351 3 жыл бұрын
Ww ujifananishe na tpdf kile ni chombo kingine.
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 Жыл бұрын
Yaani 30,000/= kwa ajili ya pedi mwezi mmoja tu.
@addymsola4625
@addymsola4625 Жыл бұрын
Punguzeni tamaa
@rashidsalehsalum6462
@rashidsalehsalum6462 2 жыл бұрын
Polisi Tanzania dunia nzima ndio wenye hali Duniiiiiii
@freymuch7112
@freymuch7112 Жыл бұрын
Majeshi yote yalingane viwango,ukisema mtu fulani ni muhim kuliko mwingine haileti maana.kila mtu ana umuhim wake ndo maana tunagawana majukum
@addymsola4625
@addymsola4625 Жыл бұрын
Basi na mafunzo yawe sawa
@RamadhaniLukambuzi
@RamadhaniLukambuzi Жыл бұрын
@@addymsola4625Matumbo ni yale yale na maisha ni yale yale,kila mtu alipwe kulingana na majukumu yake,kwani mchele ukipanda bei madukani unaangalia mafunzo ya mtu?ada za wanafunzi zikipanda zinaangalia mafunzo?garama za matibabu zinaangalia sura na masomo ya mtu?sijui mafunzo ndiyo nini?au mwenye mafunzo zaidi anakuwa na matumbo mengi ndiyo maana analipwa mara dufu?Serikali in anatakiwa kuwalipa wafanyakazi wake kulingana na asilimia za garama za maisha kiwepo kiwango cha mshahara wa kati ambao kila mfanyakazi wa Serikali ataweza kupambana na hali ya maisha na serikali ni vyema iwatambue vizuri wafanyakazi wake,pindi mtu anapewa ajira kwa mara ya kwanza inabidi ajaze fomu labda anao watoto na wake wangapi?anasumbuliwa na maradhi gani?angependa watoto wake wasome shule za kiwango gani?hapo itaweza kuwakadilia vizuri katika malipo yao,hata wakitafuatiana kulingana na Elimu zao pamoja na Vyeo vyao lakini na wenye elimu za chini nao wawe na Mkwanja wenye kukizi haja zao kulingana na maisha kwa kila mwaka au Serikali iweke ukomo wa kuzaa kwa wafanyakazi make unakuta mwingine ana watoto kumi mshahara 3laki kwa mwezi,mwingine watoto 2 laki 3 hiyo hiyo,mwingine watoto kumi wake 4,hiyo imekaaje?
@michaelthobias9967
@michaelthobias9967 Жыл бұрын
Sio kweli majeshi hayawezi kuwa sawa mana kazi zao ni tofauti kbsa kingine Kila mtu amlilie bosi wake huwezi towa malalamiko kwa waziri wa mambo ya ndani ambaye ni baba kwenu Kisha ukalilia stahiki za watu wa wizara nyingine ya ulinzi Yani nisawa unataka haki kutoka baba wa mtu mwingine mjifunze kitu lini mlisikia jwtz watu wao wanalalamika kwenye vyombo vya habari kuwa Kuna hili hatupewi Ina mana mnazani hawana matatizo kwani ninyi hamna njia za kufata kero zenu zimfikie bosi wenu inashangaza Sana
@RamadhaniLukambuzi
@RamadhaniLukambuzi Жыл бұрын
@@michaelthobias9967 Hicho ni kikao chao waliamua kurekodi na kupost hata huko unako kusema ikitokea wakapost tutajua hali yao nao make hata hawa wasingeposti kingebaki ni kikao cha siri,Maendeleo yetu yanasimamiwa na Wana siasa kwahiyo huyo yuko sahihi kabisa !
@saidjuma7796
@saidjuma7796 2 жыл бұрын
huna elimu ndio tatizo kubwa
@jacksonbiswalo8360
@jacksonbiswalo8360 3 жыл бұрын
🚴🚴🚴
@miltonjohn1402
@miltonjohn1402 3 жыл бұрын
KWA hiyo mnataka watumishi wote nchi nzima mishahara ilingame? Hiyo haipo nyie tulieni, kila kazi na majukumu yake, acheni midomo.
@simonjustin5921
@simonjustin5921 3 жыл бұрын
Pamoja na hyo mnakula sna Rushwa askar police,kwahyo hakuna haha ya kulalamika mshahara,ninyi huwa mkipanga jambo litokee linatokea kweli,mara mbambike watu makosa ili tyu mkarbishe mazungumzo na mtuhumiwa, ninyi Askar police na watu wa usalama barabaran(Traffic) hampaswi kulalamika maana huwa mnajilipa kila cku,unafikir selikar kuu hawana akili,haya yte wanayajua na ndo maana amuongezewi mishahara, Na mungekuwa na busara msingekuwa mnapga virungu wanaowapgia kelele mpandishiwe mishahara(upinzani) japo ata wao wakipewa uongozi sina hakika km watawakumbuka🙏🙏
@erickkagisa833
@erickkagisa833 Жыл бұрын
Em subiri,,,,Kuna watu wana degree zao wapo mtaani hawana ajira ,,,nyie mmepewa ajira na form four zenu bado mnataka mnunuliwe na ped,,,who are you by the way?? Acheni uhuni sawa eh,,,fanyeni kazi
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 3 жыл бұрын
Wee nae unevaa kushekhe unaongea uhongo mln 10? Unakwenda PEPONI au
Air Sigma Girl #sigma
0:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 45 МЛН
ССЫЛКА НА ИГРУ В КОММЕНТАХ #shorts
0:36
Паша Осадчий
Рет қаралды 8 МЛН
UFC 287 : Перейра VS Адесанья 2
6:02
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 486 М.
Agreement with the U.S. / Ukraine’s Statement on Ending the War
13:26
WAZEE WA MINYAMA WAANGUA KILIO KAMA N:WAZIRI
6:35
Wasafi Media
Рет қаралды 11 М.
Young Lionel Messi Was Actually INSANE
14:20
VSP7 FOOTBALL
Рет қаралды 432 М.
Air Sigma Girl #sigma
0:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 45 МЛН