Sema mwanamke ni kiumbe wa ajabu sana , yaani akikupenda basi anakupenda kweli lakini akisema amekusaahu kwenye maisha yake my friend hutoamini muangalie sele, nikama ndugu mtazamaji kama sisi tu
@abdulazizitwalib58599 ай бұрын
Ameyataka 😂😂 amemtesa sana
@GloryShabani-d6k3 ай бұрын
Jmn kuchez kiingerez ndo aje
@IsmailIhembe9 ай бұрын
Wake up my daughter hahaha mkojani bhnaa
@MkasyswallehsaidSwalleh6 ай бұрын
Jmni sele anajuta ss ...cheusi mangara kawa mrembo zaidi ya sana ...na bdo 🤣🤣🤣🤣🤣
@Misiontown9 ай бұрын
Sele mpaka asemeeee namba 1 apaa
@RahmaKasawa-cn2dt9 ай бұрын
Tokea nianze kufatilia mkojani gang his story ya sele leo imenitoa machozi wallah😢😢😢😢
@Professor.Irene959 ай бұрын
Kazi nzuli mkojani funzo kwa vijana ❤❤❤❤❤❤❤ much love chandigarh anazidi kukua❤❤❤
@InnocentArmadillo-do9vm9 ай бұрын
Team mkojani gang huko na mafunzo mazuri kazi nzuri sana 💯💯💯💯💯
@mohamednzaro35109 ай бұрын
Sema wewe Comedy. Vua mabuti sasa unanuka Uvundooo... Mungu awajaalieni furaha kama mnavyotupa furaha sisi. Ameeeen ❤
@jacksonseleman31609 ай бұрын
Hahahahaha unapand juu ya meza unachez kingereza 🎉🎉🎉🎉
@Ganyaazizi2002.9 ай бұрын
Hahahaha mnajua mpaka mnapitilizaa😅😅😂 sele
@MirageDaNacira-nk5uj9 ай бұрын
Seja assim Cota Nkojani Allahu ti abençoe seja assim
@Amyomy-od5ry9 ай бұрын
Sele imefunza mengi, big up guys 💪 viola shunuu mashaallah black beauty ❤❤ 🇰🇪🇸🇦
@sharifushabani39069 ай бұрын
Ng'ombe hamnijui leo me wakwanza kutoka mwisho eeeh mmmmmmh ooooh
@hassanMsangeni-r3e6 ай бұрын
Mkojani ww na Nabii mswahili nawaelewa sana
@twahaanyoni91209 ай бұрын
Tupo na sele mpaka uthemeeeee zile pesa alipereka wapi kujiuwa sio dili hapambane na maumivu 😂😂😂
@KlSd-y8x9 ай бұрын
😂kbsaaaaaaaaa🎉
@sidebraizoy20709 ай бұрын
😂😂😂katumia na lile jimama alilokua anaogeshwa na chicha za nazi
@IliiKalunda-eq2js9 ай бұрын
Kiukweli mnatisha San nyie ni majiniazi kabisa mnatukosha..😮😮
@YUYUHfilms20239 ай бұрын
Hakuna atakae kujua ukienda kidimbwi unapenda juu ya meza unacheza kiingerezaa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌 Ila mkojani asa kifurushii alichojiunga Sele na pombe wapi na wapi si utataka afe mapema jmn🤣🤣🤣👋🚶
@sadah-m2n9 ай бұрын
Kwan kil mtu ansem wa kwanz jmn ss tusokuw wa kwanz atalik nan😊
@EmmanuelKunzugala9 ай бұрын
😄😄😄 NOMA SANA
@omwandaonlinetv49879 ай бұрын
Umejifiza nn
@eshamohd72684 ай бұрын
Ila sele amshukuru mungu mkojani amekua na ubinadamu kwake wangekua wengine asingepokelewa na mkojani kwa alioyafanya
@DaltonMomade9 ай бұрын
Nipe ni like zangu ata 10 🇲🇿🇲🇿
@Rejoicekache9 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤malipo n hapa hapa
@erastogwakisamwakilembe579 ай бұрын
Niko Lusaka Zambia tuko pamoja sana
@ireneKiposa9 ай бұрын
Leo nilikuwa napitia magumu mpka nikawaza Bora kufa lkn mkojani umenipa moyo Sana😭Kuna wengine wanazaliwa na kufa y mpka Leo nipo hai kumbe ni kusudi la MUNGU 🙏Basi sitokata tamaa Tena nitapambana na nitamwamini MUNGU siku zote🤲🙏
@robertsimoni18559 ай бұрын
Pole
@ireneKiposa9 ай бұрын
@@robertsimoni1855 asante
@albogastmselejr45839 ай бұрын
Mambo
@MasoudDon-yt6je9 ай бұрын
Wa kwanza leo woyoooo
@FahadAli-ni5eu9 ай бұрын
Fc mkojani safari hiii kura kwa wingi jamani tuchukue tunzo tena
@sultaniiyytv37189 ай бұрын
Minyama uzembe tukunyemaa😂
@barakarobertmochungu9 ай бұрын
Mkojani kwa chandimu himwambii kitu anamkubali sana❤
@MohamedBakari-h5m8 ай бұрын
Sele kimemramba 😅hassa
@FAZUKAFILM9 ай бұрын
Nimekuwawakwanza
@smifhfreedom62049 ай бұрын
Mi nataka kuwa wamwisho alafu sitaki like yoyote
@SaddatMadeni9 ай бұрын
Mimi wa 100 nipeni like mia moja basi kama vp
@PriscaRemmy-h9c9 ай бұрын
Sitamani iiishe😂
@douglaswanzenge15199 ай бұрын
Aki violler mrembo thanks
@HvgUgg-w1p9 ай бұрын
Sele anatia huruma iseee
@ELIASBLUETICK7119 ай бұрын
Anae fundisha mazoezi mwenziye sasa😂
@26Tv2559 ай бұрын
sele ni kpengele sn
@Salma1212-u3o9 ай бұрын
Atulali tukingojea selemani weeeeeee
@NzeyimanaAli9 ай бұрын
Mazoewezi ya kajala tena 😂😂😂😂
@alish21829 ай бұрын
Muda wake huoo ajikaze na.maumivu 😂😂😂😂😂😂😂
@kajairolancaster70289 ай бұрын
Chandimu round hii unapigwa vita vya ndani ya tumbo.....kufa tu 😂😂😂😂 mimi nitaleta kubusi zile za Pakistan siku ya matanga😅😅😅
@gaspermwasalemba35379 ай бұрын
Wake up my daughter 😂😂😂
@HassanHassan-ix7cj9 ай бұрын
Sele tafuta mahali uende
@Abduly-uf7cv9 ай бұрын
Hii movie Ina funzo kubwa sana
@DeoMwampamba-ru3yo9 ай бұрын
Nimemupenda viola kama siyo kwenye video
@bongotz93219 ай бұрын
Wa kwanzaaaa
@MbungeBoy9 ай бұрын
Kwakweli nimeipata funzo kubwa ❤❤
@gbaby-s7n9 ай бұрын
Mm wa mwisho Leo gonga like yko
@smscell95099 ай бұрын
Mahaba na rangi zilikumaliza sele saahii unakula kwa macho
@SusanJulius-cu8xp4vx4m9 ай бұрын
hapo Kwa mazoezi nimemaliza mbavu 🤣🤣🤣
@mdigokhan82279 ай бұрын
Mimi wa 11 Acheni hii nafasi nampiga mtu..
@NYENJENDEU9 ай бұрын
Wakwanza from ruvuma tz sele anatia huruma😢😢😢
@magariabdallah80669 ай бұрын
Chandimu fanya sanatizi
@SusanJulius-cu8xp4vx4m9 ай бұрын
No 1
@mohamednzaro35109 ай бұрын
Chandim kwenye ubora wake sasa...Naomba contacts za Mkojani gang please.
@ldmfromkenya62739 ай бұрын
Muacheni jamani anyewe hizo dawa afe na huko zarau hizo nazijua hata hanipi shida huyu sele aki😏😏😏😏😏😏
@KlSd-y8x9 ай бұрын
Like zenu nije kumliwaza sele niwe Mkeo 🥺❤️❤️❤️❤️
@MussaRasul9 ай бұрын
Sasa Sele hizo dawa ungekunywa ukiwa huko ndani peke yako