MKOJANI MWENYE WATOTO 27 ALALAMIKIA WATOTO WAKE .. KOJANI PEMBA,

  Рет қаралды 52,329

DAKTARI MTANGAZAJI

DAKTARI MTANGAZAJI

Күн бұрын

Пікірлер: 169
@muhammedkhamis1407
@muhammedkhamis1407 3 жыл бұрын
Pemba TV Ongezeni vipindi na watendaji zaidi tv izidi kupendeza kk
@muhammedkhamis1407
@muhammedkhamis1407 3 жыл бұрын
Masha Allah kk Allah Akuzidishiye Kizazi kaka wewe Allah Akuzidishiye watoto wawe wema upate zaidi ya 100 amin
@abdullaali8102
@abdullaali8102 5 жыл бұрын
Hongera kwa wake 3 na watoto 18, ongeza mke wa 4 na uendelee kupata watoto uwahitajio. Watu kama nyinyi ndio mutakaoiinua Pemba yetu kwa kuongeza watu wetu. Twapigwa vita sana sana tena sana Pemba na kinachotusaidia ni watu wetu, Tafadhali ongeza, ili tuendelee na uzazi mwema kwa wingi.
@tanitani3387
@tanitani3387 6 жыл бұрын
Hii wanasema kwa wazungu amaizing, home sweet home""""""" Babu kondo kunkwenda kwenyewe haswa, nadhani umejionea mandhari ya kisiwa chetu.
@kassimkalou7342
@kassimkalou7342 5 жыл бұрын
Assalamalykum Othman kondo tunafurahi kwa ufikisho wako wa matokeo yote ya pemba asante
@selekhamis7800
@selekhamis7800 6 жыл бұрын
Asante sana kwa kutukumbusha kwetu kojani naomba uwende na kangani na maeneyo ya kengeja asante othman kondo
@ismailjuma3692
@ismailjuma3692 6 жыл бұрын
mjomba itabidi asikusahau na Mtangani nimekumiss sana kwavile niko mbali nikikuona nitafarijika
@khatorkhator8083
@khatorkhator8083 6 жыл бұрын
Kangani maeneo ya kukuu ,kijicho nk
@ameirameir4930
@ameirameir4930 5 жыл бұрын
Hongereni sana kwa mkituonesha uhalisia wa maisha ulivyo mila silka desturi na tamaduni zetu huo ndio muelekeo sahihi jipambanueni na tv nyengine kwa kuudumisha utamaduni wetu mtafika mbali...
@seifomar752
@seifomar752 6 жыл бұрын
Asante sana brother bado kisiwa panza/kp
@murshidswaleh388
@murshidswaleh388 5 жыл бұрын
Mashallah watu wa kojani unaye msikia ana mke zaidi ya moja wako vizuri
@issajohn6174
@issajohn6174 6 жыл бұрын
Huna mpizani na wala sitegemei Kama atatokezeya mpizani kwa kweli umetisha na unatuliwaza kinoma noma yaani dah , endeleya na matisho kaka safi sana kizazi
@dastaniguni5599
@dastaniguni5599 4 жыл бұрын
Nakubali Sana Kazi yako Salute kwako Natamani Siku moja nivuke niende nikaangalie Hali ilivyo Hivi broo huko kuna Vyombo vya Moto Magari Vespa pkpk nk
@مريمسالم-ب2ج
@مريمسالم-ب2ج 6 жыл бұрын
Love othamani kwa juhudi zako tunafurahiya tunapoona vijiji kutoka nyumbani kweli kojani imebadilka tofauti na ile kojani tuliokuwa tukiisikia ezi izo
@mamawa3mamawa321
@mamawa3mamawa321 6 жыл бұрын
MashaAllah kumebadilika kidogo nyumba zenye mabati nyingi,miaka niloenda Mimi nyumba za makuti nyingi sana
@muhamedabdallah9272
@muhamedabdallah9272 3 жыл бұрын
Masha Allah fanya ufke na kengeja tumekumis kwetu na cie tukuone
@AbdulHakim-fd5ui
@AbdulHakim-fd5ui 6 жыл бұрын
safi othuman kondo pmb tv
@sophiemayiedanny2001
@sophiemayiedanny2001 6 жыл бұрын
ye Allah , mashalla , tafadhali waende shuleni jamani,au wajukue any courses ndio wajifahidi nayo.🙏🙏from Kenya
@fatmasaid5864
@fatmasaid5864 6 жыл бұрын
Mashallah kojani sikujui kumbe kuzuri shukran pemba tv kwa kazi nzuri
@mohammedkhkombo4439
@mohammedkhkombo4439 3 жыл бұрын
Mashallah kumbe kojani ndio hiyo nzuri
@maryamsaha5961
@maryamsaha5961 4 жыл бұрын
Nmependa izo nyimbo za background 😍😍😍
@naimaali6452
@naimaali6452 6 жыл бұрын
Wimbo mzuri Sana nausikia nikiwa omani mascati
@azizially1917
@azizially1917 5 жыл бұрын
Naima Ali Assalala alaykum
@alymwala6725
@alymwala6725 3 жыл бұрын
Og big my brother
@ahmedsuleiman5241
@ahmedsuleiman5241 6 жыл бұрын
Shukuran jaazaakallahu pemba tv nimehurahi sana kuku anakwatu
@fatmahussein7502
@fatmahussein7502 6 жыл бұрын
Ama kweli maskini na wanawe kila mmoja anataka apitilize timu kwa watoto masha Allah waoneeni huruma na hao wake zenu
@mudinondo8136
@mudinondo8136 5 жыл бұрын
Fatma Hussein nyie ndo mnaua watto
@salmaalkyumi2270
@salmaalkyumi2270 6 жыл бұрын
MashaAllah wazee wangu mnajitahid kwa wake na watoto Allah awafanyie wepes Ameen .
@mubaally3610
@mubaally3610 5 жыл бұрын
Wacheni ujinga hakuna mkjn(mke mmoja)mwenye watoto 27
@rayanassor4587
@rayanassor4587 6 жыл бұрын
Ahsanteni pemba TV. Kwakweli we fill like we are home
@abdul-razakamour5136
@abdul-razakamour5136 6 жыл бұрын
Kibati ichooooo asante Othman kondo mamb ya hme ayooooo
@abdallasalim7865
@abdallasalim7865 6 жыл бұрын
Nimeipenda sana hii sehemu nataman ata cku moja na mm nifike apa
@mbarikiahamadjuma6824
@mbarikiahamadjuma6824 6 жыл бұрын
Hongereni sana PBA TV, mumenikumbusha mbali sana enzi zile niko Form One naenda kojani kununua Pweza kwa ajili ya kuuza. Nawapenda sana na kazi yenu nzuri
@faaali244
@faaali244 5 жыл бұрын
MASHA ALLAH nimewapenda wakojani ni wakarimu sana
@galayagalaya48
@galayagalaya48 6 жыл бұрын
Daa hatar wapemba wanapenda kuoa na kuzaa mashallah
@saidsuleiman1912
@saidsuleiman1912 6 жыл бұрын
Allah katuleta duniani kwa ajili ya kuzaliana na kumwabudu yeye tu bila kumshirikisha na kitu kingine
@dazuuhmd819
@dazuuhmd819 5 жыл бұрын
@@saidsuleiman1912 alitaka watu wazini halafu watoto watiwe chooni ukiona hivyo jitu la bara hilo watoa roho za watu
@drabdi6806
@drabdi6806 2 жыл бұрын
Tunaomba fika na kisiwa panza
@mattarmattar3026
@mattarmattar3026 Жыл бұрын
Kwani kunani nako
@ashaissa5252
@ashaissa5252 5 жыл бұрын
mashaallah najiona kama nipo huko hakika nyumbani ninyumbani mzarau kwao mtumwa jamaniiii
@khamisally5436
@khamisally5436 6 жыл бұрын
nyumbani ni nyumbani, pba ndio kwetu.
@iddijumaali7192
@iddijumaali7192 4 жыл бұрын
Hongera
@sudafaki9699
@sudafaki9699 6 жыл бұрын
hahahaha Othman sema mashaallah,wtto 18 nabado hajazaa
@mbarikiahamadjuma6824
@mbarikiahamadjuma6824 6 жыл бұрын
Kanifurahisha huyo jamaa alosema nataka afike alau watoto 40. Hongera. Sana kijana
@ismailjuma3692
@ismailjuma3692 6 жыл бұрын
Mashaallah nakumbuka kuna siku nishawahi kufika kojani ila zamani sana sasa umenifurahisha kweli kweli
@mudrikhkhamis9792
@mudrikhkhamis9792 6 жыл бұрын
Safi sana najivunia kojani kwwetu
@mattarmattar3026
@mattarmattar3026 Жыл бұрын
Kule bongo usanii wao ni bongo flaver lkn kojani usanii wao ni wingi wa watoto
@hemediyusufu7987
@hemediyusufu7987 6 жыл бұрын
Du yani sinalakuongeya kojani nilikuwa naisikiya 2 leo nimeiyona mashalha kisiwa kizur siku nitakayo kuja pemaba mungu akipenda lazima kojani nifike
@saidsuleiman1912
@saidsuleiman1912 6 жыл бұрын
Karibu sana sheikh In Shaa Allah
@hemediyusufu7987
@hemediyusufu7987 6 жыл бұрын
Pw usijali nitaingiya
@maryammakungu8800
@maryammakungu8800 6 жыл бұрын
mashallah Pemba na huo wimbo naupenda sana
@yassirrashid7802
@yassirrashid7802 6 жыл бұрын
Kazi mzuri sana brother
@mohamedjuma423
@mohamedjuma423 6 жыл бұрын
Very nice ha Di raha
@dazuuhmd819
@dazuuhmd819 5 жыл бұрын
Lov pemba
@shaamehassan523
@shaamehassan523 6 жыл бұрын
Nilijua tu Siku utafika nyumban. Kisiwa cha maraha. Naikubali sana Tv Pemba kwa kutupa habar za jamii yetu ya Pemba kwa ujumla.
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf 5 жыл бұрын
Pemba Tv na Ng'oma za asili ya Msewe nnapenda sana
@kombohaji9163
@kombohaji9163 4 жыл бұрын
Nimefurai. Sana. Kwa. Gilopbo. Yenu
@dalfatsoud5923
@dalfatsoud5923 5 жыл бұрын
Nautambae mtambo mungu ataleta kheri zake ishallah
@rudahhakem2668
@rudahhakem2668 4 жыл бұрын
Jamn nimekutamani kwetu pemba😍
@ismailjuma3692
@ismailjuma3692 6 жыл бұрын
Sheikh jitahidi ufike na kusini tuone makwetu na sisi watu wa kusini'uanze na chambani pamoja na mtabgani kiukweli nimekumiss sana nyumbani mtangani.
@zeewasubra1532
@zeewasubra1532 6 жыл бұрын
kaka hiyo nyimbo tamu
@allimaryam276
@allimaryam276 5 жыл бұрын
OK pemba pelemba akifika mgeni kawaidayao kumlemba ila baadhi yao nii hawa chukuriki
@bockernyarusahi3655
@bockernyarusahi3655 5 жыл бұрын
Nasikitika sana kwa umaskini wa Watu wa Zanzibar,ilhali idadi yao ni ndogo kias kwamba Serikali ingeweza mkakati mzuri wa kuwapunguzia Wananchi wa Zanzibar umaskini,kisiwa cha Zanzibar kina fursa nyingi za maendeleao hasa kibiashara kutoka uarabun na Utalii kwa ujumla,bila kusahau zao la Karafuu,ni mikakati tu inatakiwa
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 5 жыл бұрын
Kipindi cha dk 20 mtangazaji usizungumze sana , tuoneshe KOJANI tuifaidi uzuri .
@fatmasaid5864
@fatmasaid5864 6 жыл бұрын
Inshaallah Allah awafanyie wepesi katika shughuli zao
@abdulkareemseif667
@abdulkareemseif667 5 жыл бұрын
ni miongoni mwa kisiwa bora sana kilichobarikiwa barka na mengine mengi tu .ila ni miongoni mwa kisiwa namba 1 kinachozarauliwa ktk nchi hiiii
@muhammedomary7393
@muhammedomary7393 4 жыл бұрын
الله يحفظ الجزيرة الخضراء
@mariyammariya3265
@mariyammariya3265 4 жыл бұрын
Duuuh wimbo mtam sn🤦‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 4 жыл бұрын
Mjue na kuwapa elimu za akhera na duniani ili tuepukane na majambazi, wezi, wazinzi na walevi. Allah atupe malezi mema kwa vizazi vyetu, Amiin
@madybc2376
@madybc2376 4 жыл бұрын
Penda sana pemba
@khamisjuma4691
@khamisjuma4691 6 жыл бұрын
Salam.dhagu.kwako.mtagazaji.wa.pemba t.v. musivu.jikemoyo.duguzagu love home people beautiful salam USA marekani
@mattarmattar3026
@mattarmattar3026 Жыл бұрын
Kojani kwa mzazi mwenye watoto 7 nadio hepata huyo hana kitu
@akh3038
@akh3038 6 жыл бұрын
Nimependa mandhari nzuri na hio ngoma iko sawa. Umehoji waume tu, jinsia ya kike hairuhusiwi kupaza sauti?
@saidasuleiman3253
@saidasuleiman3253 6 жыл бұрын
maskini na wtt wake tajiri na mali zake 2jitahid kuzaa lkn elimu muhimu
@abuunaraimansalumal-shaib9260
@abuunaraimansalumal-shaib9260 5 жыл бұрын
Lakin elimu ya akhera ndio kwao uko ovoo
@KILLERGAMER009
@KILLERGAMER009 6 жыл бұрын
nakubali kazi yako📸
@bigshow3884
@bigshow3884 6 жыл бұрын
Mashaallhaa huko ndo kwetu bwana
@naimaali6452
@naimaali6452 6 жыл бұрын
Nice work brother
@sitirashid2837
@sitirashid2837 6 жыл бұрын
Assalam aleikum,i love and enjoy watching pemba tv though im not from pemba
@nassirmohamed8492
@nassirmohamed8492 5 жыл бұрын
uko sawa broo
@seifbaus7
@seifbaus7 6 жыл бұрын
Home is sweety,Pemba no 1
@shehabakarmbarouk5493
@shehabakarmbarouk5493 5 жыл бұрын
Home kuzuri Sana daa maisha tu ila kwetu Hadi raha unafika sehemu unatamani uuzae wtt 40 wakti huku mmoja 2 anakuendesha utafikiri gari mbov kweli mkataa kwao mtumwa
@mohamedally1460
@mohamedally1460 6 жыл бұрын
😂😂😂😂 watoto 18 nabado inavutia Sana huyo anataka 40 mh!!!! Mashallah
@mgogomgogo7266
@mgogomgogo7266 6 жыл бұрын
Amazing
@salimkaimbwana6598
@salimkaimbwana6598 4 жыл бұрын
Nyumbani ni nyumban hata kama ni juu ya jabali
@vampire9464
@vampire9464 3 жыл бұрын
Sio mijanamke yetu ya mjini kuzaa haiwezi mwisho watoto 2 inataka hela tu pumbaaaff
@aishasaid7746
@aishasaid7746 6 жыл бұрын
hahahahaha mashallah hyo watoto 18 na bado asema hajazaaa🤣🤣🤣🤣🤣
@sahryomary9258
@sahryomary9258 4 жыл бұрын
ochu uko vzr sn kk
@utaani1
@utaani1 6 жыл бұрын
Masha allah kila mmoja Ana watoto zaidi ya 15! Mimi Nina wawili mwaka wa 6 sasa silali kwa ulezi wala sina mpango wa kuowa tena wala kutafuta mtoto mwengine. Nimechoka mpaka akili yangu
@fatmakhamis1018
@fatmakhamis1018 6 жыл бұрын
utaani1 hiiiiiiii mbona unaogopa sana jamani
@dazuuhmd819
@dazuuhmd819 5 жыл бұрын
Pole sana utaani 1
@mamawa3mamawa321
@mamawa3mamawa321 5 жыл бұрын
Usiogope Utaani zaaa Mungu ataleta kheri zake
@fahimhassan5223
@fahimhassan5223 6 жыл бұрын
Dah! Watto kumi na nane aona bd ata wenginee hii noma
@khamisally5436
@khamisally5436 6 жыл бұрын
pamoja sana kaka othman bin kondo,
@zeewasubra1532
@zeewasubra1532 6 жыл бұрын
Mimi Abdallah juma wa Pemba TV online niwakwanza kukupa hongera
@khalidhajji4123
@khalidhajji4123 6 жыл бұрын
Nimependa wazee wa Kojani
@abdillahfakih4324
@abdillahfakih4324 6 жыл бұрын
Bro Inakuaje Pemba tv iko juu xna nimetokea kuipenda iyo nyimbo nisaidie kuipata plzzzzz
@abdillahfakih4324
@abdillahfakih4324 6 жыл бұрын
Abdallah Mohammed iyo nyimbo imenimaliza fanya mmbo basi
@zeewasubra1532
@zeewasubra1532 6 жыл бұрын
unaitaka nyimbo sio
@naimaali6452
@naimaali6452 6 жыл бұрын
Kiukweli imenivutia hio nyimbo
@jumamohammed5378
@jumamohammed5378 2 жыл бұрын
MashaAllah
@ameirameir4930
@ameirameir4930 5 жыл бұрын
Bahari imetulia hali ya hewa si ya kuchoma wala kuchonota kijani kibichi pembezoni mwa bahari imekolea wtoto wakitoa maji nje ya madau wakifuata nyayo za kazi za wazazi wao kinamama waliopanda kwenye mashua ilè wamejitanda kanga zao vzr hku taswira ya staha na aibu ikiwa imewagubika bidubidu..hngereni pemba tv
@omanmuscat3461
@omanmuscat3461 5 жыл бұрын
Sant my dear 😘
@stamuujumajuma.4181
@stamuujumajuma.4181 5 жыл бұрын
kamera man yuko vzur mashallah
@khamisjuma4691
@khamisjuma4691 6 жыл бұрын
Sikujui.kojani.mtu.wawete.salam.USA marekani nakubuka.kojani.afugwi.mbapa.miaka.ishirini.sasa.naipeda.yubani.Zanzibar. pemba
@OmanOman-ky2oo
@OmanOman-ky2oo Жыл бұрын
❤❤❤
@الزغويالزغوي-ض3ن
@الزغويالزغوي-ض3ن 4 жыл бұрын
MAA SHAA AL-LAAH !
@abuubakaromar9437
@abuubakaromar9437 6 жыл бұрын
iko vyema sana
@jumasharif7146
@jumasharif7146 3 жыл бұрын
Nyumbani ni nyumbani tu
@mbodzebemasika7477
@mbodzebemasika7477 6 жыл бұрын
duh hivi ndio tunavuka huko kwenu..waa huku kuko kibabtuu zaidi..uzae hadi ufukutike
@mattarmattar3026
@mattarmattar3026 Жыл бұрын
Enda wapi huyo watoto 30 simchezo
@kingson6568
@kingson6568 6 жыл бұрын
nauliza jamani kisiwa hicho school zipo
@mudinondo8136
@mudinondo8136 5 жыл бұрын
john alex zipo
@dalfatsoud5923
@dalfatsoud5923 5 жыл бұрын
Maskin wanaishi kwa uwezo wake Allah isikitisha wallah
@azizally3129
@azizally3129 6 жыл бұрын
Nashkuru sana kwa kuenda kojani naamini umepata mambo mengi
@naimaali6452
@naimaali6452 6 жыл бұрын
Nimependa huyo Kaka amelezea vizur San kupasuwa mawe nikazi kweli
@mojusadjong3681
@mojusadjong3681 6 жыл бұрын
Napnda sana kipind ila tatizo mzazi styl ya ktngaza cjaipnda bado unatkiwa uwe kam mwndixhi mzeee baba
@mohamedjuma423
@mohamedjuma423 6 жыл бұрын
Shabaaa
@howardally8330
@howardally8330 6 жыл бұрын
Brother pls nakuomba mara hii tembelea kuna sehemu pemba inaitwa kengeja tunataka alautukuone
@salehabdalla7773
@salehabdalla7773 5 жыл бұрын
Wakwetu kengeja sehem gn unayoish
@khadijamohanani6476
@khadijamohanani6476 6 жыл бұрын
Hiyo nyimbo bro yaitwaje
@gshdhshhshs3362
@gshdhshhshs3362 6 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂unasifiwa eti watoto 18 bado waona kidogo uko leba unaenda wewe mtangazaji mpaka kacheka😂😂😂
@vampire9464
@vampire9464 3 жыл бұрын
Wacha ubwege wewe mwanamk kuzaa wanawak nyie mnataka hela tu bas pumbaaaff
@dalfatsoud5923
@dalfatsoud5923 5 жыл бұрын
Wow 😮 beautiful mashallah still bikra
@vampire9464
@vampire9464 3 жыл бұрын
Vidume ndio hivo viliuobaki duniani
@khamishamad5741
@khamishamad5741 6 жыл бұрын
Yaan kojan nmekumis lishawaigi kwenda
KONDE KONDENI
14:27
DAKTARI MTANGAZAJI
Рет қаралды 13 М.
Непосредственно Каха: сумка
0:53
К-Media
Рет қаралды 12 МЛН
Andro, ELMAN, TONI, MONA - Зари (Official Audio)
2:53
RAAVA MUSIC
Рет қаралды 8 МЛН
Hilarious FAKE TONGUE Prank by WEDNESDAY😏🖤
0:39
La La Life Shorts
Рет қаралды 44 МЛН
KABURI LINALOISHI NA WATU  KATIKATI YA JIJI LA CHAKE NA MAJABU YAKE
10:11
DAKTARI MTANGAZAJI
Рет қаралды 19 М.
LOST HOPE: Reflection on Kindiki's swearing-in
28:37
Herman Manyora
Рет қаралды 3,2 М.
FILAMU YA PEMBA KIROBO  ..
9:57
DAKTARI MTANGAZAJI
Рет қаралды 63 М.
Kijana Wa Miaka 21 Azua Gumzo Baada Ya Kujishindia Gari
24:28
DAKTARI MTANGAZAJI
Рет қаралды 12 М.
MZARAU KWAO YUUTUMWANI
10:04
DAKTARI MTANGAZAJI
Рет қаралды 16 М.
FILAMU YA KUSISIMUA KUTOKA PEMBA. (TRUE STORIES ) FILM
10:25
DAKTARI MTANGAZAJI
Рет қаралды 642 М.
Ngoma ya Kibati kutoka JKU yawakosha wana ZOI.
7:23
ZOI MEDIA
Рет қаралды 16 М.