❤❤🎉wa 9 kutoka Kenya 🇰🇪 najuwa mko uku wakenya tusalimian ❤❤🎉🎉🎉
@presentertelence16796 сағат бұрын
🤣 Ruto must go
@mckobatz586113 сағат бұрын
Huyu Bushura ni msweet sana jamani dah❤❤❤
@NelsonAlfred-e2q13 сағат бұрын
Wa kwanza kutoka nyakanazi
@GillianFredrick-p4n14 сағат бұрын
Wa Kwanza kutoka Kenya Mombasa
@عمرانالحجري14 сағат бұрын
Tukusaidieje
@michaelmathew785514 сағат бұрын
Dk chache sana tatizo weken 20+ ata
@MaajabuMayaka11 сағат бұрын
Mkojan hii siriz nzur lkn inakushnda kwenda nayo vzr unachelewa san
@RashidKidume-w8e13 сағат бұрын
Samofi wewe mwachie samonga avhukuwe chupa hiyo kwani bushura ataivinja chupa hiyo
@RashidKidume-w8e13 сағат бұрын
Swali je mkojani ataweza kuishi humo kwa siku saba
@mohamedyjuma4599 сағат бұрын
Oyaa leteni chap
@abdallahdullah737814 сағат бұрын
wa kwanza kutoka mbeyaaa
@YasiniLugendo14 сағат бұрын
Hapo sawa
@MariamObote14 сағат бұрын
Move inachelewa mno
@echikyabu615412 сағат бұрын
Tupostie kaz uncle jan😢imekuwa kma titanic bhna
@haridimnimbo737713 сағат бұрын
Mlikuwa wapi muda wote huo aisee!? maana inechelewa Atari! Hii kazi sio mchezo
@younglee097213 сағат бұрын
Kwenye frijii akaaa😂😂😂😂😂
@ErickNjoroge-fn4ob10 сағат бұрын
Straight outta kiambu Nairobi
@HaisamHaji-u3v14 сағат бұрын
Katika kitu sijutiagi kutumia MB zangu nikimuangaliaga mkojani na enjoy kinyama dah unaweza broo
@HASSANALALLY11 сағат бұрын
Wa mwisho kutoka OMAN 🇴🇲 🇴🇲
@jumamustafa82014 сағат бұрын
Wa tano leo naomba like zangu tafadhali
@KidogeDolie14 сағат бұрын
Fiti sana badotuna burudika 😂😂
@TaiwanHassan11 сағат бұрын
Bushura itakuaje hatma yko ww na Samofi
@zawadisisto818813 сағат бұрын
Cha ndimu lazima atamfungua tuu😂😂😂
@NeemaKapalata-nf3vl8 сағат бұрын
yule mwehu yuleeee😅😅
@Nillahvoice-uz2pv11 сағат бұрын
Wangapi tunaona chandi atamfungua mkojani 😂😂
@AnnaOtinel8 сағат бұрын
Chandimu ndo atamfungua au kijiko
@عمرانالحجري14 сағат бұрын
Chandimu buni sauti nyingine iyo ya ZIMWI tunashindwa kutofautisha. Tafta saut yako
@DavisMmole-i6p11 сағат бұрын
Mbna wako tofaut sana
@ibrahimsalim83688 сағат бұрын
Duh iyo sauti kweli ya zimwi? Wapo tafauti sana
@batihubadiy31065 сағат бұрын
Zimwi anaigizaaa kisambaaa ?
@AmosSinkala-lx4sl14 сағат бұрын
Mkojani gang wewe ni muigizaji maarufu ila nakushauri jitahidi kuwa mbunifu, sio kila siku idea za kufanana, ongeza dakika, Usipokuwa makini chado atakuwa maarufu zaidi kuliko wewe
@moneyfollowme7379 сағат бұрын
Kabisa
@Diogenes_talented_generation9 сағат бұрын
Mjomba ni mama naona mke wa samofi kishapata huruma kwa uncle wake
@BobJoshua-er1fg13 сағат бұрын
Lovely always 😍😍👌nipeni pia ata like 10 jamani, nimewayi inapo nipo late
@elly_worship8 сағат бұрын
Jamani mmekaa sana kutoa 24
@JanuajeyJanuajey13 сағат бұрын
XoXo
@Awoshy11 сағат бұрын
Famonga akikumbuka aligeuzwa mbuzi 😂😂😂😂anataimani chupa hatari 😂
@omaryndambaye143914 сағат бұрын
wakwanza jamani😂 like zenu
@Awoshy11 сағат бұрын
Kijiko umbea 😂😂😂
@AlexKasena-d9p10 сағат бұрын
Famonga bado haamini kufanywa mbuzi 😂😂
@omarbosiomar860810 сағат бұрын
lovely
@NeemaKapalata-nf3vl8 сағат бұрын
anko jaaani eeeeeeh tunakupenda bhn
@godlistenbaltazar432311 сағат бұрын
Oya mnarusha kipNde baada ya mwaka aisee mnazingua
@puresapphiretz11 сағат бұрын
Unapo kwama ni kutoa Moja kwa wiki
@ErickNjoroge-fn4ob10 сағат бұрын
Me sidai likes as many are Dem doing what I need is just a conversation about this series fan's, who's ready 😊